No video

MASANJA SIPENDI MKEWANGU ASHIKE SIMU YANGU

  Рет қаралды 138,365

FEEL FREE CHURCH Dar es salaam

FEEL FREE CHURCH Dar es salaam

Күн бұрын

MASANJA SIPENDI MKEWANGU ASHIKE SIMU YANGU

Пікірлер: 190
@jennifersindano5135
@jennifersindano5135 2 жыл бұрын
Hapana that is wrooooong.Wewe in mtumishi honesty is number one!ukifeli hapo Hamna ndoa!!!
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 10 ай бұрын
Umenena vema mtumishi ,hata sheria haimruhusu mume ama kushuka simu ya mwenzake! Ila wapumbavu hawaelewi
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 22 күн бұрын
Masanja yuko sahihi mimi nimeokoka.
@mamak2466
@mamak2466 2 жыл бұрын
Masanja acha kupotosha wanandoa ukiona mwanandoa anaficha sim yake ujue sio mwaminifu.
@juliuskindole4160
@juliuskindole4160 Жыл бұрын
Mafundisho ya kutokushika simu ya mkeo au mumeo ni ya watu ambao hawajaokoka mtumishi, hii sio sawa. Being honest ndo kinachotakiwa kwenye ndoa. Shetani hapaswi kupewa sifa hata ambazo hastahili. Kama uko honest na mkeo au mumeo hata ije sms ya aina gani kama kuna kuaminiana kati yenu haiwezi kuwababaisha.
@JohnMchopa-yc5cw
@JohnMchopa-yc5cw 6 күн бұрын
Hawa watu ambao wanafikiri kuelewana na watu na kufuatwa na watu ndo utumishi Wana shida sana wanasema kuwafurahisha watu wao! Watu wa Mungu mume na mke ni wa Moja,kwa Nini simu iwe sumu kushika? Mungu tusaidie tuseme kweli kuliko kupendeza watu.
@rahabusimonie5508
@rahabusimonie5508 3 жыл бұрын
ktk kitu shetani amewaweza watu wengi ni roho ya uzinzi ht watumishi wameshindwa jinsi ya kutafundisha
@joshuashisa4166
@joshuashisa4166 3 жыл бұрын
Hapanaaa hapana ayo mafundisho
@edwarddaniel7459
@edwarddaniel7459 Жыл бұрын
Interested lesson bishop massanja
@kajiratv5978
@kajiratv5978 3 жыл бұрын
Hapo kwenye simu si kweli
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 22 күн бұрын
Nyie mnaopiga ni waongo,elewa kila mtu anawivu na wivu ni dhambi,kuna watu wanaweza kutuma sms kwa kugombanisha na anajua umeoa au kuolewa,mwingine amechukua no mwanzoni kwa nia njem saa lkn mbele sms zin
@tausimwangwale1575
@tausimwangwale1575 2 жыл бұрын
Mtumishi wa mungu naomba maombiyako angaraunipate faraja ninashida sana
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa 2 жыл бұрын
Ni umalaya ndio unawafanya mfiche simu. Hapo hakuna cha mchungaji wala cha nini...
@zeddybass6672
@zeddybass6672 2 жыл бұрын
Na nyie simu zenu za magumashi zinaingia kwa shost 😂😂😂😂
@williamhalinga3584
@williamhalinga3584 2 жыл бұрын
anayepingana na maneno ya mtumishi ni mwanamke koloboi
@maigajohn5828
@maigajohn5828 Жыл бұрын
Uko sawa good point
@mamawadudu48
@mamawadudu48 2 жыл бұрын
Masanja wafundishe watu vitu vya kuwapeleka levo nyingine. Levo ya kutovurugwa hata wakiona kitu cha ajabu kama meseji mbaya kwenye simu. Simu lazima uwe huru kwa kila mmoja katika ndoa. Hata kamabwe wewe umefeli hapo usitake wote wafeli. Simu iwe wazi. Mapenzi yakiingia woga woga yanakua hayana radha.
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 2 жыл бұрын
Sawa kabisa.
