Martha Baraka Ft Modest Morgan - Sifa Zivume (Official Music Video)

  Рет қаралды 766,641

Martha Baraka

Martha Baraka

Күн бұрын

Пікірлер: 290
@emmanueljuma5702
@emmanueljuma5702 3 жыл бұрын
Nipeni like za madam Martha sifa zivume........Kenya nawakalisha
@marthabaraka
@marthabaraka 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@zenatyzeya7825
@zenatyzeya7825 3 жыл бұрын
@@marthabaraka ppp
@luhekelondelwa9714
@luhekelondelwa9714 Жыл бұрын
Amin Amin
@JemsNkulu-p1e
@JemsNkulu-p1e 20 күн бұрын
Sifa nizake kweli nawe usifiwe pia kwa wimbo huu!
@julievideo9126
@julievideo9126 2 жыл бұрын
Mi najivunia kwasasabab yeye mtanzania kuimba anajua mungu awatunze
@masterkey536
@masterkey536 Жыл бұрын
Ni kweli
@HappinessShayo-k3o
@HappinessShayo-k3o Ай бұрын
Wow barikiwa mtumishi nimebarikiwa sanaaaaaa❤❤❤❤
@daudingeni7972
@daudingeni7972 4 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe bi Martha Baraka.Namtukuza sana Mungu Kwa neema aliyoweka ndani yako.Hakika Mungu ni mkuu mno.Unaimba Kwa mlipuko wenye ujazo ambao,hunitibua upako ndani yangu na kukuona mtu wa thamani Kwa Mungu nasi wanadamu kupitia kazi zako.Barikiwa ewe mtumishi wa Mungu aliye mbinguni.Hallelujah!?
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 3 жыл бұрын
Kazi nzuri barikiwa madam keep up
@marthabaraka
@marthabaraka 3 жыл бұрын
Asante my brother ubarikiwe
@annagidion7817
@annagidion7817 3 жыл бұрын
Loo my dada hongera Sana kipenzi changu napenda Sana nyimbo zako uinuliwe zaidi.da Anna was Dawasa
@Fulgence_Ahm
@Fulgence_Ahm 3 жыл бұрын
@@marthabaraka Asante Sana Martha Baraka
@actionlander9337
@actionlander9337 2 жыл бұрын
Ubarikiwe
@jimmyjohn8184
@jimmyjohn8184 3 жыл бұрын
Wimbo huu unanguvu kubwa sana ya KIMUNGU ndani yake nikiusikiliza zasikia nasikia uwepo tuu mkubwa sana naupenda sana mtumishi wa MUNGU hongera sana
@hilgathjoshua8804
@hilgathjoshua8804 3 жыл бұрын
Mmekutana mafundi wa kumwimbia muumba wetu Mungu awabariki sana 💕💕💕🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@masterkey536
@masterkey536 Жыл бұрын
Huyu modest ni hatari
@elamnabugare8487
@elamnabugare8487 3 жыл бұрын
Naamini hata ambaye hajasema, ila kaielewa nyimbo 👏👏👏
@leticiamtemela9416
@leticiamtemela9416 Ай бұрын
Wimbo huwa unabaliki saana
@AnnaEmanuel-x1w
@AnnaEmanuel-x1w Жыл бұрын
Mungu wa ajabu Hana mwazo au mwisho abudiwe Kila basekunde
@LucyNtambi
@LucyNtambi 5 ай бұрын
Dada matha nakupenda sana usije badilika tu dada angu yesu akutuze dada angu penda sana
@SophiaMcharo-b6g
@SophiaMcharo-b6g 5 ай бұрын
Nimependa nyimbozako❤❤❤❤❤
@MosesIlunga-n5w
@MosesIlunga-n5w Ай бұрын
The way I enjoy your music my dear sister God bless you.
