Part17_ACD(Ufanye nini kuimarisha mamlaka ya imani)|USHUHUDA WA ALIYEKUWA CHIFU WA KABILA LA KICHAWI

  Рет қаралды 66,017

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuchangia kila mwezi jiunge na magroup haya hapo chini na kama unataka kuchangia mara moja tu tumia namba ziko hapo chini :-
1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp....
3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 374
@neemamwalende9740
@neemamwalende9740 2 жыл бұрын
Asiye kuamini akalale,atuachiye YESU wetu aendelee kutuponya kupitiyaa Amieli katekera,ubarikiwe Jactan ,kazi iendelee.mlingoti chuma bendera chuma.
@officialmubytz1076
@officialmubytz1076 2 жыл бұрын
Sahihiii
@neemamosha8715
@neemamosha8715 2 жыл бұрын
Mungu Azidi Kukupigania Hakika kupitia ushuhuda huu Mungu amenifundisha Mengi niliyokuwa najiuliza sana, Tunashukuru kwa Maarifaa hayaa
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Gwajima Kila weekend anazunguka Kila mikoa ya Tanzania akitoa misukule mapangoni the man has great faith
@emmanuelsamwel741
@emmanuelsamwel741 2 жыл бұрын
Kabisa
@lucykapinga369
@lucykapinga369 2 жыл бұрын
Hakika Gwajima Jasusii la Mbinguni .Yesu Awatienguvu
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
@@lucykapinga369 yaaaaap masomo yake ni fayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@sharonwalubengo9507
@sharonwalubengo9507 2 жыл бұрын
Huyu jamaa anajua vitu vingi Sana from day one niki mu watch tu pap nika mpenda Sana God bless you pastor amieli
@MamaSharma-y9y
@MamaSharma-y9y 10 ай бұрын
Nashukuru Mungu akubariki kwakutufundisha
@Flavy_ao
@Flavy_ao 5 ай бұрын
Very sharp and smart guy, na ndo sababu adui alimtumia sana.
@apostleleshan2183
@apostleleshan2183 2 жыл бұрын
Tangu nianze kumsikilza mtumishi huyu nimeinuka sana kiroho . Mbarikiwe sana
@emanuelmargwe7087
@emanuelmargwe7087 2 жыл бұрын
Hii channel iko vzr Sana. Kuna video nyingine inaitwa milango 351 ya kuzimu. Aise Kuna ushuuda mzuri sana
@prayerwomen3444
@prayerwomen3444 2 жыл бұрын
kweli pastor sio kazi raisi kama tunavyo fikiria ila kwa uwezo wa Mungu tunaweza yote katika yeye atutiaye nguvu nimekuelewa
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 2 жыл бұрын
Mtumishi achana nao Mtumikie YESU KRISTU aliyekuita kwa utumishi Mwanadamu asikusumbuwe. Atengeneze naye ya kwake, Tuambie sisi tunakusikiliza Songa mbele 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@prudencesumbane2886
@prudencesumbane2886 2 жыл бұрын
Mch usivunjwe nguvu na comments ya ma agents wakuzimu , wana kundi kubwa, watakufatiliya munjiya tofauti, ionekane izosiri zakuzimu niuongo, tunaamini ni kweli , kwatarifa ya habari , Yesu haya wayi shindwa, siri zilisha toka ingeeee 💪💪💪🤪🤣🔥🔥🔥🔥
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
Hao wanasema ni kick ni wachawi
@barryhezron2764
@barryhezron2764 2 жыл бұрын
Asiyekuamini mchawi!!na ukweli wanaujua,anajitahidi kupotosha umma,amechelewa
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
Naendelea kubarikiwa ashante Kwa kufichua hizi Siri
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 2 жыл бұрын
HAKIKA YESU AMEJITWALIA MTAUWA WAKE MUNGU WA MBINGUNI ALIYE HAI NA MWAMINIFU AKUBARIKI NA KUKULINDA SIKU ZOTE MCH AMIELI
@modestarmuchiri5386
@modestarmuchiri5386 2 жыл бұрын
Anayeona wafanya Kiki naye aanze yake..... Mbona binadam tunakasolo kiasi hichi..... Mungu akujalie neema ufike viwango vikubwa....... Mtumishi
@teyllalugazia
@teyllalugazia 10 ай бұрын
Hii ndio maana ya watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, ukifanikiwa kusikia hizi shuhuda lazima upate maarifa ya kuku vusha
@marymatekwa6867
@marymatekwa6867 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe Sana mtumishi wa Mungu nakutakia nguvu kabisa kabisa kabisa ya kufanya kasi ya Mungu, may your life be prolonged natamani Sana kukutuma Ma Wewe ana Kwa ana nimekufuatilia Sana yote unasema nimeuona Nina Shida nahitaji unisaidie mimi niko Saudi Arabia kasi ya nyumba, ni mkenya WA western amani ya Bwana mtumishi endelea mbele ktk jina Bwana wetu YESU CHRISTO Ubarikiwe pia wewe Sana sana
@rmaryp6269
@rmaryp6269 2 жыл бұрын
Hao wanaosema unatafuta kiki, watakua ni wale wale wanataka kukudhoofisha ili usiseme siri zao.