@eliamkonda5162
@eliamkonda5162 2 жыл бұрын
🤣🤣 daah huyu mchungaji balaaa
@user-cn6db7wt7h
@user-cn6db7wt7h 7 ай бұрын
Asante mungu na azidi kukutumia mtumishi
@boncenagottalent
@boncenagottalent 2 жыл бұрын
Katika makanisa Yana ongoza kwa huduma nzuri na kubariki ni hapa Amina baba askofu
@msomimosomy9812
@msomimosomy9812 3 жыл бұрын
Yaani dini zimeingiliwa
@user-hw2du2ze7l
@user-hw2du2ze7l 2 ай бұрын
kabisa
@elizabethmassawe5448
@elizabethmassawe5448 3 жыл бұрын
Hapa hapana kwa kwel
@lusekelodaison8159
@lusekelodaison8159 3 жыл бұрын
Yes ni kweli kabisa, ninachoamin Shetan huwa anatuzunguka muda wote kwaajili ya kuvuruga mpango wa Mungu, ninachoamin ni kwamba nikuamua kukata daraja litakalo mfanya shetan avuke kwa urahis hapo, kila mtu abaki na chake
@brotherisaiahtv
@brotherisaiahtv 3 жыл бұрын
Hiyo cheni hapana inashusha hadhi
@kongs.9595
@kongs.9595 Жыл бұрын
KUMBE SIMU SIO SEHEMU YA SIRI MWISHO WA SIKU KILICHO NDANI YA SIMU KINAJULIKANA HATA KAMA HUKUTAKA KUKIJUA
@irenesumari5722
@irenesumari5722 3 жыл бұрын
Kwan tuliambiwa mume na mke ni mwili mmoja isipokua cm au. ????.
@msomimosomy9812
@msomimosomy9812 3 жыл бұрын
Masanja naye niaskofu
@julytito3891
@julytito3891 3 жыл бұрын
Na kama huna mission ya Siri kwann upate hedec Sasa jmn ,,hi kama sijaelewa vile
@christianchando7041
@christianchando7041 3 жыл бұрын
Yuko sahihi kabisa. Mwenzako anaweza akawa hana tabia yoyote mbaya. Lakini ibilisi tu akaamua kumtumia mtu kuwavuruga. Mtu anaweza kukutumia sms ya mapenzi ingawa ww hujawahi hata kumuwazia kwa namna hiyo.
@rodinemahega9925
@rodinemahega9925 2 жыл бұрын
Sasa wewe kama mwaminifu kwanini hutaki mkeo ashike cm yako.?
@opulentprudent612
@opulentprudent612 2 жыл бұрын
Sasa penyewe kwann aishike??
@williamhalinga3584
@williamhalinga3584 2 жыл бұрын
amewapa mifupa badala ya maziwa ndo maana wachangaa kiimani hawajamuelewa kabisa mtumishi wa Mungu
@peterjackson5307
@peterjackson5307 2 жыл бұрын
Nimekuelewa vizuri mtumishi wa MUNGU
@jeanettegloria6244
@jeanettegloria6244 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 17 күн бұрын
Wee malaya tu anapaswe hivyo
@michaelnzali7781
@michaelnzali7781 2 жыл бұрын
masanja nakubali ujumbe mzuri
@user-zc1xq8xk1i
@user-zc1xq8xk1i 8 ай бұрын
Mtu kama umemuoa ni kweli kakupenda,waliobaki wanajikombakomba
@ramadhanisimile7205
@ramadhanisimile7205 3 жыл бұрын
Umeongea point sana
@prosperjuma905
@prosperjuma905 3 жыл бұрын
Kazi kweli kweli.
@samrecordvwawa9133
@samrecordvwawa9133 3 жыл бұрын
Unajua wewe nakuelewa sanaaaa
@rehemarashidi7391
@rehemarashidi7391 2 жыл бұрын
Amen wakubwa tumekuelewa
@humphreymollel2394
@humphreymollel2394 Жыл бұрын
Hata mimi sitaki urafiki na simu yangu kwa mwanamke na mimi c taki maziwa na ya kwake
@elkanakilumbe
@elkanakilumbe 2 жыл бұрын
Msifundishe kitu ilikikubaliwe na watu wengi, fundisheni neno la Mungu sawasawa na neno lake. Nini maana ya mwili mmoja? Walimwengu watufundishe kuwa vitu vingine tuvifiche kwa wenza wetu hata kanisani tunanafundishwa mafundisho hayo hayo...what will make the difference?
