Jazzakallah kher Wanahistoria WETU kwa kazi mzur ya kutupatia kumbukumbu hivi vizazi vyao vipo huwa nawasikia sana kupitia radio za mtwara watu kama kizazi cha MNONJI , LUKUNDU NA NANGWANDA SIJAONA huyu ni maarufu zaidi maana mpaka uwanja wa Mpira wa mtwara unaitwa NANGWANDA SIJAONA STADIUM Shukran MOHAMMED AL-GHASSANY kwa kazi mzur
@mwatumsaidi51044 жыл бұрын
Nzuri kujua historia asanteni sana
@mtwanahassan4594 жыл бұрын
Sheikh Mohd, hongera kwa vipi hivi.
@mohdali24083 жыл бұрын
Nyerere sio mtu mzuri sana licaha media kumbeba
@kabhikachambala33923 жыл бұрын
Mzuri sana ni nani? Alikuwa Bora kuliko wengine ndio maana akapewa nafasi ya kuwaongoza wengine. Yani alikuwa na kitu Cha kipekee kilichowavutiwa wanaharakati wenzake mpaka kumwambie wewe simama mbele yetu. Kitu ambacho waisilamu mnakosea sana ni kutokukubari madhaifu ili kuyarekebisha. Nikupeni mfano: Mwarabu sio mvumbuzi yani Bora mtu mweusi kuliko Mwarabu katika uvumbuzi! Mwarabu ni mlanguzi tu! Ananunua kitu hapa anauza pale!. Ndio maana unaona hata Muyahudi amewashinda warabu wote. Najua katika suala la waisrael mtasema alisaidiwa na U S.A bila kufikiri kwamba anaekusaidia na anategemea kupata kitu kikubwa kuliko alichokupatia. NAJUA MTABISHA LAKINI NDIO VIZURI ENDELEA KUAMINI HAMKOSEI , MUKO SAWA NA KILA KITU KWA SABABU HIO NI FAIDA KWETU PIA
@seifhabib59879 ай бұрын
Lakini Faida ya Tanganyika pekee,lakini Mbona Zanzibar hapendezi
@hebronmalatila61864 жыл бұрын
Watu mashuhuri na mashuja wakubwa Tanganyika: mr. Mpunga , na Chembere hawatajwi kabisa ktk historia ya Tanganyika.
@aloycemwambwiga23184 жыл бұрын
Kuna haja ya kujua ofisi za huyu Mzee natamani kununua maandiko yake na hata kumsikiliza pia, so interesting.
@abdullkilawi55044 жыл бұрын
Wekeni kwenye vitabu hili vizazi vijavyo wasome history
@GumzolaGhassani4 жыл бұрын
Abdull Kilawi tayari Bwana Mohammed Said ameandika Vitabu kadhaa kikiwemo cha hawa mashujaa wawili wa Kusini
@abdullkilawi55044 жыл бұрын
Shukrani
@zainabumwagiroabdallamwagi974 жыл бұрын
Kulingana na hii history waislaamu ndio walipigania Uhuru wa Tanganyika.
@hebronmalatila61864 жыл бұрын
Siamini kama kweli mzee huyo. Kama yupo , mi nipo radhi kuunda na kutengeneza utaratibu wa mzee huyo akutane na Tundu Lissu kwa faida ya Watanganyika.
@ahmedadan19153 жыл бұрын
Waislam jamani tuwamkeni wakati tuirudisheni nchie tupigane tu
@yusufige70304 жыл бұрын
Huyu mlevi aliesema nyerere muongo alisema kweli sasa anangojeya aitwe mtakatifu wakati makafiri wanamjuwa kuwa muongo
@mohamedsalum83062 жыл бұрын
Jina haswa la Salum Mpunga ni Rashid Salum Mpunga. Mimi ninaesema hivyo ni mmoja wa watoto wake niitwae Mohamed Rashid Salum Mpunga maarufu kwa jina la Dr Salum
@kabhikachambala33923 жыл бұрын
Wanaotafutwa hapo ni waisilamu? Maana siwasikii Wakristo mashujaa wasiotajwa.
@jeanmubemba12044 жыл бұрын
kwannnmambo haya hatufundishwi logic yake ni nini,watu hao muhimu sana hawajasemwa nyerere alikuwa anafikia kwa watu