@musekenya7035
@musekenya7035 3 жыл бұрын
Uisiwe kwa utakatifu usifiwe kwa kutuokoa sifa zivume💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃mikino juuu tunainua juu tunakutukuza Asiyelala asiyesinzia dunia shangilia bila ya bila aliutoa uhai🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🏽🕺🏽🕺🏽🕺🏽🕺🏽🕺🏽🕺🏽🕺🏽🕺🏽huyo ni yesu
@exauce9425
@exauce9425 Жыл бұрын
Thanks you maman my god bless you , kupitia wimbo kilandege musituni eko nachiota kyake Kobe natembea na nyumba yake.
@SimionDaniel-p1l
@SimionDaniel-p1l Жыл бұрын
Sifa heshima naadhama nivyako jehova HALELUJAH❤
@bonimwaitege4073
@bonimwaitege4073 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mwanangu MARTHA yupo wapi huyu kaka MODEST namkubari sana, nimebarikiwa Sana tu.
@erichopefavor4398
@erichopefavor4398 4 ай бұрын
Nimekuja hapa huu wimbo umefanya maajabu kwangu 😢😢😢
@daviemasebo168
@daviemasebo168 5 ай бұрын
Amen Nimebarikiwa sikuwai itazama
@nyalinyali3409
@nyalinyali3409 3 жыл бұрын
Kanzi nzuri Dada Martha . .Let's blend another hit am from +254 Kenya
@lengejohn8083
@lengejohn8083 Жыл бұрын
Wow madam GOD give more years to live in this world and to give u more power to give us a nice songs in JESUS name u gete like from USA 🇺🇸
@masterkey536
@masterkey536 Жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 love this music 🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎵
@shangweremiofficial4124
@shangweremiofficial4124 3 жыл бұрын
Sifa na utukufu apewe.sifa barikiwa. Sana madam
@rosephidelis5526
@rosephidelis5526 3 жыл бұрын
Najikuta nabarikiwa sana na huu wimbo😘😘
@marthabaraka
@marthabaraka 3 жыл бұрын
Emeen ubarikiwe
@tattukinya1719
@tattukinya1719 2 жыл бұрын
Napenda sn nyimbo zako zani bariki sana 💃💃💃💃💃♥️
@Joyce-c5z
@Joyce-c5z Жыл бұрын
Watching from Kenya I like singing and one day I want to be like u, we come and sing 2gether
@amosicalamari984
@amosicalamari984 3 жыл бұрын
Amina dada yangu kwa kaz zur sanaa mungu akubark
@harrisonlukwesa1365
@harrisonlukwesa1365 2 жыл бұрын
thankx madam martha for this wonderful music indeeded we are bleessed come to zambia plz
@juliusmagheke1379
@juliusmagheke1379 3 жыл бұрын
Daaaah! What's a song is this aiseeee. Solo guitarist 🔥🔥🔥, bass guitarist 🔥🔥🔥, drumist 🔥🔥🔥, singers 🔥🔥🔥, message🔥🔥🔥🔥🔥 our almighty God🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@gradnesskelviny4436
@gradnesskelviny4436 3 жыл бұрын
Ubalikiwe kazi yako ipo vzr mungu aendelee kukupa ujasili,🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@emilywangui4791
@emilywangui4791 2 ай бұрын
It's a wow❤
@MartinLenge-vw8un
@MartinLenge-vw8un Жыл бұрын
Un enfant de courage
@saintpaul693
@saintpaul693 Жыл бұрын
Hakika sifa zivume maana wewe ni Mungu wetu wow i love the chorus
@erickmeshac3135
@erickmeshac3135 2 жыл бұрын
Nyimbo zako ni Tamu kusikiza 🥰
@masterkey536
@masterkey536 Жыл бұрын
Uhakika
@joycechaz2840
@joycechaz2840 3 жыл бұрын
Nakupenda wee dada hasa uchezaji wako, nilihis now umekuwa kibonge utashindwa kucheza kama zamani🔥🔥🔥🔥🔥
@MiriamSamuelke
@MiriamSamuelke 2 жыл бұрын
I found myself listening to this on a repeated mode💃💃💃💃💃upendo wa ajabu,jina LA ajabu, mungu. Wa ajabu am blessed
@naomikalinga3042
@naomikalinga3042 3 жыл бұрын
Asiye lala asiye sinzia yupo kazini barikiwa Sana matha kwa mwimbo nzuri sana
@leeldavid3712
@leeldavid3712 3 жыл бұрын
Very 🔥🔥🔥🔥big up madam Martha I like your songs from Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mwajumaomary7660
@mwajumaomary7660 3 жыл бұрын
Kabisaa
@mwajumaomary7660
@mwajumaomary7660 3 жыл бұрын
Mungu waajabu jamn mdada ubarikiwe kwa kazi nzuuur
@moxmalamakalumbi7342
@moxmalamakalumbi7342 3 жыл бұрын
Martha che nipatali. Ine kunichita soo!!! To God Be the Glory.