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 2 жыл бұрын
Sio kweli kabisa ni kuendeleza uzinzi na Uasherati tu.
@inviolatamalifa6871
@inviolatamalifa6871 Жыл бұрын
Libarikiwe na tumbo lililokuzaaa baba nakuelewaga Dana.
@charlesnkasi9904
@charlesnkasi9904 3 жыл бұрын
Nakubali sana haha
@walterkweka787
@walterkweka787 2 жыл бұрын
Hizi ni nyakati za Hatari...sio kila kitu cha Kusikiliza wapendwa
@jolemerci2155
@jolemerci2155 Жыл бұрын
Umeongea kweli sio kila neno la ku sikiliza maneno yake ni inasikika kama vile nyoka alimujiaga eva kamujia kama ni kwa kweli kumbe kumuangamiza eva
@user-hw2du2ze7l
@user-hw2du2ze7l 2 ай бұрын
Ni kweli kabisa ndugu
@user-hw2du2ze7l
@user-hw2du2ze7l 2 ай бұрын
ni kweli kabisa ndugu
@jaberjohn7556
@jaberjohn7556 3 жыл бұрын
I support you masanja.
@ednahamisi7288
@ednahamisi7288 2 жыл бұрын
ujiamini mtumishi ,
@danyohanatv1926
@danyohanatv1926 Жыл бұрын
Mtumishi unajitetea ili uwe huru zaidiiii
@mariamswedi1140
@mariamswedi1140 2 жыл бұрын
Kwa hyo ndio mkeo asishike cm wkt mmeokoka mh siamini juu ya hilo ukiwa serious na Mungu hta hayo unayoyaongea ma sms hayata kupata unakuwa na upako wa roho mtakatifu ujinga ujinga hauta kufata
@apostleadamgige4662
@apostleadamgige4662 2 жыл бұрын
Hilo ndio neno sahihi,
@user-up8uq3ih2i
@user-up8uq3ih2i 8 ай бұрын
Umevaa nini hiyo shingoni nawee unavaa bizaa za yezeberi, huelewek vaa Kwa ufunuo wa roho, halafu unanyoaje hivo, rudi katika njia
@sabihaibrahim3393
@sabihaibrahim3393 2 жыл бұрын
Askofu.sema ukweli hakuna kidume kinashiba kikatosheka na mke mmojaa
@MS.independent8934
@MS.independent8934 2 жыл бұрын
Fact's ✊🏽🙏🏽
@castobenjamin4074
@castobenjamin4074 3 жыл бұрын
Daaah Masanjaa😂😂😂😂😂
@emedizofiretv4406
@emedizofiretv4406 3 жыл бұрын
😂 😂 😂 😂 😂 MASANJA YOU IS A BEST PASTOR IN TANZANIA Mwanawane..... FROM RUJEWA MBARALI MBEYA
@fredrickjohnson2692
@fredrickjohnson2692 3 жыл бұрын
Best pastor for which? Masanja is wrong for this coz this is a church not a club.you can't teach the clue of church to hide a sins and advising them to stay in fear at all. Good man of God, knows the actual meaning of Jesus and his freedom when confessed to hive.we should teach people to put them free from sins instead of growing them in a serious problems. Hiyo ni dhambi msishabikie.mimi nikioa siwezi kuwa naficha simu au naogopa kushika cm ya mke wangu kwanini? Hujui kuwa ipo siku yatakuwa mazito zaidi akichungulia simu yako akaona msg? Acheni kutunza hofu ktk vifua vyenu.tafuteni Uhuru ambao utawafanya mtambulike kuwa mfano wa kuigwa. Ukikuta umeoa Halafu Kuna msg za hovyo ujue kuwa bado wewe ni kihuni na huenda unatongoza huko mitaani husemi umeoa.ko tuache mafundisho ya kishetani mnaudhi sana ninyi. Kila KANISA now wanataka pesa tu,wanapotosha ukweli wa wokovu hawasemi kwwli kozi wao wanatenda dhambi na wanasimama madhabahuni. Washindwe kwa jina la yesu.wanamchafua yesu kristo.
@emedizofiretv4406
@emedizofiretv4406 3 жыл бұрын
Sikupingi mawazo yako. ila hicho unacho kiona kwako ni sahihi na kina manufaa ndoa yako itakua iko mbali....... ila pastor MASANJA alikua anatoa tahadhari kwa kile anacho kiona kinapelekea ndoa nyingi kuvunjika na si kitu kingine. Sasa basi kama maono yake yapo katika simu, ulitaka awafundishe maono yako wakati yeye anaona kitu kingine kwenye ndoa nyingi....?
@fredrickjohnson2692
@fredrickjohnson2692 3 жыл бұрын
@@emedizofiretv4406 Mtumishi wa mungu hutakiwi kufundisha njia za kutia mashaka Bali unatakiwa kufundisha umoja ktk ndoa na sio watu wazitii njia za udanganyifu.nini maana ya ndoa? Wakristo tumeanza kutoeleweka kozi mafundisho ya siku hizi ni kwa ajiri ya kuuza KZbin tu bila kuzingatia biblia inasemaje. Mnaoshabikia mwili shabikieni lakini je'katika Roho wa mungu kweli hayo ndio mafundisho sahihi? Tuache kuwaamini watu Bali tuwekeze ktk usomaji wa biblia na kutafuta kweli ili tukae katika imani tunayo itambua na sio kushabikia Kama mpira huku wachezaji na wapataji malipo wakiwa wengine. Kinacho uponza ulimwengu ni kukosa maarifa ya kiroho na Uwepo wa Mungu ktk Mioyo ya watu ili waweze kuyatambua mapenzi ya yesu kristo na wawe wasema kweli iliyondani ya wokovu wa kweli kutoka kwa yesu. Ukijituma kuishika biblia na kumiliki maneno yaliyo ndani ndipo utakapo funguliwa njia ya kweli.lakini Sasa usishangae kuona mamia ya watu wapo ktk kanisa woote hawana Nguvu ya mungu wa kweli Hilo tambua na usiwape usahihi kwa maana Wateuliwa ni wachache sana ktk ufalme wa mungu.. Ukikuta ndani ya ndoa mumeanza kuwekeana mipaka ya Mambo yenu ujue ndoa imejaa uovu.maana mke atamtilia shaka mume,na mume atamtilia shaka mke. Basi ikiwa mtakuwa ktk mashaka basic kila mtu atakuwa mtumwa wa dhambi na hataiogopa dhambi maana shetani atayashtakia matendo yenu na kila mtu atatenda dhambi kwa kuihararisha. Ndoa ni umoja kati ya muke na mume,mipasuko hiyo humaanisha tamaa ktk umoja wenu na sio ndoa ya Maagano ya MUNGU. Ahsante sana na mungu aturehemu
@evasanga518
@evasanga518 2 жыл бұрын
Kunakua hakuna haja yakuwa mwili mmoja
@alfamtewa391
@alfamtewa391 2 жыл бұрын
Askofu fekiiiiii
@asteriamhagama3998
@asteriamhagama3998 2 жыл бұрын
Kweli kabic ujumbe mzuri can
@peterivandaud496
@peterivandaud496 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Pastor
@pstrafandelaizer1873
@pstrafandelaizer1873 2 жыл бұрын
Zeeee OG KomeEEEEdi
@julytito3891
@julytito3891 3 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔🙄🙄🙄hivi ushakuwa askofu kumbeee?? Kumbe simple kuwa askofu jmn hongera Sana God be with you servant of God
@teddylameck21
@teddylameck21 3 жыл бұрын
Kuwa na ww kama unaweza
@gracemwafongo4002
@gracemwafongo4002 2 жыл бұрын
Asante mtumishiiiiii
@tausimwangwale1575
@tausimwangwale1575 2 жыл бұрын
Ukovizuri mtumishi
@user-up8uq3ih2i
@user-up8uq3ih2i 8 ай бұрын
Hiyo injili yaufalme au ninini,?
