Martha Mwaipaja - Maumivu Ya Jaribu (Official Music Video)

  Рет қаралды 5,446,421

Martha Mwaipaja

Martha Mwaipaja

4 жыл бұрын

Maumivu ya jaribu ni wimbo ambao unaelezea kuwa majaribu yanaumiza moyo lakini Mungu yupo kutuokoa katika hali zote na shida tunazopitia.Haijalishi unapitia wapi lakini uweza wa Mungu upo kukusaidia na kukuvusha katika yote unayoyapitia.Songambele Mungu anajua unayoyapitia kila jambo lina mwisho wake.
#MarthaMwaipaja#MaumivuYaJaribu#MusicVideo

Пікірлер: 1 500
@hawaabdi6209
@hawaabdi6209 6 ай бұрын
Tunaosikiliza 2024 tujuane...Mungu niondolee haya maumivu 😭😭
@tayanamasanja3952
@tayanamasanja3952 5 ай бұрын
Mungu akuondelee sawasawa na mapenzi yake🙏🙏
@SesiShayo
@SesiShayo 4 ай бұрын
😭😭😭😭
@user-ej6ov9tf5c
@user-ej6ov9tf5c 4 ай бұрын
😢😢😢
@janetnashi299
@janetnashi299 11 күн бұрын
Can't get enough of her songs
@sandrakateslopez2488
@sandrakateslopez2488 4 жыл бұрын
Wakenya wenye tunaguzwa na nyimbo za Martha tujuane kwa likes🇰🇪
@philisikaah5986
@philisikaah5986 4 жыл бұрын
I always love and get encouraged with your songs Martha may got lift you to a higher standard.
@lydiakemuntookindo3930
@lydiakemuntookindo3930 4 жыл бұрын
Wow
@eunnyfavouredofficial
@eunnyfavouredofficial 4 жыл бұрын
Mimi hapa go go marha such a blessing song
@victoramuyunzu3874
@victoramuyunzu3874 4 жыл бұрын
Hapa nipo.
@millicentmasyo2045
@millicentmasyo2045 4 жыл бұрын
Wacha aishi , sisemi kitu
@vailethsteven6146
@vailethsteven6146 2 жыл бұрын
Wimbo unanikumbusha mbali wakati nimelazw hospital naumw nipo hoi huu wimbo unatoka daaaa ulinifariji kwakweli!! Gonga like hapa kama naww umekutana na jalibu.
@paschalinamoshne5467
@paschalinamoshne5467 3 жыл бұрын
Anae mkubali martha like apa tuwe pamj
@Marsemo
@Marsemo 4 жыл бұрын
Wa kwanza kutoka Kenya,give me a like if you love mamaa
@reallife6849
@reallife6849 4 жыл бұрын
Im second to watch this from kenya
@tinahwanjai167
@tinahwanjai167 4 жыл бұрын
Listening now from Kenya 🇰🇪
@yvonnenabalayo
@yvonnenabalayo 4 жыл бұрын
We are here dear
@joshuakurash6978
@joshuakurash6978 4 жыл бұрын
10
@abbykina3039
@abbykina3039 4 жыл бұрын
Amen
@queenlilian5139
@queenlilian5139 4 жыл бұрын
Nkiwa Kenya kama unabarikiwa huu wimbo plz drop your like hapo
@kenethmichael192
@kenethmichael192 3 жыл бұрын
Naguswa sana tyu!!!
