Nampongeza sana Job Lusinde, Hongera. Nampongeza pia Spika wa bunge Bw. Job Ndugai, anaendesha vikao kwa ustaarabu, bali wanamlazimisha kufanya hayo ya kuwatoa nje. Maana vyama vingine usipokuwa na vituko hupewi uongozi.
Very Nice Mnyika Bunge la kiboya umejaa ushabiki tu
@haido.993 жыл бұрын
Daaaaah huyu jamaaa naongea poit 😍😍😍😍RIP JPM
@apolotemba69934 жыл бұрын
Kweli kabisa
@salimnangawe69843 жыл бұрын
Dah! Bunge linaongozwa kwachama hii noma
@roslynerasto77924 жыл бұрын
2020!!!? Ahsante Sana umeme vijijini☑️☑️
@francismasero30534 жыл бұрын
Nice advise
@sarahmgaya98533 жыл бұрын
Safiiiiii
@agathamathias11496 жыл бұрын
Lusinde Nakuelewa Sana Uko Vzr!
@johnkatindasa8857 жыл бұрын
Wabunge, tumieni vizuri nafasi mnazopewa, kupiga kelele hovyo na kukiuka taratibu ni kujifedhehesha. Historia itawasuta.
@yaletbweye55654 жыл бұрын
Kaka uwa nakuelewa sana uyo Mnyika ajitambui
@AmirliAmirli-p1z2 ай бұрын
Hii ndy tanzania checheiiii tanzanian mungu ibariki tanzania
@bujiiclassic19646 жыл бұрын
Safi kabisa mwamba wa mtera
@kassimukipingu53434 жыл бұрын
Taarifa
@nicken32506 жыл бұрын
Safi sana mnyikaa...!!
@Mirror-pi2cs3 жыл бұрын
You will reap what you sow, here we're speaker
@inosentimjwanga21414 жыл бұрын
Big up xan mkuu
@josephkegombe11364 жыл бұрын
Mbunge was bunda we nishidaaa! Amakwer Mara duh
@kabilanzingalubare60837 жыл бұрын
Mhhhhhh ipo kazi
@paulshauri31516 жыл бұрын
hatariiiii
@fediliaulomi49694 жыл бұрын
Nimecheka sana
@agathamathias11496 жыл бұрын
Uko Vzr Kaka!
@fidelismasaka89127 жыл бұрын
safi sana kaka unaongea point .wewe nikiongozi unae tambua uzima Wa Shelia.
@valenakomba76866 жыл бұрын
Ndo maana zamani Nyerere alikuwa alikuwa haingizi wabunge wahuni ndani ya Bunge. Lakini sasa hivi vyama vingi ndo hivo tena hata vibaka wapo Bungeni bora tu wajue kutukana na kuongea utumbo , wenyewe wanajiita eti Wabunge Machachari.
@estermsangi23546 жыл бұрын
Ongeleeni swala LA ajira za walimu mbona hatusikii
@ezekiangailo63304 жыл бұрын
Walev wapo ccm ,wez ccm ,ata wavut bangi kama spika wenu hasira zimemjaa mda wote
@elvisjohn39627 жыл бұрын
sijapenda wabunge kutoka nje
@raphaeltv60517 жыл бұрын
hayo mabishano yanamchango gani kwa mtanzania wa hali ya chini huu ni upuuz
@yohanamsabila46534 жыл бұрын
Duh
@deogratiasgabriel85554 жыл бұрын
Aiseee nmecheka kisengeee
@monamedia43133 жыл бұрын
Wape ukweli wajitambue
@maribaitembe85827 жыл бұрын
mi namuomba ester akumbuke kua wananchi wa jimbo la bunda mjini ndoo waliompa ridhaa ya kwenda bungeni lkn amesahau kuwatetea anafanya sarakasi bungeni nakuomba ebu kumbuka wale wapiga kura wako waliokuawanasukumagari lako kutoka mahakami na ukawaletee maendeleo angalao hata miundombino
Naogopa kuelezea kuhusu bunge Mungu awasaidie tu maana
@zennaelsabry25397 жыл бұрын
safi sana mheshimiwa spika na lusinde
@sideboy31644 жыл бұрын
We ni mpuuzi
@ezekiangailo63304 жыл бұрын
Ndo maan mnaambiw mtawaliw upya tatz hamjitambui sa unapongez nn apo
@esthersteven28583 жыл бұрын
@@ezekiangailo6330 we unajitambua
@al-mamarial-mamari54574 жыл бұрын
Hawoooo hawataki wanaosema ukweli. Watu wazima ovyooooo
@danielsenga36184 жыл бұрын
Kwaiyo mnapoandika hyo ni bulaya no sawa mbna hamjielewi wandishi wa Global mnafeli wapi
