Asante sana. Jambo nzuri nikutumiya pesa kidogo kuliko mapato naku fanyakazi zaidi ili uzidi kuingiza pesa
@floramkumbi32572 жыл бұрын
Naendelea kuyafanyia kazi mafunzo ninayojifunza kwako Asante Sana
@mohammedrashid29062 жыл бұрын
Mkuu Je Salary inakupa Utajiri
@dodgerwakitaa26582 жыл бұрын
Kazi nzuri zaidi naona jinsi navyofaulu Naomba msalimie fortunatus Nanauka
@Raphael992 жыл бұрын
Mimi Kuna mda nalala, nikisikiza haya mawaiza unaniamsha nakuwa mwenye kuamka Sana, Mungu akutunze brother Man Thank you.
@yusufuheri65242 жыл бұрын
Wewe ni Mimi kabisa
@joelnanauka2 жыл бұрын
Ahsante Raphael, tuendelee kujifunza na kuwaalika wengine
@tigersmusic202 жыл бұрын
@@joelnanauka kaka ukiwa na mda nipe number yako ya WhatsApp niko na zawadi yako
@adeccenter91932 жыл бұрын
tusiishie tuu kumsifia Mr Joel, tumsapoti kwa kununua vitabu maana anasaidia wengi kwa maarifa yake
@jovanafidelis28022 жыл бұрын
Umenena vya maana
@joelnanauka2 жыл бұрын
Ahsante 🙏🏼
@Raphael992 жыл бұрын
Kuna tunzo unapaswa upate kwenye hii inchi unanisaidia Sanaa mwamba Joel nanauka.
@joelnanauka2 жыл бұрын
Ameen Raphael
@benardtimotheo94202 жыл бұрын
Natakiwa kutilia mkazo kutumia chini ya ninachoingiza, asante kwa elimu yako
@donnyplus42 жыл бұрын
Kaka nashindwa nikushukuru vipi Ila kwa Nafasi kubwa umenibadilisha sana, barikiwa kaka .
@neemamsaki11112 жыл бұрын
My Life Coach Joel ubarikiwe mno na Mungu unamchango Mkubwa kwenye maisha yangu, vijana njoo tujifunze hii ndo sehemu Sahihi narudia Sehemu Sahihi ya kujifunza na kutuweka bize asante mno.
@yunussani38712 жыл бұрын
You have really changed my life after reading your 3 books, money formula,core genius and hatua 6 za kujaijiri..I need more books from you for..Malawi
@joelnanauka2 жыл бұрын
Thank you so Much for the feedback Yunus,for books kindly contact +255 762 31 21 71
@stephenjonas48662 жыл бұрын
Joel mtu hatari,, hujawah kuharibu kazi
@hamudshabani78012 жыл бұрын
Fantastic bro coz it's real fact toward achievement; mungu akuzidishie maarifa zaidi ya uzidi kuwa sehemu ya mafanikio ya watu kiakili na kiuchumi
@Sajokila_Rapper2 жыл бұрын
Jambo papa Nanauka naishi Australia 🇦🇺 Pia mini African, I just wanna wanna say thanks so much for your big help you video is helping lot of African in Australians godblesss you papa🖤🖤🖤🖤🖤💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
@Coachsamwel Жыл бұрын
Benefiting Coach Joel.. see you at the top
@hassanovajunior69722 жыл бұрын
I've learned something bro almighty God grant you more life and healthy🙏
@joelnanauka2 жыл бұрын
Ameen Ameen
@bonifacemarick58252 жыл бұрын
Big up brother See you also at the top
@kamaratsalimsafari88382 жыл бұрын
Wekeza ukiwa unajua maisabu yatakuaje baada ya miaka mi 3 💪 Thanks #Joel naendeleza kuwekeza since Jan 2022 to 3 yrs coming... Mission on the process, urs from 🇸🇦
@joelnanauka2 жыл бұрын
Safi sana, Sina Shaka Utafikia malengo makubwa
@kamaratsalimsafari88382 жыл бұрын
@@joelnanauka Thanks #Joel Ni mwendelezo now nishamaliza miezi 10 countable pray for me inshaallah 🙏
@luciennibizi3062 жыл бұрын
I'am Lucien from Burundi even US we are gaining sthg Uncle
@joelnanauka2 жыл бұрын
Thank you Lucien
@Aviero_072 жыл бұрын
Kuna watu watarudi tena kucheki hii video 5 or 10 years from now 2032✊....
