Maria yupo wapi? - Jua Kali | S7 | Ep 36-40 | Maisha Magic Bongo

  Рет қаралды 144,479

Maisha Magic Bongo

Maisha Magic Bongo

Күн бұрын

Пікірлер: 150
@SolangeNdayisenga-gn5zd
@SolangeNdayisenga-gn5zd 6 ай бұрын
😂😂😂 Maria ana toboa tena sikuyake ni joja tu Siku atanaswa tu na Franck iyo Siku jua itamuwakia na hatasahahu kitu gonga liké 5 kama unataka kufumwa kwa maria 😂
@anciladelay6316
@anciladelay6316 6 ай бұрын
Huo mdondoko wa maria nimeuelewa😅😅😅😅
@FatumaBaruti-qw6jm
@FatumaBaruti-qw6jm 6 ай бұрын
Maria naomba mimba itoke tuu.kwa suluba ulopata baba mwenyewe madevu.😂😂😂😂
@SaraaSaraa-i1j
@SaraaSaraa-i1j 6 ай бұрын
Maria mpeni maua yake anajua kucheza vinzuri kwenye siniyake mmemuona alivyodondoka huyo ndoo lulu
@elvinakalu6991
@elvinakalu6991 6 ай бұрын
Thobaa 😂😂😂😂, maria iko siku utashikwa live,na frenk fuh
@VeroMaketu
@VeroMaketu 6 ай бұрын
Jaman mtoto wa mama Maria utanivunja mbavu 😂😂😂😂
@moseslameck
@moseslameck 6 ай бұрын
Series ilitakiwa iishe hii
@EngelLameck-nz5nk
@EngelLameck-nz5nk 6 ай бұрын
Malia weeee Kam nakuona ukome umalaya wako 😂😂😂😂
@rtrw708
@rtrw708 6 ай бұрын
Maria daaah
@mkandibachuga
@mkandibachuga 6 ай бұрын
@@rtrw708 mambo
@mkandibachuga
@mkandibachuga 6 ай бұрын
vp
@JAKAYASHABANI
@JAKAYASHABANI 6 ай бұрын
😂😂😂
@mahidatatang521
@mahidatatang521 6 ай бұрын
Weee nikubaya maria ulivyo aguka sasa kweli mimba imebaki 😂😂😂😂😂😂
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@farahali6041
@farahali6041 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@3malis
@3malis 6 ай бұрын
Mwamba tony kala kitasa 😂😂😂
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 6 ай бұрын
Niliwaambia hakamatwi tutamuona kwenye kochi akimwambia Anita ningefumwa huku anahema😂😂😂
@LevinaMasawe-w7g
@LevinaMasawe-w7g 6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@Keyjop
@Keyjop 6 ай бұрын
Mtume ! Huyu dada jmn 🙌
@RuthHelenesango
@RuthHelenesango 6 ай бұрын
Tony anajua tena anajua sana ❤
@VeeEhMgimwa
@VeeEhMgimwa 6 ай бұрын
Jamaniii me siioniii full jamaniii😭😭😭😭
@SalomeSwalehe-gz6wm
@SalomeSwalehe-gz6wm 6 ай бұрын
Hata Mimi sijaiona naitafta kwelii
@EvansWilliam-z8d
@EvansWilliam-z8d 6 ай бұрын
ilikuwa tamu sana kipande cha Tonny na Frank
@hawazakaria-kw5lh
@hawazakaria-kw5lh 6 ай бұрын
Mariah utakufa na mawazo na mikiki mikiki haki 🤣🤣kila siku unaokoka siku jua litakuwakia haki 🤣🤣
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 6 ай бұрын
Tony hujamjua frenk atakuua😂😂 maria n we tulia n mimba yako kila mwanaume wa kwako ovyo
@njaumage2123
@njaumage2123 6 ай бұрын
😂😂😂yaan koranga chote komaaaa maria😅😅
@JAKAYASHABANI
@JAKAYASHABANI 6 ай бұрын
​@@njaumage2123😂😂
@Zahra-y7l
@Zahra-y7l 6 ай бұрын
😂😂😂dah jmn mbon raha dah kapona chupu chupu maria 😂😂😂
@GloriaGitonga-m9c
@GloriaGitonga-m9c 5 ай бұрын
Congrats frank
@JosephRuboha
@JosephRuboha 6 ай бұрын
Lamata kama utaona hii comment izingatie. Story zako zimekosa uhalisia. Muda Maria alioingia na muda ambao Frank amegonga hodi ni muda mfupi sana. Ni ngumu kuamini kuwa Frank ataelewa kuwa Maria hakuingia humo. Stories zako ni kama unazilazimisha ziendelee. Kwenye maisha ya kawaida huyu Maria angekuwa ameshakamatwa angalau mara moja ila unamuokoa sana.
