From Saudi Arabia,Dorcah Bonareri,mm naona Mchungaji uaje kabisa kabisa swala la nywele,mwenye anapinga si yeye alikutoa kuzimu,mtumikie Yesu kristo aliye kukomboa kutoka mikononi mwa shetani
@patrickpaandi6759 Жыл бұрын
Asante Man of GOD, Nime download mafundisho Yako nimejaliwa Neema na Rerema Kwa sababu Yako MCH.KATEKELA 🇺🇬
@salimarosematrida8399 Жыл бұрын
Mungu wetu akutiye nguvu saana uyaheneze duniani kabisa barikiwa
@mariakalama301411 ай бұрын
Asante kwa mafundisho yako mazuri na mkono wa bwana yesu uwe juu yako na endelea tumikia mungu ❤🙏
@kacerawamami12092 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho mtumishi wa Mungu na team yote ya promover. Ningeomba kama kipindi kingekuwa more than I hour kwani almost 20 minutes imeisha mtumishi Katekela akirudia mada ya nywele. Maoni yangu ni tuaache kurudia rudia hii story ya nywele, mtumishi amejieleza so kazi iendelee. Binadamu wengine hata ufanye nini kama wamegandia kitu hata ujieleze vipi hawatarithika. Mtumishi wa Mungu hayuko hapa kuturithisha bali kutufundisha maarifa tutumie tumshinde shetani na mambo yake yote. Mimi na wewe ni kumuomba Mfalme Yesu Kristu atulinde na amulinde kwenye njia hii..usikubali kutumiwa na shetani mpaka ukawa hutasikia mafundisho wewe tu ni kukosoa. Mwenye hana dosari basi atupe njiwe...sifa na utukufu kwake Mwenyezi Mungu
@sarahjacobs88142 жыл бұрын
Ni kweli na wale hawamwamini wasisikie
@elizabethopere27842 жыл бұрын
Ni kweli kabisa ...hawezi furahisha kila mtu.
@nemaodhiambo72742 жыл бұрын
Ktk msafara wa mamba kenge nao wamo wengine humu hawapo kwa ajili ya ushuhuda wapo kwasababu ya kumkatisha tamaa mtumishi Katekela na hawawezi kuidhihirisha Moja Kwa moja ndio hizo kasoro wanazozitoa wakati wote hakuna mtu anayejua vyote tunajuwa Kwa sehemu na kuhitajiana ili mwili was Kristo Roho Mtakatifu pekee yake ndio anajua kila kitu.
@mary.matullu82792 жыл бұрын
@@elizabethopere2784 Hawaii kumfurahisha kila mtu. Hawa watu wanaofunga kichwa wanapenda kuhukumu kwa kila jambo mavazi na culture huwezi kubadilisha various la mhindi etc. Yesu Hana Mila ni wa kila mtu. Wanaohukumu wanajiona wapo kamili na watakatifu kuliko wengine
@neemamassame81832 жыл бұрын
Nadhani ni muhimu kujifunza kuliko kuhukumiana na kuhukumu wengine
@moraarebecca36272 жыл бұрын
You are covered by the precious blood of Jesus Christ. Press on .Am blessed and learning through you.God is great for ever more.🇰🇪
@beatricemutambala39722 жыл бұрын
Kwanini maswali ingine yakizushi kunyowa amenyowa vizuri na anaamani ya rohoni msifanye mtumishi wa Mungu kukosa amani kuhusu kunyowa nywele ame pendeza na iko vizuri
@sundayherrieth94602 жыл бұрын
Kwa kweli
@rhemaupendo57162 жыл бұрын
Amieli ni mtumishi wa Mungu wa kweli nimesikiliza shuhuda nyingi za wanaosema wameacha uchawi lkn sijaona ambaye amejiweka wazi kama yeye Mungu akufunike na akutunze sana baba.
@JeromeNkembo2 ай бұрын
Amieli Mungu aliekuokoa kuzimu hawezi shindwa kukuponya madonda ya kichwa ukinyoa nywele zote. Amini TU! (Tambua Kua Hakuna mtumishi yeyote waMungu aliye na hekima kuliko Mungu)Mungu akisema amesema!! Usinyoe pank ndugu!