@ashaidd29122 жыл бұрын
Mungu akuweke sana nitafanyia kazi Hy no 2 mambo muhimu sana shukran
@shabahamhango34852 жыл бұрын
Imekaa vizuri sana kaka Mungu akubariki sana MUNGU mbele daima
@joelnanauka2 жыл бұрын
Ameen Ahsante sana tusonge mbele
@suzanakaijanangoma7032 жыл бұрын
Nimeelewa Sana umuhimu wa kutambua my Earning skills na Rule of 72. Asante boss
@ngayashikagi26602 жыл бұрын
Nimejifunza role of 72 ahsante sana Joel
@nang-xx7ds2 жыл бұрын
Wow great job
@yusufuheri65242 жыл бұрын
Waoooh mashaalah
@mussakhamis23772 жыл бұрын
Thank you bro nauka nimejifunza mengi kwako yaan nimebadilika sasa naweka bajet natunza muda yaan niko uzur kaka umeniamsha thank kwa mafunzo ww ni zaidi ya life coarch nataman uwe wazir wa fedha kaka
@joelnanauka2 жыл бұрын
Hongera sana kwa kuyafanyia kazi
@hamenyalugano72382 жыл бұрын
Napaswa kuwekeza katika ujuzi mpya!
@joelnanauka2 жыл бұрын
Anza kuufanyia kazi bila kuchelewa
@hamenyalugano72382 жыл бұрын
Asante sana kaka Joel!
@hamudshabani78012 жыл бұрын
Hakika u are so talented bro coz unafungua watu kiakili na kiuchumi.
@joowzeyboyjoowzee44742 жыл бұрын
Thanks you teach
@danielmuzanye1812 жыл бұрын
Mwenyezi akutunze.
@marykibira24832 жыл бұрын
Asante umenifikisha mbali sana Barikiwa 🙏🏾
@SimonNgweta-x2v4 ай бұрын
Mapato na matumizi ndio kigezo cha mafanikio ikiwa matumizi yawe chini ya mapato
@suleimanjoseph8262 жыл бұрын
Nmekuelewa sana
@sueimanally82642 жыл бұрын
Life coach
@eliasayasini14662 жыл бұрын
Nakuelewaga sana
@remmy5smartTrader2 жыл бұрын
my best mentor ever since 2019 nikiwa first year mpk nimemaliza
@joelnanauka2 жыл бұрын
Wow wow nafurahi sana kusikia hivyo
@SimoniMwahalende Жыл бұрын
Umetisha
@sixtussperatus7112 жыл бұрын
Somo zuri kaka ila natamani niyajue ayo maeneo ya kuweka pesa na ika zaa baada ya mda kadhaa
Napataje soft copy ya kitabu chako cha MONEY FORMULA
@paulouma39582 жыл бұрын
Thank you bro
@edommdende43092 жыл бұрын
sante mr nanauka Barikiwa🙏
@joelnanauka2 жыл бұрын
Amen Amen
@hildamushashu5056 Жыл бұрын
Matumizi ya pesa
@hermanimamai30822 жыл бұрын
Kwa morogoro mjini duka gani linauza vitabu vyako.
