"Maprofesa Wengi Wemefeli, Hii Ndio Changamoto" - SILINDE

  Рет қаралды 95,617

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 92
@kennethmahenge7719
@kennethmahenge7719 4 жыл бұрын
daaaah nawapa pongezi sana wananchi wenye mbunge huyu........Mungu aendelee kuwapa maono juu ya kuwatambua na kuwachagua viongozi wenye akili kama huyu........blessed Silinde.........songwe oyeeeeee
@mbekekabuhu4166
@mbekekabuhu4166 4 жыл бұрын
Baraaaa Sana huyu jamaa.Tano kwako mkuu.umetisha Sana Mwanazuoni.Serikali chukueni yaliyo mazuri, msipuuze kwakweli.
@dastansimpanzye5558
@dastansimpanzye5558 4 жыл бұрын
Ahsante mbunge wangu
@rasmatthew6995
@rasmatthew6995 6 жыл бұрын
Komaeni hivyo hivyo uongo unajitenga na ukweli, upo juu sana sir Silinde
@michaelnyayo3538
@michaelnyayo3538 6 жыл бұрын
Daah nakukubari sana silinde shemeji angu
@williamiranga7715
@williamiranga7715 4 жыл бұрын
A Seminary Product!!
@manfredymahinya9511
@manfredymahinya9511 6 жыл бұрын
asante sana kwa takwimu bora wachache tunakuelewa best
@johnnisilenisile1990
@johnnisilenisile1990 4 жыл бұрын
Anajielewa na anaeleweka vizuri
@enockkarlo8215
@enockkarlo8215 6 жыл бұрын
Aise huyu jamaa kt ya watu ambao wanapochangia huwa nafatilia kwa umakini ni huyu 100% mungu akufikishe mbali
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 6 жыл бұрын
Ndugai hua anamkubali sana mh.silinde
@elizabethmasaga6355
@elizabethmasaga6355 4 жыл бұрын
Hivi huyu ilishidikana kununuliwa ahamie ccm
@silungwesh7487
@silungwesh7487 5 жыл бұрын
Mnyamwanga wa kamsamba wakilisha wakilisha
@marymushy1580
@marymushy1580 6 жыл бұрын
upo vizuri aiisee
@nuhumohamedi6112
@nuhumohamedi6112 6 жыл бұрын
nakukubali kaka silinde
@atugonzalugemalila5142
@atugonzalugemalila5142 4 жыл бұрын
Dah! Tushukuru mungu kuumbwa na ujinga wetu
@omarjumanne6744
@omarjumanne6744 4 жыл бұрын
Upo vizuri sana
@ezekiamaluma6091
@ezekiamaluma6091 4 жыл бұрын
Nimegundua kitu kama waomba taarifa wako wengi ujue mbunge huyo kaja na hoja dhaifu ila mbunge akija na hoja nzuri yenye vigezo na ushaidi taarifa zinapungua sana au hakuna kabisa. Big up silinde mbunge wa momba (boda ya wajanja)
@augustinomgonde1505
@augustinomgonde1505 4 жыл бұрын
Silinde ni mmoja kati ya wabunge bora kabisa ktk nchi yetu. Tunamuhitaji tena katika kipindi cha 20-25.
@gastordominic410
@gastordominic410 6 жыл бұрын
Upo vzr
@agabalufulani7247
@agabalufulani7247 6 жыл бұрын
Akili kubwa sanaa
@sylvestermsafiri4372
@sylvestermsafiri4372 5 жыл бұрын
Huyu Mbunge yuko vizuri sana.
@dullahdullah5499
@dullahdullah5499 4 жыл бұрын
Sawa kabisa
@jonathaneliabu2298
@jonathaneliabu2298 4 жыл бұрын
Yes!I see, good brain.
@MustafaAli-bs6mb
@MustafaAli-bs6mb 4 жыл бұрын
Nakupenda sana rusinde chadema wakipewa nchi tutafika mbali maprofesa wetu ni vichwa maji
@masterbosco8781
@masterbosco8781 6 жыл бұрын
safi sana
@gastonegodfrey7426
@gastonegodfrey7426 3 жыл бұрын
Nilikupenda Silinde!!!! Lakini sijui nani alikudanganya kuwa msaliti!!!!???????? Utajuta Silinde!!!
@eliyapendamshana9042
@eliyapendamshana9042 6 жыл бұрын
Asante
@afredyohana356
@afredyohana356 4 жыл бұрын
Kaka uko vzr Sana iv kwann wasiwapishe mkawaelekeza kwa vitendo waone uwezo wenu
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 6 жыл бұрын
Safi sana
@mbingaheaven9899
@mbingaheaven9899 4 жыл бұрын
Ingawa nimechelewa kukusikiliza bt nimekuelewa keep up bro , u're kichwa
@willycharlemanyanza8789
@willycharlemanyanza8789 6 жыл бұрын
huyu jamaa ni kichwa saana
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 6 жыл бұрын
Kama huna akili huwezi kuwa mpinzani.Utakuwa Mr yes man.
@feyzalyusuph14
@feyzalyusuph14 4 жыл бұрын
Chadema imepoteza kichwa kweli kweli...ila Silinde nitakuona uadilifu wako huko unapoenda.
@ellymaz2187
@ellymaz2187 4 жыл бұрын
Mmoja wa wabunge wachache wanaostahili kuwa WABUNGE. Wengi wao ni wapiga kelele tu.
@mikangapata3324
@mikangapata3324 6 жыл бұрын
Mfundishe huyo Mpango
@hemedimafiri2745
@hemedimafiri2745 6 жыл бұрын
uko vizur
@gabiamma8908
@gabiamma8908 6 жыл бұрын
Asante sana silinde
@jacksonsungwana2344
@jacksonsungwana2344 6 жыл бұрын
Huyu jamaa ni hadhina kwa hili Taifa.
@hassanmganyizi586
@hassanmganyizi586 6 жыл бұрын
Akili kubwa ndo hiii
@sospeterkamala5481
@sospeterkamala5481 4 жыл бұрын
Hivi ccm mnaelewa!
@samusonibalazingiza3689
@samusonibalazingiza3689 6 жыл бұрын
Kweli mkuu
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 4 жыл бұрын
MH.spika nakuona unamkubali Sana MH.David huyo jamaa yupo smart Sana bila ushabiki wa vyama nami napanda aendelee kua hukohuko watoe Mambo mbadala wamsaidie MH.Rais Mimi binafsi sina ushabiki wwte wa chama chochote napenda nchi isonge mbele na wapatikane watu wazuri watuongoze kusiwe na uvyama penye ukweli mbunge wa chama chochote aseme namkubali Mh.Rais "maendeleo hayana chama"
@johnyustus6333
@johnyustus6333 4 жыл бұрын
Kamanda Silinde Wewe ni mwanaume
@onesmomaruti5256
@onesmomaruti5256 4 жыл бұрын
Wanajifanya kila kitu wanaunga mkono juhudi za mungu mtu kwa masilahi yao ni majizi tu
@kassimumisake6594
@kassimumisake6594 4 жыл бұрын
Ukweli kwakweli
@raphaeldayos9188
@raphaeldayos9188 4 жыл бұрын
Zinamtosha kwelii huyu,,Hadi spika kakubalii
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 жыл бұрын
Mhe. Silinde unasema KWELI 100% lakini hayo yaingize kwenye Ilani yenu, BUNGE la Tanzania YOTE hayo unayosema ni mazuri sana lakini ni USHAURI ni hiari ya anaeshauriwa kupokea ushauri au la. BUNGE ni DHAIFU!
@kalewarayond9633
@kalewarayond9633 4 жыл бұрын
Unawapigia gitaa hao mbuzi!!
@deniselias8543
@deniselias8543 6 жыл бұрын
naomba uwe waziri wa fedha unahakili kuliko huyo waziri wa fedha sioni anachofanya
@joelrugano6517
@joelrugano6517 4 жыл бұрын
Duh huyu jamaa nilikuwa sijamsikia. Kumbe tuna wabunge vichwa kweli kweli
@emilymsangi2693
@emilymsangi2693 6 жыл бұрын
Mnapo wapigia CCM kila mbunge anaenda kwa muongozo wa chama na si maono yake kama Ukawa
@dnaofgodtv4873
@dnaofgodtv4873 4 жыл бұрын
Silinde kumbe ni mtu bwana!
@franciscomasungulwa3820
@franciscomasungulwa3820 4 жыл бұрын
Chadema mtajivunia nini mnapowapoteza vijina kama hawa???
@renatusdeogratias2108
@renatusdeogratias2108 6 жыл бұрын
huyu mbunge anaonekana akiri yake n kubwa
@Fundi12345
@Fundi12345 4 жыл бұрын
Hiyo na mimi nampata bizuri sana na nimempenda anaweza kutuongoza
@faridsalehmohamed1230
@faridsalehmohamed1230 6 жыл бұрын
Tanzania kuna maprofesa wa vyeti sisi wa utendaji sifa nyingi tuuu hawawezi chochote
@slimmtani8236
@slimmtani8236 6 жыл бұрын
C.c.m hakuna wabunge aiseee
@robertlinuma6051
@robertlinuma6051 4 жыл бұрын
Mbunge wa upinzan anaongea ,maacccm yako kimya bila kuomba taarifa ,kweli silinde kichwaaaaaaa
@hansmkumba3774
@hansmkumba3774 6 жыл бұрын
akili kubwa
@alfoncejohn2104
@alfoncejohn2104 4 жыл бұрын
Nyie wabunge hivi hata mnaovyoongea na bibi babu zenu wazaa wazazi wenu. Mnachanganya lugha hivyohivyo. Brother umeongea vizuri ila unaenda kuharibu
@yusufkechbow8153
@yusufkechbow8153 4 жыл бұрын
Nimekuelewa.... Ebu mletee mpango cheti chake hahahaa
@brightonbaiwell3801
@brightonbaiwell3801 4 жыл бұрын
Songipwete
@SamweliChacha-l4y
@SamweliChacha-l4y 3 күн бұрын
Cha ajabu kala matapishi
@eliudsamson6780
@eliudsamson6780 4 жыл бұрын
hhh nakuku balisana unaniku mbusha mbali sana enziza e / 20 / 6 / 207. hizo nienzi za tudu
@fikihamad6849
@fikihamad6849 4 жыл бұрын
maskitiko makubwa,kweli wizara ya fedha ina kibriii..
@shukranimwalingo6275
@shukranimwalingo6275 6 жыл бұрын
Kusoma had kuwa profesa ni upumbavu
@nicholausomollo3159
@nicholausomollo3159 6 жыл бұрын
Upumbavu ni ww ambaye hujasoma.... usitukane elimu ya watu... judge mtu mmoja mmoja....
@bahatihacks8472
@bahatihacks8472 4 жыл бұрын
Una maana gani unaposema maprof wamefeli! Au unamaanisha nini kuhusu habari ya kufell!!
@koladjulius9945
@koladjulius9945 6 жыл бұрын
Nicko simchimba ukitusi unapata faida gani ndugu?
@bernardsteven369
@bernardsteven369 4 жыл бұрын
Jamani watanzania hivi hawa wabunge wa upinzani wanakili gani mbona wanaongea poit yani mbunge mmoja wa upinzani nisawa na wabunge 10 wa ccm
@andrew.gadimrinji1713
@andrew.gadimrinji1713 4 жыл бұрын
Tofauti ya ccm na wapinzani...sikilizeni wabunge wote wa ccm wamekaririshwa hotuba..wanazungumza yaleyale..yaani wanarudia hotuma za waziri husika...badala ya kuhoji na kuonyesha mapungufu.wapinzani wana takwimu na wanaonyesha mapungufu na kuelekeza maboresho..lakini wans ccm ndo hapo wanapata hoja za kuwapinga wapinzani...yaani ccm ndo wamekuwa wapinzani.
@maxlupapa4468
@maxlupapa4468 4 жыл бұрын
Safi sn
@solemba595
@solemba595 4 жыл бұрын
Kuna watu bado hawaangali hoja za msingi, wanaangalia chama, ndio maana hatuendelei...
@sadayomoses2269
@sadayomoses2269 4 жыл бұрын
sirindee kafanya nn anako toka
@afredyohana356
@afredyohana356 4 жыл бұрын
Afanye nn kwa selikali gani ww mbumbu kweli anaongea nn na ww unahoji nn
@stephanokayega2792
@stephanokayega2792 6 жыл бұрын
.
@nickosimchimba8176
@nickosimchimba8176 6 жыл бұрын
Wew mpumbavu sana tunakusubiri sana jimbon mwaka 2020hupit hata kwa dawa.......kwanza wew ni muoga tu huna jipya
@willycharlemanyanza8789
@willycharlemanyanza8789 6 жыл бұрын
wewe naye boya kweli unataka mbunge waaina gan, au wakusinzia akiamka anasema ndiyoooo mzee
@emilymsangi2693
@emilymsangi2693 6 жыл бұрын
Uko saii maana matokeo ya kupiga kura mnayo teyari mnatoa ulinzi mnawalipa posho alafu wawaangushe?
@felistamashinga123
@felistamashinga123 6 жыл бұрын
@@emilymsangi2693 anaongea vizr ila jimboni kwake kupo hoi......hajawahi kuonekana huyu
@sir.josephmbeya7017
@sir.josephmbeya7017 6 жыл бұрын
Nicko Simchimba .Wewe ni JINGA KABISAAA AISEEEE
@nickosimchimba8176
@nickosimchimba8176 6 жыл бұрын
Sir.Joseph Mbeya subir 2020 ndo utajua huyo Malaya mwenzio kama atarud..........huyo ni mnafik jimbon kwake toka achaguliwe amekuja Mara moja tu.....Wew mshabikie sana ila hapiti hata kwa dawa 2020
MLINGA BUNGENI: Awalipua BIKO na TATU MZUKA
9:04
Global TV Online
Рет қаралды 23 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
MBOWE- "WANAOKOSOA SERIKALI WANASTAHILI KUFA! HATUTAJENGA NCHI KWA BUNDUKI"
14:01
"Tusinunue Ndege Kama Tunanunua Machungwa" - JOHN HECHE
4:51
Global TV Online
Рет қаралды 284 М.
Mtiti Tena Bungeni... John Mnyika Afurumushwa Nje ya Bunge na Askari
11:16
MSIGWA KALIPUKA! "Tutapigana Makofi Hapa, Pesa Mmetoa Wapi"
11:52
Global TV Online
Рет қаралды 28 М.
HAPATOSHI! 'John Heche' Awasha Moto Bungeni Kisa 'Ufisadi'
6:34
Global TV Online
Рет қаралды 212 М.
Lema, Mnyika Waliamsha Tena Dude Bungeni
12:42
Global TV Online
Рет қаралды 369 М.