@zabronmangara7671
@zabronmangara7671 3 жыл бұрын
@@kenethmichael192 ⁰⁰⁰⁰
@eliajehova8533
@eliajehova8533 3 жыл бұрын
Me also i like this song God bless you Martha I am from arusha Tanzania
@patrickwamalwa5254
@patrickwamalwa5254 3 жыл бұрын
Ninyimbo nzuri sana
@daddahbalesa1718
@daddahbalesa1718 3 ай бұрын
Hits zake of late zina mvuto mkubwa sana, nashindwa hata nianze kuskiza ipi kwanza...every hit of hers is super❤❤❤
@hillaryodhiambo1909
@hillaryodhiambo1909 2 жыл бұрын
Usiniache Baba,naishi na watu wasio jua maumivu yangu ata licha ya kuwaeleza 😭😭😭
@edinahmoraa477
@edinahmoraa477 3 ай бұрын
Wimbo zake dad's mwaipaja unitia ngufu sana ,kupitia wimbo zake nimeokoka
@user-iy6dz2zy6f
@user-iy6dz2zy6f 21 күн бұрын
Same here 🤗
@puritykarimi8058
@puritykarimi8058 Жыл бұрын
Ingawaje inaumiza, ee Yesu wangu mkumbuke ndugu yangu, kumbuka sala zake. Alipotoka ni mbali. Umjalie afya nje a na maisha mema. Tunakulilia ee Mungu utuondolee majanga haya yote kwani yanaumiza moyo. Tutakuwa washindi kwa kuwa wewe sio binadamu. This storm will pass. Usituache Yesu. Amina
@asumptakapinga3880
@asumptakapinga3880 2 жыл бұрын
Sichoki kusikiliza huu wimbo jamani kwa kweli unanipa faraja,
@bafidelcastro1304
@bafidelcastro1304 Жыл бұрын
Wimbo huu wanipa kujua maumivu na majaribu ni ya muda na yatakwisha
@rispathequeen
@rispathequeen 4 жыл бұрын
Very powerful song watching through KZbin in Qatar Doha but from Kenya.nipe hyo like ya Martha plis be blessed.
@lydiashisia2169
@lydiashisia2169 4 жыл бұрын
"Naishi na kutembea kati ya watu, wasiojua ni nini ninapitia.Maumivu haya YESU wayajua".My sister martha be blessed.lnjili mbele.
@lydiakemuntookindo3930
@lydiakemuntookindo3930 4 жыл бұрын
I,was just waiting this video too ,hugs to u mum ,u can never fail us ,l will share it riht now to my fb
@timothychavaya9546
@timothychavaya9546 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema na mwaminifu hatokubali jaribu linimeze.Barikiwa Martha. Niko Naivasha Kenya
@geradhamis4417
@geradhamis4417 4 жыл бұрын
Yan dad napenda sana unavo imba nabarikiwa San namungu akubarik kwautunish sailors na mim napenda sana kuimba jaman batsman kuwa muimbaj jaman maisha maref madha
@khadijazahor4722
@khadijazahor4722 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sn
@narto6553
@narto6553 3 жыл бұрын
@@lydiakemuntookindo3930 gvru
@deborahhatungimana4113
@deborahhatungimana4113 Жыл бұрын
🇧🇮 nakupenda sana dada yangu tena nyimbo zako hua zinanibaliki sana .songa mbele dada yangu
@moshanaaman5588
@moshanaaman5588 3 жыл бұрын
HUUWIMBO UMENIACHA NA MACHOZI KWAKWELI MUNGU AKUBARIKI SANA DADA YANGU.
@fauzia2117
@fauzia2117 Жыл бұрын
This song makes me cry anytime I know what am going through bt I force myself to laugh to please people that am fine 🙏😭😭God usiniache 🙏🙏🙏
@janetjoseph409
@janetjoseph409 4 жыл бұрын
Mara ya kwanza kucomment nipe like
@FfFf-kt1vx
@FfFf-kt1vx 3 жыл бұрын
Asante sana ndugu
@JamesHamis-hz3yz
@JamesHamis-hz3yz 3 ай бұрын
​@@FfFf-kt1vx😢😮🎉🎉😢😮 fight you hbhggfy tu hot
@JoaquimCristovaoCristovaojoaqu
@JoaquimCristovaoCristovaojoaqu 4 ай бұрын
Usituaje baba yesu, 🇲🇿💯 moyo wangu unatesseka,
@DannyChisanga-km2cw
@DannyChisanga-km2cw 10 сағат бұрын
My favorite gospel musician in Tanzania ❤❤🎉🇿🇲
@daudimaswa3649
@daudimaswa3649 4 жыл бұрын
Nyimbo nxur Sana like zangu watumish au wateule wa mumgu
@mariagirljohn1168
@mariagirljohn1168 4 жыл бұрын
Kiukweli nabalikiwa sana na nyimbo zako
@edwinngash3318
@edwinngash3318 4 жыл бұрын
Be blessed and keep on blessing us #Kenya.