@angelinageorge9479
@angelinageorge9479 Жыл бұрын
aminaa mchungaji
@monicamwandemele2648
@monicamwandemele2648 Жыл бұрын
Kweli kabisa mtumishi
@robinahumphrey9725
@robinahumphrey9725 2 жыл бұрын
Nimekupa
@esterester5490
@esterester5490 2 жыл бұрын
Barikiwa m2mishi umenena
@charlessheks7166
@charlessheks7166 Жыл бұрын
Ukome kufundishaivitena...
@festonkandonga85
@festonkandonga85 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa mimi ni moja ya watu wasiopenda simu yangu kushikwa wala kuchunguzwa chunguzwa na bahati nzuri na mie sipendi kushika shika simu ya mtu wangu wa karibu
@sifamtasha4291
@sifamtasha4291 3 жыл бұрын
Mmh sidhani
@jolemerci2155
@jolemerci2155 Жыл бұрын
Ikiwa kati ya mume n'a muke hakuna uaminigu wa kweli ndowa hiyo imeelekea motoni hâta mutabasalu kanisani ila mwisho ni motoni pôle sana mwanadamu kwa ku muasi mungu
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 5 ай бұрын
Hapo sasa mtumishi duh mimi nachezea cm ya mume wangu mpaka basi Sema tu watu sio waaminifu
@chrisdeoglatias8665
@chrisdeoglatias8665 Жыл бұрын
Kuna UKWELI kdg ktk maelekezo YKO lkn tuelewe jambo hili; MME NA MKE WAKUTANAPO ILI KUJUANA HKUNA ABAKIZAE NGUO YYTE" twaelewa maana yke? Maanake n kwamba HKUNA SIRI TNA MIONGONI Mwao,kila Moja n wazi mbele ya mwnzke,hvyo ht kweny mambo mengine n hvyohvyo,kwenye mshahara KUSIWE na Siri,kwenye uchumi,kwenye mahusiano,akaunti za benki mpk mawasiliano KUSIWE na ukuta! Ninamke Bwana amenibariki nae watoto 2 Sasa,kila1 wetu anajua yakwamba anaowajb wke kibinafs mbele za Bwana,ikiwa ameamua kumdanganya akaikabili HUKUMU basi na iwe hvyo,Hilo hutusaidia kila1 kuwa mwangalifu na mwaminifu sio Kwa MWENZAKE tu Bali Kwa Mungu wke kwnza na akiwa mwaminifu Kwa Mungu wke bc Mimi Niko salama. Vle tunavyoaminiana ht msg ya vjana ikiingia,haitupi shida maana tunaijua ikiw mmoja c mwaminifu kw Mungu wke bc ht iweje hawez kuwamwaminifu Kwa mwenza? Km mtu haogopi HUKUMU itishayo milele atawzje kuogopa kukalishwa kikao au kuachika!?
@afandebrighttz2887
@afandebrighttz2887 2 жыл бұрын
Yes Datz True
@christianngao5608
@christianngao5608 2 жыл бұрын
Hapo kwenye simu siungi mkono hoja
@cyrusmichael6906
@cyrusmichael6906 3 жыл бұрын
Kabisa mkandamizaji!
@amanijosiah693
@amanijosiah693 3 жыл бұрын
Mke na mume mwili mmoja haina shida kushika cm ya mwingine
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 3 жыл бұрын
Haina shida? Utanikumbuka siku moja, ukumbuke mwili ni tofauti na nafsi, kuwa mwili mmoja sio kuwa nafsi moja. Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, kuna siku moja mwili mmoja utazikwa kabla ya mwingine ndo utajua kuwa haikuwa mwili mmoja. Wanaposema mwili mmoja lazima uelewe walimaanisha nn?
@williamhalinga3584
@williamhalinga3584 2 жыл бұрын
maana ya kuwa mwili mmoja si kama unavofikiri urapata tabu sana
@alfredibrahim756
@alfredibrahim756 2 жыл бұрын
Mwili mmoja roho tofauti tatizo linaanzia hapo
@gwakisanoah2538
@gwakisanoah2538 2 жыл бұрын
Hoi po ughalile chale,,, lyo ibhangili ilyo? Ulikilosi munda ughwe aseeee! Jhwani akubhinike mwanike? Pinduka lelo mmanyani.
