MAPYA YAIBUKA KIBOKO YA WACHAWI WAUMINI WAFUNGUKA KUPINGA MAAMUZI YA SERIKALI KUFUNGIA KANISA

  Рет қаралды 1,427

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

Пікірлер: 8
@charlesomollo-ui1np
@charlesomollo-ui1np 2 ай бұрын
Ameeeen
@charlesomollo-ui1np
@charlesomollo-ui1np 2 ай бұрын
✊✊✊✊✊
@clemencea.akambengwa3999
@clemencea.akambengwa3999 2 ай бұрын
Hao wanao toa pesa nyingi kuanzia hizo laki 5 na kuendelea ni wanafiki, kama kweli wanatozwa wapaswa kuzitoa mbele ya waumini watu wakaona, kama ilikuwa kichochoroni wanapeana au ofisini walitaka huduma wenyewe, kwa kutotaka watu wajue matatizo yao, ni sawa na kwenda hotelini vipo vyumba vya elf 20-30-40-50 ukilala chumba cha elfu 50 unakuwa umetapeliwa au umependa kwa hiyari kutokana na huduma unayotaka, kwa sababu muda wa kuamka ni ulele sawa na aliyelala, chumba, cha elfu 20,serikali ina mambo ya kufanya iachane na fitina za mazehebu na hao wanaodai kutoa fedha hizo...
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 ай бұрын
Kuna michezo inafanyika hizo pesa zinapigwa vizuri tu, zinapigwa kwa matajiri bila ya hao pangupakavu kujua. Hawa wanaishia kuligwa vialfu tano tano vya kununua maji na mafuta na ndiyo maana wanasema hivyo... pia wapo wengine wanaopangwa kutetea... serikali ina mikono mirefu huwa haikurupuki.
@NilahIsmail
@NilahIsmail 2 ай бұрын
Ninapinga kufungiw kwa kibok sipo pamoj na serikal
@HannaSamson-nq3hc
@HannaSamson-nq3hc 2 ай бұрын
Serikali haipendi kuona watu wakiwa huru wanapenda kuona watu wanalilia kama hivi alafu badae utasikia chagua CCM wakati hawa jali vilio vya watu wachini kabisa kama hawa.
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 2 ай бұрын
YESU KRISTO warehemu watu wako wamepumbazwa akili hata hawaelewi hizi ni nyakati za makristo ya uongo ya tatokea Manabii wa uongo wakilitaja jina la YESU KRISTO kumbe ni yesu bandia tuwe macho wateule YESU KRISTO yuko malangoni shika sana ulicho nacho
@MsAggie5
@MsAggie5 2 ай бұрын
Na shuhuda zote hizo? Kuna mapasta na mapadre wa uongo lakini hawaguswi ila hawa wanaoponya ndo wako midomoni.
Tawasifu ya Profesa Kithure Kindiki
12:00
NTV Kenya
Рет қаралды 3,2 М.
KIBOKO YA WACHAWI KALAANIWA EV PASCHAL CASSIAN
39:08
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 80 М.
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,2 МЛН
DUDU BAYA ACHUKIZWA NA KIBOKO YA WACHAWI, ONA AIVYO MUUMBUA
14:43
KIMEUMANA CASSIN NA KIBOKO YA WACHAWI KUZALILISHANA HAZALANI EV PASCHAL CASSIAN
1:11:12
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 140 М.
MCH HANAJA APIGA NONDO NZITO KUHUSU KIBOKO YA WACHAWI
28:20
Mbengo Tv
Рет қаралды 58 М.
THE MOST POWERFUL RUQYAH REMOVES Djinn IN THE HUMAN BODY AND BLOODSTREAM
1:40:25
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57