@rosierosie8118
@rosierosie8118 4 жыл бұрын
@@mariagirljohn1168 on oooh I km kook I oo 9omo9o Llk1 IL gp bkbm;@lp99oo{oooomlllnlyngnglgglg Gccccfgl Llgoo 6th 90ok99oo9
@rosierosie8118
@rosierosie8118 4 жыл бұрын
@@mariagirljohn1168 I) I 9 Koji oi6ok8ki
@emmanuelchuwa4064
@emmanuelchuwa4064 3 жыл бұрын
We
@hopekenndanu3057
@hopekenndanu3057 3 жыл бұрын
Who is hear 2021 Baba usiache jaribu iniumize... Tupiganie yesu
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 7 ай бұрын
I seee yaaan nikiw na stress izi nyimbo zinaniweka sawa ila nikiw sawa namskza diamond na marioooo daaaa😢.MUNGU ATUSAIDIE
@olivermwakyonya5683
@olivermwakyonya5683 3 ай бұрын
Mungu akusaidie unapomkumbuka wakati wa jaribu umkumbuke pia wakati limeisha
@christellemuland9425
@christellemuland9425 2 жыл бұрын
Bwana yesu abariki na awongeze atuwa iyi tena 🧖maana inatufaridji 💯
@bucumidelphine2299
@bucumidelphine2299 4 жыл бұрын
jamani warundi ambao wanabalikiwa na nyimbo za Martha gonga like Mungu akulinde mama nyimbo zako zinagusa myoyo yetu. Asiniache mwanao maana majaribu niliyonayo bila yeye naweza nikapotea
@aimerancejuma1050
@aimerancejuma1050 3 жыл бұрын
Rs
@verdianavianhezron5186
@verdianavianhezron5186 11 ай бұрын
Be blessed Martha
@elardmadeez3382
@elardmadeez3382 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri saana #Marthamwaipaja Nyimbo zako zinanibarikigi saana MAUMIVU YA JARIBU JAPO IBRAHIMU ALIITWA BABA WA IMANI ALITESEKA NA ALILIAA SAANA
@user-mz6yr2so7p
@user-mz6yr2so7p 7 ай бұрын
Glory to be God Aki wewe nyimbo zako kwakweli sinaniinua kiimani barikiwa mama wee hapa kenya umeshika . Usiniaje yesu
@user-cw6sp3hw9x
@user-cw6sp3hw9x 4 ай бұрын
Dada Martha asant sana kwa wimbo huu nilikatatama kwenye hii dunia ila wimbo huu umekuwa faraja kubwe nakupenda sana❤❤❤❤❤❤❤❤
@franciswathika1202
@franciswathika1202 2 жыл бұрын
Halleluyah 🙌 My favourite.. Only God knows, only Him understands the human heart... The bible says Deut 32:39 See now that I, even I, am he, and there is no god with me: I kill, and I make alive; I wound, and I heal: neither is there any that can deliver out of my hand. Anayajua unayopitia, na ni mwaminifu kukuvusha kunako heri... Asante sana Martha kwa kukubali kutumika kwa kazi ya Mungu.. your songs are a great blessing.
