haleluyaaaaa. namfurahia Bwana Yesu kuwakutanisha Malendeja na Tengwa hakika Tanzania imekusudiwa na Mungu kuingiza watu wengi mbinguni.
@generosakinemo5490 Жыл бұрын
Amina amina aminaaaa, jina la Bwana libarikiwe. Hiyo madhabahu ya gangilonga imebomoshwa kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth. Na madhabahu ya Mungu imesimamishwa kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth. Na Damu ya Yesu Kristo imiminike daima ktk madhabahu hiyo AMINA.
@janengaga2928 Жыл бұрын
MUNGU baba komboa mkoa Iringa zivunjwe hizo madhabahu za giza .Wahehe wote wamgeukie Mungu na kumtumikia kwa uaminifu na bidii.Iringa..home mlilie Mungu.
@LusajoMwaipopo-bx1vp Жыл бұрын
Mungu mkuu tunaomba ulirehemu kabisa taifa lako laTanzania
@vitabuvyashuhuda-lg2fn Жыл бұрын
What a great joy I get when I see you 👏👏👏 Vyombo bora kabisa vya BWANA!
@witnessmaimu6974 Жыл бұрын
Mungu awatie nguvu watumishi wa Mungu kazi yenu sio bure. Namshukuru Mungu kwa ajili yenu. Mmeungana kwa ajili ya kuikomboa Nchi yetu ya Tz.Mungu awatunze watumishi wa Mungu.tutapataje kupona tusipojali wokovu mkuu namna hii
@mariamyinga2141 Жыл бұрын
Mungu uturehemu hatuwezi bila wewe.Uwatie nguvu watumishi wako kwa utume huu
@SarahKapella-rm2of11 ай бұрын
Mungu awatie nguvu. Damu ya Kristo yesu mwokozi wetu iwafunike. Amen
@SarahKapella-rm2of11 ай бұрын
Mungu anasema akiwepo mmoja mwenyehaki hatabomoa. Mungu awabariki watumishi wa mungu.
@gloriakatikiro5945 Жыл бұрын
Yesu atukuzwe watumishi.Mkumbukwe siku zote na Mungu wa mbinguni
@nestorysospeter7162 Жыл бұрын
mungu airehemu Tanzania, mbarikiwee watu wamungu tupo pamoja ktk jina la yesu
@irenelucas6323 Жыл бұрын
Mtumishi. Hongera Kwa kazi nzuri ya Mungu ila watu hawakujua kama ilikua Dodoma. Wengine hatukusikia kama uko Dom. Mungu azidi kukutia nguvu mtumishi tunaungana nawe hata Kwa mtandao.
@mercymwasha3993 Жыл бұрын
Mungu azidi kuwatia nguvu watumishi wa Mungu aliye hai
@MahtaFungo-jm6zl Жыл бұрын
Yesu Alie hai awatunze watumishi
@chalokalunde9429 Жыл бұрын
Watumishi wa Mungu Kazi yenu ni njema sana.Tupo pamoja.Mbarikiwe.
@lusianguno6434 Жыл бұрын
Haleluya, hongera kwa kazi nzuri. Asante kwa mkoa wa Dar, Mza, Moro, Iringa na mikoa yote ya Tanzania. Amen. 👏
@osanamgallah4297 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana watu tusikie Tuombe toba kwa ajili ya taarifa na vizazi vyetu
@sweetbertsangi2397 Жыл бұрын
Wapendwa bwana Yesu asifiwe, nawaombeni sana muweke kwenye audio pia ili kuwafikia na wengine kwa urahisi
@Neemakilimba Жыл бұрын
Ameen sana Shetani Lazima ajute maisha yake yote
@joycedickson152 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu aliyehai Kwa kutii sauti ya Mungu ,hakika kazi yenu Ina thawabu kuu kuweni na moyo mkuu ,Tunawasubiria na kuwakaribisha sana Arusha 🙏🙏🙏
@juliuskitaluka1206 Жыл бұрын
MUNGU awabariki sana kwa huduma hiyo
@NancyMwaibula7634 Жыл бұрын
Namtukuza Mungu Kwa ajili yako, naelewa Sana
@RehemaGodfrey5 ай бұрын
Aminaa mungu awatangulie popote watumishi wa mungu Aminaa🎉🎉🎉
@emmanueljackson6130 Жыл бұрын
mungu saidia nje yetu Tanzania inua vijana wapinge madhahabu ya shetani
@magnuskatembwa9018 Жыл бұрын
Mwenye haki akiomba yafaa sana
@failaprince9250 Жыл бұрын
Amina mubarikiwe sana watumishi waMUNGU
@monicaisuja8917 Жыл бұрын
Pita na dodoma mtumishi wa Mungu
@minaelpaul9219 Жыл бұрын
Ameen Karibuni na mkoa wa Manyara
@sweetbertsangi2397 Жыл бұрын
Tunawapata vizuri sana wapendwa, namshukuru Mungu na mimi nahamasisha sana watu kuomba
Yaani huko iringa japo ni kwetu yaani uchawi Sana nasema wachawi na miungu yakihehe kufaa kwamoto wa YESU KRISTO
@monicaflora1535 Жыл бұрын
Amina watumishi wa Mungu Mungu awabariki sana nawapenda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤
@swardosward1990 Жыл бұрын
MUNGU KWANZA MENGINE BADAE AMENI 🙏💪
@failaprince9250 Жыл бұрын
Amina iyonikweli kabisa watumishi
@swardosward1990 Жыл бұрын
Mungu awabaliki ana azidi kuwatia nguvu pia atume na awape mioyo myepesi yakuwafa Toba ya pamoja (selikali) itambuwe ili swalaa na hijue tupo majila yapi
@angelanaftael7965 Жыл бұрын
Nimefurahi hawa watumishi wa Mungu wameweza kuteam up maana nilikuwa nasumbuka moyoni nilipoona ushuhuda wa huyu baba Malendeja Makashi
@deborakasisi5049 Жыл бұрын
Mungu azid kuwatunza watumishi wa mungu
@faithmusembe7399 Жыл бұрын
Ahsante yesu kwarehema na msamahaa
@solomongideon8685 Жыл бұрын
Mathayo 6:5-8 . Amani na Upendo.
@quintaanyango9114 Жыл бұрын
I support you people of GOD almighty
@lukaerinest8004 Жыл бұрын
Hongeleni Sana kwa kazi njema karibuni sana watakatifu wa Mungu na njombe
@SophiaJurius-dt7ci Жыл бұрын
MUbarikiwe San Watumishi
@yusuphmbilinyi3913 Жыл бұрын
Barikiwe sana watumishi wa Mungu
@reginaruta3249 Жыл бұрын
Mbarikiwe watumishi wa Mungu. Tunaomba muweke vizuri namba zenu ili tuweze kuwasapoti kwa sadaka na maombi. Mungu awarinda watumishi wake. Amen
@esthermwaigwisya1775 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Mama. Namba zipo hapo ktk screen. Inapoanza tu utaziona
@zawadichalale4047 Жыл бұрын
Ahsante YESU
@zuhuramuhanga5400 Жыл бұрын
Ninge omba mfike wilaya ya kilolo kijiji cha mwatasi uchawi wana uficha hewani kwenye ndege za kichawi nendeni mkawa pasue kwa upanga wa Mungu
@esterchalale401 Жыл бұрын
Asante Yesu
@boazkafula1728 Жыл бұрын
Amen amen❤
@dayemukalai3427 Жыл бұрын
Ameeen Ameeen Ameeen 🙏🙏🙏🙏 niponanye
@niymaedwin4297 Жыл бұрын
Amen
@jennifermshanga1255 Жыл бұрын
Arusha...please please
@petrosamson2024 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi
@mwanzajosephine468 Жыл бұрын
Ameeeeen na wazidi kulindwa ktk huduma hii
@Neemakilimba Жыл бұрын
Watumishi wa Mungu piteni na Singida jamani
@monyshirima Жыл бұрын
MUNGU awalinde awatie nguvu watumishi wa Bwana
@kutikavu-jk7ue Жыл бұрын
ASANTE MUNGU SAUTI ZENU ZITUWAKILISHE MBELE YA MUNGU, SAMEHE TANZANIA!
@dorcaskarago2876 Жыл бұрын
Pazuri apo kweli kweli
@fridaisrael7672 Жыл бұрын
Nipo Iringa jamani lakini hatuna habari hatujatangaziwa Mungu aturehemu
@janethmwihumbo1289 Жыл бұрын
Manabii wa Mungu,,kristo Yesu awafunike popote muendapo
@agnesjandwa7362 Жыл бұрын
Mungu Baba katika Jina la Yesu. Tunaujua upendo wako kwa wanadamu. Anglia Bwana ulivyo mteuwa mtumishi wako AUGUSTIN ili apate kusimama palipo bomoka. Bwana tumesimama pamoja naye. Tunaomba umtie nguvu nasi tuko pamoja naye. Tunakuomba rehema yako Mungu. Tunatubu sote pia kwa maasi haya yote yaliyo nchini kwetu hata dunia nzima ka Jina ya Yesu wa Nazareth aliye hai.
@merygodfrey3709 Жыл бұрын
MUNGU AINGILIE KATI ATUREHEMU SISI NA VIZAZI VYETU TANZANIA.MUNGU ANIREHEMU MIMI NA WATOTO WANGU MUNGU AFUFUE KAZI ZA WATUMISHI WA MUNGU ZILIZOLALA ILI WAZIDI KUTUOMBEA. MTUMISHI WA MUNGU BARIKIWA NIPO PAMOJA NA WEWE.AMEN
@naftalimhemi4163 Жыл бұрын
Tuombe msitozwe kodi
@annachachage4931 Жыл бұрын
Mbarikiwe watumishi wa MUNGU,kwa uamsho mkubwa namna hii,watu wa ninawi huenda walikua na ma dhehebu yao, lakini sauti ya Yona nabii,iliposikiwa haikujarisha mfalme mbiu ilipigwa ni kutubu tu,lakini leo kila dhehebu wanajikusanyia watu hawawaruhusu kushirikiana na wengine, afadhali ya makanisa ya waprotestant kuliko madhebu ya kipentecoste hawa badala ya kupima kwanza ktk roho mjue kama ni kweli unabii huu?haichukuliwi hivo inachukuliwa kibinafsi,,mbaya sana..na hivi kila mkuu anwahesabu watu wake ajue anamiliki wangapi hawataki watu wapungue,wanasahau kama ni watu wa MUNGU, makosa ya Daudi bado yanafanywa hata leo, 1nyakati 1-7
@tengwatv Жыл бұрын
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu ambao kwa unyenyekevu mkubwa Roho Mtakatifu amewajalia kufunuliwa mambo haya ndani yenu na katika fahamu zenu! Tunafarijika sana tunapoona sms kama hizi za kuonyesha namna hali ilivyo kwa viongozi wa MADHEHEBU na SERIKALI.
@annachachage4931 Жыл бұрын
@@tengwatv MUNGU atusaidie hata kama tumefungwa ktk namna hii ya madhebu,tunaweza kusimama wenyewe, maana YESU atarudi kuchukua kanisa sio jengo au dhehebu,atakuja kwa ajili ya wale waliomngoja kwa Imani pasipo kujichafua,,tunatakiwa kuwa wajuzi na watafiti kwa kusoma neno la MUNGU na kuomba na utulivu ktk kicho,, mubarikiwe sana kwa kazi njema ya kutuhabarisha injili hii ya uamsho,,nitaendelea kufuatilia kuna kitu napata hapa.
@liesharehema5193 Жыл бұрын
MUNGU AFUNIKE KWADAMU YAKE
@zuhuramuhanga5400 Жыл бұрын
WATUMISHI MME FANYA VYEMA HUKO IRINGA NI NYUMBANI WATU WAMEIBIWA WAKIWA HAI WAME WAWEKA MISUKULE NA WACHAWI WANA MILIKI NDEGE ZA KICHAWI
@monicaisuja8917 Жыл бұрын
Watumishi piteni Dodoma jamani
@neemakusuhibwa347 Жыл бұрын
Mungu awabariki watumishi.pole kwa kazi Mungu.
@SarahKapella-rm2of11 ай бұрын
Mungu awatie nguvu. Damu ya Kristo yesu mwokozi wetu iwafunike. Amen