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 6 ай бұрын
Mpkaa inachoshaa yani
@B.M-ix4rz
@B.M-ix4rz 6 ай бұрын
Kwa kweli inachosha sana tu tunaangalia Kwa mazoeya tu
@irenejane4213
@irenejane4213 6 ай бұрын
Mda wake wakushikwa udawadia tu kaa kutulia
@mariamakungwa
@mariamakungwa 6 ай бұрын
Lamata amwonyeshe maria tumechoka
@HusnaX-u6q
@HusnaX-u6q 6 ай бұрын
Anafos tu huyu lamata hii sitor
@veronicahlusekelo5205
@veronicahlusekelo5205 6 ай бұрын
Hii kitu imewahi nikuta jamani daaa sita sahau na siludii tena nlkuwa nahc kufakufa😂😂😂😂😂
@ValerianaMdendele
@ValerianaMdendele 6 ай бұрын
Uwiiii pole yakooo
@veronicahlusekelo5205
@veronicahlusekelo5205 6 ай бұрын
@@ValerianaMdendele asantee ndugu
@afmabeat9567
@afmabeat9567 6 ай бұрын
Ila hii sekta ya filamu sijui itakuwa bora lini?! Mpaka leo 2024 ni makelele tupu. Hamtaki kuwekeza kwenye kufanya voice over.
@nurusaid4698
@nurusaid4698 6 ай бұрын
Mariam Tamaa Zitakupoza Kma Ni Frek Au Tomasi Au Tony Wanaume Watatu Wote Wanadunga Dunga Na Kuacha Mtto C Atatoka Mchina Au
@kenedjohn6838
@kenedjohn6838 6 ай бұрын
Kuna Vitu Haviko Sawa,Tony Na Maria Baada Ya Kuingia Hawakufunga Mlango,Halafu Muda Eti Muda Mfupi Tu Frank Akaja Cha Kushangaza Alikuwa Anagonga Mlango Muda Wote Wa Kazi Gani Na Upo Wazi??? Kwa Tukio Kama Hili Hata Kiuhalisia Hakuna Kugonga Mlango Hapo Bana Hebu Kuweni Serious
@fezielly
@fezielly 6 ай бұрын
Jamani naomba aliyeona nzima anitumie mbona natafta ya leo siipati
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 6 ай бұрын
Jmn jua kali nimetafuta con nyie mmeipata wapi😢
@EMMANUELTHOBIUS-ys3xm
@EMMANUELTHOBIUS-ys3xm 6 ай бұрын
Ubunifu zero et maria kasepa!
@jeangodelo5349
@jeangodelo5349 6 ай бұрын
Hapo ilitakiwa afumaniwe jamani😂😂
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 6 ай бұрын
Hata ww hapo ungekimbia bwana😂😂😂
@farahali6041
@farahali6041 6 ай бұрын
Ndio atapunguza kaa 😂
@FatumaBaruti-qw6jm
@FatumaBaruti-qw6jm 6 ай бұрын
Bola alivyo sepa ataacha kidogo.
