SHEIKH WALID AMSOMESHA MTOTO WA BACHU | SEMA HUJUI SIO HAKUNA | HADHARA YA MASJID MTORO 2023

  Рет қаралды 100,103

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

10 ай бұрын

Пікірлер: 422
@allyhamad7999
@allyhamad7999 10 ай бұрын
KICHWA CHA HABARI NI TOFAUTI NA KILICHOMO NDANI, Kwa kweli Shekh wa mkoa amezungumza vizuri sana ktk clip hii , ni faraja kuwa na shekh mwenye elimu ktk mkoa wetu. Allah amhifadhi
@user-hx8bh1jt4k
@user-hx8bh1jt4k 10 ай бұрын
Ndugu yangu Ally...Akhuuka Issa mie
@allyhamad7999
@allyhamad7999 10 ай бұрын
Naam akhy. Shukran.
@user-ze8rk9ye6r
@user-ze8rk9ye6r 10 ай бұрын
Allah awatoe waja wake kwenye baatwil na aweeka katika njia ya haki aameen.
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 10 ай бұрын
We kweli zumbukuku, mpumbavu ktk WAPUMBAVU. Jaahili murakabu
@nasymchuzi8667
@nasymchuzi8667 9 ай бұрын
Nawew uache kibri usome
@habibasalim3092
@habibasalim3092 3 ай бұрын
Aamin
@akhtarbegum1219
@akhtarbegum1219 10 ай бұрын
MashaAllah khutbah ya Hikma. Jazakallah khayr.
@user-bb6ec8dr8w
@user-bb6ec8dr8w 8 ай бұрын
Mashaallah Allah akuzidishie elimu zaid
@yahayasalum2943
@yahayasalum2943 9 ай бұрын
Maulidi ni jambo lenye kuziswa Maswahab Allah awaridhie ni wajuzi zaid wa kuijua dini ya Allah. Na ndiyo watu wenye pupa zaid wa mambo ya kheti Na ndy watu walimpenda zaid mtume Na ndiyo walioshikamana zaid na sunna za mtume Na pamoja na yote hayo hawakusherehekea mazaxi ya mtume Yangelikuwa yana kheri wangetutangulia juu yake
@harithkamgasha1750
@harithkamgasha1750 9 ай бұрын
Sayadhakkaru mayyakhsha wayatajannabuhal ashaka Allah akuweke muda mrefu wenye KHERI na baraka sheikh Walid
@twahirburhan3726
@twahirburhan3726 10 ай бұрын
Mbaya zaidi kuna wengine miaka ya nyuma walikuwa wakiyapinga Maulid lakini baada ya kupata vyeo wanayaunga mkono....Muogopeni Allah.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 10 ай бұрын
Walikuwa hawana elimu sasa wanayo.
@maulidmohamed5792
@maulidmohamed5792 9 ай бұрын
Mashaa Allah
@abuutamiimattanzaaniy8676
@abuutamiimattanzaaniy8676 9 ай бұрын
Watu wa maulidi zingatieni hapa: IKIWA HAKUNA ANDIKO KWENYE VITABU VITAKATIFU KUTHIBITISHA SHEREHE YA KRISMASS (KUZALIWA YESU), hivyohivyo HAKUNA ANDIKO KWENYE VITABU VITAKATIFU KUTHIBITISHA SHEREHE YA MAULIDI (KUZALIWA MTUME MUHAMMAD SWALLALLAHU ALAIHI WASALLAM), Nyinyi na wakristo ni kitu kimoja Munafuata uzushi, Musiwasemange Wenzenu
@habibasalim3092
@habibasalim3092 3 ай бұрын
Kabisa, Na Watu wa Maulidi kupinga wakristo kufanya Christmas na wao hawajielewi kama ndio wamewafanana nao, yaani hata sijui hawa watu wa Maulidi wanafikiria nini
@abuutamiimattanzaaniy8676
@abuutamiimattanzaaniy8676 3 ай бұрын
@@habibasalim3092 naam, wakielewa kwamba upande wa kushoto wamezua jambo la krismass basi na wao wamezua maulidi, ngoma droo
@inasrashidissanassor-pv7ur
@inasrashidissanassor-pv7ur 9 ай бұрын
Shukrani sana sheikh, mawahabi ni makafiri kabisa.
@ushindiushindi5749
@ushindiushindi5749 9 ай бұрын
Jinga kubwa wew
@Shuwayyaiddy-in3so
@Shuwayyaiddy-in3so 6 ай бұрын
باراك الله فيك
@barzaqtradingcompany8541
@barzaqtradingcompany8541 10 ай бұрын
المشترك الأكبر والأقوي والأظهر هو اجتماع الصوفية والشيعة معًا ليس فقط في تقديس أوليائهم وأئمتهم، ولكن في إعداد الحدث والتاريخ وجعله في خدمتهم ولصالحهم بحسب رؤيتهم وإن نحروا المنهجية التاريخية والعلمية أيضًا على قربان التقرب إليهم، ولو زيفوا الوقائع. إن من يطالع القصائد الحارة فى مراثي النبي صلى الله عليه وسلم من كافة المسلمين على اختلاف عصورهم ومشاربهم، سيتكشف له أن قصائد الشيعة غالبًا ما يكون مفتتحها مدح أو رثاء الرسول بينما غايتها الكامنة هى مديح أو رثاء آل البيت والمعصومين من أئمتهم، يشهد بهذا الدكتور محمود على مكي حيث يقول : (على أن ما نلاحظه على شعر السيد الحميري، وغيره من شعراء الشيعة، أن تناولهم لجوانب من سيرة الرسول صلى الله عليه وسلم لم يكن مقصودًا لذاته، بل هو موظَّف لخدمة عقائدهم فى آل البيت، فهو مجرد منطلق لهم لكي يبسطوا قضيتهم وحججهم لأحقية أئمة آل البيت فى الخلافة) [المدائح النبوية، ص73]. ذلك في الوقت الذي يتجرد فيه أهل السنة من هذا النَّزق؛ فمبتدأ رثائهم ومدحهم وخاتمته هو خالص محبتهم للرسول صلى الله عليه وسلم، وإن بدت قصائدهم ـ للوهلة الأولى ـ أقل لوعة وحرقة واشتياقًا لأنها تقوم على العقل أو ما يسمى الرشدنة، بينما يفتقد الصوفية هذا الرشد فتبدو قصائدهم أكثر حرارة وموجدة لأن محبتهم دعائمها العاطفة المحمومة غير الرشيدة التي تستمد سخونتها من الأحاديث الضعيفة والموضوعات والقصص الموضوعة المدسوسة على سيرة رسولنا الكريم صلى الله عليه وسلم. ومع هذا فلا يستطيع منصف إلا أن يشهد بأن المتصوفة خالفوا الشيعة من حيث كون مدحهم للرسول صلى الله عليه وسلم ومراثيهم فيه إنما غايته حب الرسول ذاته دون أن يخلطوا به حبهم لمشايخهم وأقطابهم وأبدالهم، وهي نظرة تتفق مع أهل السنة حينًا ثم لا تلبث أن تفارقها حين تتبنى مفهوم أزلية الوجود المحمدي وأن هذا الوجود أول شيء خلقه الله وأن كل موجود يستمد منه، فهو مبدأ الوجود والحياة وأن نوره تجسم في صورة آدم وصور الأنبياء من بعده. وهو يتجسم بعد الرسول في صور الأولياء من أقطاب الصوفية الذين يصلون منه إلى مرحلة الذوبان بما يسمى بالفناء الكلي فى الذات العلية، لتجد أنهم ما كادوا يلامسون أهل السنة حتى يميلوا كل الميل تجاه الشيعة فيتجاوز حبهم لمشايخهم وأقطابهم حبهم للرسول صلى الله عليه وسلم، وهذا عندهم أصل الأصول للقربى والوصول فيسبحوا بعيدًا عن مرفأ النهج النبوي القويم وإن ظنوا المثول
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 10 ай бұрын
** Mashallah sheikh nampenda anaxungumza vizuri ila ANGEMALIZIA NA HAPO KWA WANYAMA KUXUNGUMZA LUGHA FASAHA YA KIARABU, ANGETUSAIDIA SANA TUJUE NI MAJAZI AU MASHAIRI***
@bafagih93
@bafagih93 10 ай бұрын
Ndugu yangu jambo la wanyama kuzungumza lisikushtuwe maana ikiwa Mungu ameweza kufanya wanyama wakazungumza na Nabii Suleiman.Swali je itashindikana kwa Mtume Muhammad kuzaliwa kwake ? Kimsingi Mungu anaeza kufanya jambo likawa kun faya kun. Nukta muhimu mitume sio kama sisi daraja zao ziko juu kutuliko sisi.
@omarabdallah372
@omarabdallah372 10 ай бұрын
​@@bafagih93lakini kumbuka kuwa Nabi Suleiman Allah alimpa ufahamu wakuskia lugha za wanyama na sio vile unafikiria wewe na Allah alimjalia yeye pekee kuskia sio kilam2. Ila hapo kwa wanyama kuongea kiarabu faswaaa 😅😅😅😅😅😅😅 na mengi kuongezea juu ya mtume. Fanyeni maulidi Ila hakuna kitu maulidi kwa uislam. Sisi nikinani kufanya maulidi wakati maswahaba hawakufanya Kisha huyo munaye mfanyia maulidi mwenyewe alikua akifunga siku yakuzaliwa kwake. Mbona musifuate Sunna basi kumpenda mtume mifunge na nyinyi kwani mpaka kukusanyika kwenu mupige magoma na kucheza . Allah akupeni ufahamu IN SHAA ALLAH.
@bafagih93
@bafagih93 10 ай бұрын
@@omarabdallah372 wanishangaza sana brother sasa ikiwa mtume hakufanya kitu wakati wake wewe ndio wapima ni bidaah basi kuna mangapi yakupima ambayo ni bidaah ukianza na calendar ya kiislamu wakati wa mtume ilikuwa hamna ? Lakini cha muhimu unafaa kuelewa kama jambo ni bidaah na ni bora kwa uisilamu basi bidaah hio huwa ni katika bidaah inayofaaa ...umuhimu unafaa kuelewa wakati wewe utataka kuelewa. Hapa hatushindani bali tunaelimishana.
@alsharif456
@alsharif456 10 ай бұрын
Siipendi malumbano katika hili lakini naomba niseme ," Ispokua walioamini na kutenda amali njema" Al assir- Jee miongoni mwa amali njema ni zipi? Na kama tusisome haya maulidi basi tuambieni tufanye nini ili kwamba ibaki tu dunia ijue kwamba hii sku kuna jambo kwa waislam duniani kote? Kwasababu tukisema tuache kusoma hyo maulidi unaufikiria tutafanya nini kutofautisha hulka za Zetu na Makafiri
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 10 ай бұрын
@@alsharif456 funga kila j3 na alhamis, watendee wema wazazi wako, simamisha swala, toa zaka, nenda hija kama unaweza, na mengine mengi ukifanya haya makafiri wote na dunia watajua wewe unampenda mtume
@user-tb5mc2wm1z
@user-tb5mc2wm1z 10 ай бұрын
Maulidi uzushi
@abubakarhussein2186
@abubakarhussein2186 10 ай бұрын
Hata wewe umezuka haukuwepo wakt wa mtume🤣
@sarahmuhammed6872
@sarahmuhammed6872 10 ай бұрын
Uzushi wa faida
@AbdiazizOsman-fv2pi
@AbdiazizOsman-fv2pi 9 ай бұрын
قالت هو من عند الله ... Sheikh alikosea
@nurasalimu2403
@nurasalimu2403 9 ай бұрын
Mnao coment kiubishani mnaocoment muwe makini RAKIBU/ ATIDU wanaandika matendo yenu nyie endeleeni kuchafuwana mtajuta siku ya mwisho Allah awasamehe😢
@LuqmanAndrew-nu9rx
@LuqmanAndrew-nu9rx 4 күн бұрын
Mbaya zaid ukiandika comment leo itaishi mpaka Qiyama, Allah atuongoze
@faridahmed6296
@faridahmed6296 9 ай бұрын
Aya Za mungu twazijuwa bibi Mariyam ajulikana c Mada hiyo
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 10 ай бұрын
Masha-allah
@omarabdallah372
@omarabdallah372 10 ай бұрын
Kisha kuhusu mtume s.a.w alifunga sikuwaiga mayahudi ila alifanya kwakuwa musa hakuwa muyahudi alikua muislam sawa. Na nyinyi mwawaiga mashiya wala hamuigi mtume kuwa hakufanya maulidi siku yake kuzaliwa.
@user-cf2kr7lb1w
@user-cf2kr7lb1w 9 ай бұрын
Maulidi ni bidaaaaaaaa
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 9 ай бұрын
Sh BACHU LETE USHAHIDI WAPI MTUME KALA UROJO...
@user-sx9br8mi9x
@user-sx9br8mi9x 10 ай бұрын
Huu wingi wa mashek sio mzuri . Kumbe wanajua kuhusu barzanj na uongo kwenye kitabu chake na bado wanasisitiza maulidi . Kwani shida iko wapi mkisema ukweli??
@muftiahmadimahmudulemba1918
@muftiahmadimahmudulemba1918 10 ай бұрын
Maa Shaa Allaahu Wafuasi watume صلى الله عليه وسلم
@powergold5141
@powergold5141 9 ай бұрын
Mimi naitaka pepo but sio nipate kwa kushiriki katika maulidi!!
@alisaid5166
@alisaid5166 10 ай бұрын
Surat qasas hiyo sio anaam nakukumbusha tu. Inshaallah.
@mohamedamiri4597
@mohamedamiri4597 10 ай бұрын
Mashaallah
@user-jj8ud8iw3o
@user-jj8ud8iw3o 4 ай бұрын
Ikiwa nafsi yako inasita ukitaka kufanya Ibada basi jua Ibada hiyo Allah anaipenda kwa ivo Ibilisi lazima atafute Mwanya wa kukuzuia, Allah atusaisie sote
@iddimohamed254
@iddimohamed254 9 ай бұрын
Hizi sherehe za maulidi hazina dalili mmejipangia wenyewe tu kama zile za crismas huo ndio ukweli,hata mkisirika mstahamili.
@user-ys1kb7zk6k
@user-ys1kb7zk6k 10 ай бұрын
KAMA MWAJUA HILO BASI ACHENI KUTAJANA MAJINA SOTE TUBAKI NI WAGENI WA MTUME صلى الله عليه وآله وسلم
@JumaOmar-lj9yh
@JumaOmar-lj9yh 10 ай бұрын
Mnashindwa kite tea barazanji uzushi mtupu
@user-fy4op1sw2f
@user-fy4op1sw2f 10 ай бұрын
Kasome acha ushabiki😂😂😂
@iddyjohn1032
@iddyjohn1032 10 ай бұрын
Kama mpaka leo wasema tumeshindwa maana yake wewe ndio umeshindwa kwasababu hata leo hapa tulipo ukiulizwa swali huwezi jibu,na Lau ukipewa dalili pia huwez amini kwasababu wewe una TAASUBI.
@fasilamohammed1560
@fasilamohammed1560 9 ай бұрын
Kasome elmu kwanza ndio uongee. Uzushi wa barzanji ni nini eleza. Hio bachu wenu yeye alijibiwa swali lake mbona yeye ameshindwa kujibu swali aloulizwa. Jana ajuwalo huyu maneno mengi tuu. Nenda u google uone vile huyo bachu anatolewa makosa .
@awatifomar5185
@awatifomar5185 10 ай бұрын
ALLAH ATUONGOZE ILA KWANI KUNA SIRI GANI KWENYE UZUSHI HATA TUKAFIKIA KUTOA UONGO KM NDIO DALILI KM
@iddyjohn1032
@iddyjohn1032 10 ай бұрын
Uongo upi
@user-dj8tv1dh6p
@user-dj8tv1dh6p 9 ай бұрын
suratul qaswas aya 68 so an'aam
@AhmadyAlly
@AhmadyAlly 9 ай бұрын
Huyo n shekh wa mkoa bali sii shekh wa waislmu
@hassanchombola-ui5de
@hassanchombola-ui5de 9 ай бұрын
Allah akbar
@zuberihamisi460
@zuberihamisi460 10 ай бұрын
Tatizo masheikh angalieni tusiwafuate manaswara wanao hadhimisha siku ya kuzaliwa Issa bin Mariam. Yapo mambo 35 yanayo yaramisha hio Maulidi.toeni dalili za kuhalalisha maulidi
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 10 ай бұрын
Mashallah sheikh walidi uko vizuri baarakallah fiyka
@awadhally1052
@awadhally1052 10 ай бұрын
Nyie masufi ni mijitu mijinga sijapata kuona maulid ni bidaa kubwa hakufanya mtume wala maswahaba wake walio waongofuuu
@awadhally1052
@awadhally1052 10 ай бұрын
Nyie mpeda wapi bidaa hi kubwaaa
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 10 ай бұрын
@@awadhally1052 hapo ndo elimu yenu ilipoishia Mtume hakufanya basi hayo mengine tuachieni wenyewe hamujaitwa hapa pumbavu nyinyi
@rukiaissa5878
@rukiaissa5878 10 ай бұрын
​usiwatukane al akhy hao ni binaadamu nao
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 10 ай бұрын
@@rukiaissa5878 🙏
@adammaulid2356
@adammaulid2356 10 ай бұрын
وربك يخلق ما يشاء ويختار Sio suratul an-ami ni suratu Al-qaswas ay 68
@saadomar2480
@saadomar2480 10 ай бұрын
Kusahau kitu chakawaida. Tu, Wala usijalimzee
@10gb27
@10gb27 9 ай бұрын
Kwahio katika aliyoyaongea ya karibia nusu saa, ulilofanikiwa kuliokota ni hilo tu😢
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 10 ай бұрын
Siku hizi ukitaka upate comments na views nyingi andika kichwa cha habari moto wa Bachu na weka picha yake kabisa maana ndie habari ya mjini😂 Simbaaa😂😂😂 ana kichwa kimoja ila kama ana vichwa 1000 anaitwa milles têtes kwaki faransa😂
@saumkisira9328
@saumkisira9328 10 ай бұрын
Dini imekua km biashara sasa 😢
@nurasalimu2403
@nurasalimu2403 9 ай бұрын
😂da unachekesha sana subuhana llah
@abuusaid3297
@abuusaid3297 10 ай бұрын
Hizo aya unavyo zitafasir ndivyo walivyo zitafasr wanazuoni wabobez w tafasr y qur..n, au unatujulisha kua wewe pia ni mwanafunz w alie kua mnajim w afrik mashark, kumbe hukuchukuatu sent, kil wik bali uliisom kwake elim y ramli na nyot, duh huu ni mtihani mwingine!!!!
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 10 ай бұрын
خير الهدى هدى محمد وشر الأمور محدثاتها
@user-xo3oz1wu1l
@user-xo3oz1wu1l 10 ай бұрын
Marahii alhamdulillaah tumepata haswaa shekhe wamkoa
@azizayassin3623
@azizayassin3623 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂 badala tukapigane na watu wasiopenda uwisilamu mnakazana na maulidi maulidi 😢😢
@nusalim3389
@nusalim3389 10 ай бұрын
Kwahio na nyinyi ndio hamtatoa hio itifaki Hadi aseme hajui,akisema hakuna hamtoi?kwahio mmko radhi mbanie hio elimu hata kwa masufi wenzenu, Haya sisi kwa niaba yake twasema hajui wewe saidi haya tuambie kama IPO endapo angesema hajui,nakupa hii challenge
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 10 ай бұрын
Hebu tuambie taraweeh Mtume hajaiweka kwa muda mskitini. Kuogopea isifanywe ni faradhi. Sasa tukiswali taraweh mskitini si ni bid a pia. Mnaona maulid tu Tutayasoma mpaka kufa
@nusalim3389
@nusalim3389 10 ай бұрын
​@@mwanakheri2880 Usituchekeshe ,huwez fananisha maulidi na taraweeh ukafanya qiasi,taraweeh Ina asli kwny dini hadithi zipo wazi,mtume ameiswali na masahaba,Kisha badae ndio akaogopea isije faradhishwa kwsbb wahyi unaendelea yupo hai,lkn Omar ndio akaiendeleza kwsbb ana mashikio na walimsikia mtume aliiacha kuswali msikitini kwsbb moja,na hio sababu ishakatika kwakuwa kashakufa na wahyi haushuki,hajazusha asli Bali ameendeleza Sunna,je nyinyi Wana maulidi mtume na masahaba waliwahi hata mara moja au mlijitungia Karne za baadae kw hoja za kutunga tunga,
@wakatikaisi6743
@wakatikaisi6743 10 ай бұрын
Eeeeh aje asome kwa sababu elimu hanaa huyo bachuu
@iddyjohn1032
@iddyjohn1032 10 ай бұрын
Bidaaa moja wapo ni tarawehe mnayoswali ya rakaa nane zile alizo swali Mtume swala llahu alayhi wassalam kwa lisaaa tu wakati Mtume swala llahu alayhi wassalam alikuwa anaswali hizo rakaa nane mpaka unamkuta wakati wa kula Daku ndio amalizia ya nane,sasa nyinyi huo uzushi wa kuswali saa moja ama kwa juzu moja tu na mwakimbilia kwenda kulala mmetoa wapi?? Hayo mashindano ya Qur'an mmetoa wapi???hiyo kuswali kwa pamoja tarawehe mmetoa wapi, wakati wa Mtume hakukuwa na fataha kasira dhuma Tee Theee bee n.k katika lugha ya kiarabu ambayo ndiyo leo HII twaisoma Qur'an hivi je kama wakati wa kipenzi chetu hazikuwepo leo sio bidaaa ???
@twahirburhan3726
@twahirburhan3726 10 ай бұрын
Baatwill haiwezi kuishinda HAQQI hata siku moja, ukweli utabaki kuwa ukweli tu kwamba MAULIDI NI UZUSHI TU Nna hakuna hata SWAHABA MMOJA ALIYEFANYA HUU UZUSHI ETI WA MAZAZI YA MTUME...YAANI NI AJABU KWAMBA MASUFI NA MASHIA WANAUJUA UISLAM KUWASHINDA MASWAHABA...
@mangofish9079
@mangofish9079 10 ай бұрын
wewe hapo kumuadhimisha mzazi wako siku yake ya kuzaliwa na kufariki kwake ukaisoma tarehe yake na kisha kumuombea dua ni vibaya??
@Abun70242
@Abun70242 10 ай бұрын
Jamanini mtetezi wa kitabu cha barzanji nafikiri hajazaliwa,ni mbembwe tu.
@habibasalim3092
@habibasalim3092 3 ай бұрын
Maulid Ni uzushi na hakuna atakae mfunza Nasoro Bachu,hivi hawa watu wa maulidi hua wakiobgea uzushi hua wanajiskiza kweli SUfi hamko pamoja na mtume msijisumbue
@barzaqtradingcompany8541
@barzaqtradingcompany8541 10 ай бұрын
Mobana hatuoni wadudu , paka ngurue ,simba , samaki papa jodar king siku ya rabiul awal kukusanyika ku sherehekea mazazi yamtume, na hawo wanyama nibwawo wakuwanza ku pongeza hongera mimba ya mtume
@fahadusama2015
@fahadusama2015 9 ай бұрын
Utawaona au utawaskia weww bwana. Tafta udhaifu wako wengne twawaskia😂😂😂😂
@barzaqtradingcompany8541
@barzaqtradingcompany8541 9 ай бұрын
@@fahadusama2015 ebo ni masharti ya swala nigapi, ya kuyswadhi ni ngapi, saumu na haj nayo masharti nigapi tuanzie nchini
@fahadusama2015
@fahadusama2015 9 ай бұрын
Selewi umeandika nini bwana
@hajimuhidini1903
@hajimuhidini1903 10 ай бұрын
Sh walidi samahani sikusudii kukukosoa mmi ni mtafutaji wa Elim hii وربك يخلق مايشاء ويختار، ،،،،،، ipoh surat Al qasas aya ya 68 kama nimekusikiavizuri umesema Al anam mmi nailiwahi kuihifadhi aya hiyo katika suratul qaswas 668
@isihakaselemani5727
@isihakaselemani5727 9 ай бұрын
668 mbona sura hiyo haijafika aya hizo au na ww unasoma msahafu gani huo.
@zigzag4487
@zigzag4487 10 ай бұрын
Nyie ndio mnaupotosha umati wa mtume Muhamad kwa hadithi munkar badae watakuja wengine wataweka ibada yao km hii ya maulidi
@user-qn5gq8wh8j
@user-qn5gq8wh8j 10 ай бұрын
Mashal ah
@BakariBinuri
@BakariBinuri 2 ай бұрын
Wallahi mtaulizwa qiama maswahaba wasijue nyie mashehe u bwabwa au waganga wa faraki mjue dunia imekwisha
@jay29jay78
@jay29jay78 9 ай бұрын
Hivi vita vya maulidi bado vyaendelea tu...haya mambo kuanzia 1960's....huyu mtoto bachu elimu yake ndogo ukilonganisha na hao wengine....hamaki nyingi za kitoto
@MohaMody-jf1zh
@MohaMody-jf1zh 9 ай бұрын
Kwani vita vikubwa vinavowakabili waislamu karne hii ni maulidi sio? Inna lillahi wainna ilaihi rajiun
@barwani890
@barwani890 10 ай бұрын
Mashaallah ustaadh waliid maneno. Yako na akili yako kama ustaadh alhadi Allah amraham .tabaraka rahmani ndugu yangu Allah akuzidishie
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 10 ай бұрын
Amin
@Iddymaryam08
@Iddymaryam08 10 ай бұрын
Nitangulize kusema binafsi si shabiki wa maulid toka utoto na huwa siendi. Ila kamwe siwezi kaa na kutukana wanafanya maulid. Sabb nimepata kusoma kiduchuuu kwa sheikh wakubwa (horizontal vs vertical learning approach). Wanaofanya wanahoja zao ziheshimu kama huzipendi waachie kama utashindwa kuwavuta upande wako. Kipindi tunakua mwanza, maulid ilikuwa ni kuchanga na kujenga msingi wa walau darasa moja
@saadomar2480
@saadomar2480 10 ай бұрын
Ahsante Sana habiib, hayamaneno uliyoyasema wallaahi Allaah akubariki Sana Mzee, MWISHOWAKO uwemwema, namm mawazoyangu nikamayako kanakwamba tulizaliwapamoja
@misrusaidi3627
@misrusaidi3627 10 ай бұрын
Yaani sawa umesema mimi sili nguruwe ila wanaokula sioni ubaya
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 10 ай бұрын
Na je kama wanaofanya maulidi wanapotea 2endele kuwaacha kwasababu wanaa mlongo wao na sababu zao
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 10 ай бұрын
@@saadomar2480 itabidi m2 akiwa anapotea aachwe apote kwasababu ashaamua kupotea kwann Umma huu umeitwa Umma bora ukijua ilo bc utakua ushajua kwann wa2 wanawakosoa wa2 wa maulid
@ishirininasita2626
@ishirininasita2626 9 ай бұрын
Hata sisi hatujagawanya tauhid makundi matatu na hatujawaita mushrikina
@user-bu4tm3wb9v
@user-bu4tm3wb9v 10 ай бұрын
Kama watu wanasherehekea kuzaliwa wavuta bangi na wanamuziki wa kizazi kipya kuna ubaya gani kwa mbora wa viumbe?(saw),hata kama ni bida"a,ni mapenzi tu.usithubutu kuingilia mapenzi unatafuta balaa,tunampenda saaana mtume wetu.