@irenek72802 жыл бұрын
Mchungaji mungu amekupea moyo wa kunyenyekea akh for taking your time to explain nywele ...but I think devil is fighting this beautiful testimony with issues that have been already explained ....kuenda mbinguni ni mtu kibinafsi ...tupee huu ushuhuda masikio tuachane na maneno mengi
@hassanbukambu9312 жыл бұрын
Neno Mungu ni Kwa herufi kubwa au uandike Kwa kuanza na herufi kubwa ukiandika herufi ndogo inamaanisha shetani nae anaitwa mungu katika ufalme wake wa Giza
@irenek72802 жыл бұрын
@@hassanbukambu931 asante saana ....lakini Kwa kila kitu madhumuni ndio Mungu uangalia
@aaSs-yf8oq2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi kwa ushuhuda mzr......ila jitahidi ulinganishe nywele zako. Kumbuka ww ni mchungaji, usiifatishe namna ya dunia hii
@annacharles28422 жыл бұрын
Keshajieleza bado unaendeleza hilo hilo mbona uko hivyo wewe angalia usimnyooshee kidole huyo ni mtumishi wa Mungu. Hivi aliemuokoa akamtoa huko aliko kuwa unafikiri alimgharamia kiasi gani ?angalia ndugu usije ukajikuta kama Mariam dada wa Musa aliyemsema musa kuhusu kuoa mke Mungu alimfanya nini?usiangalie kibanzi cha mwenzako
@tamarali83252 жыл бұрын
Pastor Amieli nimekupenda bure. Usijali wanadamu wanasema nini. Hakuna Mwema kwa hii dunia. Barikiwa sana Pastor Amieli. Jacktan Barikiwa sana kwa kazi nzuri na ngumu unayoifanya. Much Respect
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@florencemueni11832 жыл бұрын
Thank u mtumishi wa Mungu Amiel na jacktan kwa kazi zuri mnayo fanya na Mungu hawabariki sna....Amen
@sophiamakani61332 жыл бұрын
Mutumishi anapendeza kwa kujibu maswali be blessed
@lindamongi63152 жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu, Roho Mtakatifu akuongoze kwenye usahihi unaotakiwa. Asanteni sana promover tv kweli tunatakiwa kuchangia ili injili iendelee.
@leahbhoke87182 жыл бұрын
Yesu nisaidie Baba yangu
@zeldamzena92952 жыл бұрын
Jactan umeuliza swali ambalo nilitaka kuuliza hayo mambo ya kunyoa kunyoa yanamaliza muda sana ili kuondoa utata c ni afadhali kuziacho kote tu..huduma yenu ni nzuri mbarikiwe sana.
@mariakibwana37002 жыл бұрын
Mbona kanyoa vizuri tu. Mtu ananyoa kulingana na kichwa chake Akinyoa vingine Mchungaji hatapendeza au labda kama kupendeza nidhambi hapo sawa
@mercysimba35692 жыл бұрын
Amilieli baba Mchungungaji tafadhali achana na mambo ya watu, utaanza mapokeo ya watu, sisi tunakuelewa na tunakupenda kama ulivyo na tunabarikiwa kuliko hao wanaosemekana wananyoa vizuri kwa mitazamo yao...kaa ukijua kwamba ukibadili nywele wataanza T-shirt utavaa shati,watasema suruali,mara viatu,mara saa achana naoooo...mnatupunguzia muda wa kupata madini ya maana...Kuna watu hata kupiga mswaki ni dhambi wasikutoe kwenye reli tafadhali
@aloycemary19682 жыл бұрын
😄 kupiga mswaki tena
@mwigarleysaid54062 жыл бұрын
@@aloycemary1968 😄😄
@gerryndyamukama90582 жыл бұрын
Dah umecomment vizuri saaaana😀
@philisrabby2779 Жыл бұрын
Vizuri Sana my sister
@monsterjohntex6896 Жыл бұрын
😊😊😊😊😊😊
@veronicahmui64192 жыл бұрын
Following from kenya.... hiyo ya kujua nyota yako ni gani tafadhali tufunze unaangaliaje
@saimonnickolaus25012 жыл бұрын
yaaani.nabarikiwa Sana .MUNGU AWAINUE SANA.LAKINI .NAITAJI KUJIFU ZA ZAIDI ENDELEA KUSEMA ILI TUTOKE KWENYE MAANGAIKO ILI TUFANIKIWE. ENDELEA KUTOA MWONGOZO WA NYOTA.
@pastorcarolicarlostokunmbo8262 жыл бұрын
Mungu awbriki kw kazi njema,mmi nangalia kutoka nigeria, style ya nywele haina shida hapa wachungaji wa kweli wa Mungu na jamii nzima haina shida na style hii tena sio swala linalozungumzwa na nafikiri ni mtazamo wa kimazoea yetu au mtazamo wetu kitamaduni zetu za tz ambayo pia ni vzr ni agano jipya hatufungwi na sheria ya torati.
@josephmutemi74942 жыл бұрын
Ameeeeen barikiwa sana mtumishi wa BWANA kwa mafundisho mazuri
@paulinanaaly83072 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu pamoja na promovertv mbarikiwe sana kwa kumwaibisha shetani pamoja na watendaji wake
@highzacknnko96852 жыл бұрын
" wapendwa watazamaji wenzangu jacktan anapambana kweli lakini tukumbuke kuchangia hela ili injili iende mbele maana haba na haba hujaza kibaba
@paulinanaaly83072 жыл бұрын
Kweli mtumishi Hili Lina hutaki nguvu ya Mungu awainue watu
@amonadriano93466 ай бұрын
Amina mtumishi wa Bwana wetu Yesu Kristo ubarikiwe kwa kutukumbusha
@amonadriano93466 ай бұрын
Amina mtumishi wa Bwana wetu Yesu Kristo ubarikiwe kwa kutukumbusha
@apostlerebeccamunguaniinul7073 Жыл бұрын
Asante kwa mafundisho mutumishi wa Mungu.tuombe Mungu sana atu jaliye neema yaku omba sana tusi naswe na Shetani
@linkreuben31082 жыл бұрын
Mbona nywele zipo sawa tu. Muacheni mtumishi achape Injili, Mungu kamtoa mbali! Wengine pambambaneni na hali zenu!
@neema123moris42 жыл бұрын
Yaan dah, sijui kwann watu huwa tunatafuta makosa, na kasoro kwa wengine.
@mercysimba35692 жыл бұрын
Ni mbinu za Shetani anatufanya tuwe busy na nywele badala ya shuhuda hadi muda wa SoMo unakuwa mfupi, ni kuwachanganya watu ti
@kacerawamami12092 жыл бұрын
Hata mimi ina bore sasa kwani mnafanya mtumishi kama mtoto wa kambo kila siku ni nywele tu zinanazo pewa heading
@servantofgod43402 жыл бұрын
Hao wanaokazana na nywele zake watakuwa wachawi.. wanahasira na mtumishi kwa kufichua mbinu zao. Kwahiyo wanatengeneza mazingira ua wakristo kumchukia mtumishi. Kwani amri 10 za MUNGU zinasema usinyoe denge au ni sheria za agano la kale. Wasile basi na nguruwe. Mbona sheria nyingi zipo za agano la kale. Wanachukua moja tu
@kacerawamami12092 жыл бұрын
@@servantofgod4340 ndio hivyo basi wasiishi duniani kwani karibu kila kitu shetani ametia mambo yake si nguo, hewa technology kila kitu..hii you tube mnafikiri uvumbuzi wake umetoka wapi..basi wale ambao wanaona dhambi kila mahali ni wahame wengine sisi tunaishi kwa kulindwa na damu ya Mfalme Yesu kristu hatuangalii nyuma na hatuna wasi wasi. Injili ya Mfalme wetu Yesu Kristu iendelee
@veronicaphabiani9997 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@leahenockmrina53812 жыл бұрын
Asante mtumishi wa Bwana Yesu Kristo
@lykerwillson72882 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana mchungaji nimejifunza vingi sana
@petermageta49872 жыл бұрын
Ahsante sana mchungaji katekela, umejibu vyema hilo swali la kunyoa ndenge kwamba siyo Mungu aliye kuambia unyoe vile ni hao washauri wako hawa kukushauri kimanandiko kumbuka Biblia inasema katika kitabu cha Yuda 1:5-6 Tena napenda kuwakumbusha, ijapokuwa mmekwisha kujua yote, ya kwamba Bwana,akiisha kuwaokoa watu katika inchi ya Misiri aliwaangamiza badae wale wasio amini (6)Na malaika wasioilinda enzi yao wenyewe, lakini wakaacha makao yao yaliyo wahusu amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu,kwa sababu hiyo mtumishi Mungu haangalii cheo utumishi Karama na mengineyo, hapana anachotaka Mungu ni uti katika NENO lake,1samueli 15:22-23 Barikiwa mtumishi wa Mungu kwa kunisikiliza.
@maloleproduction17692 жыл бұрын
Bwana Yesu akubariki Sana
@maloleproduction17692 жыл бұрын
Mwendelezo wake lini
@trintypetery18552 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa viwango vikuu sana
@irenek72802 жыл бұрын
Yaani watu watashinda Kwa swali ya nywele ...mm nangoja ushuhuda uendelee lakini mnarudisha MCH nyuma ...
@jameskotte-endtimegospel11 ай бұрын
Ndio jactan mtumishi hyo aliganishe nyele zake Kwa upendo Tu ...pia neno la mungu inatushauri hivo
@sharnamoreen81952 жыл бұрын
Even you people who comment wrong to him about the heir, remember he is choosen by God to teach you all you need to know, kwenye ametoka si wewe ulimtoa ila ni Mungu, so stop grumbling to the anointed ones. (James 5:9, Psalms 105:15) Lord be with us
@mercysimba35692 жыл бұрын
Tell them
@deomichael47982 жыл бұрын
Tunaishi kwa Neno la Mungu wote; bila kujali ni Mchungaji au siyo Mchungaji. Neno la Mungu ni agizo. Linasema likisema usinyoe denge fuata hivyo maana Neno la Mungu halibatiliki; na tena halimrudii bure Mungu. Kama ambavyo limesema mwanamke asivae mavazi ya mwanaume na wala mwanaume asivae mavazi ya mwanamke, ni hivyo, halibatiliki.