@FirdausAlly-ls8fw
@FirdausAlly-ls8fw 6 ай бұрын
​@@FatumaBaruti-qw6jmAwezi kuacha uyo jasili aachi asili
@ramexkhamis7682
@ramexkhamis7682 6 ай бұрын
Lamata fanya yote lkn hakikisha jua kali haiishi tunataka iwe kama isidingo😅
@VeeEhMgimwa
@VeeEhMgimwa 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
@dorcasbutoyi4823
@dorcasbutoyi4823 6 ай бұрын
Inacosha kabis party ya maria imekuandefu kama makamasi bila kufumaniwa
@NadsmaaliAli
@NadsmaaliAli 6 ай бұрын
Napenda maria alivyo aguka mie😂😂😂😂😂
@EvansWilliam-z8d
@EvansWilliam-z8d 6 ай бұрын
haaaaaaaa
@TuseyDifas
@TuseyDifas 6 ай бұрын
Maria unanikera umalaya wako khaaaaa si ungefumaniwa tu Frank akutoe roho juakali iishe
@rehemamagomba5963
@rehemamagomba5963 6 ай бұрын
😂😂😂😂kufumaniwa mtiani😅
@BenedictaMapunda
@BenedictaMapunda 6 ай бұрын
Jmn jua kali ya jana vipi
@haryanyawu640
@haryanyawu640 6 ай бұрын
Frank kosa alilofanya angefunga mlango kabisa
@MkisiStylish
@MkisiStylish 6 ай бұрын
Milango ya wenzetu ukiurudisha unajilock adi aliyeko ndani akufungulie😂😂😂
@Swah454
@Swah454 6 ай бұрын
Ila Maria 🙌🙌🙌😂
@saramwalufundas5840
@saramwalufundas5840 6 ай бұрын
Kamezidi kamaria kangenyoshwa leo kajinga sana haka
@RuthFatuma-ov6rp
@RuthFatuma-ov6rp 6 ай бұрын
Maria kuangka kote huko...naona mimba ikitoka hpo
@winfridarebecca6246
@winfridarebecca6246 6 ай бұрын
Kwa Tony kumenoga jaman Malia nae ulokole SASA
@SophySaid
@SophySaid 6 ай бұрын
Mariah u metisha sana😅😅😅
@faukanMustapha
@faukanMustapha 6 ай бұрын
Jumatano ifike lini jamani nataka kumuona mtoto wa mama Malia
@zainabmohd6524
@zainabmohd6524 6 ай бұрын
Aaah lamata unatusumbua jaman😂😂
@LucyRafeali
@LucyRafeali 6 ай бұрын
Kweli angemwuona
@ycmrpondis1537
@ycmrpondis1537 6 ай бұрын
Tushachoka bana kwanini Maria asifumaniwe yaishe tu ila Lamata duuuh
@HajraBilali-r5e
@HajraBilali-r5e 6 ай бұрын
Mmmh maria kiboko lakini kwa ujinga freak ataamini kma sio maria kwel alo muona
@pcmchealthcare9339
@pcmchealthcare9339 6 ай бұрын
Huyu maria mbona n mjinga sana 😅
@rehemamtsumi5567
@rehemamtsumi5567 6 ай бұрын
Maria kama hutokoma basi zidi. Make unaboa na usherati wako
@Hayman_Graphics
@Hayman_Graphics 6 ай бұрын
Maria tulia jmn mbn hekaheka ivyo
@mariamsamwel2750
@mariamsamwel2750 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Maria
@SalomeKawogo
@SalomeKawogo 6 ай бұрын
jamn juakali ya leo mbn siioni
@REBECCANKWABI-jl4oq
@REBECCANKWABI-jl4oq 6 ай бұрын
Nmeitafuta sana aiseh
@haryanyawu640
@haryanyawu640 6 ай бұрын
Hata mm nimetafuta hakuna
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 6 ай бұрын
Mm hata ya Jana sijaiona
@JenipherMgina-lv7cz
@JenipherMgina-lv7cz 6 ай бұрын
Nlijua pekeanguu
@UmmyZakiah
@UmmyZakiah 6 ай бұрын
Mbona IPO imepostiwa
@rehemandomba3210
@rehemandomba3210 6 ай бұрын
Jamani maria hapana
@JoyceMoses-lk1hs
@JoyceMoses-lk1hs 6 ай бұрын
kama frank atakosa kumiona maria hii story itakosa uhalisia
@CalmBasket-md9lb
@CalmBasket-md9lb 6 ай бұрын
🎉
@ConsoPaul-rg7vd
@ConsoPaul-rg7vd 6 ай бұрын
Ah maria changamoto
@Karembo-v1e
@Karembo-v1e 6 ай бұрын
Maria utakoma ama utazidi😂😂😂😂
@rehemamagomba5963
@rehemamagomba5963 6 ай бұрын
Amtakituwanga lie maana tuna hagaliamatangazotu
@ShadiaOthman-vq1jy
@ShadiaOthman-vq1jy 6 ай бұрын
Mm mbona naitafuta ciyon
@dygngeophrey1970
@dygngeophrey1970 6 ай бұрын
Frank akidanganywa tena na hapo basi akapimwe akili
@mwanaidiibrahim443
@mwanaidiibrahim443 6 ай бұрын
Lamata naye kulefusha move tu
@salimanguzo5553
@salimanguzo5553 6 ай бұрын
Maria alivyo teleza kma paka anakimbie kwenye tailz
@HajraBilali-r5e
@HajraBilali-r5e 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@nyasagirl
@nyasagirl 6 ай бұрын
Mwana kondoo😂
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 6 ай бұрын
KWANI SKUIZ MBONA MI SION IGIZO KAMILI JAMANI...APO UNAANGALIA NN APO
@pendosospeter4807
@pendosospeter4807 6 ай бұрын
Wanawafungia wale wanao post
@mariamkimati5857
@mariamkimati5857 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂Maria
@BenedictaMapunda
@BenedictaMapunda 6 ай бұрын
Siioni mwenzenu
@sadasa3955
@sadasa3955 6 ай бұрын
Siku za mwizii alba ine alba ine na moja unashikwa
@NiceWatson-y7e
@NiceWatson-y7e 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@RithaRitha-cj3ph
@RithaRitha-cj3ph 6 ай бұрын
nataman ashikwe
@fatumaswalleh
@fatumaswalleh 6 ай бұрын
🔥🔥
@SelinaMwaviti
@SelinaMwaviti 6 ай бұрын
Ila Maria ni Noma jmn uuwiii
@zayneryassin6054
@zayneryassin6054 6 ай бұрын
Maria kimemuramba 😅😅
@maryamabeid9450
@maryamabeid9450 6 ай бұрын
maria siku yake ni moja tu
@hamisahamisa5896
@hamisahamisa5896 6 ай бұрын
Haita fika lamata anaizungusha sana
@Munaa1994
@Munaa1994 6 ай бұрын
Maria n mtoto wa yesu😂😂
@farahali6041
@farahali6041 6 ай бұрын
😂😂
@MarryBayyo-pf5rn
@MarryBayyo-pf5rn 6 ай бұрын
Maria amenikosha leo
@perisfranklin2918
@perisfranklin2918 6 ай бұрын
Tony leo imekula kwake
@charitylulu8872
@charitylulu8872 6 ай бұрын
😂😂😊
@JoanMponda
@JoanMponda 6 ай бұрын
Nilijua TU kama lamata atazongua
@JanetAhmad-v3h
@JanetAhmad-v3h 6 ай бұрын
NATAKA
@LightnessMnyanga-uj4yx
@LightnessMnyanga-uj4yx 6 ай бұрын
Maria kimemramba leo
@BeishChanishe
@BeishChanishe 6 ай бұрын
jaman maria ni mpumbavu san😂 Tony. Utapigwa na frenk Hana hasila
@reginaIssa-m2j
@reginaIssa-m2j 6 ай бұрын
😂😂😂😂 jamani
@JoanMponda
@JoanMponda 6 ай бұрын
Mnatuchosha kila siku maria hakamatwi tuu
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂mbavu zangu
@abuuzaidy2194
@abuuzaidy2194 6 ай бұрын
maria akamatwr
@EvaemmanuelMondea
@EvaemmanuelMondea 6 ай бұрын
Maria kiboko
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@naomikisaba5785
@naomikisaba5785 6 ай бұрын
Mbn siion
@AminaMjema-vf5nt
@AminaMjema-vf5nt 4 ай бұрын
Du fumanizi
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 6 ай бұрын
Maria nishida mtupu
JUMA WA JUAKALI ALIVOMUOMBA EVA GAME UTACHEKA
4:25
ZEGUY Network
Рет қаралды 180 М.
Mimi S01Ep01 (TV Series)
25:19
Elizabeth Michael
Рет қаралды 134 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Kızılcık Şerbeti 81. Bölüm @showtv
2:21:27
Kızılcık Şerbeti
Рет қаралды 940 М.
Mtoto Yuko Wapi? - Huba | S13 Ep185 -188 | Maisha Magic Bongo
2:28
Maisha Magic Bongo
Рет қаралды 2,9 М.
HEAVEN SENT Part 1 Official Bongo Movie
1:25:20
SANGA FILM
Рет қаралды 295 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН