MAPYA KUHUSU KIJANA ALIYEFANYWA MSUKULE NA NABII/AFUNGULIWA NA KUMTAJA NABII HUYO WA UONGO

  Рет қаралды 30,252

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 322
@bernadettekosani9465
@bernadettekosani9465 3 жыл бұрын
Yesu ni Muweza YOTE. Jina lake libarikiwe mile na milele. Amina
@tamaraeliz7114
@tamaraeliz7114 4 жыл бұрын
Mungu Mponye huyu kijana kwa Jina La Yesu. Mponye wewe Yesu Wetu. Pokea uponyaji kwa Jina La Yesu
@bernadettekosani9465
@bernadettekosani9465 4 жыл бұрын
Aksante Baba Mungu uliye hai. Nilisikia hii habari ya huu kijana. Nikahuzunika sana. Nikaanza kuomba Mungu ila amuunganishe na mtumishi wa Mungu ila amuombee. Mungu ni Mkubwa na Apewe sifa mile na milele.
@Enemyofallah-y4u
@Enemyofallah-y4u 4 жыл бұрын
Mungu akubariki mchungaji na tunamshukuru sana yesu kwakuwa mtetezi wawa nyonge ✊ glory be to God Jeovan.
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 2 жыл бұрын
I’m not kristienne,I’m Muslims InshaAllah I’m proud to be Muslim MashaAllah Jazakhallahu kheiri 🙏🙏🙏🙏🙏that’s so sad Allah tuepushe na mashetwani ya kibinaamu🙏🙏🙏🙏
@polinepoline2863
@polinepoline2863 4 жыл бұрын
Asante yesu kwa wachungaji kama Robert na Hebron Tanzania imebarikiwa.mungu aikumbuke nchi yangu Kenya
@jackmediaofficial
@jackmediaofficial 4 жыл бұрын
Nawakubali sana hao watu Hebron na Robert ni moto.
@mariachuhila9518
@mariachuhila9518 4 жыл бұрын
Kweli kabisa Dada Pauline MUNGU wa Hebron na Robart no MUNGU aliye ai
@AliMohamed-kd1uc
@AliMohamed-kd1uc 4 жыл бұрын
Mbona sasa mchungaji hamsaidii jamani naumia kuona anavyoumia
@elizabethawuor5402
@elizabethawuor5402 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana na akuinie zaidi usaidie eengi
@beatricen1228
@beatricen1228 4 жыл бұрын
Praise God oh God is good jacktan may God bless you I remember the story you did a good job thank you.
@rosaliembarikiwa592
@rosaliembarikiwa592 4 жыл бұрын
Thank you Lord Jesus for answering our prayers for this brother. Sifa na utukufu no vyako Bwana. Tunalihimifi Jina lako takatifu
@hamidahamida1473
@hamidahamida1473 4 жыл бұрын
Muongimuongo
@kabebowakabebo5889
@kabebowakabebo5889 4 жыл бұрын
Jactani asante Bwara Yesu ashukriwe na ubarikiwe kwa jina la Yesu
@winniemaganga5868
@winniemaganga5868 4 жыл бұрын
Mungu hachanganywi kaka, nimeona hiriz nyeusi kipindi anajikwangua kama anataka maombi akae katika ukuu wa Mungu, hakika atakombolewa
@messikihongosi5290
@messikihongosi5290 2 жыл бұрын
Inawezekana Kuna vitu anaficha wachungaji wawe wanauliza vizuri mgonjwa asifiche kitu hapo uponyaji hutokea haraka🙏🙏🙏
@lucywilson5875
@lucywilson5875 3 жыл бұрын
Nabariki kwa jina la Yesu! Kanisa zuri litajengwa hapa nawatu wengi wataokolewa hapa
@FatimahAlshehri-gt1gj
@FatimahAlshehri-gt1gj Жыл бұрын
Mungu anaponya muamini kwa roho ya kweli
@edsongoziberth3476
@edsongoziberth3476 4 жыл бұрын
Mungu awasamehe Sana hii inafurahisha Sana yaani wachungaji nao wameanza kupondana kama waganga wa kienyeji. Hakika kanisa la kweli ni moja tu (kanisa moja takatifu katoliki la mitume likiwa chini ya usimamizi wa Papa mkuu wa kwanza naye ni naani yule aliyeitwa mara tatu na kuambiwa wewe ndiwe Petro na juu ya Mwamba huu nitalijenga kanisa langu Wala milango ya kuzimu haitalishinda) Hasante Mungu kwa kunirudisha kwenye imani yangu baada ya kutangatanga nikitafuta msahada wa kiimani.