@SharifeNuru-wu1jj
@SharifeNuru-wu1jj 10 ай бұрын
unaakili sana Allah akupe mwisho mwema inshaallah yani hakuna shida hata kama hakikufanywa na mitume sii mtu mitume wote lkn hupati dhambi mbn haina shida ufaham ndio hawana vitu vingine sio mpaka uwe na ilmu
@ibnqassim7002
@ibnqassim7002 10 ай бұрын
@@SharifeNuru-wu1jj kwaiyo ww umempenda mtume kuliko maswahaba???
@ibnqassim7002
@ibnqassim7002 10 ай бұрын
Kwaiyo wewe umempenda mtume kuliko Binti yee fatwimaa,mkewe Aisha, swahib wake Aboukary kuliko ndugu yee Ally kuliko mkwewe omary na Othman??
@ushindiushindi5749
@ushindiushindi5749 9 ай бұрын
Jinga kubwa hilo
@mwamba-
@mwamba- 10 ай бұрын
15:30 KUZURU KABURI LA MTUME SAW
@hemedmselem4889
@hemedmselem4889 9 ай бұрын
Mijitu ya maulid kwa kujifanya inampenda mtume kumbe asilmia kubwa ni watu wa kilevi cha mirungi
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 9 ай бұрын
Birthday party A.K.A mawlidi hayakubaliki
@RashidmbetaOmar-dm2jh
@RashidmbetaOmar-dm2jh 10 ай бұрын
Kasome wwe Kwanza kama uko naelimu usingemzushia mtume .ama nikutafute nikuelimishe kuvaa kanzu tayari wajiona shekhe
@abusumeya6092
@abusumeya6092 9 ай бұрын
سورة القصص
@faridahmed6296
@faridahmed6296 9 ай бұрын
Urongo wa kikao hicho chote. Waliyo hapo ni wazushi tu. Na uzushi wao wakupenda mtume. Angaliyeni huyu shk asema hapo alivyo vaa na hao wote wapendao mtume zaidi mavazi hayo mbona kwenye swala zote mwava kanzu mbovu bila koti bila juba bila kashida bila bakora bila miwani muvazo nyote fashion moja mbona mavazi mazuri hamuvai mbele ya mungu
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 9 ай бұрын
Sisemi maulidi haramu lakni wakati wa masahaba ilikua hana maulid na kunamtu kakaa kayatunga mauld sio faradhi wa sio sunna mauli hafai kuyapa darja ya faradhi wa la kuyapadarja ya sunna
@AhmadyAlly
@AhmadyAlly 9 ай бұрын
Na lau maulidii ingalikuw n suunaa bs mtume asingali wacha kufanya kwn kuna mengi aliyaona kbla kufa kwk jeee aliona kutakuja wanazuwon waovu na waongoo ndio kma hawa wanaosapot maulidii
@jumalove2631
@jumalove2631 10 ай бұрын
Saut
@Hanif-Salaton
@Hanif-Salaton 10 ай бұрын
Asalaam Alaukum Sheikh Walid.Umetaja kuchangia DAMU swali likanijia. Quran inaruhusu binaadamu tuchangiane DAMU?
@10gb27
@10gb27 9 ай бұрын
Kwani Quran inaruhusu unywe panadol 😂
@omarally6819
@omarally6819 10 ай бұрын
Sote watu wa Sunnah wafuasi khasa wa Bwana Mtume Muhammad Swallallaahu Alayhi Wasallama, tukiona hivi hua tuna sikitika kwa namna munavyo potea
@yusuphrashidi-dr1kb
@yusuphrashidi-dr1kb 10 ай бұрын
Toa hadithi na aya sio mtazamo wako
@omarally6819
@omarally6819 10 ай бұрын
@@yusuphrashidi-dr1kb Hahahaha, Shekh Muhammad Nassoro Bachu peke yake kawatoa mwijiko,hahahahahaha. Mnataka nini tena? Tatizo nyoyo zeny zisha kufa kwa uovu wa bid'ah ulivyo wafikisha mahala pabaya sana
@yusuphrashidi-dr1kb
@yusuphrashidi-dr1kb 10 ай бұрын
@@omarally6819 Toa hadithi na aya sheikh unakimbia nenda kasome kwnz
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 10 ай бұрын
Shida ya mawahabi wao labda washaletewa habari kuwa wameongoka na wataenda peponi. Tutasoma maulid kila mnavoyapinga
@Maalim_Samatta
@Maalim_Samatta 10 ай бұрын
​@@omarally6819😂😂😂masufi si watu wazuri, wamemsababishia mtoto wa watu hadi kakojolea kiti walichomkaribishia 😂😂😂😂
@hassanhamid4359
@hassanhamid4359 10 ай бұрын
Wachawi
@sijartv9554
@sijartv9554 10 ай бұрын
Shekh walidi kaka yangu hapo umevuruga sana yani kuna siku ya nuksi Allah akukumbushe ktk haqqi
@iddyjohn1032
@iddyjohn1032 10 ай бұрын
Kwani ni yeye au ni aya??
@iddyjohn1032
@iddyjohn1032 10 ай бұрын
Hebu ichukue hii aya Watu hawasemi kwa matamanio yao tu' { إِنَّاۤ أَرۡسَلۡنَا عَلَیۡهِمۡ رِیحࣰا صَرۡصَرࣰا فِی یَوۡمِ نَحۡسࣲ مُّسۡتَمِرࣲّ (19) تَنزِعُ ٱلنَّاسَ كَأَنَّهُمۡ أَعۡجَازُ نَخۡلࣲ مُّنقَعِرࣲ (20) فَكَیۡفَ كَانَ عَذَابِی وَنُذُرِ (21) وَلَقَدۡ یَسَّرۡنَا ٱلۡقُرۡءَانَ لِلذِّكۡرِ فَهَلۡ مِن مُّدَّكِرࣲ (22) } [Surah Al-Qamar: 19-22]
@iddyjohn1032
@iddyjohn1032 10 ай бұрын
Hiyo nakhasin mustamir maana yake nini kwani mustamir si fiilu mudhwaar ambayo ni istimraar??
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 10 ай бұрын
MAJIBU YA JOJA 19 MPAKA SIKU YA KILELE CHA MAULID HAYAJAPATIKANA KAZ KUSEMA MTOTO HAJUI HAJUI MTUJUZEE HIZO HOJA SAID HAJATETEA HATA MOJA
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 10 ай бұрын
Tatzo sio kujibiwa hoja, hoja hujubiwa kwa utaratibu wa maelezo na maswali kama swali moja tu kakimbia unadhani hizo hoja zake mbovu zitajibiwa vp hata kule tanga alikua anakwepa kujibu maswali na kujifanya mjuaji
@wakatikaisi6743
@wakatikaisi6743 10 ай бұрын
Njoo darasanii wewe...huna elimuuu njoo usomeee
@user-ek3zk4bx5j
@user-ek3zk4bx5j 10 ай бұрын
Bwana wenu kakimbia swali moja tu
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 10 ай бұрын
Jaafar barzanji ni liongo limemzulia mtume ushirikina
@wakatikaisi6743
@wakatikaisi6743 10 ай бұрын
Sawa wee uliekua mkweli huna KITABU hata kimoja Cha dini kutuonyesha juhudi yoyote katika dinii...acha ujinga
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 10 ай бұрын
Yule mtoto kakaa kooni wanasema hana walimu cha ajabu maswala yake 19/30 wameshindwa kuyajibu duniani .. mteteeni barzanji Musimtukane dogo
@salumumangi994
@salumumangi994 10 ай бұрын
Unapotea wee usie juwa kutu ukiwa hujuwi Allah anasema waulize wenye kujuwa inamana Hawa wote pamoja naelimu walionayo hawajawhi kukutana
@iddysufiani4963
@iddysufiani4963 10 ай бұрын
Alie elewa like hapaa
@barzaqtradingcompany8541
@barzaqtradingcompany8541 10 ай бұрын
أما الشيعة فقد رأوا في علي ابن أبي طالب "الإمام الأول" بعد رسول الله صلى الله عليه وسلم وأثبتوا له الوصاية، وقداسة خاصة تأرجحت بين كونه معصومًا، ووصيًا، ووليًا، وإمامًا، ومهديًا، ونبيًا، وإلهًا، كما صوروه وبيده كرامات لا تقل عن المعجزات، وعددوها، وتكلموا عن بدء وجوده على الأرض حتى صار "محمد" هو النور المحمدي الأول، و "علي" ظلاله أو انعكاسه. هذا عن "علي" في حياته بحسب تصور الشيعة بعامة، أما عن مدفنه بالنجف قريبًا من كربلاء فعند الشيعة الإمامية المعتدلة أن سيدنا إبراهيم عليه وعلى نبينا الصلاة والسلام قد أنبأ أن هذا المكان سيكون قبر "علي" وعليه مشهد عظيم يفوز به سبعون ألفًا يدخلون الجنة بغير حساب ويشفعون لغيرهم! فكان القبر هو "وادي السلام" وهو جزء من جنة الله الباقية وإليه تحشد أرواح الشيعة، ويلتمسون من "علي" الشفاعة، ومن "قبره" الشفاء في الدنيا، فينادونه: (يا صاحب العصا والميسم.. يا قسيم الجنة والنار.. يا وارث النبيين". ومن العجيب أن الشيعة قبل أن يخطوا باب المشهد العلوي بأقدامهم يتجهون نحو يثرب مدينة الرسول صلى الله عليه وسلم، يصيحون: (أتأذن يا رسول الله أن أدخل على "علي" ابن عمك، وزوج ابنتك)، ولكنهم حين يتخطون الباب الخارجي لمشهد علي ويقفون أمام قبره يرددون: (السلام على الذات العليا، السلام على ذات الله القائمة بالسنن، السلام على المن والسلوى) [انظر "شجرة محمد" للدكتور علي سامي النشار، ومحمد شاكر]. وزيارة الشيعة لمدينة رسول الله صلى الله عليه وسلم تشهد بجلاء صحة ما ذهبتُ إليه أن رسول الله صلى عليه وسلم بالنسبة للشيعة وسيلة ليس إلا، وإنما الغاية فهو ابن عمه "علي" رضي الله عنه، وهو ما يثبت أن هذا نهج مركوز فيهم تبنوه عقيدة وشريعة، وأظهرت قصائدهم مكنون قلوبهم حين يفتتحونها بمدح أو رثاء الرسول صلى الله عليه وسلم على سبيل الوسيلة، بينما غايتهم ومقصدهم هي مديح أو رثاء آل البيت والمعصومين من أئمتهم وعلى رأسهم علي بن أبي طالب الذي حاولوا تلفيق وقائع التاريخ ليكون له مع الرسول صلى الله عليه وسلم في كل أوقاته ورحلاته صحبة ومشاركة وإن استلزم هذا نفي الأشخاص الذين شهدوا تلك الوقائع، ذلك أن العقل الشيعي يسمح بتجاوز ذلك كله وهضمه بمنتهى الأريحية.
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 10 ай бұрын
Sisi hatubabaiki kwa saabu tuna hoja sio tu kwamba twanfwata bachu kipofu tuna hoja zetu kwa saabu tuliwahi kuwa maulidini ushirikina mtupu na kula tuu
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 10 ай бұрын
Kwahio Kula panashida gani
@iddimohamed254
@iddimohamed254 10 ай бұрын
Kweli kka ata Mimi nlikua uko nkatoka kuna mambo ya utata uko ukiuliza shekh anakwambia alieanzisha alikua mwanachuoni..hakuna shida.
@firdausswaleh5299
@firdausswaleh5299 10 ай бұрын
Yes kula panashida
@jamillamasoud5608
@jamillamasoud5608 9 ай бұрын
Nitamsalia Mtume Wetu Muhammad S.A.W na Maulidi nitashehekea InshaAllah . Madhali sivunji amri zake Allah acha nimsifu Kwa Raha Zangu
@MohaMody-jf1zh
@MohaMody-jf1zh 9 ай бұрын
Mtoto wa Bachu na kuuliza elimu uliokwenda kuisoma ni ya kupinga maulidi pekee? Leo 6/10/23 mskiti Musa mombasa kuanzia mwanzo wa khutba ya ijumaa mpaka mwisho hakuna kitu umeongea Ila maulid kwani yanakuudhi sana? Msiba kweli
@ngumbosanga5359
@ngumbosanga5359 10 ай бұрын
Tamaa za pesa ndizo Zina watafuna maulidi haifai acheni tamaa ya ubwbwa
@yusuphabdallah685
@yusuphabdallah685 10 ай бұрын
Wanachonishangaza hawa watu...basi ili na sisi tuelewe basi wayajibu maswali ya Bachu ili tujue kuwa Bachu anatudanganya...mwisho wa siku wanakuna kufanya Raddi bila kujibu kilichoulizwa...
@munirramadhan4435
@munirramadhan4435 10 ай бұрын
Soma usisubiri watu wajijishane ili uelewe kwani nawew utakuja kuulizwa muda wako umeutumiaje
@allynally4015
@allynally4015 10 ай бұрын
Watu wa maulidi watakonda sana hii si hapa tuu mpka akhera ss watu watakua na barazanji na sijui barazanji ktk dini ni km nani
@hashimrashid
@hashimrashid 10 ай бұрын
Wewe mwenyewe ni bidaa umezushwa na mungu halafu hutaki bidaa ni ajabu sana
@thetycoon9478
@thetycoon9478 10 ай бұрын
Astaghfirullah,kivip kuwa mwanadamu ni bidaa
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 10 ай бұрын
​@@thetycoon9478sababu mmekuja baada ya Mtumi😂
@abduljecha7779
@abduljecha7779 9 ай бұрын
Jameni hili Jambo Nashidwa shida iko wapi. Watu waliitana kwenye mahojiano. Sasa huyu mmoja ndiye kakaa kioja. Swali ni mtu maulidi yake alikua akifanyaje, jibu alikua akifunga kila Jumatatu. Je waswahaba walikua wakimswalia vipi Mtume? Na Jambo kama ni munkar walizuia vipi? jibu ni mkono, ulimi kuchukia. Tuacheni maslah
@Africa822
@Africa822 10 ай бұрын
Bachu akiulizwa swali gumu, utasikia asema "ILO SIO SWALI" "SWALI ILO HAKUNA"
@zigzag4487
@zigzag4487 10 ай бұрын
Nani alianza kumuuliza swali mwenzake
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 10 ай бұрын
😂
@barzaqtradingcompany8541
@barzaqtradingcompany8541 10 ай бұрын
وكان وراء هذه البيئة الصوفية والبيئة الشيعية السالفة بيئة أهل السنة، لكنها لم تبنِ هذا الإجلال على أفكار المتصوفة والشيعة وما ذهبا إليه من قِدَّم النور المحمدي أو من قِدَّم الوجود المحمدي ولم تبنه أيضًا على أنه صورة الذات الإلهية وكل وجود مستعارٌ منه، وإنما بنته على قدسيته وأنه مَثَلٌ أعلى في الحياتين الدينية والخُلُقية، ومن أجل ذلك تعلقت بلألائه قلوب أهل السنة، ولهجوا بمديحه والثناء عليه بقصائد رنانة أكثروا فيها من الاستغاثة به. وكانوا إذا حجُّوا أو أدَّوا فريضة الحج زاروا قبره الطاهر في ذهابهم أو في إيابهم خاشعين متبتلين[دكتور شوقي ضيف، فصول في الشعر ونقده]. كما يتأكد اتفاق المشرب والمسلك والمنهج بين الشيعة والصوفية في حبهم وتوقيرهم ــ إلى حد المغالاة ــ الإمام علي بن أبي طالب وأولاده، ومشايعتهم له حتى زيفوا الحقائق التاريخية دون أن تجفل لهم عين؛ فقد احتل ابن عم النبي وصهره في عقائد أهل السنة والجماعة المكان الأول في الحياة الروحية للمسلمين ــ رفعه أهل السنة بلا استثناء، رفعوه "روحيًا" على مقام كل من أبي بكر وعمر ولكن وضعوه فقهيًا في النسق، رابع خلفاء محمد صلى الله عليه وسلم ــ أما الصوفية وهم في مجموعهم أهل سنة وجماعة .... فكان الإمام علي رأس سندهم، وقمة سلاسلهم وإليه نهاية الطريق ووضعوا على لسانه آثارًا ونسبوا إليه العلم اللدني ... وإلى علي يتشوف التصوف السني. أما الشيعة فقد رأوا في علي ابن أبي طالب "الإمام الأول" بعد رسول الله صلى الله عليه وسلم وأثبتوا له الوصاية، وقداسة خاصة تأرجحت بين كونه معصومًا، ووصيًا، ووليًا، وإمامًا، ومهديًا، ونبيًا، وإلهًا، كما صوروه وبيده كرامات لا تقل عن المعجزات، وعددوها، وتكلموا عن بدء وجوده على الأرض حتى صار "محمد" هو النور المحمدي الأول، و "علي" ظلاله أو انعكاسه.
@nassirali7499
@nassirali7499 10 ай бұрын
Dah! Shekh nimekua intrested zaidi na huyo shrikh wako alisomaje misahafu mara 60,000 kwenye chumba chake katika maisha yake? Mana kwa hesabu za upesi upesi ikiwa amesoma kila siku juzuu zote 30 ingemchukua miaka takriban 164! So nataka kujua uyo sheikh alisomaje msahafu mara 60,000?
@sabdiduwil8436
@sabdiduwil8436 10 ай бұрын
Safu ya kwanza msikitini ndio bora uwongo na suhifi ibrahima wa mussa!
@officialmutrahlg2484
@officialmutrahlg2484 9 ай бұрын
Sema sijui ufundishwe
@solomonadams6337
@solomonadams6337 10 ай бұрын
Hakuna nchi inayoitwa Tanzania bara na visiwani sawa¿bali kuna nchi ya Tanzania na nchi ya Zinjibar okay...jifunze hivyo .thanks
@SirajuMsolokelo-ic6zd
@SirajuMsolokelo-ic6zd 9 ай бұрын
Hao wanaopnga maulid niwaongo tu man wanasema maulid nibidaa Mana Zama za mtume hayakuwepo VP hao hawatumii cmu na Kama wanatumia je Zama za mtume zilikuwepo
@HumyrahChannel
@HumyrahChannel 10 ай бұрын
Kwani walid ni nabii pia yy uko kwenye maslah kaburi kila mtu atakuwa pekee yake, Allah atufanyie wepesi Ameen
@hassanrajab7147
@hassanrajab7147 10 ай бұрын
Ww kama hutaki mtume asifiwe kaa kandoo
@HumyrahChannel
@HumyrahChannel 10 ай бұрын
@@hassanrajab7147 mnajifanya kumsifu kuliko walikuwa nae maswahaba wapenzi wake, mumpende zaidi, tumamsifi sana daima sio mfungo huu pekee, mtume kazakiwa lini hakuna anae juwa hio siku ni Ile alikufaa subhanallah
@Blaze_media_Tv
@Blaze_media_Tv 9 ай бұрын
Watu wa bidaa Mungu anawaon😢
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 9 ай бұрын
Hakuna dalili yoyote inayoeleza makundi ya watu duniani, watu wa bidaa na wasiokuwa wa bidaa, hiyo nayo pia NI bidaa kujizulia makundi haya Mnatupeleka wapiii Allaah (SW), amewataja watu kwa mataifa mbalimbali na makabila mbalimbali ili tujuwane tuu, haya ya bid aa na wasiokuwa bid aa mmeyatowa wapiiii Acheni hiyo TABIA ya ubinafsi wa kufikiria kwamba nyinyi mnajuwa kila kitu ,wasafi na waislamu kamili pekee wengine wooote makhudhafi wasiokuwa kitu, waliopotea na wa motoni tuu. Hii TABIA ya kujikweza na kujifagharisha mmeitowa wapi mkisaidiwa na dalili ganiii
@khamisikhalfan4720
@khamisikhalfan4720 10 ай бұрын
Kumbe nae she Walidi ana imani za kishirikina,,utabiri ni ghaibu Allah amesema عالم الغيب فلا ..