@martinmaryogo3676
@martinmaryogo3676 2 жыл бұрын
ndo ivo yan ukiona wanakosoa ndo haohao hawatak siri zao ztolewe
@mchopaluka4319
@mchopaluka4319 2 жыл бұрын
Nawapenda sana. Nasubiri hiyo clip yenu na Omari kwani Omar nimejifunza sana kupitia yeye
@elizabethopere2784
@elizabethopere2784 2 жыл бұрын
Amen achana na watu wa ajabu mtumishi hata yesu alidhihakiwa...hawa ni binadamu tu
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 2 жыл бұрын
Mtumishi achana nao hao BWANA YESU ALIYEHAI amekutuma kwa watu wake Tunafunguliwa tunapokea Endelea kutufundisha, MUNGU ALIYEHAI akubariki na aendelee kukusimamia na PTOMOVERTV mtumishi Jactan mbarikiwe sana 🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤❤
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 2 жыл бұрын
Jactan ,nauliza hivi siku hizi kuna viti ,site ya mgogo ni virefu kama vya malkia siku hizi ,viko hata makanisani watumishi wanavikalia ,na kupita mkuu ,anaufahamu juu ya hivi huku Kenya 🇰🇪 viko sana kwa Church sana
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Unanifunza mengi Sana haswa Kwa Mimi ninae jiandaa kuenda kuihubiri injili ya YESU na kuzikomboa nafsi zilizopotea zikapate kurudi kwa YESU na kuingia mbinguni
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Mimi sikujui Mimi ni Mkenya lakini kwa Yale maneno mazito unayo ongea kuhusu kuzimu Mimi na kuamuni kabisa mtumishi achane nae usipoteze mda kujibishanae nae sisi tupo hapo tuna subiri uhondo
@frankwilliams2018
@frankwilliams2018 Жыл бұрын
Hivi ndio maana hakuna wachungaji wa uhongo kamavile inavyo sema Biblia katika vitabu hivi Exodus 7:11 Daniel 2:2
@debbohkawaka9222
@debbohkawaka9222 2 жыл бұрын
Kaka jaktani naomba umkutanishe omary mnyeshani. Na amiel watupe neno kwa pamoja ..
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 10 ай бұрын
Mchungaji ni Isaya 45 -3 sio mbili ubarikiwe
@lindamongi6315
@lindamongi6315 2 жыл бұрын
Mungu azidi kuwasimamia na kuwaongoza katika kuitangaza injili, piga injili Mtumishi kazi iendelee..
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Am blessed mutumishi wa mungu
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 2 жыл бұрын
waaah !!Jesus apewe sifa sana kupitia huyo dungu sana 🙏
@shilpakhtar7197
@shilpakhtar7197 Жыл бұрын
AMEN tangu nianze kuskiza huu ushuhuda siko km nilivyo kuwa pstr MUNGU akubariki na azidi kukulinda na mishale yote🙏
@salvinahassan8778
@salvinahassan8778 Жыл бұрын
Hila pastor, kufunga sio sababu ya kuumwa vidonda vya tumbo, wengine tumeanza kuumwa kabla ya kuwa tunafunga, tumeponea kwenye maombi
@RoseSimoni-hg4zd
@RoseSimoni-hg4zd 8 ай бұрын
Mtumishi mungu akutunze naomba uje morogoro utusaidie
@isayamashimango7872
@isayamashimango7872 6 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki mchungaji uduma ihendelee.