@binwaasokolo5883
@binwaasokolo5883 3 жыл бұрын
Yaani umenibaliki sana wimbi huu hendelea da martha
@edisathamani
@edisathamani 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Dada na Kaka🙌🏾. 😍Napenda wimbo huu🔥🇹🇿
@sumaiyamunisi5228
@sumaiyamunisi5228 3 жыл бұрын
Waoooooooh I missed you
@sumaiyamunisi5228
@sumaiyamunisi5228 3 жыл бұрын
Jaman nimtamu sana
@marthabaraka
@marthabaraka 3 жыл бұрын
Emeen ubarikiwe
@neemamsigwa382
@neemamsigwa382 3 жыл бұрын
Mungu mtamu sana acha kabisa
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Hongera sana Mtumishi wa MUNGU kazi njema
@GAbrielcathibet-ib9rj
@GAbrielcathibet-ib9rj Жыл бұрын
The best song madam Martha
@cutepretty3619
@cutepretty3619 3 жыл бұрын
Watching from Israel God bless you woman of God,,,,
@brigittemusondoli6139
@brigittemusondoli6139 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana pamoja na simba wa nyika
@chrisjacob4057
@chrisjacob4057 3 жыл бұрын
Binafs na balikiwa sana hasa hizi mbili Mungu hana upendeleo na jina la Yesu
@gracekiarie4259
@gracekiarie4259 3 жыл бұрын
The dancing aaawww👏👏👏👏👏mikono juju juju kwa bwana
@chengoswaleh8453
@chengoswaleh8453 7 ай бұрын
Kazi nzuri Sana madam na mtumishi Morgan Mungu awabariki
@danjonathan2602
@danjonathan2602 3 жыл бұрын
Napenda nyimbo zako Dada,naombo mwongozo wako kwa nyimbo zangu
@danjonathan2602
@danjonathan2602 3 жыл бұрын
Nashukuru kwa mwito wako
@samwelkasebele6153
@samwelkasebele6153 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu wimbo ni mzuriiii sanaa🔥🔥🔥🔥
@mombeolunyonyi8027
@mombeolunyonyi8027 3 жыл бұрын
Endelea na speed hiyohiyo kwani baraka za kiMungu ni juu yako Madam Martha!
@gracebenson7100
@gracebenson7100 3 жыл бұрын
Dada Mungu akisaidie izidi kusonga mbele kaza buti kwani kazi ya Mungu haikosi majaribu simama kwa miguu yako
@pamelamboma6725
@pamelamboma6725 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪Kazi nzuri Sana Mamaa ya masebene ya Yesu umetisha Sana Martha
@atumoses
@atumoses 2 жыл бұрын
Mama Mungu akubariki natamani siku moja niimbe na wew ❣️
@rebeccakanini7406
@rebeccakanini7406 Жыл бұрын
Amen uiinuliwe juu Mungu
@bahatkavul5848
@bahatkavul5848 3 жыл бұрын
Wimbo mkubwa sana huu.kazi nzuri dada. Mungu akupe nguvu zaidi na zaidi. Amen.