@winifridashoo410
@winifridashoo410 4 жыл бұрын
Edson Goziberth yani ni majungu Mengi kweli
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Maana ya papa unaijua???Tena ukatoliki ndo mashetani kabsa Yani unyamaze kwa mtu anaeitafuta kweli kuijua humwambii ukatoliki kwenda huko na kubatza watt wadogo mnamwita papa mtu duniani amekataza
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Alafu huyu ni harakati zake kumtafuta mungu ndo yakamkuta huyu dogo kwahyo kawaida tu kwa anaetafuta kweli
@blessedlovedandfavoured4129
@blessedlovedandfavoured4129 4 жыл бұрын
Ooh Lord THANK YOU.. NIMEKUWA NIKIMWOMBEA HUYU KAKA TANGU NILIPOONA USHUHUDA WAKE..... ASANTE YESU WANGU.... HONOUR, POWER AND GLORY BELONGS TO YOU LORD GOD ALMIGHTY
@nisilemwalwiba6554
@nisilemwalwiba6554 4 жыл бұрын
Tracy john Amina ndugu wote tuliubeba mzigo Kama wete
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Pole sana kijana,ila Mungu ataendelea kukusimamia na utapona kabisa.Amen
@valentinamjindo5374
@valentinamjindo5374 Жыл бұрын
Yesu nimwenye huruma naashindwi maombi ya Nguvu yanaitajika kwahuyo kijana
@henryosoro7696
@henryosoro7696 4 жыл бұрын
Unafanya kazi nzuri sana..mungu asifiwe sana
@hawamusumba431
@hawamusumba431 4 жыл бұрын
God u were our heal and protection thanks to deliver this young man
@lizzynkifu4179
@lizzynkifu4179 4 жыл бұрын
Nisikuache Yesu mpaka nizeeke sana sana.....Hakuna lakumshinda Mungu milele
@fransicamassawe8894
@fransicamassawe8894 4 жыл бұрын
Ubarikiwe,sana mtumishi
@vanessalwaga2068
@vanessalwaga2068 4 жыл бұрын
Ni kweli namuomba Mungu asinitupe anisamehe dhambi zangu zote za kilasiku neema yake ishuke kwa Jina la Yesu katika maisha yangu
@Bintimrembo-y1v
@Bintimrembo-y1v 4 жыл бұрын
Usimuache daima siyo mwisho ukizeeka
@AliMohamed-kd1uc
@AliMohamed-kd1uc 4 жыл бұрын
Amina
@zennahmtoto1867
@zennahmtoto1867 4 жыл бұрын
Namaombii ye2 pia utafungukaa kwa jina la Yesu kristo
@minjaminjaukovizurdogo5187
@minjaminjaukovizurdogo5187 4 жыл бұрын
Ameeni, mchungaji anacheka kama raha, jamanii
@glorynguma3593
@glorynguma3593 3 жыл бұрын
Acha kumtumia Kaka WA watu kama ndo kigezo cha kukuonyesha we ñi mchungaji WA kweli mfungue huyo kijana Acha kumuhukumu ata wewe simkamilifu
@ngwanafabian7532
@ngwanafabian7532 4 жыл бұрын
Japo ndugu yangu Jactan unafanya kazi nzuri sana nakushauri okoka na wewe maana umewezesha huyo kijana kupata msaada hatimaye Yesu amemponya kupitia Askofu Robert. Shetani asije akaipinga kazi yako.
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 4 жыл бұрын
Umejuaje kama hajaokoka?
@nyamogafamily4262
@nyamogafamily4262 4 жыл бұрын
Atafanyaje kazi zote hizi bila nguvu za YESU?? Kijana punguza upumbavu
@fadhili2293
@fadhili2293 4 жыл бұрын
Nyie sasa ndio mnatumiwa na shetani kuhamisha watu njia. Wewe umempimaje kama hajaokoka
@ngwanafabian7532
@ngwanafabian7532 4 жыл бұрын
@@fadhili2293 ni ushauri tu na yeye mwenyewe ndo alipaswa kujibu au kunyamaza.
@nswilayella3295
@nswilayella3295 4 жыл бұрын
Hata ningekua mm jackt siwezi jibu wokovu u ndani ya m2
@zennahmtoto1867
@zennahmtoto1867 4 жыл бұрын
Sema jina la pastor
@joycejoseph3690
@joycejoseph3690 4 жыл бұрын
Manabii wa uongo wanajulikana wala aitaji nguvu kumjua,wafrika wengi tunapenda miujiza,shetani ana uwezo wakukupa chochot ila kwa muda mfupi.
@restkalemile5274
@restkalemile5274 3 жыл бұрын
Bado hajapata uponyaji hapo.... bado hajafika mahala husika..... Yesu haponyi nusu..... tusidanganyane bana. watumish weng leo hawana imani.
@uswadipanja7573
@uswadipanja7573 4 жыл бұрын
Mungu akubariki much Robati. Na Huyo kijana aendelee kumtumikia Yesu kristo
@janengaga2928
@janengaga2928 2 жыл бұрын
Tawi lenu halipo mbeya.Mungu atusaidie
@faridashaban8853
@faridashaban8853 4 жыл бұрын
Mungu akuponye utapona kaka yangu
@MishiPapalan
@MishiPapalan 3 жыл бұрын
Huyo mchungaji mwanga mungu amshushie garka l
@dequeen460
@dequeen460 4 жыл бұрын
Pokea'uponyaji' katika'jina' la yesu .pole sana kaka' mungu' yu pamoja' nawe'
@فجرالروشدي
@فجرالروشدي 4 жыл бұрын
Mungu ulie juu mbinguni mponye huyu kijana kwa jina lako eeh mungu wambngn Yesu kist
@mackynicky8278
@mackynicky8278 4 жыл бұрын
Bado nguvu za giza zinamuandama ila kwa jina la Yes u shetani na mawakala wake watashindwa
@bahatikatembo1258
@bahatikatembo1258 4 жыл бұрын
Amen nime fwalia Sana history nashukuru mungu
@joycekaphevemba7215
@joycekaphevemba7215 2 жыл бұрын
Ila Mimi ningewashauri mtu qngeanzw kufunguliwa ndio ashuhudie maana anaendelea kutumia tuu na kuhojowa ni kwingi
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 2 жыл бұрын
Ameeeeeeen
@yoshuabosco4725
@yoshuabosco4725 4 жыл бұрын
Pole Sana kaka, BWANA YESU KRISTO atakuponya nakukuweka huru
@netekal1780
@netekal1780 4 жыл бұрын
Daah Ahsante Yesu, nilimuhurumia sana, nikawa naomba akutane na mtumishi wa kweli wa Yesu.
@josephinarichard8365
@josephinarichard8365 4 жыл бұрын
Mungu anawaona Hawa wachungaji ipo siku mungu atamfungua huyu kijana moyo wangu umeumia Sana mungu hawezi kukusahau mdogo wangu atakutetea tu siku moja
@japhethngosha4840
@japhethngosha4840 4 жыл бұрын
Inauma Sana Kwa Kweli
@susynjambi
@susynjambi 4 жыл бұрын
Bona msimuombee kwanza pepo imtoke ndio arafu atoe ushuhuda akiwa huru wajameni kijana anaumia
@ricagadau9802
@ricagadau9802 4 жыл бұрын
Yaan
@Bintimrembo-y1v
@Bintimrembo-y1v 4 жыл бұрын
Ndio ujuwe utapeli full hapo
@mwanaishamlima2047
@mwanaishamlima2047 4 жыл бұрын
Hahaha
@sakeenakenya6110
@sakeenakenya6110 4 жыл бұрын
Mm ndio nashangaa, afunguliwe mwanzo ndio atoe ushuhuda
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 4 жыл бұрын
Watajeni hawa wachungaji ni huyo robert kumbe tunashukuru kuwatambua
@milley7185
@milley7185 2 жыл бұрын
Mmetumia Sana huyo kijana wa watu mtamabadilisha atakuja kuwa mbaya Sana...
