HAPATOSHI! 'John Heche' Awasha Moto Bungeni Kisa 'Ufisadi'

  Рет қаралды 209,726

Global TV  Online

Global TV Online

6 жыл бұрын

Ni mkutano wa kumi katika Bunge la kumi nna moja, unaoendelea katika makao makuu ya nchi mjini, Dodoma.
Kinachoendelea Bungeni ni kipindi cha maswali na majibu, ambapo wabunge wanapata fursa ya kuuliza maswali naa kujibiwa na wahusika akiwemo Waziri wa nchi, ofisi ya rais, Tamisemi , Waziri Jaffo pamoja na naibu waziri wake.
Ambapo Mbunge wa Tarime, John Heche, amesimama na kuuliza kuhusiana na bei ya vitambulisho vya uraia vinavyotengenezwa na mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA), kwa kulinganisha na bei ya vitambulisho vya kupigia kura ambavyo anadai ndivyo vyenye gharama kubwa zaidi, lakini bei yake ni ndogo tofauti na hivyo vya Nida.
Subscribe muda huu / uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi
FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Пікірлер: 74
@joshuabryson8044
@joshuabryson8044 3 жыл бұрын
Tutawamisi sanaaaaaa 2021
@madarakachristian4963
@madarakachristian4963 5 жыл бұрын
Mh john heche nakukubali saana
@peterisaack8554
@peterisaack8554 6 жыл бұрын
Nakukubali sana Mbunge Wangu
@mengicacoconut8144
@mengicacoconut8144 6 жыл бұрын
Uko juu@heche
@emmanuelmesiack2654
@emmanuelmesiack2654 5 жыл бұрын
Usimjibu mpumbavu sawa na upumbavu wake asije akajiona mwenye ufahamu/mwerevu... Bravo heche
@yahayachinguile3000
@yahayachinguile3000 4 жыл бұрын
EMMANUEL MESIACK una mahanisha
@getaromagaiwa7918
@getaromagaiwa7918 6 жыл бұрын
mbunge wangu nakukubali sana!!!! 2020.!!!hakuna mpinzani kwako!!!!!
@yahayachinguile3000
@yahayachinguile3000 4 жыл бұрын
ujawah kuko. sea abadan heche up vizur bablah hechuu chariiiiiiiiik
@eliajimmy5128
@eliajimmy5128 6 жыл бұрын
ahsante
@amesadicki9142
@amesadicki9142 6 жыл бұрын
Allah akulinde Sana
@ndarogamba191
@ndarogamba191 5 жыл бұрын
Hadi hasira imepanda ghafla natamani nitembee na silaha hadharani niwatoe utumbo nje wote wanaohusika na wizi huu💪💪💪💪
@winifridagregory8185
@winifridagregory8185 5 жыл бұрын
uyo mbunge alie toa taarifa naona hajielewi hongera heche
@matalamoma166
@matalamoma166 5 жыл бұрын
Yani huy jamaa heche hajawai kuongea pumba
@brysonsabun4657
@brysonsabun4657 5 жыл бұрын
Simply the best opposition MP on my views #2019
@rehemadani3600
@rehemadani3600 4 жыл бұрын
Heche ni kamanda
@ishivamgimba3672
@ishivamgimba3672 5 жыл бұрын
hii nchi bila Wabunge wa chadema Haiwezekani ndomana kunajuhudi nyingi sana zakiwazimisha lakini nasema nchi hii haiwezi kwenda bila chadema na ccm imrfrli kabisaa
@veronicamnico7039
@veronicamnico7039 4 жыл бұрын
Umeona
@stevenlambo2810
@stevenlambo2810 5 жыл бұрын
hata sisi huku geita tumeandikishwa kitambulisho cha Taifa kwa kutoa pesa sh 1500/ kwa kila mtu
@fantsonmpango7742
@fantsonmpango7742 6 жыл бұрын
Wiz juu ya wiz mtupu ccm
@siddyoneonlinesi5433
@siddyoneonlinesi5433 6 жыл бұрын
sana baba
@hemedwow8802
@hemedwow8802 6 жыл бұрын
John heche=wabunge 10 wa ccm
@r-jay7404
@r-jay7404 6 жыл бұрын
Shamba LA Bibi.. Mlinzi Ngedere..
@noelgasto7989
@noelgasto7989 5 жыл бұрын
Kuna mbunge ametoa taarifa kma cjamuelewa hv
@lameckdavid7059
@lameckdavid7059 6 жыл бұрын
wape ukweli
@changwemanyama867
@changwemanyama867 4 жыл бұрын
Wewe heche ni zaidi ya lisu
@yaletbweye5565
@yaletbweye5565 4 жыл бұрын
Uko sawa
@OmarAhmed-ho3ko
@OmarAhmed-ho3ko 6 жыл бұрын
100%
@jacklinefrans2978
@jacklinefrans2978 4 жыл бұрын
Onge baba tunateseka sana watu wa morogoro
@errymwazembe2847
@errymwazembe2847 6 жыл бұрын
m. Heche sikuzote ulikuahujui kama nchi hi niyamazingaombwe
@sulleysonmishlaymishlay7233
@sulleysonmishlaymishlay7233 6 жыл бұрын
Na kweli kuna ufisadi wa halijuu ambao niwa kiakilisana
@bonabonala8253
@bonabonala8253 4 жыл бұрын
CCM comerd 2 ajiietewi Hugo CCM mwache heche kidume songeee
@raphaelmvungi2784
@raphaelmvungi2784 6 жыл бұрын
Nchi ya kisengelema hii ...ngachoka
@tumsifumunuo7428
@tumsifumunuo7428 6 жыл бұрын
Heche mamia kwa maelfu tuko pamoja na wewe walimpiga lisu risasi kumbe wako makamanda wengine wa chadema hatari wa kupambana na mafisadi
@ashiringota2713
@ashiringota2713 4 жыл бұрын
Tumsifu Munuo
@tumsifumunuo7428
@tumsifumunuo7428 6 жыл бұрын
Heche 1=wabunge 25 wa ccm
@ezekiamtwale1987
@ezekiamtwale1987 4 жыл бұрын
Hakika ndg hakuna pngamiz kwa hilo!
@zakayokihombo6298
@zakayokihombo6298 6 жыл бұрын
nikweli ufisadiupo ichini
@georgesongo3617
@georgesongo3617 5 жыл бұрын
Taarifa, hao ndio wabunge! Watawala wa Sasa.
@solomonmwakatobe9753
@solomonmwakatobe9753 Жыл бұрын
Ipo siku mungu ataiondoa ccm madarakani hatakama hampo madarakani endeleeni kuwapiga ccm mpaka kieleweke
@OmarAhmed-ho3ko
@OmarAhmed-ho3ko 6 жыл бұрын
sema baba
@onesmolwambano9349
@onesmolwambano9349 6 жыл бұрын
Huyu jamaa katufanya mazuzu na anapga kweli pesa yani mpaka inauma
@suleimanally3515
@suleimanally3515 6 жыл бұрын
hizo ndio biashara ikifanywa na bangi kichani
@philipomgovano7878
@philipomgovano7878 4 жыл бұрын
hivi huyu alisikika akimuuliza mh heche kuwa anatumia nini kuongea naye ni mheshimiwa, wananchi tuwe makin ili tuchague watu makini kama bb heche, taifa lisonge mbele!
@nyerere1259
@nyerere1259 5 жыл бұрын
Patriotic leader
@amanezekia4173
@amanezekia4173 6 жыл бұрын
Kufika 2020 tutakuwa tumenyoka
@ezekiamtwale1987
@ezekiamtwale1987 4 жыл бұрын
Cjawahi ona mbunge zuzu anaetoka ukawa,kiufupi wanatuwakilisha vyema wapga kura wao!
@mahirichristopher9455
@mahirichristopher9455 5 жыл бұрын
😂😂😂ati sitaki comedy apa, mkumbushe wewe unatoka Mara tena mkuria, hutaki masiala
@ceciliajimmy5652
@ceciliajimmy5652 6 жыл бұрын
Wakondya tata Heche!!!
@getaromagaiwa7918
@getaromagaiwa7918 6 жыл бұрын
Cecilia Jimmy 2020 unarudi tena mbunge wangu!!!!!!
@seniornyungu9718
@seniornyungu9718 6 жыл бұрын
Usifanfe COMEDI mzeee, acha MLINGA aendelee na utoto wake.
@daudmchile5277
@daudmchile5277 4 жыл бұрын
Kweli walikusanya hela kwenye mabango jaman
@yohanamgungu8505
@yohanamgungu8505 6 жыл бұрын
asnteeee
@ezekiamtwale1987
@ezekiamtwale1987 4 жыл бұрын
Kiukwel aslimia kubwa wabunge wa wanyonge na walio na uchungu na nchi yao ni ukawa!
@mtatiromgeka7270
@mtatiromgeka7270 5 жыл бұрын
sijui nihamie chadema na sbb utakuwa ww mura
@tonnsimbasportsclub7168
@tonnsimbasportsclub7168 5 жыл бұрын
Mtatiro Mgeka minimesha hama siku nyingi
@frankmkama5169
@frankmkama5169 4 жыл бұрын
Karibu mwamba
@gambaryekumwita2619
@gambaryekumwita2619 5 жыл бұрын
Watu kama heche kumi inakuw limited
@CasianRKomu
@CasianRKomu 5 жыл бұрын
hatari sana
@dekasiyusufu7334
@dekasiyusufu7334 5 жыл бұрын
ukosafiiiiiii
@siwemaalphoncy2452
@siwemaalphoncy2452 4 жыл бұрын
100
@kitokisospeter7247
@kitokisospeter7247 5 жыл бұрын
alafu mbona hata hivi vitambulisho vya Taifa vina ukomo? huu si uharibifu wa pesa? Mimi ni mtanzania, nimepewa kitambulisho cha utaifa kama mtanzania halali, je huu ukomo ni wa nini? je huo muda ukiisha, mtaleta vingine? kwangu mimi naona huu nao labda ni mradi wa mtu.
@masoudymichael1434
@masoudymichael1434 5 жыл бұрын
Tuwakilishe heche tunapenda kuona wabunge wa aina hiyo
@seifusaidimtikiti1798
@seifusaidimtikiti1798 5 жыл бұрын
Walijua lissu pekeake wapo wengi
@oscarmanase1768
@oscarmanase1768 5 жыл бұрын
Hivi waliomchagua msukuma wanaakili kweli wajichunguze upya kama ulimchagua na umeskia taarifa yake usimchague tena. Bravo heche
@omarymbuguni4164
@omarymbuguni4164 5 жыл бұрын
Sio msukuma bwana
@peniusmakaka6345
@peniusmakaka6345 4 жыл бұрын
unafaa sana
@wakarakunda3829
@wakarakunda3829 5 жыл бұрын
Police
@kilekeremson9821
@kilekeremson9821 4 жыл бұрын
Mlinga usitufanye vijana tukaonekane hatujielew
@dematicompanylimited5363
@dematicompanylimited5363 6 жыл бұрын
mafisadi wapo upinzani
@petromashauri4720
@petromashauri4720 6 жыл бұрын
yap kamanda
@gervancesafari9773
@gervancesafari9773 5 жыл бұрын
Good-fadheer
@faustinejemsi1488
@faustinejemsi1488 5 жыл бұрын
heche mm ni mwana ccm nimekukubali sio siyasa tena
HECHE BUNGENI: "Waziri Huoni Aibu, Unafki Tu, Mungu Anajua"
7:31
Global TV Online
Рет қаралды 81 М.
"Mnachoma moto nyumba na watu bado mnawafunga? "- John Heche
10:36
Millard Ayo
Рет қаралды 191 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 12 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
John Heche aongea yote kuhusu kutishiwa usalama wake
13:27
Millard Ayo
Рет қаралды 78 М.
SUGU: "Please Don't Shut Me! Tubishane kwa Hoja na Siyo Bunduki"
11:24
Global TV Online
Рет қаралды 466 М.
HECHE ATOA YA MOYONI, AKERWA NA UKIUKWAJI WA UTAWALA BORA
7:34
Mwananchi Digital
Рет қаралды 57 М.
RAILA ATAIBIWA AU- AFANYA HANDSHAKE || OMOSH JAKA BABA 1 HOUR
11:20
Eroo Mtetezi
Рет қаралды 1,5 М.
Sugu Amvaa Bashite, Ataka Ashtakiwe, Awaponda Bongo Muvi
11:55
Global TV Online
Рет қаралды 134 М.
ZITTO KABWE: "Tulieni Niwapige Nondo, Hamna Pesa Nyinyi"
8:01
Global TV Online
Рет қаралды 661 М.
“Watu wanauawa, msifikirie Watanzania hawaoni”-John Heche
9:21
KITIMTIM BUNGENI! Wapinzani Waitwa Mbwa, SUGU Aliamsha
12:09
Global TV Online
Рет қаралды 129 М.