@issakatety35352 жыл бұрын
Umekuwa msaada mkubwa sana kwenye maswala yangu ya kifedha👏👏
@joelnanauka2 жыл бұрын
Ahsante sana nafurahi kusikia hivyo
@JaromeMnyambwa11 ай бұрын
Bro nakufatilia san unafundisha vizr san
@wauzaji5 ай бұрын
Maelezo ni mazuri sana
@chrismassawe29392 жыл бұрын
Nasubiri hapa maana na mm napata pesa nyingi lakini matokeo kidogo pamoja na kwamba kuna mengi yanafanyika
@joelnanauka2 жыл бұрын
Sawa sawa
@omarhamad94892 жыл бұрын
Mimi rabda ni kuulize swali moja tu biashara kutumia wa company( private limited company) au bishara ya kawaida ipi ni muhimu na ipi inaweza kuwa biashara endelevu na mfumo una ulinzi zaid wa kifedha
@georgemaluka98422 жыл бұрын
Thank you very much. Use less than what you earn to have savings or money for investment
@joelnanauka2 жыл бұрын
For sure
@JaromeMnyambwa11 ай бұрын
Pia Natakiwa kutumia kiwango cha chin na ninachokiingiza
@nurdininanjota40562 жыл бұрын
Thanks
@farijanibakari90182 жыл бұрын
Kaka naomba namba yako
@eneamwaruanda20642 жыл бұрын
Nimejifunza kuwekeza pesa yangu izae
@Angel-vx4eh Жыл бұрын
Mimi naomba unisainie biashara yankufanya yenye mtaji wa 400000
@titus_maridhia2 жыл бұрын
Natamani kuona behind the scene ya hii
@islachristabinastaravista81042 жыл бұрын
*Kaka tunaomba siku moja uongelee passive income na active income*
@issazambiko64892 жыл бұрын
Changamoto yangu mimi kaka mpaka asahivi bado sijaijua biasha yangu faida yake ni kiasi gani hapo sijui utanisaidiaje mimi Zambiko jr kaka
@deokarithomas12432 жыл бұрын
Hiyo law of 72 sijaelewa.
@ntegrity2772 жыл бұрын
Dawa yangu nikukutana na wewe face to face
@simulizinahamasatz591 Жыл бұрын
Brilliant
@hasaniliyaka52202 жыл бұрын
Kaka unatakiwa uwekewe ulinzi wewe maana si mtu wa kawaida
@muhammedwakif62162 жыл бұрын
Joe are you rich ??
@hellenfrancis95242 жыл бұрын
Hongera sana kakaangu ...me najitahid saan kufatq mafunsiaho yako na namshukur Mungu nimwfanikiwa baadh ya sehem kupitia mafundisho yako.lakin nahitaji zaid kuwa na pran b ili niweze kuendelea hta nitakapokuwa mzee
@fredymkono19582 жыл бұрын
Mkuu napenda kusema kwamba wewe ninjia aliyo sahihi kwa watu walio sahihi mada yaleo mimi apo kipengele namba moja nimekielewa
@joelnanauka2 жыл бұрын
Sawa sawa tuendelee kuyafanyia kazi
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
🙏🥰💃
@shanilingenju35132 жыл бұрын
🙏🙏❤️
@jacksonchristian26552 жыл бұрын
Binafsi mimi natakiwa kufanya jambo la ziada na hili ndio napambanalo niweze kufanikisha kitu cha kukifanya nimeshajua bado tu mtaji ndio naweka weka kutimiza
@joelnanauka2 жыл бұрын
Hongera kwa kugundua kitu cha kukifanya
@jacksonchristian26552 жыл бұрын
@@joelnanauka asante sijutii mafunzo yako una baya
@mahmoud18522 жыл бұрын
Kaka Joel mia huwa naingiza 30 kwa siku ila natumia 5000 vp apo naharibu
@JaromeMnyambwa11 ай бұрын
Pia Natakiwa kutumia kiwango cha chin na ninachokiingiza
@JaromeMnyambwa11 ай бұрын
Pia Natakiwa kutumia kiwango cha chin na ninachokiingiza