NINGEMSIKILIZA MAGUFULI HAYA YASINGETOKEA/LAZIMA MAKAMBA AWAAMBIE WATU UKWELI/MUULIZE MBOWE

  Рет қаралды 83,768

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#magufuli #iringa #msigwa

Пікірлер: 107
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
JPM hakutaka maneno matupu au majungu yasiyo na tija. Alikuwa mchapa kazi na aliamini katika kupiga kazi na siyo maumbea yasiyo na malengo yanayoeleweka. Ndiyo maana katika kipindi kifupi aliweza kufanya maajabu ya kimarndeleo yaliyoonekana bila kuhitaji darubini. Huo ndio uongozi na uzalendo wa kweli. Kulinda nchi na Kulinda rasilimali za nchi. Mwacheni mwamba apumzike kwa amani……itatuchukua karne kupata mwingine kama huyo
@geofreysenka7091
@geofreysenka7091 Жыл бұрын
Toka akiwa hai Magufuri nikitoa itikadi ni Raisi niliyekubali kusimamia rasilimali za nchi na kuijenga nchi kwa miundo mbinu lala salaama John tunakukumbuka
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 Жыл бұрын
Hakika kabisa
@nurdinngwegwe2943
@nurdinngwegwe2943 Жыл бұрын
siku ZOTE MJINGA HAJIJUI. WANAJIBIWA NA FEDHA ZETU AMBAZO TUNAZIONA KWA MIUNDO MBINU YA MALI YA UMMA. Mf. Nipo Dar NATAMBA NA MADARAJA, MIJENGO . WANANCHI WANASEREREKA TU MADEGE, MAMELI NK. LAZIMA UKAE.
@geofreysenka7091
@geofreysenka7091 Жыл бұрын
Magufuri alikuwa kiongozi saizi ni mipasho tu ni nchi imeshaingia gizani Na wamerudishwa wezi na wamekumbatiana ili nchi iwe mfilisi tutakoma
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 Жыл бұрын
uwanja wa ndege wa chato na bukoba upi muhimu
@personpeter2221
@personpeter2221 Жыл бұрын
@@happinessmwenda2773 muhimu ni mkunduwako ili uweze kunya
@ZagambaMnubi
@ZagambaMnubi Жыл бұрын
Wachungaji wa mchongo mpo wengi unasema Jpm alikosea kwa matumbo yenu siyo ya wengi achana kabisa na yule Mwamba
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 Жыл бұрын
Mmm mwamba yupo wapi
@ZagambaMnubi
@ZagambaMnubi Жыл бұрын
@@kisangageorgethomasi2830 tumemutanguliza mbele ili afungue lango la ikulu maana kaijenga mwenyewe
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
@@kisangageorgethomasi2830 ametangulia ambapo na wewe kesho utakuwa huko huko. Au tuseme unamcheka kwa kutangulia?? watch out
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
@@kisangageorgethomasi2830 yuko na sisi spiritually au kiroho na ataishi milele ndani yetu. Je wewe utakumbukwa siku ukimfuata?
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 Жыл бұрын
@@marieconnect6389 anakumbukwa muhamad na yesu tu wengine makapi kumbukumbu zao azipeleki mtu peponi
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 Жыл бұрын
Akili ya Magufuli ilikuwa juu ya yako.Hakutaka mikutano kwa sababu ingechelewesha maendeleo.Alitaka watu wafanye kazi..kwani mikutano ndani haiendi,?J.k, mlimtukana sanaaaa.JPM alipendwa sanaa..na watu wa kawaida sanaa..ilifika mahali hata umhimu wa vyama vya siasa havikuhitajika.tulitamani nchi iongozwe na Rais, makamu wa ,Rais na waziri mkuu walitosha sanaa
@thomasmagoti9040
@thomasmagoti9040 Жыл бұрын
Saf Sana aisee maneno yako yanafikirika
@laprincevonkingpin2538
@laprincevonkingpin2538 Жыл бұрын
RIP...JPM
@makara6671
@makara6671 Жыл бұрын
R.I.P JPM
@benjooh_official8944
@benjooh_official8944 Жыл бұрын
Pongezi kwa @Dar24 interview bora na quality,Pongezi kwa Mtangazaji anauliza maswali ya msingi na yenye hoja njema ktk Taifa, Pongezi za mwisho kwa Mhe Msigwa kuweza kujibu maswali vizurii na kwa weledii . KAMA UMENIELEWA GONGA LIKE 👍 HAPAA 🔥
@agathakayombo4645
@agathakayombo4645 Жыл бұрын
O
@wilfredsamson6128
@wilfredsamson6128 Жыл бұрын
Mnasifikia magu kiongoz asiyeruhusu mawazo yawengine
@noeljosee8384
@noeljosee8384 Жыл бұрын
Sema huyu braza anaye interview ni smart sana, lakini pia Mh Msigwa ni smart ziadi.
@nurdinngwegwe2943
@nurdinngwegwe2943 Жыл бұрын
pia ni true man. ANAMUELEWA KIONGOZI MAREHEM JPM. Salute Kiongozi Msigwa One. 5hizo
@geofreysenka7091
@geofreysenka7091 Жыл бұрын
Mama ambaye Ni raisi hataki kuulizwa
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 Жыл бұрын
JPM, kumpata tena ni labda baada ya miaka 100, RIP JPM hakika tumepoteza kiongozi mwenye maoni shupavu mzalendo wa kweli hakutaka wananchi wake wateseke 💔🙏
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Жыл бұрын
Wewe mwehu tu,kamamagufuli unamaana kudhulumu watu uongozi je hawo siyo wananchi???
@TamuzaKale
@TamuzaKale Жыл бұрын
@@josephmakutano7067 Kwa mujibu wa huyo, "SIO WANANCHI!"
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Жыл бұрын
@@TamuzaKale pumbavu kabisa akilimbovu unashida sana naubinafsi,hutafikambali!!!
@TamuzaKale
@TamuzaKale Жыл бұрын
@@josephmakutano7067 Kaka, sina kifunghshio kinachoweza kudhibiti vimiminika ningekufungashia povu lako. Sina kazi nalo!
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 Жыл бұрын
dahhnaonamajinga niwengisama mitumeyamungu wamefaliki iweje magufuli unamuwona Kama yanibinadam sijuiwa ainagan yan
@mburawambulanga3500
@mburawambulanga3500 Жыл бұрын
JPM legacy lives forever
@jeremiahngoka4980
@jeremiahngoka4980 Жыл бұрын
Lbd kwako.Aende tu na huku aende tena
@jonathanmwakabuku4714
@jonathanmwakabuku4714 Жыл бұрын
Wakati wa JK pamoja na kusema mlirekebisha nini Sasa? Maana mapato ya TRA yalikuwa chini kwa JPM yalipanda sana
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 Жыл бұрын
KUKOSOA MAMBO YA MSINGI NA KUSIFIA MAMBO YA KIJINGA.Hizo ndizo akili za mtu mweusi .NDIO MAANA TUKO TULIVYO.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
Sijui tumelogwa akili na nani.
@jumamkwanda8031
@jumamkwanda8031 Жыл бұрын
Ukisema Magufuri alikosea utajikuta wewe ndio utakosea zaidi jamaa alitumia taaluma yake kutatua matatizo ya Watu hasa Masikini alikuwa ana liandaa Taifa letu liweze kujitegemea kwa miaka ijayo lkn kwa bahati mbaya kuna baadhi ya Wananchi hawakumuelewa lkn kwa sasa wanaanza kumkumbuka.. Ametangulia mbele ya haki Mungu ndio mjuzi atamweka pale panapostahili
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 Жыл бұрын
Masikini ni nani???MUNGU HAKUMPA MTU UMASIKINI.BINADAMU WOTE NI SAWA
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Жыл бұрын
Ni kweli huyu jamaa yuko vizuri sana alipambana sana naye yule wa muyaya ...!
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
@@happinessmwenda2773 ni kweli hakuna aliyeumbwa masikini lakini watu hawalingani na hilo halina ubishi. Ndiyo maana watawala kazi yao mi kuhalikisha kila mtu wanapata kwa usawa. Kuhalikisha hali zinatendeka kwa wote. Kuhakikisha keki ya taifa inaliwa ma watu wote kwa usawa wao na siyo wajanja wachache. Hao ndio wanaofanya wengine waonelane kuwa masikini na wengine miungu watu.
@personpeter2221
@personpeter2221 Жыл бұрын
@@happinessmwenda2773 shkuru MUNGU ww unakula unashiba hii ktu umaskin ilikwepo tangia Enzi zilee so haina haja ya kpnga
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
@@happinessmwenda2773 ni kweli lakini cha ajabuviongozi wajanja wasio na mioyo ya utu wala huruma wanalazimisha kunyang'anya watu keki zao kwa nguvu na kuwafanya waishi kama masikini wakati Mungu hakutuumba wala hapendi hivyo. Wanatenda kazi kiushetani zaidi kuliko kimungu. wanatengeneza masikini ambao hawakupaswa kuwepo. hoyo ndiyo hali halisi
@edmundchota2664
@edmundchota2664 Жыл бұрын
Very true Mchungaji!!