@marthaanton6967
@marthaanton6967 3 жыл бұрын
Waoooo wajina kazi tamu sn loh hakika Mungu uinuliwe juu sn kuna mtoto mdg humu kakufunika 😂😂😂😂
@marthabaraka
@marthabaraka 3 жыл бұрын
Asante wajina sister
@madamneema7626
@madamneema7626 2 жыл бұрын
❤️❤️❤️🙏🙇 wimbo mzurii Sana bless you
@priscabiengo6136
@priscabiengo6136 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana mtumishi wa Mungu ,,
@veronicahhopemusic
@veronicahhopemusic 2 жыл бұрын
Mungu anastahili sifa zote, wimbo nzuri saana 🙏
@GraceOtieno-vo3sj
@GraceOtieno-vo3sj Жыл бұрын
Wau!Hakika Mungu ni Mungu anastahi kusifiwa barikiwa Martha
@bisengobubasha
@bisengobubasha 3 жыл бұрын
Mubarikiwe sana . Akuna jina lingine lakuabudia, isipokuwa jina la Yesu. Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana
@marthabaraka
@marthabaraka 3 жыл бұрын
Emeen
@kilozojeanselemani7313
@kilozojeanselemani7313 2 жыл бұрын
Nakubali kazi yako
@janecharles6674
@janecharles6674 3 жыл бұрын
Nimefurahia Sana Wimbo huu. Barikiwa Sana.
@cuyaaram9659
@cuyaaram9659 3 жыл бұрын
Kanzi nzuri sana dada nakupenda mnno nyimbo zako zanibaliki sana
@julynchaila8818
@julynchaila8818 3 жыл бұрын
Sifa zivume ma song barikiwa sana Madam mtumishi wa Mungu
@daudimhoha894
@daudimhoha894 3 жыл бұрын
Kazi.nzuri.mungu.aendelee.kukupa.hekima.na.maarifa.zaidi.♥️
@SuperSoap12345
@SuperSoap12345 7 ай бұрын
Modest aliua.... Great vocals bro Modest
@ladislasngendakumana
@ladislasngendakumana 3 жыл бұрын
Sifa zivume kwa Mungu. Assante sana kwa wimbo mzuli sana.
@bonifacemutemikituo3783
@bonifacemutemikituo3783 3 жыл бұрын
Tangu nitembelee hii channel yko nimebarikiwa kupitia hunduma yko,,,, barikiwa sana 💕
@estermachea3373
@estermachea3373 Жыл бұрын
Wewe ni MUNGU
@chrisbandaCB
@chrisbandaCB 3 жыл бұрын
Barikiwa sana Asante kwa Ujumbe mzuri sana...
@n.b.ahopeofficial7698
@n.b.ahopeofficial7698 3 жыл бұрын
Kwakweri from USA your song is on top
@xdown5125
@xdown5125 3 жыл бұрын
Dah! Kazi kubwa sana mbarikiwe sana
@rizikinaftary8105
@rizikinaftary8105 3 жыл бұрын
Tangu mawio hata machweo jina lake lisifiwe hakika yeye Ni MUNGU hakuna aliye kama yeye 🙏🙏 dunia shaaaaangilia. Barikiwa San servant of GOD MUNGU AENDELEE kukubariki Sana na kukutunza pia kukuinua zaidi na zaidi 🙏🙏
@marthabaraka
@marthabaraka 3 жыл бұрын
Emeen ubarikiwe sana pia
@rizikinaftary8105
@rizikinaftary8105 3 жыл бұрын
@@marthabaraka 🙏🙏
@danielkalori5373
@danielkalori5373 2 жыл бұрын
Sifa zivume!!!! Ubarikiwe sana
@joshuamwambene9516
@joshuamwambene9516 3 жыл бұрын
Kazinzuri madam matha mungu akubariki mi joshua nikozambia
@lawimnyusa3490
@lawimnyusa3490 3 жыл бұрын
Amen: sifa zivumee Martha ni mmoja tuu: Mungu asikupungukie ktk huduma yako:
@imelidastevesteve5127
@imelidastevesteve5127 3 жыл бұрын
Waoooooo inuliwa inuliwa Sana dadaangu kipenzi kaz njema sana
@ChristerbellMwasele
@ChristerbellMwasele 3 жыл бұрын
Yaaan huu wimbo jamn nahce kuchanganikiwa c kwa sebene hilo
@sarhkimboi9085
@sarhkimboi9085 3 жыл бұрын
MH, kweli acheni magugu yaote pamoja Na ngano.