@elizabethkamala9176
@elizabethkamala9176 2 жыл бұрын
Ameen daddy
@winnieamanya1550
@winnieamanya1550 3 жыл бұрын
Weeehh yaani mm napenda huyu mchungaji mpaka basi...I love you truthfulness...yaani ukweli mtupu..simu ya Mme wangu .kwangu SUMU..naiona kama vile mbwa huiutazama msikiti
@apostleadamgige4662
@apostleadamgige4662 2 жыл бұрын
Nyie wote ni wazinzi tu,sio waaminifu ndio maana hamshikiani cm
@esthergrace1455
@esthergrace1455 Жыл бұрын
Duu mafundisho ya siku za mwisho shika sana ulicho nacho tuko ukingoni
@user-zc1xq8xk1i
@user-zc1xq8xk1i 8 ай бұрын
Wachungaji wanatofautiana mitazamo, wewe chukua mtazamo unaoupenda,sio lazima ukubaliane na mitazamo ya masanja, lakini Yuko kweli kabisa
@IsaacLameck-nz8yr
@IsaacLameck-nz8yr 6 ай бұрын
Mchungaji hutaki mke ashike cm Yako ? Kuna nini ? Amna pasta apa Lazima ujiamini na yesu wako
@rosemarymwakitwange6257
@rosemarymwakitwange6257 3 жыл бұрын
Haya sio mahubiri ni majigambo, umbea wa mtaani ma Uswahili kwa jina la Mungu,
@imantom8069
@imantom8069 2 жыл бұрын
Sema limasanja linaubiri fact
@coolbino935
@coolbino935 2 жыл бұрын
Ukitaka mmeo akusaidie kupika chukua simu yake nenda nayo jikoni kuwa kama unatumia kumulikia
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 uuuuwi dah 🤔 umejuwa kunichekesha
@user-yk7wh3or2r
@user-yk7wh3or2r 6 ай бұрын
Sema tu hujiamini bt kutoshika simu nayo zii,kwan mtu akikufwata na kama hutaki maxungumzo yake mbona usimblock,yaan simu lazma ishikwe
@josephmwakasungula2778
@josephmwakasungula2778 3 жыл бұрын
Mwanawene umeongea kitu ambacho ni kweli kabisa yani hata Mimi sitaki kabisa kushika cm ya mke wangu maana sitaki stress
@jackyluns8224
@jackyluns8224 2 жыл бұрын
Mmh makubwa
@williamhalinga3584
@williamhalinga3584 2 жыл бұрын
elewa kuwa mwili mmoja ina maanisha nini !!!
@williamhalinga3584
@williamhalinga3584 2 жыл бұрын
masanja yuko level ya juu sana anaposema anamaanisha !
@dorcasdavid2247
@dorcasdavid2247 2 жыл бұрын
Ameen Mtumishi wa Mungu,Umenenaaaaa sn
@officialisayatz5895
@officialisayatz5895 3 жыл бұрын
Barikiwa Askofo
@rickross98
@rickross98 2 жыл бұрын
Nikweri kabisa
@alicelymo905
@alicelymo905 Жыл бұрын
Sawa bishop itabdi na mimi nitumie ya hubby wangu ku hotspot only mengine not necessary
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Ukweli bt hizo shanga za shingo postor zinatisha kwakweli .
@iweningogoofficial3733
@iweningogoofficial3733 3 жыл бұрын
Duuuu shanga tena
@iweningogoofficial3733
@iweningogoofficial3733 3 жыл бұрын
Pesa na dhahabu ni za nani?