@msingipentecostal8537
@msingipentecostal8537 8 ай бұрын
Kweli tuñainuliwa miyoyo yetu. Inapojeruhiwa, kupitia ujumbe huu tunapona jeraha amen PST Ann kilifi
@liliannyawira4244
@liliannyawira4244 11 ай бұрын
Thank you Lord for always being there for me🙏🙏🙏
@LydieLubambula-ij2xt
@LydieLubambula-ij2xt 3 ай бұрын
Moyo Wangu una teseka bwana usiniyatshe Nika mezwa n'a djaribu😭💔💔🧎🧎🧎🙏🙏
@leilakombe9379
@leilakombe9379 7 күн бұрын
mungu atuwezeshe tushinde maana kwa aajili ya Bwana kushinda ni lazima,,, team gulf from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏
@shanvickline1184
@shanvickline1184 4 жыл бұрын
The UPAKO in this lady's ministry is in another level. Barikiwa Martha
@marynjuguna4866
@marynjuguna4866 3 жыл бұрын
1
@mgetayohana648
@mgetayohana648 3 жыл бұрын
@@marynjuguna4866lol of
@davidmooreggaa8815
@davidmooreggaa8815 3 жыл бұрын
@@marynjuguna4866 )))g)))))) g))))))))))))) g)))))))) g) gig) GA
@maggymaggy9825
@maggymaggy9825 4 жыл бұрын
I love ur songs... Blessings from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@marthangoliga2349
@marthangoliga2349 2 жыл бұрын
Mwenye naitwa Martha nyimbo zawajina zinanibariki sana natamani hata kupata kibari tuimbe wote
@charlesbarasa4780
@charlesbarasa4780 Жыл бұрын
whatecer you ask will be answerable
@arianagracejotham4692
@arianagracejotham4692 2 жыл бұрын
Huuu wimbo unaniliza kila mara sababu ninayo pitia ni mengi
@mercymsanzu6944
@mercymsanzu6944 Жыл бұрын
Barikiwa san mtumishi wa Mungu... Mungu azidi kukuinua unapopungua na Mungu aongezeke ndan yako napenda san nyimbo zako Amen
@StephenKasolo
@StephenKasolo 4 жыл бұрын
Oooo Yesu wewe ndo unaelewa
@estergimbagu1608
@estergimbagu1608 3 жыл бұрын
Uko vizr
@puritykamau8431
@puritykamau8431 3 жыл бұрын
I never get bored I love them
@susankitila8684
@susankitila8684 3 жыл бұрын
Mungu akubariki dada Martha
@narto6553
@narto6553 3 жыл бұрын
@@estergimbagu1608 yg
@naomilevoywa6812
@naomilevoywa6812 3 жыл бұрын
Mungu akubarike nasisi tubarikiw
@millicentbaya7065
@millicentbaya7065 10 ай бұрын
This song has come at the right time when am undergoing through turmoil... Heavenly Father,,am at your feet,,I pray that you heal my heart,, Lord my trust is in you 🙏
@mwanzajosephine468
@mwanzajosephine468 3 жыл бұрын
Hakika Eeee baba usituache tukamezwa na jaribu ,barikiwe dada Martha nakuinue Tena viwango vya juu zaidi,,, niwakati umeruhusiwa kupita ktk Hilo hope moyo asubuh yenye pambazuko yaja
@evancejohn9304
@evancejohn9304 3 жыл бұрын
Amen Amen Jaman Kam Unabarikiwa pig Like
@virginiakariuki6479
@virginiakariuki6479 2 жыл бұрын
I love this song especially when going through tribulations. I was going through lots of challenges at work and it was my favorite song always . I thank God that now they are witnessing God's faithfulness in my Life. Hallelujah
@franciswathika1202
@franciswathika1202 2 жыл бұрын
Amen.. His faithfulness is amazing
@agnesishimwe4204
@agnesishimwe4204 Жыл бұрын
The same to me
@jenifamuia2286
@jenifamuia2286 Жыл бұрын
Am going through this right now at my work place
@patriciagodfrey8691
@patriciagodfrey8691 4 жыл бұрын
Dada Martha.. huu wimbo dada uwiii🙌🙌🙌😭😭😭
@fatumaunabdi1840
@fatumaunabdi1840 3 жыл бұрын
Unanigusa San hu wimbo
@ishabellasanguli8481
@ishabellasanguli8481 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@wafula12
@wafula12 Жыл бұрын
hili jaribu linaumiza moyo japo limeruhusiwa na wewe lkn inatesa moyo,nitie nguvu Mungu wangu lisije likanimaliza,hashukuliwe mungu kwa upendo wako kwangu,najua hautaliacha jaribu linimize
@jeanneuwimana6655
@jeanneuwimana6655 Ай бұрын
Usituache Yesu please 😢😢
@raphaelmwenda4049
@raphaelmwenda4049 Жыл бұрын
This song is just acting like a cure and revival of broken hearts and depressed minds. God bless you amazingly Servant ♥️♥️♥️🙏🙏🙏
@sylviawangu4410
@sylviawangu4410 3 жыл бұрын
Ooh Lord I plead this night this temptation is way to heavy 😫😪 come and bring laughter once it dawns.