@nikodemmwahangila33344 жыл бұрын
Mbona anasema twendeni alafu hamuelewi hii hatari Sana bulaya hawakusikii wenzio wametulia tu
@ndebilemathias82687 жыл бұрын
Bigger up Mr lusinde
@ibrahimpeter55854 жыл бұрын
Ndo spika wa Leo huyo
@benadetamwashala625 жыл бұрын
Saf sana mbunge umeongea point khs umeme vjjn yaan kwer vjna wavjjn wamejiajir kwakchmlea hawaji mjn
@hamzahaji1757 жыл бұрын
hongera sana mungu akupe nguvu wapizan awana jema
@keviisafikakmungumkubwambo43696 жыл бұрын
Hamza Haji ulikuwa wapi siku zote kiki hizo
@gabrielishmael59564 жыл бұрын
Mmmhhh ila CCM mnafanya intimidation asee...mnyika amekashfiwa kwamba ni mwiz(nimesikia na mimi)...ameomba kuthibitishiwa lkn spika umerusha kwamba huwez sikia yote..ila mwisho umemsikia Ester bulaya kwamba anawaambia wenzie watoke bungeni..ukiwa umekaa palepale ulipokaa tena kukiwa na kelele zakutosha.🤔🤔🤔🤔🇰🇪
@emmaemma90014 жыл бұрын
Hii ndo BONGO
@shabanisaidi34357 жыл бұрын
sema kwa utaratibu, watu waweze kusikilizana, hata konda akiita kwenye basi anaita kwa utaratibu
@nkanda75247 жыл бұрын
sure..
@sandefuda89226 жыл бұрын
Bunge la bongo full move
@nikodemmwahangila33344 жыл бұрын
Mnyika mbona mmechanganyikiwa Sana nyinyi wenyewe mmemuacha Mungu palwenu
@@musamloe4561 kinachoonekab acha kisifiwe kam ww unaon huon cha kusifia kaa kimya
@chachamwita65354 жыл бұрын
Empty
@sulleymansulley88526 жыл бұрын
we spika wa bunge una upendeleo
@justusgration86954 жыл бұрын
Ndugu wananchi Watanzania hao NDIO wawakilishi wenu Bungeni.Mwaka huu fanyeni maamuzi ya Busara.Sifa ya kiongozi Bora kwanza Nidhamu,Utii, nk.
@ernestpaulo88194 жыл бұрын
Mwambie.ukweli
@thamiyuucute70986 жыл бұрын
Kumbe bunge taam😂😂😂haaa nlikuwa sjuii😅😅
@mjombaankoli75934 жыл бұрын
Mhuuu
@frankminja23436 жыл бұрын
Tendeni haki
@basilnyenza4957 жыл бұрын
Umejiponza mnyika hadi Umepewa kifurushi cha week ..Jifunzeni kanuni .Umeonywa utulie hutaki
@johnsonmarick455 жыл бұрын
Atulie kwa ujinga
@josefumnama37804 жыл бұрын
Duhhh
@ezekiangailo63304 жыл бұрын
Mnyika alitakiwa ajibiwe yy mwiz kvp ili mamb mengn yaendlee kun wabung waropokaj sana bungen
@fleythevoiceofficall53143 жыл бұрын
Nimecheka kisenge sana
@janetulumimboye92254 жыл бұрын
Tuleteeni na maji mbuyun Dodoma mana Nako ni kijijini
@edoboysabuni76175 жыл бұрын
Daa JMN
@hosearwechungura71646 жыл бұрын
Kama wapinzan n wez hebu tujiulze nan alfuchua wz/ ufisad?
@ezekiangailo63304 жыл бұрын
Makin kabisa
@angelinaally81384 жыл бұрын
Kweli umeme vijijini muhimu msisahau masaki ya Kisarawe huko Bado kunachangamoto .
@angelinaally81384 жыл бұрын
Ndio jamani muikhmbhke masaki ya kisarawe mjiunashindwa kuendelea kwasababu ya umeme haujasambazwa mitaani uko barabarani tuu mtukumbuke maana pia tunachangamoto ya barabar usafiri ni wapikipiki magar hayaendi yani huo kumesahsulika kwakweli mbunge mzaramo bajeti zake niza mgoma tuu maendeleo hakuna
@jeremiadaudi57804 жыл бұрын
Sipika bado unaumwa
@ibrahimgwasma2355 жыл бұрын
Siasa ni mchezo mchafu ,,, imagine hao ni watu wazima afu wanafanya vile ,,,so sad
@NaaalsGroup-us8bq Жыл бұрын
Sawa waacheni bungeni wenyewe maana wanajua ukweli lkn wanataka kukanusha