Mapenzi ya kuvutwa kutumia picha yake humrudisha bila kujijua - Utabiri wa Nyota na Mnajimu Dokta Kuluthumu Salim Ndee maarufu kwa jina la Dk Love ni mnajimu wa nyota nchini. Tembelea Facebook account / utabiriwanyota
Пікірлер: 26
@user-mu2ox4be2k3 жыл бұрын
mi najalibu kila kitu lakin bado hata kunifiklia hanifikilie tena. sijuw tafanya nini nisaidie dda yngu maana amenuacha bila sababu akaniachia na mimba😢😢😢
@sulesuburasubira65034 жыл бұрын
Asante sanaa mama
@davidyhamistv38389 ай бұрын
Mafusho ni Nini?
@supasupa66433 жыл бұрын
Inapatikana wapi?
@lasangimaryam92413 жыл бұрын
Mimi ni mgeni na naomba kuelweshwa kuhusu mregesha mpezi
@humphreysleid69423 жыл бұрын
Mafusho nk nini na ni yepi Dr
@godygorodian59112 жыл бұрын
Kama picha iko kwenye sm
@lasangimaryam92413 жыл бұрын
Hayo mafusho nayapata wapi
@nzeyimananadia1446 Жыл бұрын
Asate kwakudusayidia iridupate kujuwa
@harerimanagaudence29262 жыл бұрын
Mafusho ni Nini jamani????
@winifridanelson33762 жыл бұрын
Mafusho ndo NN?
@shemmastershaaban774 жыл бұрын
ayo mafusho ya mapenzi ndio nn?
@sadiqthabit11864 жыл бұрын
asa me nyot yng siifaham
@yumnahamis4073 жыл бұрын
Mimi yumna naomba kujuwa naendana na Ali anataka kuniowa
@mwliddyorugalabamu30593 жыл бұрын
Kaolewe na ufuate maelekezo na maagizo ya Mtume Mohammad S.A.W hutojutia
@fatunduwimana62623 жыл бұрын
Mafusho nini bibi tujuze
@gabynosaidi7183 жыл бұрын
Mafusho ndonini
@godygorodian59112 жыл бұрын
Jmn minakanimludishe
@elvisalfred26564 жыл бұрын
Mafusho ndy nn
@sulesuburasubira65034 жыл бұрын
Kama pic ipo kwa simu unafanyaje
@tontouch2174 жыл бұрын
Kaisafishe studio.😀
@sarahaswan92213 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@sulesuburasubira65033 жыл бұрын
@@sarahaswan9221 😁😁😁😁
@sulesuburasubira65033 жыл бұрын
@@tontouch217 jinga liii😁😁😁😁😁
@winifridanelson33762 жыл бұрын
Si unaiprint
@samsonmagese4177 Жыл бұрын
Daba samahani mimgen sijui binunying naomba timie namba yako ili tuongee zaidi tafadhari,