@hassankurwa464
@hassankurwa464 Жыл бұрын
Mchungaji Msigwa Nakuona una sura ya uongozi lkn lazima ujue mapungufu yako ikusaidie kuwa aina tofauti sana ya kiongozi maana una hiyo kaliba. Epuka sana ushabiki wa kisiasa na usikukae sana kwenye Ubongo. Lugha zako zikae kwenye heshima zako. Kauli ya kusema Magufuli kwa lugha ulotumia itafakari sana. Ccm ina maisha yake sio Magufuli. Ccm wana tabia ya kubadilika kulingana na mnavyo wadhania. Kwa sasa wana waona mnavyo baki kuwa Magufuli ndio sababu lkn mnasahau kuwa Ccm ile ndio mipango yao. Bro Msigwa Ccm yenyewe ilimuona JPM ni kikwazo lkn kikwazo walicho kitengeneza ili iwavushe na walimuondoa kwakua lengo lao lilitimia na walitaka sasa mbaki na wazo kuwa ni Magufuli na hana nafasi ya kujibu yenu na ya wana Ccm. Wana Ccm leo wanafurahi kuwa mmeingia mtego wao kuwa ni Magufuli. Kaka badili mtazamo utaona ukubwa wa akili yako. Ccm inawaingiza chaka na ninyi mmekubali. Pambaneni na Ccm sio Magufuli. Mna tengenezewa Bomu
@salehematimbwa4684
@salehematimbwa4684 Жыл бұрын
Hongela Msingwa kwa Hoja zako penye ukweli Lazima Uwe mkweli
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
J.P.M bwana alifaulu sana hasa kwenye miundo mbinu na nishati cha kushangaza leo tunalala giza kwani kuna nani wakati ule kulikuwa nini?
@mfinangamwamvita2619
@mfinangamwamvita2619 Жыл бұрын
Amepata displing
@batwelimahenge7850
@batwelimahenge7850 Жыл бұрын
Hongela sana msingwa100%
@emmanuelmambarera141
@emmanuelmambarera141 Жыл бұрын
Safi sana Kiongozi
@stanleylameck5243
@stanleylameck5243 Жыл бұрын
Nimekuelewa kwenye umeme hapo maana tuna vyanzo vingi Kama vile maji, ges ,upepo ,makaa ya mawe navingine vingi
@arthurmwabulambo1201
@arthurmwabulambo1201 Жыл бұрын
Kusema Nyerere hakuwa na succession plan is an understatement to say the least. Kutojua historia na cheap politicking. Walikuweko akina Sokaine, Salim, Mwinyi, etc. Waulize wakongwe wakuelimishe. Poor you.
@elvisnzovu8282
@elvisnzovu8282 Жыл бұрын
Mchungaji huwa napenda sana unavyo analyze mambo, congratulations!
@josephmarwamachango8200
@josephmarwamachango8200 Жыл бұрын
I, A ,
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 Жыл бұрын
Walikunyoosha mamae🤣🤣🤣
@noeljosee8384
@noeljosee8384 Жыл бұрын
And very sad enough vijana wengi wa kitanzania wanaendekeza habari za udaku na upuuzi badala ya kufuatilia kujifunza kukuabali na kukosoa upuuzi na mazuri yanayo fanywa na serekali. Vijana wanafuga virasta vya hovyo tuu. Nchi ya vijana wa hovyo sana hii
@kalutalumenge5260
@kalutalumenge5260 Жыл бұрын
Mch. Msigwa, for the first time nimekuelewa sana kuhusu Uongozi. Ni kweli nilazima Viongozi kuwa tunafanya utafiti na kujifunza kila siku.
@johnchuwa2888
@johnchuwa2888 Жыл бұрын
Ni kweli ukiwa kiongozi unatakiwa kujifunza kill siku.nkujifunza,ni pamoja nakumsikilizamtu oja yake na umjibu kwa hoja pia.
@kasimsaleh7103
@kasimsaleh7103 Жыл бұрын
Na wewe ukenda kwa mungu ukahakikishe tu kama makufuli kakuzulumu mchungaji kauli hiyo tunaisikia
@salumramadhan8352
@salumramadhan8352 Жыл бұрын
Yule nibinadam lakn hawazi kuwa kamil Kila kitu ndomaana alisema wakati anamwachia madaraka mwinyi yaliyomazur yachukuwen mabaya yaachen
@dannywiston6391
@dannywiston6391 Жыл бұрын
Jamaa ana akiri Sana ila hakubaliani na itikadi za mbowe
@ramadhanikalungwana6809
@ramadhanikalungwana6809 Жыл бұрын
Mm nashukuru kwa kutambua kuwa JPM alikuwa zaidi ya wengi si ww pekee yako!! Yan umekuja kuona matokeo baadaye!!! Kwa hiyo hata hayo mapungufu ya JPM km mikutano!!!! Km utafikiri zaidi ya hapo, pia utagundua alikuwa sahihi tena!!! Acha kabisa!! Zingatia Maneno ya Rais msaafu Mwinyi!!! JPM hakuwa wa kawaida!!!
@elimumwaipaja74
@elimumwaipaja74 Жыл бұрын
Msigwa Ni mwanasiasa bora sana. Napenda falsafa yake
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Жыл бұрын
Msigwa huwezi kuhamia ccm kwasabbu unapendasana haki ,Kama ungehamiakule ccm ungejikuta unaabudu sanamu usingepata amani kwakadri ninavyokujuwa,
@michaelmahenge593
@michaelmahenge593 Жыл бұрын
Mchungaji una uhakika kwamba Mwalimu hakuwa na succeion plan!? Inawezekana hujafanya utafiti wa kutosha, naomba urudi kwenye utafiti then utakuja kujua kazi ya Chuo Cha Viongozi wa CHAMA Kivukoni then uje tena kwa media .
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi Жыл бұрын
Wakakiua😂😂
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
Absolutely Kweli kabisa
@Kanyawela
@Kanyawela Ай бұрын
Yuda aliyechangamka akapewa tange ili afahamike .
@elyudsaleh6044
@elyudsaleh6044 Жыл бұрын
Mchungaji naona unajiandaa kuhamia mtumbwi mpya!
@bakarimkuzu183
@bakarimkuzu183 Жыл бұрын
JK ni mmoja TU ndie Alie watoa watanzania gizani utake usitake ni yeye
@marthauisso5803
@marthauisso5803 Жыл бұрын
pamoja na shibambu hawa watu ni kiboko chama tawala cha south africa
@herbertngongi5212
@herbertngongi5212 Жыл бұрын
Ndiyo msigwa kuuliza na kusema ni haki ya kila mtu ,siyo iwe Mali yao nchi
@MAFUNDISHO1
@MAFUNDISHO1 Жыл бұрын
Kusema muhimu ila maandamano, kiukweli c afya Kwa Taifa, Mimi nakuelewa ila nazani tujiulize ni siasa za namna gani tunataka kufanya Kwa Maslahi mapana ya Taifa
@frbm1729
@frbm1729 Жыл бұрын
Mnamlaumu jpm aliwadhulumu .nyie wapinzani feki wachumia matumbo yenu mmewadhulumu watu wenu vingapi? Tangu mmelipwa posho mamilioni ya fedha mmefanya Nini?
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 Жыл бұрын
Ni kweli team Mlema hawezi kuwa bora kama ya Chadema ila sasa… Kati Maleria na Corona, ni kweli uchague Maleria japo nalo ni gonjwa. 😂
@edmundchota2664
@edmundchota2664 Жыл бұрын
Kiukweli Msigwa ana mambo ambayo ni ya uwazi na ukweli
@wilsonsikahanga1761
@wilsonsikahanga1761 Жыл бұрын
Mmh msigwa si yote yanapangwa na Mungu...."Mungu" ni Haki, Ukweli, Furaha, Uzuri halisi, Umilele, Nguvu, ....sasa basi...dhuluma ni sifa za walio kunyang'a kura (yaani CCM) na sio Mungu!!!
@callistchrisant1876
@callistchrisant1876 Жыл бұрын
Ulipodhulumiwa ulichukua hatua ipi?
@calimahad9274
@calimahad9274 Жыл бұрын
Kukosea NI sifa muhimu ya binaadam, sasa mukisikia JPM aliboronga sio mutete Tu. JPM aliirudisha nyuma Sana nchi hii na katika watu wake kufikiri, hii ilikua hatari kubwa Sana kumzuia binaadam kufikiri na kuto maoni yake
@marthauisso5803
@marthauisso5803 Жыл бұрын
Ukizingumzia viongozi wa chama cha upinzani, unawazungumzia, Msigwa, Sugu, na Lissu hawa watu walinyoosha bunge la ccm. ninawafananisha na chama cha upinzan cha South Africa EFF ambao ni Julius Malema, Ndlozi, na wenzake
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 Жыл бұрын
Acha propaganda hauwezi kujitegemea km hauna VIWANDA Sasa cherehani ni kiwanda basi HATUWEZI kuendelea
@Fundi12345
@Fundi12345 Жыл бұрын
Jpm alikuwa mtekelezaji wa mambo yaliyo lala miaka mingi mambo hayaendi kwa jili ya ufisadi tu akafaulu kuwafumbua macho wa tz hata msigwa alikuwa mtekerezaji alikuta miradi imeainizwa miaka mingi ila haienda kajitahidi kuipigia kerere ikainda so msigwa uwa hajijui kuwa uongozi wake una elment ya jpm hata hatakiwi kumusema jpm yeye ni kama cop ya jpm mimi nilimpenda lakin jpm ndo bigwa wa afica hakuna ,fano wake
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 Жыл бұрын
Lazima kikwete mmsifu tuu,
@patkrinsliy7389
@patkrinsliy7389 Жыл бұрын
Muandishi hukukksea kusema akili za chadema ni kupinga kila kitu kwani msigwa kashindwa uchaguzi kihalali kabisa liakni anapinga katakata kuwa alishindwa na anasingizia kudhimiwa yaani hovyo kabisa.
@kashindisimon5265
@kashindisimon5265 Жыл бұрын
Hili na hili na hili huo ni unafiki si useme Tu !???
@papaadialoo
@papaadialoo Жыл бұрын
Habari hizi ndo tunaziitaji
@jeanmusamba3253
@jeanmusamba3253 Жыл бұрын
hata me naona eneo hilo nyerere alifeli japo mazuri yake ni zaidi ya 96%,huwezi pewa vipaji vyote
@herbertngongi5212
@herbertngongi5212 Жыл бұрын
Msigwa sawa alikwambia Nini ? Sasa hayupo kwa faida yeye na kizazi kijacho plz tuambie yule ugomvi wake ni kukosolewa lkn kwa kazi alichapa kazi hakuna atakayefikia kile alichokifanya kwa muda mfipi ,Hakika ameacha alama japo ktk ujenzi wa uchumi lazima watu waumie ,JPM pumzika kwa Amani tunaendelea kukumbuka daima ,Sasa ule mgao wa umeme umerudi ambao tuliusahau kipindi Chako chote
@mfinangamwamvita2619
@mfinangamwamvita2619 Жыл бұрын
Msigwa tangu uachane na ubunge hata afya yako imeimarika. Wewe chunga kondoo siasa haikufai, hata tulikuwa hatukuelewa kuwa wewe ni mchungaji ulitetereka kiroho. rudi kwa Mungu kindaki ndaki ombea taifa si lazima uwe mwanasiasa.
@wilsonsikahanga1761
@wilsonsikahanga1761 Жыл бұрын
Msigwa unatakiwa kurudi iringa town kama Mbunge na huo ndio wito wako!!!
@sahirdaruhesh4178
@sahirdaruhesh4178 Жыл бұрын
Kwer
@mashirimathias6006
@mashirimathias6006 Жыл бұрын
Upuuzi mtupu hakuna kitu
@farajiharuna6600
@farajiharuna6600 Жыл бұрын
We ni zero
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 Жыл бұрын
Nasikia ulikuwa na kiburi shenzi wewe
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 Жыл бұрын
Sio kibuli wala hakuna aja ya matus kwanza mtu mwenye akili timam uwa hanajihamin anachofanya kama wewe una uwezo mdogo wa kufulikili utaishi kwa kumtegemea mtu kuliko kile unachohamini wewe
@kamalofanuel8120
@kamalofanuel8120 Жыл бұрын
haka kamchungaji hovyo chadema bila mbowe hakuna hoja
@azizimangara9024
@azizimangara9024 Жыл бұрын
Jitathimini kichwa chako.
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 Жыл бұрын
Huitaji kufumua mfumo mzima Just mumsikize ngwajima anasema Kuwe na maono nchi Iwe na maono Kila kitu kitakuwa sawa kama hivo unavosema et chi za wezetu hakuna kugombea kwa kuonesha umefanya hivi na hivi na put hakuna nchi inauo orojo wenu et kiongozi hakai foleni Hakuna hayo ni nyinyi tu
@estonsaimon6671
@estonsaimon6671 Жыл бұрын
Anayoongea gwajima saivi bro ni marudio ya kauli ya LEMA ebu tafuta clip yake kipindi Cha JPM
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 66 МЛН
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 10 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 18 МЛН
MZEE MANGULA: NILIJUA MAPEMA/ SIKUMUOGOPA/NILIRUDI SHAMBA KULIMA
30:41
BAKWATA: Mwiba mzito kwa Waislam Tanzania
43:19
Kalamutz
Рет қаралды 10 М.
LIVE: Julian Assange speaks at the Council of Europe | REUTERS
1:51:10
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 66 МЛН