@mercysimba35692 жыл бұрын
wengine watasema tulijua kuona makosa ya wengine maana tulijiona sisi ni watakatifu sana kuliko wao maana hatukupaka hata mafuta,hatukula nyama,tukanyoa vipara na wengine kulinganisha nywele kwa rula zikawa afro tena tukavaa magunia maana jeans na suti ni anasa za Dunia,tukavaa na ndala , tukala mboga za majani za msituni au mchicha pori,nyama zote tukaona ni kama anasa, tukapiga mswaki kwa miti ya asili bila kutumia dawa za viwandani na Bwana atasema ondokeni sikuwajuaga, Moyo wa mwanadamu aujuaye ni Mungu peke na walio wake yeye ndiyo anawajua siyo binadamu yeyote,kazi ya mwanadamu ni kumkiri Yesu kumwamini yaaaani Kuokoka ,wokovu, na Moyo safi kheri hao maana watamwon Bwana, Kuna watu hujifunika gubigubi hata hizo nywele wanavaa vilemba huzioni ila kama huna Yesu ni kazi bureeee.. HUKUMU NI JUU YA MUNGU.
@mercysimba35692 жыл бұрын
Mbinguni huwezi kuingia kwa nywele wala huwezi kutokuingia kwa nywele, na hata akiwaridhisha kwa hizo nywele mtasema avue Pete ni dhambi, akivua Pete mtasema akiimba asicheze ni dhambi aimbe asitingishike ni wima, akiacha hayo mtasema asiwaite wachawi viroboto, akiacha mtasema asiseme kudadadeki ni dhambi..human beings are human beings ..and walokole wengi wanachangia watu kuacha wokovu maana mnawachanganya wanaona mbona hivi mnawafanya wajiine kwenye dhambi na hawastahili ilihali neema ya Mungu imewastahilisha. Wakristo Embu mjisikie vizuri kuona mtumishi anamtangaza Yesu na watu wanaokoka na wengine watakuwa watumishi watawahubiri wengine , mambo ya kifamilia muwaachie wanafamilia anababa wa kiroho na anawatii hawezi kutii kila mnavyotaka msimvuruge kabisa baba Emma.
@alistidiarugaitika35392 жыл бұрын
Mbona nguruwe mnakula!!kusengenya,wivu,uchoyo,uongo mmekazania kunyoa denge,kuvaa suruali mengine hayatazamwi
@fabianmkimbu8802 жыл бұрын
Mtumishi nyoa nywele vizuri maneno ya Mungu hayana kigeugeu,Bwana anasema tusinyoe denge.
@geitandelwa2992 жыл бұрын
Ni kweli anyoe vizuri
@mwigarleysaid54062 жыл бұрын
Kamwambie Diamond
@francisalcardo5442 жыл бұрын
Hello Promover Tv Bwana Yesu asifiwe ... Hakika tunabarikiwa sana kwa shuhuda .. pamoja na hivyo TAFADHARI utangulizi uwe mfupi ili kuacha muda wakutosha Mch.ashuhudie kimsingi muda ni mfupi sana Pili kama inawezekana ushuhuda huu urushwe mara mbili kwa siku... maana tunajifunza mengi
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Sawa, ubarikiwe sana
@lizynjeri18362 жыл бұрын
Nkumbuke kwa.maobi.pls nko na makubwa
@natujwamziray77492 жыл бұрын
Tunakupenda. Mungu habadiliki ktk NENO kwa sababu ya mtu. Nyoa zilingane. Ww ni mch. Ni mfano kwa msimamo ktt NENO
@johndelefa9732 жыл бұрын
Ni Muhimu Akawa Kielelezo, Huwezi Kunyoa Denge Halafu, Unasema, Amani tu ndio inakuhakikishia, Mh!! ZIFANYE HIZO NYWELE ZIWE ZINALINGANA, IKIWA UNALIJUA NENO LIISHI NENO, ACHANA NA MAWAZO YA WACHUNGAJI, FUATA NENO LINAVYO SEMA, NENO LA MUNGU NDIO KWELI.
@glodynkondo98002 жыл бұрын
mungu akubariki sana namushukuru sana mungu nyota yangu ni bahati na kupendwa mutu ote Ana nifuraiya ndo nyota yangu
@loyciousmapenzi Жыл бұрын
Amen 🙏🏻 🙏🏻
@georgekavishe44762 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana na ushuhuda huu
@mtumishijerrymwagobele65592 жыл бұрын
Káka jambo hili la unyoaji ili usiwakwaze watu na uwe na amani ziweke zote sawa utapendeza wachungaji hawana mbingu wasaidie wengine zote ziwe sawa usitumie muda mwingi kujitetea saana
@rusimackems98202 жыл бұрын
Ni kweli na mimi nakuunga mkono, kama alivyochoma ila kacha ya Tz na nywele afanye hivyo tu kama Jacktani anavyofanya. Kwasababu uelewa wetu uko tufauti
@geitandelwa2992 жыл бұрын
Ni kweli asinyoe zote anyoe ziwe sawa
@gerryndyamukama90582 жыл бұрын
Sidhani kama style ya nywele inampeleka mtu Mbinguni,hata kama angekuwa Rasta kama Samson. Cha muhimu ni kumpokea Yesu na kumkiri kuwa Bwana na Mwokozi wa Maisha yako
@mtumishijerrymwagobele65592 жыл бұрын
@@gerryndyamukama9058 pole soma biblia utafahamu usiseme sidhani hatuingii huko kwa kudhani ni kwa Neno limesema USINYOE DENGE PANKI NA WALA TUSIIFUATISHE DUNIA .
@rinaralph24172 жыл бұрын
@@mtumishijerrymwagobele6559 naomba mistari ya biblia inayoelezea hivyo
@witness87602 жыл бұрын
Jamani duniani kuna mambo, na hao wachawi tutawajuaje, mtu unaishi zako kwa furaha, kumbe ushaibiwa nyota zote! Mungu atusaidie🤩
@paschalinahharis96042 жыл бұрын
Haahaa
@tygggnzyj2771 Жыл бұрын
Hahahah 😅
@MazikujosephAndrew Жыл бұрын
Asante
@annamulenda66522 жыл бұрын
Asante sana Mtumishi wa Mungu
@ritasheriff78142 жыл бұрын
Ni mwenyenzi Mungu tu aliye na siri ya kufahamu yupi ataingia mbinguni. Si kazi ya wanaadamu kuhukumu maana sote tunangojea kuhukumiwa.
@prosmutonyi37062 жыл бұрын
Following from saudi arabia. Hili ni darasa sahihi.
@mishinema87192 жыл бұрын
Jamani tumuelewe mutumishi Kwa kunyoa kwake. Tuwe n Imani
@patrickpaandi6759 Жыл бұрын
Thank you so much Man of GOD Asante umenifundi ginsi ya kuomba
@basilisamsaka84692 ай бұрын
Wale mnaoulizia nywele naomba Mungu msiwe na roho ya kufisha
@nelsonsalumu30642 жыл бұрын
Mtumishi amiel Mungu akubariki sana kk
@jesusfirstchurch41622 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu nimejifunza mengi sana. Mungu akuimarishe
@jameskotte-endtimegospel11 ай бұрын
Ila nakuombea Amiel Yesu awe pamoja nawe siku zote
@rahabnkya82762 жыл бұрын
Mchungaji wewe una shuhuda za kufundishika vizazi HADI vizazi. Je umeweza kutengeneze vijitabu ili wengine wasome kwa ufahamu zaidi. Tuvipate WAPI WAPI , mtumishi. Asante
@Rich19952 жыл бұрын
Binafsi namshauri mtumishi wa MUNGU alinganishe pote kwa muonekano mzuri
@ndavadumayai42502 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho,mbarikiwe sana
@marymichael92052 жыл бұрын
Kaka jaktani kazi yako ni njema sana mungu akubaliki sana
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@mishinema87192 жыл бұрын
Mungu awabariki saw p TV Kazi nziri sana Kwa kumuleta mutumishi amieli katekela mungu awatie nguvu
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@patrickpole5544 Жыл бұрын
Mungu ni mwema,mafunzo yako nayafuata sana mtumishi Mungu.Nahitaji maombi just ya ndoto chafu,mara nyingi hujikuta kuzimu nikishirikiana na wafu,naokota pesa safi kwa macho na nikizishika huwa mchwa wamezila,ndoto za ngono na watu,wakati mainline naregeshwa shuleni na ni mtu mzima.mengi naweza saidikaje mtumishi?
@siyamasipitei81823 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙌🙌🙌
@frankinspired64862 жыл бұрын
Jacktan na mwalimu Amieli muendelee na kazi hii nzuri, hata zikiwa Part50 bado tutafuatilia, hii yenu ni Bible school tosha...
@tigerchristmas54912 жыл бұрын
Umeonaee yan kwakweli tuanbarikiwa sanaaaaaaaa
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen, sawa mbarikiwe, usisahau kushare
@neemamhongole2801 Жыл бұрын
Kabisa
@lukresiajohn39392 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu amniel
@gerryndyamukama90582 жыл бұрын
Sidhani kama style ya kunyoa inampeleka mtu Mbinguni. Hata Rasta anaweza kuurithi ufalme wa mbinguni kama amemkiri na kumpokea bwana Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake.wale Wote wanaomuhukumu mtu kwa staili ya nywele wana uelewa mdogo SAAAANA juu ya ufalme wa Mungu
@highzacknnko96852 жыл бұрын
Thibitisha kimaandiko!!!!!
@gerryndyamukama90582 жыл бұрын
@@highzacknnko9685 warumi 10: 9-12 Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu. Kwa maana andiko lanena, Kila amwaminiye hatatahayarika. Kwa maana hakuna tofauti ya Myahudi na Myunani; maana yeye yule ni Bwana wa wote, mwenye utajiri kwa wote wamwitao Bosi Tiketi ya kwenda mbinguni ni kumkiri BWANA YESU TU. Sio kunyoa nywele zinazolingana.
@djbless6201 Жыл бұрын
Weeee ogopa matapeli usijidanganye rasta kunyoa denge mbingu utaiskia
@dannyalon29672 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana
@skeetergodwins25762 жыл бұрын
Kweli mwanadamu ni kiumbe wa maajabu. Tunajisahau sana na ni wepesi kunyooshea wengine vidole. Mara nyingi walio wepesi kuhukumu ukifuatilia utakuta wana mambo wanayoyafanya gizani ambayo yakiwekwa hadharani hakuna atakayeweza kuamini. Na watu kama hao hupenda kujihesabia haki wakifikiri hawana hatia. Laiti Mungu angekuwa anafunua mioyo ya watu. Ni muhimu wakristo kujua kuwa Mungu aangalii kama mwanadamu. Hata wakati Mungu anamchagua Yusufu. Wanadamu hawakuona hivyo. WEngi walimtafsiri tofauti na Mungu alivyomuona. Mungu akawape macho ya rohoni na muache kuwa katika mwili. Mtumishi songa mbele, wala usisumbuliwe na watu wasiojitambua. Ikiwa hata Bwana wetu Yesu Christo aliyetufia pale msalabani alishindwa kueleweka na wakristo waliokuwa enzi hizo sembuse wewe? Kama wengine walimuona mwenye dhamibi wewe watakubakiza? Hata ukijieleza kila siku hawataweza kukuelewa hawa.
@deomichael47982 жыл бұрын
Tunaishi kwa Neno la Mungu. Hivyo kama ushauri uliotolewa upo sawasawa na Neno la Mungu katika Biblia; ni wa kuzingatia kwa nafasi yako, bila kujali aliyeutoa anauishi au la. Maana kila mtu atasimama kwenye hukumu peke yake na kwa saa yake Waebrania 9:27 Baada ya kufa hukumu. .
@margaretikambo56492 жыл бұрын
@@deomichael4798 Ushauri ni mzuri laki ushauri wa Roho Mtakatifu unamfaa kuliko wa binadamu. Ikiwa alimuomba Mungu na akamsikia, je wewe ulimwomba Mungu na akakupa ruhusa kumshauri? Ni vizuri ukamuomba Mungu aliyemtoa kwenye utawala wa giza na kumleta nuruni hata sasa unamsikiliza akupe kibali kabla hujasema lolote. Mungu akubariki.
@deomichael47982 жыл бұрын
@@margaretikambo5649 Siyo kweli. Kwani nani asiyejua kuwa uzinifu ni dhambi; sasa wewe unahitaji kuomba ili uambiwe uache au uendelee? MUNGU amesema wanyoao denge atawaletea msiba wao toka pande zao zote (Yeremia 49:32) Je hapo unakwenda kuuliza tena MUNGU wakati kesha sema? Mnacheza na moto ninyi. Au utakuta wengine humu mawakala wa shetani; kazi yao kupotosha.
@paulinanaaly83072 жыл бұрын
Mimi nimejifunza kitu kutoka kwa Mungu kuwa hakushindwa kumwokoa mtumishi wake hata kabla hajawa mchawi Ila Mungu anawapeleka wapelelwzi wake kuzimu kutuletea Siri ili tukae vizuri na Mungu na atukuzwa
@sophiamakani61332 жыл бұрын
Niombee nami mutumishi nyota yangu ikang,are
@fedhajoseph76872 жыл бұрын
Kweli kabisa tunawaamini promover tv . Tunaendelea kupokea kutoka kwenu.
@mauriciocristianomardes62952 жыл бұрын
Mungu awabariki sana, mimi nangalia kutoka mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@bettynase95552 жыл бұрын
Don't explain yourself to judging human beings who are also sinners...just preach Jesus.
@sallymumia84252 жыл бұрын
Glory to Jesus Christ, again.
@lovendernyimbusa1234 Жыл бұрын
Pastor tueleweshe kuhusu nywele za vichanga kukatwa na wakwe...hii Ina ishara gani
@basilisamsaka84692 ай бұрын
Amani ya Mungu iamue mioyoni mwenu jmn
@pillykasegu76792 жыл бұрын
Watu walio nyoa wanavyo jihesabiaga haki siku mkifika mbinguni mtashangaa sana
@mercysimba35692 жыл бұрын
We waache.. Mi nawazoom tu! Wao Wako busy na nywele acha si tuendelee kuutafuta uso wa Bwana mwenye mbingu yake.
Acha kiherehere na wewe wewe nywele zinakuzidia nini shika unachofundishwa
@annaandrea28122 жыл бұрын
Wewe ndio Mungu wake uliyemuokoa au? Kama ukiona zinakukera usimsikilize
@barakangata55082 жыл бұрын
Aminieli sheria ya yesu haiwez batilishwa na wachungaji
@mcharnathaniel34972 жыл бұрын
Wewe ndio hata hueshimu hata jina la Yesu unaliandika kihuni. Jina hili ni takatifu kuliandika tu anza kwa herufi kubwa ikibidi lote andika kwa herufi kubwa.
@highzacknnko96852 жыл бұрын
" Yesu alikuokoa kutoka mikono ya kuzimu na amekufanya kuwa mtumishi wake,sasa atashindwaje kukuponya hapo kichwani tuu,Mimi natamani unyoe kote levo kama gwajima au acha zikue zote pamoja kama mwakasege,nakuomba sana mtumishi samahani kwa kusema hayo
@mercysimba35692 жыл бұрын
Amilieli si Gwajima Wala si Mwakasege.Amilieli ni wa Katekela mtoto wa Yesu Mgalilaya inatosha.
@highzacknnko96852 жыл бұрын
@@mercysimba3569 "kwani hapo tatizo nini,nimesema kama mfano kwani nimesema sio mtoto wa YESU au mgalilaya? Nimetolea mfano gwajima ananyoa kipara na mwakasege anafuga nywele,sasa kama unawachukia endelea kuwa chukia mpaka parapanda ilie!!!
@mercysimba35692 жыл бұрын
Jamani Hallelujah! Nampenda sana Yesu aliyemuokoa Mchungaji Amilieli.
@skeetergodwins25762 жыл бұрын
Kwanini unataka awe kama Gwajima na Mwakasege?? Mhhhh! Kweli namshukuru Mungu mwanadamu sio Mungu. Kwanini unampimia kwenye kipimo hicho? Wewe ndiye uliyemuokoa? Wewe ndio mwenye mbingu?
@highzacknnko96852 жыл бұрын
@@skeetergodwins2576 kwani wewe ndie uliyemuokoa au wewe unaye mbingu? Au wewe umewahi kuninunulia bando unipangie cha kukoment!! Au umekuwa rais wangu
@petermalema5702 Жыл бұрын
AMEEEEEEEEEEN
@salimajosephine16732 жыл бұрын
Muda ambao muna ucukua kuongelea nwele watu wa Mungu tuweacho
@janendegwa17482 жыл бұрын
When God call someone He call with different calling so twende mbele
@nemaodhiambo72742 жыл бұрын
few people are here only just to harass him and bring negative energy misleading by Appearance 😏
Naomba Mungu nyota yangu kokote iliko ikanirudie katika jina la Yesus
@noelashaoona2 жыл бұрын
Part 14
@deborahcharles65072 жыл бұрын
Mtumishi Tunabarikiwa sana na ushuhuda wako !!ila kwenye neno hapana kuhusu unyoaji lipo dhaili na NENO LITASIMAMA hautakua na cha kujitetea katika hilo baba,umesema umehofia kupata kansa IMANI ULIYONAYO NI KUBWA SANA KWA WEWE KUHOFIA KANSA MUNGU ANAWEZA YOTE!!!,,NAKUOMBEA MUNGU AKUPE HEKIMA KATIKA HILO KWANI WEWE SASA NI KIOO !!
@AmosMuchimba-yp4nv Жыл бұрын
Mimi naitwa sharon n atoka kenya but natumia simu ya mtu so naulixa kuwa mimi nilikua nimenda job dubai na jordan nikarudi bila kitu na ninachukiwa 2 na watu ovyo bila chochote kuwafanyia so nashindwa ni fanyeje xaxa aki
@MchungajiNewton Жыл бұрын
❤
@editarichard35902 жыл бұрын
Mtumishi nyoa tu hizo nywele hizo ni sababu za kibinadamu Mungu anaangalia Neno lake haangalii sababu kumbuka wewe ni barua unasomwa na watu wote
@resurrectionandlifeministry2 жыл бұрын
Kweli
@PelagiaMayengo14 күн бұрын
na ww ni barua pia anza ww kunyoa usimsumbue mtumishi
@wilberforcewilsonmurage33652 жыл бұрын
Hallelujah
@sheledeshele10482 жыл бұрын
Mtumishi ukiwasikiliza watu sana wakati mwingine watakuelekeza watakavyo wao,ulikotoka ni mbali ambako hawapajui wao,umeshaokolewa kwa neema,upendo wa yesu umekuzunguka.wanaong'ang'anizia kwa jinsi ya kunyoa kwako hawayaelewi maandiko.we endelea kuangalia msalaba.hawaelewi kwamba ukiteleza leo shetani atakunyakua kwakuwa ulishavunja mkataba naye.
@mercysimba35692 жыл бұрын
Mtu analeta sheria za nyumbani kwake,sijui wanamchukuliaje huyu Yesu.
@sheledeshele10482 жыл бұрын
@@mercysimba3569 nashangaa!! Hawajui kwamba mungu anatusoma sisi binadamu kwa nia,ambayo hiyo hakuna mwanadamu awezaye kuiona.
@barnaba30372 жыл бұрын
MIMI NI DAKTARI NA MWINJILISTI NAKUSHAURI MCH.KATEKELA UNYOE NYWELE ZOTE ZIWE SAWA,ITAKUSAIDIA WEWE NA UTAOKOA WENGI PIA HAUTAKUWA KWAZO KWA WAAMINI
@mcharnathaniel34972 жыл бұрын
Tusaidie kwenye maandiko wapi imeandikwa alivyonyoa huyu mtumishi ni dhambi ili tujifunze kwa maandiko na sio kwa midomo tupu
@helenbahati80382 жыл бұрын
Mbona hii mambo na nyota inaniguza sana 😢
@jacobfrances64732 жыл бұрын
Haahaaah omba Mungu
@noelashaoona2 жыл бұрын
If you understand English this is atrology and zodiac sign horoscope
@elizabethdaniel26002 жыл бұрын
Mungu awabariki swali hivi kwanini kupiga Miayo na kusikia kichwa kizito hata kushindwa kuomba au ufahamu kuvulugika
@highzacknnko96852 жыл бұрын
" unatakiwa ukiwa unaomba uwe unaomba ukiwa unatembea tembea kila upande,maana unakuta familia inayo mganga mchawi au mizimu kwahyo haitaki watu wamjue na kumtumikia Mungu
@helenbahati80382 жыл бұрын
Ahsante sana mimi pia nimesaidika
@elizabethdaniel26002 жыл бұрын
Ok Asante
@kikosibenderajehovanisitea96882 жыл бұрын
Tunabarikiwa sana ila ushuhuda mnaweka muda mfupi sana kwann msiweke ata kwa masaa mawili? Kingine nikuombe mtumishi wa Mungu tusaidie kufundisha kwa kwenda ndani zaidi ili iwe laisi kumtandika shetani sawasawa, maana nguvu za shetani zipo kwenye kutojulikana... Na wakristo wengi hawapendi kujua sana kuhusu shetani badala yake wanajua saana kuhusu Mungu matokeo yake wengi wapo kwenye vifungo vizito saana kwa sababu ya kutokujua nguvu ya adui tunayepambana nae ana nguvu kiasi gani, na slaa kiasi gani na jeshi lake lina mbinu kiasi gani... Ivyo nikuombe zama ndani zaidi ili tujue adui yetu tumpigeje na kwa wakati gani na ili tuwakomboe wenzetu waliotekwa rohoni upande wa adui yetu...
@everlinekemunto2672 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho mtumishi, lakini basi ikiwa ulisema hiyo nywele kuna shida katikati, si ungeaja basi hata hiyo ya kando itoshane na ya Kati ndio uhepuke na maswali yetu,sababu pia kunyoa kipara pia sio poa,ni heri itoshane kama ya jactan kaka yetu.
@graceshayo13472 жыл бұрын
Jmn me ninachojua kuhusu kunyoa Wala hta tusilaum kidog kdg Mungu atakuw anamfundisha haiwez kuw sik 1 Mungu atamtokea amfundishe watu wameokoka miak mingi lkn bad wanavifungo ko taratibu
@geitandelwa2992 жыл бұрын
Mmmmh ili watu wasijikwae nyoa vizuri ziwe sawa shetani huwa anadai vitu vyake we nyoa nywele vizuri yaani zinatakiwa kuwa sawa
@deomichael47982 жыл бұрын
Kwa habari ya unyoaji wa nywele zako; ziache za pembeni zikue sawa na za upande wa juu na ndipo uwe unazisawazisha za juu kulinganisha na za pembeni; kwa kile kiwango ambacho za juu zitabakia na za pembeni zibakie kwa kiiwango hicho ama karibu sana na hicho.
@danielmapunda9012 жыл бұрын
Uwe na amani
@rosendanshau26742 жыл бұрын
Jamani wanadamu ni shida yesu alisema vema ni nini kumwambia umesamehewa dhambi au jitwike godoro lako uende. Mbona amenyoa vizuli wewe okoka
@natujwamziray77492 жыл бұрын
Balaaam alilazimisha ktk maombi ili akawalaani wana wa Israel alikatazwa mara kadhaa ila alikuwa na maoni yake. Akaruhusiwa , mapenzi ya kuruhusia. Ila haikuwa mapenzi makamilifu ya Mungu
@joelking3692 Жыл бұрын
Nilitaman kufahamu zaidi juu ya huyu pepo Alisema anaitwa Abadoni au apolioni shuhuli yake ni ipi haswa
@CaroBakx2 жыл бұрын
Don't forget to Like people!!!!!!!!
@tembelaabdalah41532 жыл бұрын
Tunashukuru mtumishi wa Mungu kwa shuhuda zote,ila ushahuri wangu kuhusu kunyoa nikwamba ungenyoa ukahacha ndogo ila ziwe zimelingana tu sababu yaku hepuka mshitaki wetu ambaye anatushitaki kwa MUNGU kupitia Biblia. Mambo ya walawi 19:27 itakuhukumu baba, kwahiyo MUNGU akusahidie na kukubariki