Рет қаралды 548,322
#PAPI_CLEVER_DORCAS
#Matendo_ya_Mungu
#NYIMBO_ZA_WOKOVU
#INDIRIMBO_ZO_MU_GITABO
#MORNING_WORSHIP
#mahirwe01
Audio Producer : Papi Clever
Video Director : MUSINGA
D.o.p ; Musinga, Kayitare, Chrispen , Cyusa
Video Editor : Cyusa
colorist : Cyusa
location ; Byumba
You can support this ministry through
Phone: +250783255262
Email : Cleverpapi18@gmail.com
Number 275
NYIMBO ZA WOKOVU
1
Matendo ya Mungu yapita ‘fahamu, - God's actions pass 'consciousness,
ni nani ayaona wazi? - who sees clearly?
Lakini najua mapito ya Mungu - But I know God's ways
kwa mimi yafaa halisi. - for me are real fit.
2
Njiani sijui maana ya yote, - On the way I don't know the meaning of everything
lakini nitayafaamu. - but I will understand it.
Kwa nini kuzisumbukia kwa bure - Why bother for nothing
taabu na shida za mda? - with the troubles and temporary problems?
3
E’Bwana, unayo magari maelfu, - Lord, you have thousands of cars,
na lenye linalonifaa, - and the one that suits me,
u’lichagulie mwenyewe, Bwanangu, - choose it yourself, my Lord,
nifike salama mbinguni! - May I arrive safely in heaven!
4
Na kama Elia upesi kabisa - And like Elia very quickly
nitakavyoacha dunia, - left the world,
uchungu na shida za huku ‘takwisha, - the pain and problems of this will be over,
milele nitashangilia. - forever I will rejoice
5
Tutamsujudu Mwokozi daima, - We will always worship the Savior
kuimba maelfu pamoja: - singing thousands together:
E’ Mungu, u haki na mwenye neema - Oh God, you are just and gracious
katika shauri na tendo. - in counsel and action.
6
Halafu nangoja kwa uvumilivu - Then I’m waiting patiently
kujua maana kwa wazi. - to know the meaning clearly.
Na matumaini ni yenye uzima: - And hope is alive
Urithi ninao mbinguni. - I have an inheritance in heaven.
Ubu ntegereje kandi nihanganye - Now I’m waiting patiently
Kuzasobanukirwa byose. - to know the meaning clearly.
Mfit' ibyiringiro bifit' ubugingo, - I have a living hope
Mfit' umu gabane mw ijuru. - I have an inheritance in heaven.
#tanzaniagospel #swahiligospel #swahilimusic #congogospelmusic Alka Mbumba #RoseMuhando #SecretAgenda #Gospsongs #Gospelmusic2022 #Jesus
#kelsykerubo #rosemuhando #msanii_music_group
Kelsy Kerubo
Tanzanian icon, Rose Muhando.
JUSTINA SYOKAU (MADAM 2020) - TI UHORO
rose muhando songs
Rose Muhando - Secret Agend
Shetani huzuia sana maono yako, sasa tumechoka na kama mbaya iwe mbaya lazima apigwe.
ROSE MUHANDO - KAMA MBAYA MBAYA