@iddyjohn1032
@iddyjohn1032 10 ай бұрын
Hoooovyoooooo wewe kwani Ghaibu imegawanyika sehemu ngapi??? Alafu kama wewe ni msomi Hiyo NAKHASIN MUSTAMIR maana yake ni nini??
@officialmutrahlg2484
@officialmutrahlg2484 9 ай бұрын
Sema sijui ufundishwe
@barzaqtradingcompany8541
@barzaqtradingcompany8541 10 ай бұрын
Uhisiano Baina na masufi ولقد اتفق الطرفان الشيعة والمتصوفة على الزعم بأن للدين باطنًا وظاهرًا، في محاولة للاستعلاء بالعلم على العلماء من أهل الظاهر، باعتبارهم هم أهل الباطن والباطن هو المراد على الحقيقة, ولا يعلمه إلا الأئمة والأولياء بينما علم الظاهر هو المتبادر من النصوص ويفهمه العامة وغيرهم! وحجتهم في هذا، أن منهج النقل معارض للمنهج الذوقي الذي يأتي منه العلم مباشرة إلى القلب دون حاجة إلى رواية، وفي ذلك ما يقوله الصوفية للفقهاء: (أخذتم علومكم من ميت عن ميت، وأخذنا علومنا من الحي الذي لا يموت)، وهو ما يعبر عنه ابن الفارض بقوله في التائية الكبرى: فثمَّ وراءَ النقلِ علمٌ يدقُّ عنْ مَداركِ غاياتِ العُقُولِ السّليمَة أما المشترك الأكبر بينهما فيأتي في تقديسهم للأئمة والأولياء؛ فرفع الشيعة مرتبة أئمتهم فوق مرتبة الأنبياء عليهم السلام أو مثلها، فادعوا لأئمتهم العصمة من الزلل، فلا تجوز عليهم الكبائر ولا الصغائر، لا عمدًا ولا سهوًا، من طفولتهم إلى موتهم، كما يعتقدون فيهم الإحاطة بكل ما فيه مصلحة المسلمين [انظر: مقالات الإسلاميين للأشعري (21/1). شرح نهج البلاغة لابن أبي الحديد (12/7). عقائد الإمامية ص 51. الحكومة الإسلامية للخميني ص 91]. وانتهج صنيعهم الصوفية فأنزلوا صفات من صفات الخالق عز وجل على أوليائهم وأقطابهم وأبدالهم من التصرف في الكون، وتدبير شؤونه ونحو هذا. يلي تقديس الأولياء والأئمة، تقديس الموتى والقبور، والاستغاثة بهم؛ فتقديس القبور وزيارة المشاهد ركن من أركان المعتقد الشيعي، وهم أول من بنى المشاهد على القبور، وجعلوه شعارهم [رسائل إخوان الصفا: 4/119]. وأدركهم الصوفية فجعلوا أهم شعائرهم زيارة القبور, وبناء الأضرحة, والطواف بها, والتبرك بأحجارها والاستغاثة بأصحابها كما أسلفنا
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 10 ай бұрын
Ni uwongo hakuna siku ya nuksi duniani hujqfahamu
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 10 ай бұрын
Kasome acha kukaza fuvu hilo
@firdausswaleh5299
@firdausswaleh5299 10 ай бұрын
Mashekhe wa maslahi hao mbona walid hakuweka mnakasha na yy yuwajua kiti chake atakiona cha moto
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 10 ай бұрын
Wewe ndio muongo mwanaharamu unamwita sheikh wa mkoa muongo muulize mamaako yupi babayako
@SwalihinaDadi
@SwalihinaDadi 9 ай бұрын
Wote wanaopinga maulid hawajui maana ya bidaa ndio maana huwa kila siku wanachukia maulid na hoja zao hazieleweki ukiwauliza mtume aliandika qur an kwenye karatasi majibu hewa
@nshimirimanadjibril
@nshimirimanadjibril 10 ай бұрын
iyo ni bidaa,haina dalili hata moja katika ulimwengu wa ilmu
@ustadhirajabu5736
@ustadhirajabu5736 10 ай бұрын
Kutumia yutubu nisinna pia mtume katumia
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 10 ай бұрын
Kwanza tafuta elimu ya dini ili ujuwe maana ya bidaa na jiya zake
@user-sx8no8zi6w
@user-sx8no8zi6w 10 ай бұрын
Mtume hkufanya ivyo wala maswahaba zake wala after maswahaba yinyi mliona Nani Kati ya hao wakipinga maulidi
@omarymtegwa2299
@omarymtegwa2299 10 ай бұрын
Walivyo fanya MTUME na maswaha zake vyote umefanya????
@jumaali8083
@jumaali8083 10 ай бұрын
Uyo anaepinga maulidi ukimuuliza kwa unapinga anakujibu watu wanakula ubwabwa maulidin 😂😂😂😂😂
@zenaahmedi8857
@zenaahmedi8857 10 ай бұрын
🤣🤣🤣
@ngumbosanga5359
@ngumbosanga5359 10 ай бұрын
Waislam baazi yenu mmekuwa wapumbavu waislam wanateseka kwa ajili yene mmekuwana wivu nachuki
@Habib_Swaleh
@Habib_Swaleh 10 ай бұрын
NA SIJAONA SOMO ALILOMPA SHEIKH BACHU BALI NI MAWAZO NA RAI TU ZAKE.
@muhibbualii4580
@muhibbualii4580 10 ай бұрын
😂😂😂 Tatizo asilimia kubwa hawaelewi hikma aliotumia sheikh waleed
@Habib_Swaleh
@Habib_Swaleh 10 ай бұрын
@@muhibbualii4580 HEKIMA GANI SHEKHEE HAWAA TU NA KUKOROGA WATU!!!
@BakariBinuri
@BakariBinuri 2 ай бұрын
Masufi ni wachawi shekhe kuna siku ya nuksi kweli tunawafuata wachawi wa kutafuta tonge
SHEIKH SAID ATOA SOMO JIJINI DSM, MTOTO WA BACHU USIPOELEWA HAPA BASI
19:54
SHEIKH WALID AKIMKARIBISHA SHEIKH OTHMAN MAALIM KWA AINA YA KIPEKEE
40:58
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 9 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,2 МЛН
INAJUZU KUOA MKRISTO?
5:32
Ustadh Khatib Omar
Рет қаралды 3 М.
MDAHALO, USHIRIKINA NDANI YA BARAZANJI UKWELI WABAINIKA TANGA
1:11:24
AL MUBAJJAL TV
Рет қаралды 45 М.
Exclusive:Huyu ndio Sheikh Walid Alhad Kipenzi cha wengi
26:00
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 9 МЛН