MASHEKH 9 WENGINE wa UGAIDI WASHINDA KESI ARUSHA, YUPO ALIYEKATWA MGUU AKIWA GEREZANI ASEMA WATALIPA

  Рет қаралды 7,867

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MASHEKH 9 WENGINE wa UGAIDI WASHINDA KESI ARUSHA, YUPO ALIYEKATWA MGUU AKIWA GEREZANI ASEMA WATALIPA
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 46
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@agreycosmas1053
@agreycosmas1053 Ай бұрын
Mungu ambariki sana Wakili Madeleka
@aloycesamba998
@aloycesamba998 Жыл бұрын
😭😭😭😭Poleni sana Ila yote kwa yote mungu yupo na atajibu kwa wakati,na niwapongeze mawakili wote kwa juhudi zao za kuwapambania hao washtakiwa na kuweza kurudi uraiyan,Mimi Sina mengi zaidi ya kuwapa 🥀💐🌹🥀💐🌹yenu mawakili wote
@aishahazary4097
@aishahazary4097 Жыл бұрын
ALLAH AKBAR........Alhamdulillah duwa zetu ALLAH kazijibu,hatukuchoka kuwaombea mashehe wetu ili haki itendeke.ALLAH awalinde na kila balaala hii dunia.
@karloladislaus45
@karloladislaus45 Жыл бұрын
Hii kesi imezungumzwa sana na Godbless Lema, Wakili Madeleka, Freeman Mbowe, Tundu Lissu na wengine wapenda haki. Tujifunze kutokana na hizi kesi ambazo ni za kusingiziwa, ni kesi ambazo unaweza fungwa miaka mingi sana bila kosa. Nchi hii bado ina changamoto kubwa sana kwenye haki. Hii ni serikali ya CCM tukumbuke
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 9 ай бұрын
Dunia ina hangaika na uwisilamu na waisilamu yote yata pita hakika kila nafsi itakufa mna hangaika tu makafili lkn mwisho wote tuta kufa mna wapa watu kesi mna hangaika kutwa lkn mwisho wenu upo insha Allah Mungu ndo kila kitu
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 Ай бұрын
Mungu akawaongoze vyema na kuponya majeraha ya moyo
@sempaysensey6486
@sempaysensey6486 Жыл бұрын
Pole ndugu yng Ally nimekuona nimefurahi Sana
@gasperswai6963
@gasperswai6963 Жыл бұрын
Hongera saaana Wakili kwa kusimamia haki kutendeka!!!
@albassammusaalbassam7487
@albassammusaalbassam7487 Жыл бұрын
Mashaallah Allah yupo pamoja na wanaodhulumiwa
@francissamaito1198
@francissamaito1198 2 ай бұрын
Columba and Global Tv is our public choice wewe ni Mwandishi Makini na Mkweli.Hongera sana kaka,
@janelyatuu1135
@janelyatuu1135 Жыл бұрын
Jamani kwenye hii kesi Kuna mwanamke moja alizalia mtoto magereza Sasa hivi nimkubwa mtoto alichukuliwa na ndugu mungu amewakumbuka jama sumaiya pole sana jamani mungu nimwema umetoka
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Waislam tunanyanyasika
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Жыл бұрын
Sanaaaaa
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 Жыл бұрын
Saaana
@boniphace1
@boniphace1 Жыл бұрын
Na hakimu aliye wapambania ni Mkristo. Tusilete udini, uki kwama kufikiri kaa kimya
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Samia atakuwa ametoa order waachiwe
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
​@@boniphace1kwa kupewa maelekezo miaka sio mchezo Wana haki ya kulalamika sisi tuna prevelage kama za Wazungu huo ndio ukweli
@amour5535
@amour5535 Жыл бұрын
In shaallah ipo siku kaka yangu atarudi 🙏🙏🙏😭😭😭Allahu akbaru
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 Жыл бұрын
Pole sana ndugu😢
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Жыл бұрын
Tuzid kumuomba mungu afanye wepes nam kaka yangu miongon wa wahanga miaka 8 sasa
@amour5535
@amour5535 Жыл бұрын
@@zainabwage4658 amiin yarabiiy
@amour5535
@amour5535 Жыл бұрын
@@khaalidcheo5383 asante ndugu
@petercostakisoka
@petercostakisoka Жыл бұрын
Daah poleni sana mungu ni muweza
@bebebebe5677
@bebebebe5677 Жыл бұрын
Mi kaka angu yupo jela ukonga tangu 2015 kwa kosa kama ilo na bad wanasema upelelez haujakamilika
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Mtangazaji upo vizuri
@edwardmwingira7096
@edwardmwingira7096 2 ай бұрын
Haya yana mwisho!
@ashrafmmbaga3868
@ashrafmmbaga3868 Жыл бұрын
Pana paswa kutungwa sheria kama mtu atakaa gerezani mda mrefu bila hatia anapaswa alipwe
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn Жыл бұрын
Poleni wandugu mungu amewasaidia
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Жыл бұрын
Allah Kareem
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Жыл бұрын
Da inauma sana, Mungu awalaani ao police, police wa Tanzania shule ndogo wengi wamefeli darasani, wana roho mbaya sana
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Жыл бұрын
Polen sana ndugu zangu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@robbyman6213
@robbyman6213 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@daudkindy8062
@daudkindy8062 Жыл бұрын
Subhannallah
@fsaad5116
@fsaad5116 Жыл бұрын
Maonevu hakupotei jambo kwa Allah
@vitalisvedastus5191
@vitalisvedastus5191 2 ай бұрын
Wakili kilanja 🎉🎉🎉🎉 Madekeleka
@sharifsharabil9347
@sharifsharabil9347 Жыл бұрын
Badilisha kichwa cha habar, sio mashekh wa ugaidi atleast iwe mashekh wa kesi ya ugaidi, au mashekh waliotuhumiwa kesi ya ugaidi
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 2 ай бұрын
Mwandishi msomi wa aina ipi wakati hata taaluma huna hata "kituo kikuu cha polis" unakiita "polisi kati" unasibisha taaluma ya watu kwa kushindwa kutaja hata jina la kituo cha polisi
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
💔
@user-yk7lx5he9x
@user-yk7lx5he9x 8 ай бұрын
.
@humaidalnaamani7859
@humaidalnaamani7859 Жыл бұрын
Arusha police ndio magaidi wa kula hongo
@swalehaltooq5233
@swalehaltooq5233 Жыл бұрын
Wachukuliwe hatua wote waliohusika waliowakamata na kuwapa mateso pamoja mashidi wote jeshi la polisi wakishataka kukudhalilisha wanafanya wanavyotaka na hao watu wa haki za binaadamu wako wapi Mbona hajitokezi kutetea hili lakini wakisia mambo ya mashoga na usagaji wanaongea upuuzi wao
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 Жыл бұрын
Wote watolewe wasemehewe Wakiobaki pengine hawajui kujeleza
Men Vs Women Survive The Wilderness For $500,000
31:48
MrBeast
Рет қаралды 71 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 49 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 120 МЛН
Why some disabled workers make $1 an hour
40:47
Washington Post
Рет қаралды 1,8 М.
Why Spain's Socialists are U-Turning on Immigration
10:51
TLDR News EU
Рет қаралды 205 М.