@winifridashoo410
@winifridashoo410 4 жыл бұрын
Kwan ukihubir bila kusema huduma nyingine mnadhurika nn km wanadhurumiwa omba Mungu akuinue uwatoe lkn sio kwa matangazo sio kwa kuwashawishi watu jmn
@violetkadenyi8504
@violetkadenyi8504 4 жыл бұрын
I degree and declare total healing upon his life in the name of JESUS.
@alphaleahibrahim8904
@alphaleahibrahim8904 4 жыл бұрын
jacktan mi nashauri tu kila baada ya siku 30 tunaomba uwe unatupa mrejesho uyu tumtumie kama case stud tujue maendeleo yake
@geofreylucas9469
@geofreylucas9469 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa na je kwasas anaendeleaje Hali yake
@abellmainge1023
@abellmainge1023 4 жыл бұрын
Huyo hajapona bado! Acheni mchezo ninyi wahubir
@edinajosephat2562
@edinajosephat2562 4 жыл бұрын
Fatilia. Hatua zake alikuwaje na sasa yukoje, usifikili maombi yanafanyika kama uganga wa kienyejj, Mungu huondoa tatizo hatua kwa hatua
@priscillakasoha4863
@priscillakasoha4863 4 жыл бұрын
mwenyzi mungu atukuponya kupitia mchungaji pokea uponyaji katika jina la yesu amen
@merrythadeo7387
@merrythadeo7387 4 жыл бұрын
Bado hajafunguliwa kabisa, huyo mchungaji nae anaongea sana badala ya kumuombea, tunatamani kuona hayo mapepo yamemuachia kabisa.
@Bintimrembo-y1v
@Bintimrembo-y1v 4 жыл бұрын
Kabisa
@AliMohamed-kd1uc
@AliMohamed-kd1uc 4 жыл бұрын
Na mm ndo ninachosubiria maana kila mtu alisema apelekwe kwa mch.Robert. mchungaji Robert si utende mambo tuone mapepo yakimtoka
@ngwanafabian7532
@ngwanafabian7532 4 жыл бұрын
@@AliMohamed-kd1uc mch. Robert haponyi anayeponya ni Yesu. Yeye anatumika kama fimbo tu pia si kila uponyaji unafanyika papo kwa papo wengine hufunguliwa taratibu kadri mponyaji anavyotaka. Mfano Yesu aliwakuta wakoma akawaambia nendeni mkajionyeshe kwa kuhani na waliokuwa wakienda wakaponywa ukoma wao.