@Andicala
@Andicala 9 ай бұрын
Mungu, mimi ata sifahamu nilipo, kesi yenyewe siielewi ila wewe waelewa. Yesu usiniache nitoe kwa hii jela. Nitetee Baba
@emmycharles8463
@emmycharles8463 3 жыл бұрын
Asante Mungu kwakuruhusu 2021niwe mjane Baba yangu mm nmekubali kupitia haya ucniache
@queenmsumary3064
@queenmsumary3064 4 жыл бұрын
Ameen nyimbo za dada math kiukweli zinanibariki sana nikipitia mapito na majalibu huwa napenda kusikiliza nyimbo za math
@chrismutisya
@chrismutisya 3 жыл бұрын
Asante Martha kwa kukubali mwito huu. Mungu akuzidishie neema hii. Wewe ni mfano mwema kwa wasichana wetu katika nyakati kama hizi.
@saraheliud3913
@saraheliud3913 Ай бұрын
Yesu usiniiache please moyo unateseka 😭😭😭😭😭😭😭😭
@magdalenacharles5907
@magdalenacharles5907 4 жыл бұрын
Mungu wangu wayajua majaribu niliyo nayo nakuomba baba uniokoe katika haya majaribu,tazama baba I wapi furaha yangu Mimi tazama baba niokoe katika haya msgumu nimechoka kudharauliwa
@janetjanet8669
@janetjanet8669 2 жыл бұрын
Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa wimbo huu🙏🙏🙏
@obonyoijohngabriel9672
@obonyoijohngabriel9672 4 жыл бұрын
Hallelujah, usiniache baba. I can’t even tell how many times I have played this song since morning
@auntycaro9582
@auntycaro9582 2 жыл бұрын
You are my role model mum,nyimbo zako zinanijaza nguvu kila siku nasonga japo safari ni ngumu nachoka lakini nakusikiza na kuendelea barikiwa sana
@aderinacharles9415
@aderinacharles9415 2 жыл бұрын
Japo maumivu haya yesu wayajua lakini moyo wangu unateseka, aisee barikiwa sana dada martha, huu wimbo wangu kabisa
@heriethinnocent3283
@heriethinnocent3283 4 жыл бұрын
Nakupenda dada Martha . Usituaxhe wanao tukapotea. Nenda na sisi YESU , nenda na sisi baba, jaribu linachoma. Ubarikiwe sanaaaaa my lovely Dada
@graceadhiambo1614
@graceadhiambo1614 4 жыл бұрын
Wow wimbo mzuri wakunutia nguvu katika imani, mungu akubariki sana Martha.
@sizbentahatieno9635
@sizbentahatieno9635 Жыл бұрын
huu wimbo unifariji sana Martha God bless you
@minzasamwel6874
@minzasamwel6874 7 ай бұрын
❤❤❤❤nililala 😢ninalia baada yakutazama😢bali nikamwangalia😢yesu 😢😢nikaona neema ya yesu wangu asate martha ♥️ 😀 sasa😅nina ❤❤cheka asate ❤❤martha Mwaipaja
@margaretnekesa8645
@margaretnekesa8645 Жыл бұрын
I love the simplicity of this woman in her dressing
@Grace-bc4os
@Grace-bc4os 2 жыл бұрын
This song blesses me.......... naishi katikati ya watu wasiojua ninayopitia.....
@minzasamwel6874
@minzasamwel6874 7 ай бұрын
I love you martha Mwaipaja mungu akupe zaidi ya usafiri salama ukawape na wengine neno la mungu 😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@SarahMhyeni-xm5bb
@SarahMhyeni-xm5bb Жыл бұрын
Love my cause unanifanya nishinde majaribu kupitia nyimbo zako Mwenyezi Mungu akulinde na kukuongoza Amina
@juliusneymar8424
@juliusneymar8424 4 жыл бұрын
+255- Toka nkufahamu hujawah kosea dad angu martha mwaipaja ⛪⛪
@lucassteven3455
@lucassteven3455 3 жыл бұрын
Hakika hakoseagi
@Jescah-xp6bb
@Jescah-xp6bb Жыл бұрын
Matha maisha uliopitia ndio napitia Sasa nampenda mungu wangu sana matamanio ya moyo wangu ni kumuimbia natamani kukuona angalau tu uniongeleshe..from Kenya.
@marwamairabe2282
@marwamairabe2282 Жыл бұрын
Dada Martha Mwaipaja nyimbo zako zote zina utukufu sana! Hakika umeshadumu kwenye huduma ya uimbaji Kwa miaka mingi Mungu akubariki
@blessedkenya8640
@blessedkenya8640 4 жыл бұрын
Kwa kweli nyimbo zako zote ziko na ujumbe mzuri wa kutiya moyo mungu akubariki Dada Kenya tukolocked kabisa
@francisopio3943
@francisopio3943 Жыл бұрын
Her music moves my soul from weaker to stronger
@mildredwekesa3357
@mildredwekesa3357 3 жыл бұрын
Yesu 2 ndiye ajuaye maumivu yangu.Martha ubarikiwe unanitia moyo liche yanauma bt najua c mie pekee
@TinaTina-yk1ur
@TinaTina-yk1ur 4 ай бұрын
Huu wimba inani bariki sanasana wakati kama huu naona nalus hope in life Asante mungu
@wekesaprotus3734
@wekesaprotus3734 3 жыл бұрын
Nyimbo sako situba ngufu sana Mimi na famili yangu tukiwa Uganda . Mungu ukepe maisha marefu
@easternyoni4268
@easternyoni4268 3 жыл бұрын
Mungu akubaliki
@kenitomusiq9403
@kenitomusiq9403 4 жыл бұрын
Usiniache Yesu😥🙏
@victoriageorge5802
@victoriageorge5802 3 жыл бұрын
Hakuna asiye na jaribu ktk dunia hii ,isipokua Mungu yeye anatosha kutupigania.naipenda saana.
@Angelina35789
@Angelina35789 Жыл бұрын
Story of life like Ibrahim moyo wangu unavuja damu 🧎🏾‍♀️🧎🏾‍♀️🙏🙏🙏😭😭😭
@jeniphernjeri4910
@jeniphernjeri4910 2 жыл бұрын
Blessed be the Almighty for making you His mouthpiece to pass His love, Joy and blessings to us through all your songs May your heart revels it all to us who are not strong in faith "AMEN"
@emillygreatfavour3421
@emillygreatfavour3421 4 жыл бұрын
Usiniache nikamezwa na jaribu..your songs are the simply the best.🔥🔥
@salmaluhombero8466
@salmaluhombero8466 3 жыл бұрын
Amina hawajanielewa majaribu ninayoyapitia yesu naomba usiache hili jaribu likanimeza Alleluyah
@palomablanca6679
@palomablanca6679 3 ай бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zako dada Mungu akuzidishie
@puttenyanthony9284
@puttenyanthony9284 4 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sanaa dada matha hakuna ajuae maumivu ya jaribu ata ukumueleza mwenzio hawez feel venye unavofeel but mungu aliruhusu jaribu kama kipimocha imani
@ishabellasanguli8481
@ishabellasanguli8481 3 жыл бұрын
Oooh yes Jesus ww ndio unajua maumivu yangu😭😭😭
@khadijakhamis6600
@khadijakhamis6600 3 жыл бұрын
Martha nyimbo zako zimenifanya niokoke kila kitu kimebadilika kwa maisha yangu kweli kwa yesu Kuna raha
@emmaculateoseno8866
@emmaculateoseno8866 3 жыл бұрын
Japo yameruhusiwa nawe yanaumiza moyo Mungu. Am touched from Nairobi kenya
@boazwanakacha1744
@boazwanakacha1744 2 жыл бұрын
This song has remained to be my comfort since I lost my mother God bless you Martha.
@selineachieng1239
@selineachieng1239 4 жыл бұрын
Another song again!!!!....God is making wonders in your life as you move from glory to Glory..... Usituache mungu tumezwe na karibu!!!hallelujah
@philipbarasa2234
@philipbarasa2234 4 жыл бұрын
dada martha nyimbo zako hunifariji sana,natazamia siku moja tutakutana nikusalimu ukizuru kenya
@margaretwanjiru451
@margaretwanjiru451 Жыл бұрын
Listening to this song in saudi arabia I wish my boss knew how my heart is troubled I fake my smile everyday but naamini mungu ako pamoja na mimi
@anthonyzambi4415
@anthonyzambi4415 4 жыл бұрын
Watoto wa nyumba MBEYA, tumchapie YESU MAKOFI SHANGWE KWA YAHWE
@023CultureTV
@023CultureTV 2 жыл бұрын
what a blessing I get from listening this song. be blessed abundantly my sister mwaipaja for spreading God's work through the talent He gave to you.
