Maashaallah, kinachonifurahisha ni waislam wenye vyeo tofauti kusimama mbele na vitambulisho vya KAZI zao bila kuona haya, kunawakati mtu anaimani lakini anaona haya kuitangaza kwa sababu ya kazi Yake, hongera kamanda wetu
@MasterOil-qm6vwАй бұрын
Maashaallaah kamanda allaah akuhifadhi na akupandishe daraja uwe mkubwa ktk nchi hii na peponi allaah akujaalie uijue sunnah hongera sana kamanda
@mirajiissa4603Ай бұрын
Amiin yaa rabbil a'alamin
@mirajiissa4603Ай бұрын
Allahumma amiin
@JamalKishangu-p7wАй бұрын
Nakushauri unapo andika jina tukufu la Allah tumia herufi kubwa.
@majidabas3843Ай бұрын
ما شاء الله جزاك الله خير
@mafiatv547920 күн бұрын
wewe acha kasumba wewe fitna, kwa sbb mtu wa maulid, acha ujinga alikwambia haijui sunna, nini maana ya sunna! acheni ushabiki
@allymbarouk5362Ай бұрын
Mashallah kazi na sala Allah akujaalie imani sahihi na taqwa mpaka mwsho wa maisha yako Amiin
@SaadaMd20 күн бұрын
Mashaallah kamanda Allah Akupandishe cheo chadunia na cha Khera pia❤❤
@AdamYussuf-bd6shАй бұрын
Inshaallaah ndugu yangu allaah akupe. Kila kheri. wewe nimfano kwa. sisi
@SharifMwiruАй бұрын
Mm sharifu burhan singida hongera wajina
@Giftedness.29 күн бұрын
Mashallah wewe kweli ni Sharif. Allah akuinue kama unavyoinua akhlaq ya Mtume ( SAW).
@brunomirambi8792Ай бұрын
SHARRIF KAKA NAKUJUA TANGU UTOTO BADO TUKIWA WADOGO SISHANGAI KAKA HONGERA SANA ALLAH AKUTUNZE
@kadiakirua762129 күн бұрын
Allah akujalie khery Mkuu pia sauti inafana na shekh letu Othman wa Mtoro
@lilmojr7Ай бұрын
Mashaallah kamanda uko vizuri sana katika kutoa nasaha na umeelimisha watu hapa kuwa kuna shariff jina na shariff ukoo wa mtume s.a.w ukiwa shariff jina ni lazima ulitendee haki jina hilo nawe kweli umelitendea wewe huna ugomvi na sheikh kishki kabisa
@zuwanahemedy917029 күн бұрын
Mashallah ww mtt kweli umelelewa nimefurahi sn kwa mawaidha kweli hata mie Huwa sipedi mashekhe wanao kashifiyana kwenye mitadao siyo maulidi tu ni mengi wawe wanaitana praveti wanabizana yanaishiya hukohuko siyo mtadaon nawaomba sn mashekhe wetu
@t.v.a.i.s.s6842Ай бұрын
Allah akujalie kilala kheri brother
@hajjiomary238329 күн бұрын
Mashaa Allah elifu zimekaa vizuri
@kijitamfyomi5598Ай бұрын
Masheikh kadri wanavyosimama kwenye mimbari kuwapinga masharifu weusi ndio tunazidi kujitokeza MashaaAllah
@fatmafatu112829 күн бұрын
Sasa mkijitokeza ndio ufeki wenu utaondoka
@shamzone388Ай бұрын
Shukran sana kamande umesema ya haki tupendane tuwe sote kitu kimoja❤❤
@salehrashid3153Ай бұрын
Allah azidi kukuongoza ktk dini amiin.
@kijitamfyomi5598Ай бұрын
Hongera zako sharifu bur hani
@khalifaallyibnadam998329 күн бұрын
Maa Shaa ALLAH umechagua kiigizo chema kutoka kwa sheikh Othman Maalim. Kwa upande wa Muqaddimah
@mohammedsaqry3036Ай бұрын
Masha Allah Tabarak Rahman. Allah akuhifadhi
@samsonhamery3809Ай бұрын
Hawa,ndio,Shekhe Kishiki anaosema wajiita mashekhe,lakini hawajui,Lugha ya Kiarabu wala Lafudhi,ya Lugha
@shamzone388Ай бұрын
@@samsonhamery3809sasa na wewe si utowe mawaidhA maana wewe unajua zaid
@IssaKaduma-q6jАй бұрын
Masha Allah kamanda toka huko ulipo ufanye kazi ya Allah nimaono yangu tu 😊
@sharifuburuhani196926 күн бұрын
Nipe mtaji tu ndugu yangu
@wazirisaid8326Ай бұрын
Mashallah Allah anajua Cha kukulipa inshallah
@hamidamussa593Ай бұрын
Allah Subuhanahu wataala akuhifadhi Mafisadi wasije kukubana pumzi🙏
@mirajiissa4603Ай бұрын
Maa shaa Allah , maa shaa Allah , maa shaa Allah
@mzeemzee750329 күн бұрын
ZIMEFIKA ZAMA ZAWAJINGA ZISHATABIRIWA TUNAPOROMOSHA AMALI ZETU KWA MAMBO YAKIPUZI HAKUNA MKALIFU WALA ALIYEPEWA KIBALI CHOCHOTE SOTE NIVIPOFU TWAHITAJI MSAADA WA ALLAH TUZINGATIYE SANA ❤❤❤
@kassimomar7589Ай бұрын
Kuitwa shairifu sio shida shida nia wale wanaotumia jina la sharifu kutapeli watu
@hamisisoppah822527 күн бұрын
Mashallah
@ommymsagati8342Ай бұрын
MAA SHAA ALLAH
@MaalimSimbaАй бұрын
Baaraka llaahu fiika
@SuleymanMadahaАй бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤❤ duu chumahicho
@Aziz-p6s28 күн бұрын
Tatizo mkitumwa mnaendaga wazimawazima dini mnasahau km pale mwembe chai mliingia na viatu. Subhannallah
@jumamnemo838328 күн бұрын
Una chuki za kijinga.
@sharifuburuhani196926 күн бұрын
Allahu Mustaan
@asmaalharthy891029 күн бұрын
ما شاء الله تبارك الرحمن
@MussaBakilАй бұрын
Naam uwo ndiyo uslam mungu fundi
@ZanzibarherbsАй бұрын
Naam mashaallah watu wa twariqa ni watu pekee ndio Wana nidhwam na inswaf na tawadhui.
@YUSUPHMTULILAАй бұрын
Who told you that?
@fatmafatu112829 күн бұрын
Nidhwam ndio nini
@rjqaasam4587Ай бұрын
Maa Shaa Allah
@ayubutwalbu659429 күн бұрын
Ongera Sana maa shallla
@mohamedomari612921 күн бұрын
Kuna Muislamu na Muumini. Police si Kazi ya kupewa daraja na utukufu kwenye mimbari
@caramellaswirl3503Ай бұрын
Allahumma Barik
@suleimanissahassan1806Ай бұрын
Mashaallah. Naam lengo ni kutoa maneno ya Dini na sio kuadhimisha Siku ya kuzaliwa mtume tu. Maana ndani yake kutakua na lolote lililo jema.
@halidimgonza5945Ай бұрын
Ma-ash-ALLAH afande sharif 😂😂😂
@saidrakwe8727Ай бұрын
Mashegh watwarika hawarushi maneno
@mbikamtanganaki29 күн бұрын
Mashallah afande toa daw ziwingie mashekh wengine wanaubaguzi sana wanajiona hawana zambi kumbe watakua kuni zetu😂😂😂😂🎉😂
@MwanamvuaMbarak27 күн бұрын
Unauhakika?
@AliAmour-zy9en29 күн бұрын
Sio wote wabaya
@jimjam-xg7rvАй бұрын
MASHA ALLAH 💚
@ScopionScopion-zj9cdАй бұрын
safi sana hata wafugwa inawezekana huwapigi virungu sana
@binbuhakhamis4336Ай бұрын
Ila huko inakua yupokazini.
@hamidamussa593Ай бұрын
😂😂😂
@suleimanmohammed5344Ай бұрын
@@binbuhakhamis4336😂😂😂 anawachezesha virungu vya kutosha huyo😝😝😝
@aminaamina3972Ай бұрын
Mashalla ❤️ ❤️ ❤️
@omarshaban4735Ай бұрын
Maulid tuliacha sisi
@JumaOmar-ku6crАй бұрын
Mashaalla
@DesireyakubuАй бұрын
Chezeya Tanzania weye🇨🇩
@HemedyLukindo-y9hАй бұрын
Mashaallah
@SharifMwiruАй бұрын
Unapatikana wapi ndugu yangu
@mohamediddi5126Ай бұрын
Maa Shaa Allah ❤❤❤
@jumakhamis226Ай бұрын
Baraka LLAH fika
@jumakapilima7295Ай бұрын
Usijiingize katika malumbano ya kitwarika, huku ukiwa katika sare za Jeshi
@kijitamfyomi5598Ай бұрын
Kumbe masharifu tupo wengi sana
@Kutaila99Ай бұрын
Na wewe unatumia maji au mafuta au we ni mzee wa kifimbo😂
@theteacherchance6750Ай бұрын
Makhraj al-Khuroof ipo katika ubira mkubwa sana.
@ahmadSeif860Ай бұрын
Maasha allah kamanda sheikh sharif. Lkn kishk akisikia unaitwa sharif bas atakuandama...hahahahaah
@abdulkizeli9960Ай бұрын
Achaunafiqi allah akuongoze chuki zimekujaa saan wew
@saidisaidi4502Ай бұрын
Watu wa twariqa ni kazi yetu kutetea bidaa Sasa mnataka kusema yule mwamposa / sharifu filidaus ni jina tu ? Sasa huyu mtoto wa iddi amini mnaweka sawa na sheikh kishki
@rayisadesigns2646Ай бұрын
@@saidisaidi4502ndugu unakosea sana kuleta ubaguzi ktk dini, Uislam haukuja kwa kubagua watu. Waislam wote ni sawa. Kishki kakosea kusema sharifu akiwa na rangi nyeusi siyo sharifu. Huo ni ujinga wa hali ya juu. Masharifu weusi wapo wengi kutokana na namna mababu zao walivyooa wanawake wa Afrika na kizazi chao kubadilika rangi. Kwa mfano Sheikh Izzudin wa Kenya ni sharifu lakini ni mweusi kwa rangi na ni kizazi cha Mtume Muhammad (S.A.W), sasa kwa rangi yake ndiyo tuseme siyo Sharifu? Pia lazima ifahamike kuwa wakati mwengine mtu anaweza kuitwa sharifu kama jina la kawaida hilo halina tatizo, hivi kuna watu wangapi wanaitwa kwa jina la Muhammad kwani wao kuitwa hivyo ndiyo wamekuwa Mtume?! Kwa hiyo mtu kuitwa Sharifu au mzazi akampa mtoto wake jina la Sharifu siyo tatizo, Mimi mwenyewe ni sharifu kwa damu, mababu zetu walitoka Makkah na wakaja huku Afrika Mashariki na ndiyo tukazaliwa sisi. Njoo Kilwa Pande tupo wengi tu, na Silsila yetu inakwenda mpaka kwa Sayyidina Hassan na Hussein wajukuu wa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) na wala hatuthubutu kuwabagua wengine na hata kuwadhalilisha wale waliopewa majina ya Sharifu aidha na wazazi wao au jamii kwani hiyo siyo silka ya masharifu na ukimuona mtu anafanya hivyo basi huyo ana ajenda zake binafsi.
@sharfumbarouk616822 күн бұрын
Ndugu wale Ni washirikina acheni kujitia upofu na uziwi mkaikataa haki kwa ushabiki bila elimu
@Al.habeebAl.habaaibАй бұрын
HAPANA BWANA MJESHI MASHEIKH WA KITWARIQA SASA HIVI WAMECHARUKA SANA . NAO WANAJUA RADDI SIKU HIZI😅
@OmariKidamaliАй бұрын
Allah akubariki
@AbubakarAlly-th6opАй бұрын
Mtihani mtupu sharifu kamanda
@njonjolomahfudh3238Ай бұрын
KAKA NIELEWESHE MTIHANI NI UPI
@AbubakarAlly-th6opАй бұрын
@@njonjolomahfudh3238kwani we umesoma wapi nakiwango chako cha elimu nikipi? Maana mwenye akiri timamu anaelewa kwahawa mataperi wanaojificha kwenye dini
@zanzibaronlytv3470Ай бұрын
Ilo ni kosa dogo vip kosa la bid aa kma hiyo ya maulid ni dogo na vip jambo kubwa na kosa kma hilo tukisema ukosolewe peke ako vip umma uliokusikiliza watajua kua umefanya kosa , au utaenda palepale ulipokosea na kuwaambia kua umefanya kosa ili umma wasiendeleze upuuzi na uzushi
@rashidichuri1149Ай бұрын
duh
@ShekheAlfani29 күн бұрын
Ajabu nikua wanauzungumzia uislam Kwa Engle zenye kulipa serekali nguvu ikiwa kinyume chake serekali zao zita ssimama dhidi yao Allah awaongoze waseme kweli na kwaajili ya Allah na sio Kwa maslahi ya kazi zao
@Mariam-ke4ogАй бұрын
Tunakubali sana kuwa jina la Sharifu lipo lakini yule tatizo lake ni kujigamba na kutuongopea sisi waislam, wewe tunakukubali sana siyo yule wa upako
@saidkamwana119529 күн бұрын
Hata yule Jina lake ni sharifu...uganga ni kazi yake..basi Allah anajua zaid juu ya matendo ya waja wake.
@sharfumbarouk616822 күн бұрын
@@saidkamwana1195uganga Ni shirk na ni dhambi ya Kwanza isiyosameheka na Allah
@nelson-cd7frАй бұрын
Askari anaeitetea Sheria za kithwaaghuti kisha bado wajiita muislamu nenda ukaisome tawhid
@alwiyiynmission2820Ай бұрын
TAWHID INASOMESHWA WAPI!? MULIKUA WAPI WAISLAM MPAKA MATWAGHUT WAWEKE SHERIA? NAWE KWAKO UNAFATA SHERIA ZA KIISLAM AMA KWENYE MITANDAO TU???
@rayisadesigns2646Ай бұрын
@@alwiyiynmission2820ana chuki kwa sababu askari kajitambulisha ni sufi, angesema salafi angemsifia na kumpongeza.
@zanzibaronlytv3470Ай бұрын
Nenda ktk miskiti ya masalaf ndo kunakosomeshwa tawheed na uislam sahihi@@alwiyiynmission2820
@MaulaHussainMaulaАй бұрын
Huyo sio sharifu kwanza kakubali kuitumikia dunia
@ramadhaninyangasa7275Ай бұрын
Nyinyi ndio watu ambao hamsomeshi hata watoto weny
@MngwaliAllykizangwaАй бұрын
Kuitumikia dunia ki vipi,kwani dini inakataza.usifanye kazi
@Al.habeebAl.habaaibАй бұрын
HAMNA KITU WEWEEE
@denisipaulo7785Ай бұрын
Unaomba vizur ila gerezani mnatuvua nguo ili mtuzalilishe
@Kutaila99Ай бұрын
😂😂😂😂 achen machafu ili msipelekwe kule
@DavidJohn-i2d29 күн бұрын
Gereza ni sawa ni mfano Jahannam lazima uteswe.... huko Jahannam vile vile
@mussaissa6796Ай бұрын
SAUTI NA MFUMO WA MATUMIZI YA MDOMO HAVIENDANI YAANI MANENO YAKE YAKO KAMA YAMEFANYIWA TARJAMA NA MTU MWINGINE VILE.
@MasudshabanАй бұрын
Mambo ya mtandao sheikh wangu, Sauti na picha zinapishana, sauti inaanza na picha inafuata..fuatilia vzuri...usije ukaingia kwenye dhana mbaya..
@majaliwaking4500Ай бұрын
Nyie mnaemfananisha kishk na huyu acheni ujinga alafu usitumie matamanio yenu kuweka mambo sawa
@BekkaJoeАй бұрын
Wewe kishki Ndo nani ww acha ujinga
@AdamChogoАй бұрын
Ww um2mia mihemko
@AbdulhaamisSoudАй бұрын
Kwan kishki anapokea.miujiza kama mtume Mohd SW
@sharifuburuhani1969Ай бұрын
Hadhara hii ilifanyika kabla sheikh Kishki hajatoa khutba kuhusu Masharifu