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
🙄
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
@@AliMohamed-kd1uc 😜😜😜😜😜😜
@dawhiteschola8847
@dawhiteschola8847 4 жыл бұрын
Nimefurahi Sana kumuona kijana wetu kumfikia mtumishi hatimaye yote yataisha na atapona kwa jina la yesu
@geofreylucas9469
@geofreylucas9469 4 жыл бұрын
Kwasas huyu kijana anaendeleaje sas
@oscanyakunga9674
@oscanyakunga9674 4 жыл бұрын
Mungu Yu mwema aise
@vailethjovinali2804
@vailethjovinali2804 3 жыл бұрын
Mungu amekuponya atukuzwe
@muaminhakizimana1671
@muaminhakizimana1671 4 жыл бұрын
Asante nakumbuka mateso alipitiya nimengi
@adelinadaudi5607
@adelinadaudi5607 4 жыл бұрын
naomba nambr
@joylynenalija4795
@joylynenalija4795 4 жыл бұрын
Yak 5:14,Isaya 10:27. Haya maandiko yote yanazungumzia MAFUTA. Yesu alisoma ktk chuo cha Nabii Isaya Roho wa Bwana yu juu yngu amenipaka Mafuta....... Daud alitiwa Mafuta na Samweli.Wafundishe wasome biblia,Neno litawaweka HURU. Wakilijua Neno hawatayumbishwa,kwa hyo hayo mafuta yakitumika tofaut na Neno linavyosema itakuwa rahis kwao kufaham kuwa hzo ni roho zidanganyazo. Lkn th way unavyoongea ni km mafuta ni kitu kibaya. Wafundishe KWELI waijue. Kumbuka shetan anaijua biblia vzr sn ndio maana anageuza maandiko. Wakilijua Neno hawatadanganyika🙏
@HappyHappy-bz2bv
@HappyHappy-bz2bv 2 жыл бұрын
Yesu aliposema nimepakwa mafuta manake uweza
@medadiissa324
@medadiissa324 4 жыл бұрын
Huduma zipo 5 na kila huduma ina fake yake, yaani siyo swala LA mzaha tafuteni kweli ya Mungu na Kristo wake!
@angelcharles7731
@angelcharles7731 4 жыл бұрын
Amen
@jeanmjimmy
@jeanmjimmy 4 жыл бұрын
Waambiye!!! Waelezeye!!! Wasilolijua watalijua🤤🤤
@lilyfrankkiambu8935
@lilyfrankkiambu8935 4 жыл бұрын
AMEN 🙏🛐
@marykilila8786
@marykilila8786 4 жыл бұрын
Sikiliza hadi mwisho utasikiya jina linajulikana na watu wengi,na limetajwa ,hapo hapo sikiliza vizuri Ni wakati wa manabii wa uongo kuwachwa wazi na YESU mwenyewe. YESU kazini sasaaa..
@bbguwu2410
@bbguwu2410 4 жыл бұрын
Amen
@godphreypriest9714
@godphreypriest9714 4 жыл бұрын
Km huyu mchungaji ana nguvu za Mungu,mbona nafsi ya mchungaji fake inamuattack Muta Karumuna mbele yake, Angalieni jamani,mnahatarisha uhai wa huyo mtu;Tusitafute umaarufu kupitia Zhao wa mtu, Msimuweke ktk media km hamjamuhudumia mnalitukanisha Jina la BWANA
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Kwanza kwa mchngj km mchungj wa kweli akimaliza Happ angembatza ndo ningeamn Sasa je amembatza
@messikihongosi5290
@messikihongosi5290 2 жыл бұрын
Yaani wahuni weng kira mtu na utafutaji wake Duniani
@paulinemutua2003
@paulinemutua2003 4 жыл бұрын
Amina Amina
@millyaketchmkenya2009
@millyaketchmkenya2009 4 жыл бұрын
Muombe kwanza awee uhuru wacheka na ywaa umia,sijapenda ataa kidogo,
@minjaminjaukovizurdogo5187
@minjaminjaukovizurdogo5187 4 жыл бұрын
Yan et ongeaongea mmh
@fatumanaliaka2210
@fatumanaliaka2210 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema Kwa jina la mwanae Yesu Kristo aliye Mwokozi wetu Amen
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Nafurah kuona watu km Ww
@prophetjfministry8717
@prophetjfministry8717 4 жыл бұрын
Sio wachungaji wote waongo na sio manabii wote waongo kingine huyo mtu bado ana mapepo huoni ana sisimka? Mfungue kwanza
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 жыл бұрын
NAAMINI KUPIGA MAGOTI YANGU NAKUOMBA MUNGU WANGU SIEZI AMINI BINADAMU ANAYE MUOMBA MUNGU KAMA MIMI ACHENI KULIPWA NA KUSEMA UWONGO HUYO PASTER AENDE HOSPITALINI NA KUOMBEA WAGOJWA WALIO LAZWA SIHAWO WASHAONGEA VILE WATADANGANYA WATU... 🇰🇪🇨🇿
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
Soma bible utaelewa vzr mfatilie uyu kijana utajua ukweli so usiongee usio yajua bible imesema watatokea manabii wa uongo na bible iyo iyo imesema watatokea manabii wa ukweli na wataponya watu na wazee wataoteshwa ndoto na vijana wataoneshwa maono na miujiza itafanywa bible imesema ivyo so usiongee usivyo vijua uyu dogo anaumwa kweli ajalipwa
@josephinewluis8871
@josephinewluis8871 4 жыл бұрын
"So then, you will know them by their fruits. Matthew 7:20
@jeremiahkamnde542
@jeremiahkamnde542 4 жыл бұрын
Is true
@felisterandrew8741
@felisterandrew8741 Жыл бұрын
Jaman had naogopa pole kijana.
@nyamogafamily4262
@nyamogafamily4262 4 жыл бұрын
Wao,Mungu mwema
@gablielsamwely1081
@gablielsamwely1081 3 жыл бұрын
Nafalijika kusikia ayo mtumishi
@brillianthalisi2259
@brillianthalisi2259 4 жыл бұрын
Wewe muombee kwanza hayo utayaongea tuu
@lawisaloyce7572
@lawisaloyce7572 4 жыл бұрын
Muombee kwanza apone atashuhudia sasa ndo nn nguvu zahuyo nabii zinakuaibisha.
@shabanirukundo4272
@shabanirukundo4272 4 жыл бұрын
Hivi wakristo nanialiewaloga kilakukicha mnadanganwa unazidi kumtajiricha huyo pastor mapasta wengi niwachawi hakunamtu atakae Fanya miujiza kwasasa unakutamajitu yamesoma lakini kusoma bibilia Yao hawajui unaibiwakilasiku waumini wakikristo
@graciew1780
@graciew1780 4 жыл бұрын
If there are genuine servants of God then not all water or oil fake. We just need to know who is real
@susynjambi
@susynjambi 4 жыл бұрын
Ni kweli
@adelinadaudi5607
@adelinadaudi5607 4 жыл бұрын
kwakweli kuna mungu
@jeenarimo1123
@jeenarimo1123 4 жыл бұрын
asante yesu
@neemamsigwa1333
@neemamsigwa1333 4 жыл бұрын
Huyu kijana bado mdogo sana shetan kamualibia maisha yake mchungaji mjaze imani kubwa kama ya abraham na imani anapona
@anitajacob3641
@anitajacob3641 2 жыл бұрын
Wachungaji wana mambo jamani
@Bintimrembo-y1v
@Bintimrembo-y1v 4 жыл бұрын
Awe makini hata huyu mchungaji amezidi majisifu yasiyo na hekima. Mtafute Mungu wako pekee, wengine wengi wako kibiashara. Muhimu muamini, soma Bibilia uongeze maarifa, amini UTASHINDA.
@ngwanafabian7532
@ngwanafabian7532 4 жыл бұрын
Hangaya huwezi kijiweka huru ukiwa kifungoni asipokuja mwingine mwenye nguvu kukufungua utaweza kusimama mwenyewe ukiwa huru. Ndo maana ya watumishi wa Mungu kukuombea. Mtu akifungwa na nguvu za giza moja ya kitu anachofanya shetani ni kufunga ufahamu wake. Kwenye ufahamu ndiko kwenye maamzi na hisia nk.
@zunirasalim7660
@zunirasalim7660 4 жыл бұрын
Mungu ampe shifaa insha Allah
@joycechaz2840
@joycechaz2840 4 жыл бұрын
Unajielewa sana love japo muislam😘😘😘
@zunirasalim7660
@zunirasalim7660 4 жыл бұрын
@@joycechaz2840 Asantee❤❤❤
@johnignas179
@johnignas179 4 жыл бұрын
Yesu alipowaponya wagonjwa hakujifu wala kutangaza pia haliwaambia wanafunzi wake msijisifu pepo wanavyowatii bali majina yenu kuandikwa mbinguni kumbukeni hukumu ya mungu ni kubwa tunaosoma neno tunaongozwa na roho
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Kwa mchungj wa kweli anauhubr dhambi na ubatzo manake toba hapo ndo kweli yenyewe lkn Hawa hamna kitu Sasa Mambo ya ujerumani yann hapo bukb
@minjaminjaukovizurdogo5187
@minjaminjaukovizurdogo5187 4 жыл бұрын
Mchungaji anachukulia poh naakati kijana wwatu anaumia, na anaxheka duu! Bwanayesu naomba umfungue huyu kka bila wwe hamna anayeweza kabisa
@selinalangu5045
@selinalangu5045 4 жыл бұрын
Jamani we mchungaji badala umwombee kwanza heeee!!!
@nundabe
@nundabe 4 жыл бұрын
Uyo kijana anatia huluma kweli😢😢amekosa ata pakukimbilia, Na huyo mchungaji hana lolote, hawezi ata kumuombea.... Maneno mengi huwezi ata kumuombea kwanza...
@phineruge3480
@phineruge3480 4 жыл бұрын
Fazike uko sahii, Kwanza angemuombea akishakuwa sawa ndo atoe Ushuhuda ni wapi alikotoka na wapi alipo na wapi alipoishia. Yote kwa Yote Mdg wangu Muta Pokea Uponyaji kwa Jina la Yesu
@neemamasiko2104
@neemamasiko2104 4 жыл бұрын
Walimshinda shetani pia kwa Neno la ushuhuda, hivo bas huo ushuhuda anaoutoa pia unaharbu nguvu za Giza, yuko sahihi
@yoshuabosco4725
@yoshuabosco4725 4 жыл бұрын
Hapa Arusha,manabii na mitume wa uongo ndio kwao wamepiga kambi
@zakiarama9909
@zakiarama9909 3 жыл бұрын
Hahahaha
@nashondaniel946
@nashondaniel946 4 жыл бұрын
Anaweza kupona Kwa jina la Yesu: halafu hayo maombi yanakuwa maombi ya Nguvu ya kufunga na kuomba katika Jina la Yesu:
@michaelcharles4810
@michaelcharles4810 4 жыл бұрын
Asante Yesu
@mercyrotich1589
@mercyrotich1589 4 жыл бұрын
Amen 🙏
@nashondaniel946
@nashondaniel946 4 жыл бұрын
Yesu jitukuze Kwa huyu kijana
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 2 жыл бұрын
Na kwanini mpaka mumuhoji sana hivyo mumuombeye kwanza apone baada yakupona ndiyo atowe huyo ushuhuda anateseka mumuombeye kwanza
@AbduRahman-os2vx
@AbduRahman-os2vx 4 жыл бұрын
Wakristo mtadanganywa sana kwa imani hiyo ndogo ya kuamini miujiza na sio kumuamini mungu watajirisheni mapestor wenu kwa imani zenu ndogo..
@melissateddybearcossan9506
@melissateddybearcossan9506 4 жыл бұрын
Acha Neno litimie maandiko yanasema siku za mwisho kutakuwa na miujiza na Manabii wa Uongo
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
Ata bible imesema mwisho wa dunia binadamu tutapewa uwezo wa kuponya watu miujiza kuoneshwa vision na wazee wataota ndoto so ww ujui kitu tuliaa
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
Ukiona manabii wa uongo basi jua na wa ukweli wapo sio kama nampendelea mchungaji apana ila bible imesema ivyo na wa ukweli wapo na wa ukweli wapo pia kikubwa imani yko kama kweli unamuamini Yesu basi Mungu lzm akuoneshe mchungaji wa kweli kupitia maono maana Mungu uongea na Sisi kupitia ndoto kama ujui jua sasa
@AbduRahman-os2vx
@AbduRahman-os2vx 4 жыл бұрын
@@euniceeunice7680 ww ndio hujui kitu,kwa maana imeandikwa hata kama ungekua na imani ndogo kama sisimizi ungejiponya mwenyewe,soma vizuri biblia yako...
@ngwanafabian7532
@ngwanafabian7532 4 жыл бұрын
Jamani waabudu majini nao wanachangia!? Uzuri wa waislamu wao wanamwabudu shetani mubashara. Tatizo kuna watu wanadanganya kuwa wanamtumikia Yesu wakati si kweli ni heri wakachagua moja kama waislamu. Wakristo vuguvugu wanaliharibu kanisa.
@FelixMwinuka-p3z
@FelixMwinuka-p3z 3 ай бұрын
Kuna umuhimu wa watu waelewe ni nani wa kuinuliwa baada ya uponyaji watu wanamwinua mchungaji badala ya Mungu
@julytito3891
@julytito3891 3 жыл бұрын
Haya manabii jmn sijui kama wataacha watu salama jmn
@christophermlaponi534
@christophermlaponi534 4 жыл бұрын
Atafunguliwa tu bila kujali ataombewa kwa muda gani, ili mradi ataombewa kwa uaminifu kwa jina la Yesu !
@kalamajulius6107
@kalamajulius6107 4 жыл бұрын
Lakin huyu pastor maranyngne namwona namtani nashuhuda ambazo simwamini nazo lakn nataraji anaendelea kubadilika
@josephinewluis8871
@josephinewluis8871 4 жыл бұрын
Glory Glory to the most High God 🙏
@rukiamwakinyo5324
@rukiamwakinyo5324 4 жыл бұрын
Anateseka sana😪
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Ee mungu mponye huyu mtt jamani imenisktsha Sana lkn Hawa manabii wa uongo mpk lini??
@morineinziani1080
@morineinziani1080 4 жыл бұрын
Emen mungu ainuliwe
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 4 жыл бұрын
Yesu alitupa maamlaka kubwa sn na zaidi sn alisema tutafanya zaidi ya yale aliyoyatenda duniani. Mpk sasa bado yapo mambo ambayo Roho Mtakatifu bado hajayafanya...Sasa ndg yangu uliyeitwa endelea kumtafuta Bwana na kumsogelea Yesu ili akutumie.
@blessedlovedandfavoured4129
@blessedlovedandfavoured4129 4 жыл бұрын
Mtumishi Jactan Mungu akuzindishie
@zaydesdery9202
@zaydesdery9202 4 жыл бұрын
hill kanisa likowap
@heaventvonline6791
@heaventvonline6791 4 жыл бұрын
Amen.
@nyereremaryogo1172
@nyereremaryogo1172 4 жыл бұрын
Pia mm nafikiri wangemwombea kwanza huyo pepo atoke ndo wawape huo ushuhuda, maan mtu bado mgonjwa hujamwombea unasikiliza nn sasa
@ProphetJofreyKaigarula
@ProphetJofreyKaigarula 4 жыл бұрын
This Pastor is joking
@daviddavid-gq8zp
@daviddavid-gq8zp 4 жыл бұрын
Nyerere Maryogo !!Sawa kabisa!
@daimavlog
@daimavlog 4 жыл бұрын
Ashamwombea si amesema alikuwa hakai, so alishamuombea ndo wakamleta hapa
@AliMohamed-kd1uc
@AliMohamed-kd1uc 4 жыл бұрын
Pr huyo Deo aje aokoke tu
Он улетел, но обещал вернуться...
00:30
ПРЕМИЯ ДАРВИНА
Рет қаралды 4,8 МЛН
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 32 МЛН
Family Love #funny #sigma
00:16
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 2,5 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
Part 3_USHUHUDA WA SHEIKH AMIR ALIYEKUWA USTHADH SASA AMEOKOKA
46:02
DANSON OMARI EXPOSING HOW JUDGES ARE PLAYING GAMES ON GACHAGUA
9:12
Он улетел, но обещал вернуться...
00:30
ПРЕМИЯ ДАРВИНА
Рет қаралды 4,8 МЛН