@mariamramadhani3860
@mariamramadhani3860 2 жыл бұрын
Aaah thubutu 🤣🤣🏋️‍♂️mimi siolewi kwani lazima wewe simu yangu yako tuwe uhuruu
@yagwishaheke2524
@yagwishaheke2524 3 жыл бұрын
Hapo nimekataa ndoa hiyo haitakuwa ndoa ya kweli
@sweetluc2660
@sweetluc2660 3 жыл бұрын
Kweli cm zina vunja Sana ndoa uchumba Mahusiano ila mkiwa mwili mmoja lazima kila kitu mjiweke wazi
@yagwishaheke2524
@yagwishaheke2524 3 жыл бұрын
Yeah my sweetheart
@fredrickjohnson2692
@fredrickjohnson2692 3 жыл бұрын
Huwezi mficha mkeo cm,ujue hapo masanja anajikinga na uhuni.aache kuchezea madhabahu.anafundisha watu uhuni je,huo ni wokovu wa aina gani? Mbona watu wameoa lakini Kama mwanaume sio mhuni hizo msg hazipo. Masanja aseme ukweli kuwa bado anatongoza vibinti ko anatumia madhabahu kujikinga.akome hiyo tabia ya upotoshaji.tena akamwambie yule mama aliyemfundisha hayo akome kabisa wavunje huo mzizi wa dhambi ktk ndoa.
@jennifersindano5135
@jennifersindano5135 2 жыл бұрын
Then you are not one as God said you are no longer two but one!Fundisha neno acha ya mitaani.
@belafontesteven5144
@belafontesteven5144 2 жыл бұрын
Kama thamani ya mwisho.....
@dmpstudiosmeshackpascal1340
@dmpstudiosmeshackpascal1340 3 жыл бұрын
Najitoa mil 25 kwaajili ya kujenga sanamu yako pale ikulu ya rais. 🙏
@angelamarlow510
@angelamarlow510 3 жыл бұрын
Duh nipunguzie 1 nitashukuru nifanye mtja
@jackyluns8224
@jackyluns8224 2 жыл бұрын
DMP nipunguzie ili nifanye shooting ya nyimbo za injili
@eddahkitindi2277
@eddahkitindi2277 Жыл бұрын
Hiyo shingoni Ni shanga ya nini? ina maanisha nini anapovaa akiwa madhabahuni
@oliverkyando9897
@oliverkyando9897 3 жыл бұрын
Mmh masanja unafundisha nn sasa
@sethkavenuke123
@sethkavenuke123 3 жыл бұрын
Tuliookoka mpaka ndani tunashikiana simu bila shiiiida,bora, wamstsifa ndo wanaotedeka kukataliana Ku share simu,
@helengaston7989
@helengaston7989 2 жыл бұрын
Kwakweli hapa nilipo usiku huu nimeshika simu ya mume wangu inategemea hata uchumba wao ukoje watu tuna badilishanaga simu kabisaaaaa
@sophiabryson2735
@sophiabryson2735 3 жыл бұрын
hapo sasa yule aloshtuka mumewe anafunga ndoa na mwanamke mwingine hapo 50 kwa 50 kila upande
@vumiliambugh1039
@vumiliambugh1039 Жыл бұрын
Katibu amekufa sasa
@zawadianagabriel9768
@zawadianagabriel9768 2 жыл бұрын
Ubaya upo ww! Ukioa badili layni za cm!!
@blessingqueen
@blessingqueen 3 жыл бұрын
Muko kitu kimoja so simu yako ni yake
@oliverkyando9897
@oliverkyando9897 3 жыл бұрын
Mwanawane hillo shanga mmh usivae bwanaaa
IBADA: Ujumbe wa leo( JIFUNZE KU SUBIRI NA KUVUMILIA) Feel free curch ,
41:39
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 27 М.
MASANJA MKANDAMIZAJI ASIMULIA HISTORIA YAKE | ATOA SOMO KWA VIJANA
13:59
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 30 МЛН
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 24 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 19 МЛН
MASANJA SIKU YA KWANZA KULA SHAVU MAREKANI  #FREECHURCH #MASANJA #MKANDAMIZAJI
6:55
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 56 М.
MASANJA  HADHARANI FATILIA MPAKA MWISHO
24:02
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 730 М.
MASANJA AKIFUNGISHA NDOA KANISANI KWAKE UTACHEKA
10:05
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 296 М.
UONGO WA MADHABAHUNI | BISHOP MASANJA MKANDAMIZAJI | PRAYER ROOM TANZANIA
19:50
LIVE:MASANJA ANAHUBIRI KANISANI KWAKE
1:18:36
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 70 М.
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 30 МЛН