@everlyneetiangi7381
@everlyneetiangi7381 7 ай бұрын
Huu wimbo unanigusa sana niko katika kipindi kigumu unanipa nguvu kuendelea kwa safari
@rachealmwakandu4732
@rachealmwakandu4732 2 жыл бұрын
Usiniache mimi binti yako Baba nikapotea. Amen
@janeroseodhiambo9878
@janeroseodhiambo9878 Жыл бұрын
I have seen your hand God ... you have kept me under your pavilion...glory to you in Jesus name! This song is my comfort in tribulations, persecutions and all indimidations... I remain a victor and triumphant ..my system knows it wherever I type j...Hallelujah! Martha be blessed.
@jean-lucmuyumba373
@jean-lucmuyumba373 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mutumishi wa mungu, que le seigneur dieu vous bénisse et votre façon de chanté me fait vraiment du bien: good !
@Angelina35789
@Angelina35789 Жыл бұрын
Baba usiniache moyo wangu unavuja damu nateseka mnooo ila watu hawajui nini napitia nimechoka na maumivu haya mpaka lini 😭😭😭😭🧎🏾‍♀️🧎🏾‍♀️🧎🏾‍♀️
@tumainanthonychanya60
@tumainanthonychanya60 3 жыл бұрын
Umenivusha sana mapito na jaribu vinashusha Iman yangu ,ukweli umenitoa chozi
@oliviarygs4458
@oliviarygs4458 4 жыл бұрын
You can't convince people only Holy spirit can help, all the love from 🇺🇬🇺🇬🇺🇬, only God knows how much I love this lady, may God continue to bless you dear as you bless our souls!
@sylviakadeha3261
@sylviakadeha3261 4 жыл бұрын
Amen..Olivia.
@salomeogutu8490
@salomeogutu8490 3 жыл бұрын
Aleluyah 🙏🙏
@narto6553
@narto6553 3 жыл бұрын
Fjithhhtgrf
@patriciawanjiru8642
@patriciawanjiru8642 2 жыл бұрын
Amen amen
@esthernambeye3477
@esthernambeye3477 3 жыл бұрын
Lovely song hauji kuisha
@josephinemacha7112
@josephinemacha7112 2 жыл бұрын
Eeh Mungu jaribu linatesa, usiniache eeh Yesu jaribu likanimeza.
@shaddytuukuo5219
@shaddytuukuo5219 Жыл бұрын
Nyimbo hii inaguza sana kila ninapo skiza naskia uwepo wa Mungu juu ya mambo ninafanya
@meryfrank5272
@meryfrank5272 3 жыл бұрын
MTUMISH izi nyimbo zako zinabariki kwel, mungu anue huduma yako zaidi na zaidi
@Revnakokuabwa
@Revnakokuabwa 11 ай бұрын
mungu akutie guvu uimbe nazigine zaidi
Martha Mwaipaja  - HATUFANANI (Official Video)
7:24
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 10 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 4,8 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 112 МЛН
Martha Mwaipaja - Sipiganagi Mwenyewe (Official Video)
7:39
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 20 МЛН
Bony Mwaitege - Safari Bado (Official Music Video) ft. Bahati Bukuku
7:52
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 6 МЛН
Nitofautishe - Martha Mwaipaja (Lyrics Video)
6:26
Sacred Sounds
Рет қаралды 18 М.
Martha Mwaipaja -Naiona Kesho (Offical video)
9:14
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 5 МЛН
Martha Mwaipaja Tulikotoka Ni Mbali
7:33
Wyldpytch Rekords / 51 Lex Records
Рет қаралды 737 М.
Martha Mwaipaja -  NI MUNGU AMETAKA ( official video )
6:25
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 765 М.
Martha Mwaipaja  - ADUI (Official Video)
6:20
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 7 МЛН
Martha Mwaipaja - CHA KUTUMAINI SINA (Official Video)
5:53
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 1,7 МЛН
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
3:26
JYP Entertainment
Рет қаралды 64 МЛН
Malohat
3:35
Xamdam Sobirov - Topic
Рет қаралды 1,3 МЛН
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 1,3 МЛН
Kenjebek Nurdolday & Baller - sokpe#сокпе#сөкпе
3:10
Kenjebek Nurdolday
Рет қаралды 169 М.