@johnmkama8074
@johnmkama8074 2 жыл бұрын
Jamayangu unapiga kwa uchungu kwani ulikuwa pabaya zaidi hivo bira kutumia neno la mamraka watanzania wamesha shikwa wengi Mimi nakuonea huruma sana kwani hawataki watu wajue juu ya huo ufalme wagiza ulivo teka makanisa VP kuhusu mama wa Mungu kwenye ule ufalme aliitwaje?tusaisie ili tujitwgue mapema Amina
@tigerchristmas5491
@tigerchristmas5491 2 жыл бұрын
shetani ni roho na anatumia mwli ili kukuvunja moyo.mtumish hyo aliekoment achana nae endelea kupiga injili you are serving the living God
@elizabethsimbenga4773
@elizabethsimbenga4773 2 жыл бұрын
Je katika maombi ya siku tatu huli hunywa maji au chakula
@owikesibonike
@owikesibonike Жыл бұрын
Sisi Tunakuelewa Tunapata Mabadiliko na Nguvu Mpya.. asiekuelewa Tunamuombea MUNGU amfungue ufahamu Kwa Jina La YESU..
@veronicankhwazi7954
@veronicankhwazi7954 Жыл бұрын
Wachungaji wengi wanaanzia chini mnooo ila wakianza kutajirika wanaonekana kama freemason ingawa zamani walisota mnoo hii imekaaje ?
@mariakalama3014
@mariakalama3014 9 ай бұрын
Amazing story May god’s blessings and continue to preach the gospel to the world through Jesus Christ 🙏
@demaa2183
@demaa2183 2 жыл бұрын
Naishiwa na maneno ya kuongea....barikiwa mchungaji...nazi tuombee tuongezewe na nguvu ya imani zaidi na zaidi....kutoka Kenya
@mary.matullu8279
@mary.matullu8279 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu wanasema ni Kiki ni wale wale wametumwa kuharibu ushuhuda.
@happytossi9053
@happytossi9053 Жыл бұрын
Kweli Kuna makanisa ya uwongo yapo mana hyo lugha uliyoongea Kuna nabii fulan huku ketu ananena malanyingi maneno hayohayo
@samwelsimon6842
@samwelsimon6842 2 жыл бұрын
kiukweli Mtumishi wa Mungu umenikomboa maisha yangu maana nilikuwa nimedumbukia kwenye dhambi na mitego ya shetani. Mungu wa mbinguni awabariki sana Promover tv na mzidi kutenda kazi ya Bwana . Amen
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
Vile nliskia ushuhuda wako nliweza kulinganisha na hiyo ajali ya kitui,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪mungu awalegeshe katika jina la yesu...
@morrismo8212
@morrismo8212 2 жыл бұрын
By the way mambo zingine zinaanza kuonekana kwa njia ingine.
@elimukwadada
@elimukwadada 2 жыл бұрын
Nimefurahi sana kuona mchungaji akiomba pale ajali lifanyika na kuvunja roho za mauti. God bless you mchungaji.
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
@morris Mo tumefunguliwa macho
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
@@elimukwadada me too akh I love this PST ministry
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 10 ай бұрын
Lakini kweli jamani inaumaaaa sanaa, mtu unamsaidia Badae unaonekana si kitu
@jeniphatemu2937
@jeniphatemu2937 2 жыл бұрын
KANYAGA MAFUTA PASTOR, KANYAGIA MWENDO WA KM 300 KWA SAA. TUNAKULA VINONO, TEMA CHECHE!!!😂
@millicentnaliaka
@millicentnaliaka 2 жыл бұрын
Hehee tunakuombea uende mchungaji nawao waokolewe kama wewe neno la Mungu linasema Mungu metupa roho yaujsiri sio yauoga sasa Mungu azidi kukujaza roho wake
@emmaculatenjoroge4698
@emmaculatenjoroge4698 2 жыл бұрын
Groly to almighty God I believe together with you man ofGod
@ingabireyimanabenitha.1182
@ingabireyimanabenitha.1182 2 жыл бұрын
Mtumishi vipi kuhusu wachungaji wanao tumia ma bodyguard kwajili yausalama wao Nawakati wanadai Kuwa wao ni manabii wakuu..Je Mungu hawezi kumlinda mtu bila hao maJAMA? Mbonawewe hauna? Me huwa najiuliza na sipati jibu.🤷🤦
@lucykapinga369
@lucykapinga369 2 жыл бұрын
Inategemea maana kunamapepo mengine yakipandisha Yanacharukaa Sanaa na kutaka Kupigana naon pia iyo sababu piaa
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 2 жыл бұрын
Mchungaji sasa unataka nini, wewe hubiri mungu tu baba ndiye anayejua. Yeye amekuookoa kabisa babangu. Wewe mungu akufikishe na MAENEO yote ya mkoa wa kilimanjaro kama mungu atakupankibali. Mim naamini mungu yuko pamoja nawe kabisa. HONGERENI san PROMOVER TV .
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Akujee tu jmn Moshi Kilimanjaro na Arusha tunaitaj piya YESU atufunuliee zaidi n Zaid jina la YESU litukuzwe 🙌🙌🙌🙌🙌
@anthonyyalanda1540
@anthonyyalanda1540 2 жыл бұрын
Wanaosema unatafuta kick hao ni Mapepo
@bupemwakihaba-lj2fb
@bupemwakihaba-lj2fb Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa mungu ,kweli wewe umeokoka ,mungu akufunike na damu ya yesu iwe juu yako
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Wasiyo Tala ukweli wachana nao
@johnshedrack3597
@johnshedrack3597 2 жыл бұрын
Aliesema amieli mch anatafuta kiki Mungu amrehem naye aokoke
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 2 жыл бұрын
Atakuwa moja ya mawakala au anjeti wa shetani.
@nelsonmgubali4672
@nelsonmgubali4672 2 жыл бұрын
Inatia MOYO Sana shuhuda hii Hongera Sana kaka jacktani msafili kwa tafiti nzuri
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@bupemwakihaba-lj2fb
@bupemwakihaba-lj2fb Жыл бұрын
A,c,d ni Nini naomba mchungaji anifafanulie nipo mbeya naitwa bupe nimeokoka nampenda yesu,na natamani kumuonea mtumishi
@yesuanikumbukejanuary8363
@yesuanikumbukejanuary8363 Жыл бұрын
fatilia vipindi vya promova tv mwanzo mpaka mwisho.
@johnshedrackjansohn8984
@johnshedrackjansohn8984 2 жыл бұрын
Sizani kama yupo asiye kuamini kama yupo akapime atakua na tatizo
@zawadimalecela3448
@zawadimalecela3448 2 жыл бұрын
Karibu sana tunangoja kwa hamu na shauku kubwa ya Kristo.
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 2 жыл бұрын
Nenda Nguruka na kilinge kimwone Bwana Yesu.
@judithherman6972
@judithherman6972 Жыл бұрын
Kweli mch huduma hiyo ni ngumu
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 2 жыл бұрын
Songa mbele mch Amiel wakati wa bwana ukifika hakuna wa kuzuia.asante Mungu kwa upendo wako kwetu👏👏👏
@joelegbert4343
@joelegbert4343 2 ай бұрын
Mchungaji unamaanisha nini unaposema LANGO, hapo mito mitatu inapo meet?? Hilo spiritual lango likoje likoje physically and spiritually???. Otherwise I am growing wonderfully by these knowledge of the WORD OF GOD!!
@Mshindi-f46
@Mshindi-f46 2 жыл бұрын
Jactan,jitahidi kupunguza maswali maana unamtoa kwenye point/mada
@marystellambogo2820
@marystellambogo2820 2 жыл бұрын
Songs mbele mtumishi wa Mungu huyo anayesema unatafuta Kiki ni hao hao mashetani
@airrising5632
@airrising5632 2 жыл бұрын
Be blessed mtumishi Jesus Messiah thank you Umenibariki
@tatumluv6054
@tatumluv6054 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mchungaji maana umenijenga shuhuda huu umebadilisha maisha ya watu wengi sana
@elimukwadada
@elimukwadada 2 жыл бұрын
Huu ushuhuda wa mchungaji Amielli upo sawa na WA Erica Mukisa wa Uganda na mume wake alikua msanii wa mziki Bamboo. Wanahubiri na kutoa siri nzito za kuzimu. Wako Kenya na story ya Erica Mukisa na mchungaji Amielli ziko sawa especially jinsi kuzimu inavyo kua.
@RebecaMaloda-xx2qm
@RebecaMaloda-xx2qm 9 ай бұрын
Amina Mungu akulinde
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 2 жыл бұрын
YESU Yuko pamoja nawe Mtumishi
@margaretngugi7444
@margaretngugi7444 2 жыл бұрын
Thank you, Jesus. Wow powerful...Jesus all the way.
@magedidasameenipasta6438
@magedidasameenipasta6438 Жыл бұрын
Mch.mngu wambiguni akubariki sana unazidi kutufanya tumshuhudie yesu aliyekutoa huko Imani nyingi zinaimarishwa ! Enderea shujaa wabwana usikatishwe tamaa
@ipyanadanny9959
@ipyanadanny9959 2 жыл бұрын
Nimejifunza vitu vingi sana kwako mtumishi
@marystellambogo2820
@marystellambogo2820 2 жыл бұрын
Songa mbele mtumishi wa Mungu achana nao wanaosema unatafuta Kiki wanataka kukudhoofisha ili usitoe Siri zao
@myself4128
@myself4128 2 жыл бұрын
Kumuona mtu sio Kumjua mtu yawezekana unamfahamu tuu kwa kumuona ila huwezi jua mtu hata ukiishi nae kama anaushirika na giza huwezi jua mpaka uwe Rohoni sana
@agnethpaul3596
@agnethpaul3596 2 жыл бұрын
Njia za BWANA HAKIKA haichunguziki, umeleta faraja Kwa wengi, MWENYEZ MUNGU AZDI KUKUWEKEA ULINZI WAKE.
@sadikibernald9519
@sadikibernald9519 2 жыл бұрын
Bwana msafiri hujambotena rirafikiyako kutokarwanda sadiki asantenisana
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@pastorpraisehappiness2157
@pastorpraisehappiness2157 2 жыл бұрын
Jameni nisaidieni vile navyoweza kumfikia huyu Mtumishi wa Bwana..
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Karibu anapatikna geita but now Yuko Kenya kiuduma j5 nd anarud tz
@pastorpraisehappiness2157
@pastorpraisehappiness2157 2 жыл бұрын
@@maryandason1815 ahsante sana ntakuja..
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
@@pastorpraisehappiness2157 karb sn hppy ila Yuko Nairobi mpk next week atkuw karud tz
@pastorpraisehappiness2157
@pastorpraisehappiness2157 2 жыл бұрын
@@maryandason1815 Ahsante sana kwa mwaliko..
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
@@pastorpraisehappiness2157 ok dear
@millicentnaliaka
@millicentnaliaka 2 жыл бұрын
Pongezi kwako mtumishi unangaa kweli endelea
@lucylyale7169
@lucylyale7169 Жыл бұрын
Mch Amiel usitetereke fanya kaz aliyokutuma MUNGU,,anayesema unatafuta Kiki yeye ndo anaitafuta,,kwa yote uliyoyaeleza hd leo kuna cha kujifunza kwa mwenye kuelewa kupitia wewe mchungaji ataelewa asiyetaka ataeleweshwa na roho mtakatifu🙏🙏
@Esthermordecai
@Esthermordecai 7 ай бұрын
Tunakupenda na tunakuamini mchungaji,wanaokupinga usibishane nao,acha Yesu Kristo akufunike mtumishi 🙏
@airrising5632
@airrising5632 2 жыл бұрын
Umejiponya
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 2 жыл бұрын
Hao wanao piga ni mawakala wa sheteni
@jovinjones4777
@jovinjones4777 2 жыл бұрын
Mtumishi Amiel Mungu akulinde sana, shuhuda kubwa sana hizi
@moseswakristo213
@moseswakristo213 2 жыл бұрын
Je aliye kamatwa mamlaka ya imani anaweza kukosa kuingia mbinguni
@mishinema8719
@mishinema8719 2 жыл бұрын
Hawo nmajeti wa kuzimu wasikusumbue mtumishi mungu yupamoja nawe
@elizabethlusato7363
@elizabethlusato7363 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi umenifumbua macho,nahisi nami nimefungwa maana kila ninalofanya halifanikiwi,mfano kilimo,ufugaji hats watu ninaowaongoza kifamilia hawanisikilizi hadi nitumie nguvu sana ndio watekeleze ninachowaagiza,..hivyo nimejifahamu siwezi kutawala ,mamlaka wala siwezi kumiliki,taf watumishi nahitaji support yenu ya maombi ya kufunguliwa
@igmndetitv309
@igmndetitv309 2 жыл бұрын
Kweli umenifungua binafsi ufaham sana na Mungu aendelee kukutumia kwa viwango Ameni
@ndavadumayai4250
@ndavadumayai4250 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu wee songa mbele ,kusema ukweli sio kazi rahisi lazima utapingwa,Bwana Yesu akutetee
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu 9 ай бұрын
mtumishi nabii hapati heshima kwao huyo ni wa tanzania,sisi wakenya tunakuamini tunamuona Mungu kupitia kwako,usichoke mtumishi endelea mbele na Mungu akutie nguvu,promover team msichoke kuchangamana na mtumishi injili isonge mbele
@leahbhoke8718
@leahbhoke8718 2 жыл бұрын
Yesu ni Bwana Mwokozi wa mataifa yote
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 2 жыл бұрын
BWANA awabariki sana watumishi wa YESU
@millicentnaliaka
@millicentnaliaka 2 жыл бұрын
Ni kweli mtumishi wewe Mungu amekutuma kwa kweli sasa wao wnataka kukuzima lakini aliekuchagua kuokoa watu ni Mungu na hawawezi kukupta teena hee Mungu ni mwem kweli mi nafurahia sana sana na siku ingine kweli mimi nawalika kitale kenya mrudi tena muendeleee kuokoa wengi
@tuntufyegwamaka2404
@tuntufyegwamaka2404 2 жыл бұрын
Mwenye masikio na asikie Mtumishi wa Mungu tunakuombea usikate tamaa na hao wanaopinga wasijue wanamsaidia shetani. Injili yako inasaidia watu wengi sanaa Mungu akubaliki
@tamarali8325
@tamarali8325 2 жыл бұрын
Mungu Awalinde kwa Jina La Yesu. Pastor Amieli Barikiwa sana. Kaka Jacktan Barikiwa sana
@edwardnjuguna4960
@edwardnjuguna4960 2 жыл бұрын
Mungu akumbariki kwa kazi unayo fanya tunazidi kuongeza imani
@pastorteddywaziri5754
@pastorteddywaziri5754 Жыл бұрын
Nakuunga mkono mchungaji.Kwakweli tunaomtumikia Mungu ktk nguvu za Mungu halisi na kujitoa kwakwe kikamilifu huwa tunapitia magumu mengi Sana isipokuwa wachungaji,mitume,manabii fake ndio huwa wana lerax.
@ntaweandre6600
@ntaweandre6600 2 жыл бұрын
Mtumishi watu ndivyo tulivyo wew chapa kazi sisi wengine tunatoka sehemu kwenda nyingine na ubarikiwe
@paschalpaul5793
@paschalpaul5793 2 жыл бұрын
MUNGU WA REHEMA ATUREHEM
@marymichael9205
@marymichael9205 2 жыл бұрын
Mtumish naomba msaada naota kwamba napambana na pepo ndotoni mala sauti inanikauka haitoki maana yake nini
@pammymoraamoraa6702
@pammymoraamoraa6702 2 жыл бұрын
Mtumishi Amiel wewe mungu akutunze uendele kutuubiria , mafundisho yako ni moto moto
@salvinahassan8778
@salvinahassan8778 Жыл бұрын
Nakuelewa pastor katekela, kumbe ndo maana tuliweza kumkomboa ndugu yetu mmoja, akakombolewa, alikuwa mlevi amehasi kbs Imani, tulifunga na kukaa miguuni mwa Mungu siku 3
@annaamadeo-ge2dd
@annaamadeo-ge2dd Жыл бұрын
Kwakweli ndani ya Kristo raha, namuona mtumishi anaraha isiyo ya kawaida. Ubarikiwe Mtumishi
@yelimeyelimeg4341
@yelimeyelimeg4341 2 жыл бұрын
Amen Amen. We have been blessed. Asante promover TV and mchungaji Amieli. Through all your testimony I trust that God atafungua ma- ndugu zangu ambao hawajamupa Mungu maisha yao kamil na wako katika Mateso za pombe na vingineo. How much is the total estimated cost to build the church?
@zeldamzena9295
@zeldamzena9295 2 жыл бұрын
Ubarikiwe ndugu kwa moyo mwema nimefurahia kwa kuwa mimi nami ni mtumishi napenda kuona watu wenye moyo wa kupenda kazi ya Mungu isonge mbele.
@neemamarko176
@neemamarko176 2 жыл бұрын
Barikiwa
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:57
EVA mash
Рет қаралды 3,7 МЛН