@presseg.6362
@presseg.6362 3 жыл бұрын
Uinuliwe juuu saaana mungu! Bwana akutunze mtumishi Wa mungu Martha.
@jaysonasheri69
@jaysonasheri69 3 жыл бұрын
Video Kali Sana Wimbo mkali Sana, kifupi umeuwa Madam Martha,,!! Kweli unakiu,,@
@chepkoechdorcas871
@chepkoechdorcas871 2 жыл бұрын
Amen.... Nyimbo zako zinaniunua na inanijenga
@moshecosmas2791
@moshecosmas2791 2 жыл бұрын
Uinulie juu tena juu juu tuu sana
@neliamogha5178
@neliamogha5178 3 жыл бұрын
hongera mama wimbo mzr
@emertonmwakina8593
@emertonmwakina8593 Жыл бұрын
Thank you madam Martha am blessed,God bless you keep going I like you're songs.
@isayajoseph254
@isayajoseph254 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana madam kwa ujumbe mzuri
@ausonndyanabo122
@ausonndyanabo122 2 жыл бұрын
wimbo hakika kila nikikutana jambo nilisilo elewa huwa napenda kusikiliza wimbo huu baada ya hapo usonga mbele
@neemanyagawa9479
@neemanyagawa9479 3 жыл бұрын
Na Zivume Milele Yote Aminaa
@catherinekimuya5143
@catherinekimuya5143 3 жыл бұрын
Bwana Yesu apewe sifa.hongera dada Marha..
@jeremiahmodest3583
@jeremiahmodest3583 Жыл бұрын
Like that madam martha
@wemapazza7059
@wemapazza7059 3 жыл бұрын
Napenda Sana wimbo huu ubalikiwa madam
@scolakayanda7171
@scolakayanda7171 3 жыл бұрын
Kipenzi changu huyooo nakuelewa Sana my dear sasa
@moketuponake5270
@moketuponake5270 3 жыл бұрын
Uinuliwe juu aleluya safi dada pigakazi
@dorcasmaunganya6207
@dorcasmaunganya6207 3 жыл бұрын
Weuuwee Sifa zivume dunia yooteee,
@jaqernest1362
@jaqernest1362 2 жыл бұрын
Mungu azid kukuinua dada
@subilaghabonnyfasimwaitege5820
@subilaghabonnyfasimwaitege5820 3 жыл бұрын
Barikiwa Sana uko juu
@daudimhoha320
@daudimhoha320 Жыл бұрын
Haleluyaaa.mungu.anastahili.sifa.zote
@daudimhoha320
@daudimhoha320 Жыл бұрын
Huyu.mungu.ainuliwe.zaidi.nazaidi.👍🙏🙏haleluyaa
@sarahisaack9674
@sarahisaack9674 3 жыл бұрын
Safi saana Mungu azidi kukuinua mpnz
Martha Baraka Ft Chidumule (Official Music Video)
7:11
Martha Baraka
Рет қаралды 2,2 МЛН
Martha Baraka - Nimekuja Na Maua (Official Music Video)
8:29
Martha Baraka
Рет қаралды 4 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
FLORENCE ANDENYI -SIFA ZIVUME #SOUNDS OF HOPE (TEXT SKIZA 6982185 to 811)
5:58
M-TOWN PRODUCTION KENYA
Рет қаралды 269 М.
AMENITENDA MEEMA OFFICIAL VIDEO
5:13
Neema Eliya Ministry
Рет қаралды 2,8 М.
Martha Baraka - Amebarikiwa (Official Music Video)
6:12
Martha Baraka
Рет қаралды 227 М.
Israel Mbonyi - Kaa Nami
13:40
Israel Mbonyi
Рет қаралды 6 МЛН
Martha Baraka - Furaha (Official video)
7:43
Martha Baraka
Рет қаралды 611 М.
Madam Martha - Fungua Macho (Official Music Video)
6:49
Martha Baraka
Рет қаралды 481 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН