"Tusinunue Ndege Kama Tunanunua Machungwa" - JOHN HECHE

  Рет қаралды 278,693

Global TV  Online

Global TV Online

6 жыл бұрын

"Tusinunue Ndege Kama Tunanunua Machungwa" - HECHE
Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche, akichangia hoja inayohusu bajeti ya wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano iliyopo chini ya Waziri wake, Profesa Makame Mbarawa.
Mbunge Heche amesema hakuna mtu anapinga serikali kununua ndege au kufufua shirika la ndege la ATCL, isipokuwa ununuzi wa ndege hizo unatakiwa ufuate utaratibu na sio kununua kama vile yananunuliwa machungwa.
lnstal GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Пікірлер: 145
@nelsonmwaipaja3727
@nelsonmwaipaja3727 Жыл бұрын
Heshima kwa mama na baba mliotuletea jembe hili john Heche
@georgesamwelchacha7680
@georgesamwelchacha7680 6 жыл бұрын
Global TV online Asante sana Kwa kutuletea Habari mbali mbali zinazojili Bungeni
@samwelbinagi6129
@samwelbinagi6129 6 жыл бұрын
the only person who says the truth in the Parliament
@samwelmwale2089
@samwelmwale2089 6 жыл бұрын
Samwel Binagi safi sana kamanda nimekusoma
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 3 жыл бұрын
@@samwelmwale2089 Viongozi wote wa chadema na Bwege na zitto kabwe.
@kizitojessy
@kizitojessy 3 жыл бұрын
Tupo na lazima ya mabunge kama hawa uku Drc !
@hamisjingu90
@hamisjingu90 6 жыл бұрын
Heche nakuombea mungu...maana hakika ya kweli umeyasema
@egnokapinga4903
@egnokapinga4903 6 жыл бұрын
Jina la Mungu linaanza kuandikwa kwa herufi kubwa.
@anozacha611
@anozacha611 5 жыл бұрын
👍👍👍👍👍👍👍👍
@jacksonmacheye4712
@jacksonmacheye4712 4 жыл бұрын
heche oyeee
@malingazeboss9351
@malingazeboss9351 3 жыл бұрын
Wabunge kama hao serikari ya yangu haiwataki hatakidogo, mungu mpe kijana huyu uraisi anafaa sana
@pascarmwatosya5855
@pascarmwatosya5855 6 жыл бұрын
Safi sana kila ninapoona heche anasimama Bingen lazima nimsikilize hata Nichoke kiasi gani heche bigapu sana piga kazii
@samwelnyange3252
@samwelnyange3252 5 жыл бұрын
Huyu atawasumbua sana hawa mafisadi I like your speech broo
@dicksongodfrey4548
@dicksongodfrey4548 3 жыл бұрын
Nakukubari sana kaka mkoa wetu wa mara hatujawahi kuwa na kiraza
@festusmagafu9258
@festusmagafu9258 6 жыл бұрын
Safi sana. Mbunge unaejitambua. Mung akubariki Sana mbunge wet.
@raphaelhitler6411
@raphaelhitler6411 4 жыл бұрын
Fantastic brother Heche
@josephngasa9421
@josephngasa9421 3 жыл бұрын
Wabunge wapolaji wa Mali za wananchi mnajulikana kwa mtazamo wenu baada ya kuvujiwa kamati mbovu za ulaji wa Mali za wananchi zikaweza kuelekezwa kwenye maedeleo ya nchi mmeanza midomo yenu bungeni mungu hapedi mungu anawaona msiokuwa na uchungu wa nchi hii mtapata rana hamtarudi bungenio Amina
@jumamlimbende9862
@jumamlimbende9862 4 жыл бұрын
huyu mbunge ni wa wapi jamani sijajutia mb zangu nimempenda bureeeeee
@emmanuelgabagendi3169
@emmanuelgabagendi3169 6 жыл бұрын
Asante Sana kaka
@hashimukilunda829
@hashimukilunda829 6 жыл бұрын
Taifa zima lingekua na wabunge kama huyu kila raia angekua tajiri.
@malikjamal9032
@malikjamal9032 6 жыл бұрын
Bravo Mhe Heche
@martinkarata1097
@martinkarata1097 5 жыл бұрын
Chadema kuna vichwa wengine vilaza tu ✌✌✌
@inohboy5389
@inohboy5389 6 жыл бұрын
tunataka wabunge kama hawa
@adamumuki1242
@adamumuki1242 3 жыл бұрын
Jamaaa mkweli sana zlfkichwa
@shownewsdiamond1942
@shownewsdiamond1942 6 жыл бұрын
Ndomana naipenda chadema
@shadrackmwelela6935
@shadrackmwelela6935 6 жыл бұрын
Chibu Ally kweli kabisa,wabunge wa chadema ni makini sana sana.
@anozacha611
@anozacha611 5 жыл бұрын
Kama mimi ✌✌✌✌✌✌✌penda sanaaaaaaaaaaaa upinzani❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@anozacha611
@anozacha611 5 жыл бұрын
@@shadrackmwelela6935 👍👍👍👍👍👍👍👍✌✌✌✌
@kfastak
@kfastak 6 жыл бұрын
Nice
@abasibogga4798
@abasibogga4798 6 жыл бұрын
the trueth pain
@jameschubiri9453
@jameschubiri9453 6 жыл бұрын
Safi
@desderathalyamuya8856
@desderathalyamuya8856 6 жыл бұрын
Nguruma baba penye ukweli sema
@anozacha611
@anozacha611 5 жыл бұрын
👍👍👍👍👍👍👍
@oscartandula8644
@oscartandula8644 6 жыл бұрын
wenye mbunge huyu hongereni sana
@paulsantanatzee8301
@paulsantanatzee8301 6 жыл бұрын
wapinzani wanaongeaga maswala ya msingi sana bungeni safiii waambie wakusikie ila tatizo wasiojulikana wanawateka sana
@tonyfredy674
@tonyfredy674 5 жыл бұрын
Jamaa yukko vizuri sana.
@rashidsuleiman2663
@rashidsuleiman2663 6 жыл бұрын
ndege zimenunuliwa kwa kiki.
@aidangilles8136
@aidangilles8136 6 жыл бұрын
rashid suleiman fact
@saidicontractor1105
@saidicontractor1105 5 жыл бұрын
safi mheshima heche sema ukweli japo unauma wataelewa tu
@rasnchimbi
@rasnchimbi 5 жыл бұрын
Hakika!Mbunge mmoja wa upinzani ni zaidi ya wabunge 50 wa ccm.
@samsongisiri8913
@samsongisiri8913 6 жыл бұрын
Safi sana tata.
@paschalmathayo6619
@paschalmathayo6619 6 жыл бұрын
wabunge wa chendema wonte ni kiboko
@emanuelkilinga9196
@emanuelkilinga9196 3 жыл бұрын
Chendema
@samwelmwale2089
@samwelmwale2089 6 жыл бұрын
safi sana kamanda wambie hao
@philipowyinjones9645
@philipowyinjones9645 5 жыл бұрын
Nakukubali Heche
@imoryaugustino3444
@imoryaugustino3444 6 жыл бұрын
Nice Bro
@wilbertcharles9129
@wilbertcharles9129 6 жыл бұрын
Point tupu,chato kunaumuhimu gani kuliko Mara kujenga uanja
@raphaeldayos9188
@raphaeldayos9188 4 жыл бұрын
Kwa mkubwa
@leilaomarytumbua3998
@leilaomarytumbua3998 4 жыл бұрын
Wote wasomi chadema laha
@aloycemalya4701
@aloycemalya4701 6 жыл бұрын
Chadema tunavchwa kumamake yani mpka raha
@anozacha611
@anozacha611 5 жыл бұрын
Kula tano kwa👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊
@tazaremtula6801
@tazaremtula6801 5 жыл бұрын
Ccm wanamuabudu magufuli
@michaelmathew8309
@michaelmathew8309 5 жыл бұрын
Hahahahahahaha yaan umenichekesha mno
@petersanagaya2916
@petersanagaya2916 4 жыл бұрын
Kichwa cha matusi hadharani duuu balaaaa
@jabirihussein9811
@jabirihussein9811 5 жыл бұрын
chadema dam dam
@wilsonyeza8972
@wilsonyeza8972 3 жыл бұрын
Kweli mkuu
@vicentigiboregibore1007
@vicentigiboregibore1007 5 жыл бұрын
safi sana
@ellyjacob9897
@ellyjacob9897 6 жыл бұрын
shikamoo
@kibwanaramadhani5987
@kibwanaramadhani5987 5 жыл бұрын
heche like Dr ndlozi of south Africa Parliament "
@mtatiromgeka7270
@mtatiromgeka7270 4 жыл бұрын
Hapa nipo pamoja
@shadrackmwelela6935
@shadrackmwelela6935 6 жыл бұрын
ATCL chini ya huyu mkuu imeshikwa pabaya na viongozi makini wa UPINZANI
@babillonbyser8250
@babillonbyser8250 6 жыл бұрын
Mimi hata watoto wangu nina waaminisha chadema hakuna wajinga
@kelvinkelvin_tz3983
@kelvinkelvin_tz3983 5 жыл бұрын
una akili sana
@anozacha611
@anozacha611 5 жыл бұрын
Safi kama mimi👍👍👍👍👍✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌
@emmanuelnkuta8356
@emmanuelnkuta8356 5 жыл бұрын
Pole sana
@raphaeldayos9188
@raphaeldayos9188 4 жыл бұрын
Fact saaana
@mabengelenathanael9741
@mabengelenathanael9741 6 жыл бұрын
facts man hache
@abisolomonuyokachaguliwaac4048
@abisolomonuyokachaguliwaac4048 3 жыл бұрын
Akika mbunge heche nitakukumbuka kamanda.wangu
@mwanyanjecharles1331
@mwanyanjecharles1331 6 жыл бұрын
endeleeeeeeeeeeeeeni kuongea kuna siku mtasikilizwa tusife moyo ndugu zangu niko pamoja na ninyi wazalendo sio tu watu wanakaa tu humo kila hoja wao ni kupga meza tu na kusema ndio badala ya kushauri serkali to do somethng gud for our country nawapenda sana wasema kweli MUNGU yuko pamoja na ninyi ameeeeeeeeen !!!!!
@abisolomonuyokachaguliwaac4048
@abisolomonuyokachaguliwaac4048 3 жыл бұрын
Tunataka wabunge kama hawa Tanzania kama wa tano tunge kuwa mbali
@christopherduyas6505
@christopherduyas6505 5 жыл бұрын
Heche Nakutambua Sn
@martinusdamian3085
@martinusdamian3085 6 жыл бұрын
Ndg yangu Heche hakuna cha mistake hapo wala nn, hao masisiem yanafanya makusudi tu, wanakimbilia kununua mindege mibovu na hela wameificha sasa sijui tutuo wapi hela ya kupanda hiyo mindege yao mibomu
@sabathosaid7098
@sabathosaid7098 5 жыл бұрын
kweli pot MARA wametusahau saana na huu ni kutokna na ujinga wetu na viongozi waliopo madarakani hawajali
@yousufharthy6876
@yousufharthy6876 5 жыл бұрын
Duniani kote biashara kama hizi zinafanywa zaidi na mashirika mbali mbali ili kutunza mali binafsi. Kuzimanage vizuri najuu yahivyo nyingi hufeli na kupata hasara. Serikali haiwezi kuekeza pesa kwenye shirika last ndege na kutegemeya kufaidika hasa kwa vile asilimiya kubwa wasafiri ni Serikali yenyewe Ambayo hazilipi madeni yao. Nnaipa hii miaka 3 itafilisika
@gaspermassawe7397
@gaspermassawe7397 6 жыл бұрын
Kundi LA wezi Siku zote halisikilizi hoja za msingi kwani sana MANUFAA YA WEZI WAO.
@michaelkinga821
@michaelkinga821 6 жыл бұрын
hizo fedha zinazopatiwa halmshauri za maeneo husika zinazotangazwa Mara kwa Mara na migodi tofauti tofauti sio matunda ya marekebisho ya mikataba hiyo?
@hidayausanga382
@hidayausanga382 3 жыл бұрын
Mmmmmh
@allybakari7888
@allybakari7888 6 жыл бұрын
Nakuelewa sana Heche
@eliasmasamaki9319
@eliasmasamaki9319 6 жыл бұрын
Wape kubwa mzee
@josephmasindi7348
@josephmasindi7348 6 жыл бұрын
Kinachoniuma sana ni kwamba mbuga ya serengeti iko mkoa wa Mara lakini makao makuu ya mbuga hyo yako Arusha why jaman😭
@geofreyjohn1984
@geofreyjohn1984 5 жыл бұрын
This man is not Mediocre
@felicianbwinyende4884
@felicianbwinyende4884 4 жыл бұрын
Fact murah
@goodluckbarakc7603
@goodluckbarakc7603 3 жыл бұрын
Wanaangaliaa chamaaa wapee akiliii haooo
@ezekielmburu3418
@ezekielmburu3418 Жыл бұрын
Haha,today hizo ndege za Airbus ziko grounded due to faulty manufacturing
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 6 жыл бұрын
mitu ya Mara balaaa
@tatoorashedi1787
@tatoorashedi1787 3 жыл бұрын
Chadema wabunge mnao nakubari lakini rais hamna twende kazi
@georgesamwelchacha7680
@georgesamwelchacha7680 6 жыл бұрын
VITA NI VITA TATA NA KWELI WATU WA MARA TUNA MSIMAMO NA UMOJA KITU PEKEE KINACHO TUTOFAUTISHA NA MIKOA MINGINE
@dinomussa635
@dinomussa635 5 жыл бұрын
asanteeee
@chachajohn9835
@chachajohn9835 4 жыл бұрын
Mungu data tupiga nia
@michaelmathew8309
@michaelmathew8309 5 жыл бұрын
Kweli uwanja wa ndege ni muhim kwa Mara jmn
@magaumasiaga3120
@magaumasiaga3120 6 жыл бұрын
nikweli kabisa heche (taghamba)
@deusoden3614
@deusoden3614 3 жыл бұрын
Magau Masiaga Huyu si ndie aliitukana serikali ya kikwete kuwa nchi haina hata ndege.Kwa makufuri anadai makufuri ananunua ndege kama machungwa.Duh! nyie binaadam ni shida.
@tourevidal7439
@tourevidal7439 5 жыл бұрын
✌✌✌✌✌✌✌
@hellenmwakalindile9347
@hellenmwakalindile9347 4 жыл бұрын
We mwehu unaponda ndege halafu unataka uwanja utengenezwe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@adolfkambala3214
@adolfkambala3214 5 жыл бұрын
Hawa vijana makini wa chadema ni watu makini sana,utamfananisha na kibajaji.
@chriskimaro3614
@chriskimaro3614 5 жыл бұрын
kibajaji akili zake ni kama bajaji mbovu tu.
@katungenyanda6177
@katungenyanda6177 6 жыл бұрын
JPM usiwasilikize hawa wenu wanasumbuliwa na bangi ndege lazima zinunuliwe Kam njugu potelea mbali
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 жыл бұрын
Walibebwa kweli na magu
@amesadicki9142
@amesadicki9142 6 жыл бұрын
duuuuh
@petrosewando3539
@petrosewando3539 4 жыл бұрын
Ila we in mwanaume
@petrosewando3539
@petrosewando3539 4 жыл бұрын
Mwanaume
@nedkatunge5702
@nedkatunge5702 3 жыл бұрын
Hili nalo jinga jizi la ng'ombe halina lolote
@nelsonnmwaipaja6980
@nelsonnmwaipaja6980 5 жыл бұрын
2020 heche upo upstairs xana
@solomonsolomon3497
@solomonsolomon3497 5 жыл бұрын
Ccm haawataki watu Kama hawa wanataka wa kusifu na kuabudu nataman bunge lingekuwa na wabunge 200 wa upinzan inchi ingekaa vzr chadema wana vichwa hatar hachana wazee wa Ndiyo
@francisdaudisibuti1882
@francisdaudisibuti1882 6 жыл бұрын
Mula nigho wange kulala muyo
@kelvinchuwa2212
@kelvinchuwa2212 3 жыл бұрын
Kweli kunawatu wanaona mbali leo wanakukumbuka na wanawataka tena mabebelu
@hezronmwalyundu5305
@hezronmwalyundu5305 4 жыл бұрын
Viatu vinapanda vyakula bidhaa za ujenzi ccm unatupeleka wapi
@farihiayusuph6405
@farihiayusuph6405 5 жыл бұрын
we ndo mbunge ata uraisi unakufaaa
@bahatimellita6619
@bahatimellita6619 3 жыл бұрын
B60 tiari huko
@hamisabdallah3244
@hamisabdallah3244 6 жыл бұрын
ndege zinanunuliwa tu kama hamtaki ninyongeni
@fetyykisabo4747
@fetyykisabo4747 6 жыл бұрын
HAMIS ABDALLAH kiraza
@likandapahasani3139
@likandapahasani3139 6 жыл бұрын
Siku ukikuwa utaelewa
@yousufharthy6876
@yousufharthy6876 5 жыл бұрын
Hamis. Utaziona zikiruka tu huwezi kumiliki . Usafiri Dar mpaka Arusha ni Mishahara yako ya miezi 2 ikiwa unayo hiyo kazi
@williamchrispian1752
@williamchrispian1752 5 жыл бұрын
HAMIS ABDALLAH naamin umekoment kwakuwa una smartphone ila wewe ni kiraza tena hujielew wala Hujui matatizo ya hayo yanayo zungumzwa ngoja miaka 5 ijayo utagundua ubaya WA hayo yazungumzwayo lofa wew
@mossymotowazima4924
@mossymotowazima4924 6 жыл бұрын
vichwa ngumu hao.
@dadileonard2392
@dadileonard2392 6 жыл бұрын
Acha PumbA zakO ww Kwa kuwA Nyerere ndo katokea kule ndo kila maendeleo wapelekewe auco babA.
@hotnews2637
@hotnews2637 4 жыл бұрын
huyu ndo kiongozi bora kuria mkoa wa mara
@dismassamwel7130
@dismassamwel7130 6 жыл бұрын
Hakika maneno yako yataishi bro
@emmanuelmasele8734
@emmanuelmasele8734 5 жыл бұрын
Kaza mwendo kaka usijerudi nyuma.
@yassindeffu88
@yassindeffu88 5 жыл бұрын
magufuli Mimi nasema nunua endelea kununua hawa nikawaidayao kupinga maana hawa nivigeugeu
@fredybuha2872
@fredybuha2872 4 жыл бұрын
Wewe ni msomi na mtafiti mm nakukubari ila inji za Africa hwataki watu kama wewe hii ndio shida
@johnnyarara2711
@johnnyarara2711 4 жыл бұрын
Poti endelea kutetea mara imeachwa nyuma
@kinglance9816
@kinglance9816 6 жыл бұрын
heche mnyama trllioni 400 ni miaka mia nne
@georgejoseph8638
@georgejoseph8638 3 жыл бұрын
Tarime tunachagua vichwa
@devotamwenga4939
@devotamwenga4939 5 жыл бұрын
na kabudi ameondoka
@suleimanbakar1271
@suleimanbakar1271 4 жыл бұрын
wambie heche hao ccm ni panya buku tu
@abisolomonuyokachaguliwaac4048
@abisolomonuyokachaguliwaac4048 3 жыл бұрын
Msemakweli heche.msoma mmempiga.chin jembe.hilo mtamkumbuka
@moshilaurent9753
@moshilaurent9753 5 жыл бұрын
1 chad=200ccm unastahili kuitwababa.
@mohammedsalim6398
@mohammedsalim6398 6 жыл бұрын
Wanapita ARUSHA bw kuna mtalii anapitia Musoma mjini? Ndege tushanunua Hakuna jinsi nyingine. Hatutaki kukopa ni kanunua cash tu. Kwahiyo Nyie ndio mnayshauri mzuri tu? Hebu waacheni wafanye kazi wamalize mda Wao bw.
@michaelmuchomerson2658
@michaelmuchomerson2658 4 жыл бұрын
Mura sema mura, wewe ni wa mara nyerere raisi mwenye hekima duniani kote mara , rais obama the american president the best ever duniani ni wa mara hapo hapo ni mipaka tu imewatenganisha, kweli mara kuna vichwa, mara hoyeeeee, we hold the world hata kama hamutaki kujenga infrastracture. Mungu anatuonekania mura basachiii.
@martincosmas3144
@martincosmas3144 6 жыл бұрын
heche wewe jembe hogera wana gugulumatu kwenye maskio
@naslamgollo6405
@naslamgollo6405 6 жыл бұрын
Bogazi kabisa
@frenkjoseph472
@frenkjoseph472 6 жыл бұрын
Mimi naumia Sana mkoa wa Mara tuna maisha magumu jamani
@emmanuelsamwel7131
@emmanuelsamwel7131 6 жыл бұрын
Naslam Gollo mbwa wewe
@emmanuelsamwel7131
@emmanuelsamwel7131 6 жыл бұрын
good man be blessed
@benjaminpaul1450
@benjaminpaul1450 5 жыл бұрын
We ndo fala kbs
@hamisabdallah3244
@hamisabdallah3244 6 жыл бұрын
fety hata usiniwaze Mimi waza mambo yako ndege zina nunuliwa ndio sasa mtafanyeje sasa ukisema mi kilaza we hujui magufuli ndo akishaamua kaamua huyo we vipi
@msafirisalum8436
@msafirisalum8436 6 жыл бұрын
HAMIS ABDALLAH Broo shtuka usiendeshwe
@christophermahawa8509
@christophermahawa8509 5 жыл бұрын
Inaonekana wengine wanapoteza muda kwa kuongea point zisizo na tija. Sasa huyu heche anaongea nini! ATCya wakati huwo iliwahi kujiendeshakwa ndege za kukodi, ilifika wapi? Na baadhi ya waliokuwa serikalini wakati huwo ndo sasa wanajiita eti "Wakombozi wa Mtanzania". Kila masika na mbu wake, acheni serikali itekeleze sera iliyopitishwa na wengi mnamo Oct. 2015. Mlishindwa kutetea sera yenu, sasa tekelezeni hiyo ya wenzenu hadi Oct 2020 endapo mtafanikiwa kuwaimbia watanzania na kuikubali hiyo yenu, tutaona mweelekeo wenu.
@mohamediomary8439
@mohamediomary8439 2 жыл бұрын
Kwahiyo anachokiongea kwako si kizuri daah
Povu la John Heche Kuhusu Figisu Kwenye Mgodi wa North Mara
8:07
Global TV Online
Рет қаралды 160 М.
HECHE BUNGENI: "Waziri Huoni Aibu, Unafki Tu, Mungu Anajua"
7:31
Global TV Online
Рет қаралды 81 М.
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 6 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 791 М.
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
KITIMTIM BUNGENI! Wapinzani Waitwa Mbwa, SUGU Aliamsha
12:09
Global TV Online
Рет қаралды 129 М.
HECHE: Ziko Wapi Dola MIL 500, Bora Wakoloni Kuliko Nyie
4:55
Global TV Online
Рет қаралды 136 М.
"Mnachoma moto nyumba na watu bado mnawafunga? "- John Heche
10:36
Millard Ayo
Рет қаралды 191 М.
ZITTO KABWE: "Tulieni Niwapige Nondo, Hamna Pesa Nyinyi"
8:01
Global TV Online
Рет қаралды 661 М.
JOHN HECHE AWEKA WAZI CV YA MSUKUMA PAMOJA NA LUSINDE (KIBAJA)
3:03
Chadema Media TV
Рет қаралды 8 М.
SUGU: "Please Don't Shut Me! Tubishane kwa Hoja na Siyo Bunduki"
11:24
Global TV Online
Рет қаралды 466 М.
HECHE AILIPUA SERIKALI - "Mnatudanganya, Sitetei Mwizi, Watu Wanateseka"
7:59
“Watu wanauawa, msifikirie Watanzania hawaoni”-John Heche
9:21
"Serikali Inaiba Hela, Sifuti Kauli na Siendelei Kuchangia" - NASSARI
4:45
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 6 МЛН