MAUAJI YA KUTISHA TEMEKE: DC MAPUNDA AFUNGUKA WATOTO WANAVYOBAKWA NA KUUAWA WAMEFIKA WATATU ANAWAJUA

  Рет қаралды 26,743

Millard Ayo

Millard Ayo

19 күн бұрын

Пікірлер: 69
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw 17 күн бұрын
Inalilah wainalilah rajuuni poleni sana family
@Highviwmotionpictures09
@Highviwmotionpictures09 17 күн бұрын
Hatari KUBWA sana tuweni makini
@leokamil6284
@leokamil6284 17 күн бұрын
Hao viongozi wanaovamia madanguro hii sasa ndio kazi ya kulifuatilia kwa kina na kutoa majibu ya kueleweka. Kama mnaweza kuzunguka magesti usiku na Polisi tusaidieni haya mambo .Haya ndio sasa uharibifu wa mazingira.
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 17 күн бұрын
Sio kweli watoto walikuwa wanabakwa kabla haujatokea msako wa madada powa msitafute sababu kwahiyo wewe unataka wanawake waendelee kujiuza
@leokamil6284
@leokamil6284 17 күн бұрын
@@user-fs7xc2bb5d Sijasema sababu ya madada poa usininukuu vibaya.Nimesema haya ya watoto ndio haswa ya kuyatilia mkazo kufuatilia kwa kina na iwekwe adhabu kali na ifutwe dhamana kwa mbakaji na hao viongozi wawadhibiti Polisi kuacha kuharibu kesi ya mbakaji. Hii ndio haswa neno langu
@pendosailo1989
@pendosailo1989 17 күн бұрын
Acha ujinga
@ReginaMussa
@ReginaMussa 17 күн бұрын
Jamani tunelekea wapi Dunia ya sasa 😭😭😭😭😭tuwalinde vipi watoto wetu 😭😭😭 hatuna aman hata wakiwepo shuleni, eee, Mungu tuokoe kwa haya majanga
@staminacastory5322
@staminacastory5322 12 күн бұрын
Mwenyezi Mungu atusadie sisi wenyewe hatuwezi
@Chakol123-k7s
@Chakol123-k7s 17 күн бұрын
Wakibaka na kuua wanapata faida gani 😢😢 nao wakikutwa wauwawe
@momosaid6193
@momosaid6193 16 күн бұрын
Hata sijui wanapata faida gan daah roho za kuua sijui wanatoa wap jamn
@Chakol123-k7s
@Chakol123-k7s 14 күн бұрын
@@momosaid6193 imani za kishirikina labda
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 16 күн бұрын
Poleni sana wafiwa.Pumzika kwa amani maraika wa Mungu.Serikali ipo macho
@leokamil6284
@leokamil6284 17 күн бұрын
R.I.P poleni sana wafiwa
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 17 күн бұрын
Mimi ninavyoona ni haya mambo ya ushurikina tu mkibahatika kukamata mmoja akisema ni mashariti kutoka kwa mganga tafadhalini mhakikishe anawapeleka kwa huyo mganga wauawe wote hadharani huenda watu wakaigopa
@colletatesha5265
@colletatesha5265 17 күн бұрын
Uchaguzi unakaribia mijitu inatoa kafara tyu
@user-cq1iu7yg4t
@user-cq1iu7yg4t 17 күн бұрын
Hongereni sanaaa
@MohamedNassoro-md8yv
@MohamedNassoro-md8yv Күн бұрын
LA PANYA ROAD HALIJAISHA VIZURI LIMEKUJA LA MAUAJI YA WATOTO😢😢
@dayanamsuya6516
@dayanamsuya6516 17 күн бұрын
Lugumi alipewa ela afunge CCTV camera yeye akala hela yote na serikali iko comfortable lakini at least ingesaidia kupata mwanzo hakuna asiyejulikana bhana kila siku hao hao
@hawakiza6067
@hawakiza6067 15 күн бұрын
Lugumi gani
@blessingntuli3796
@blessingntuli3796 17 күн бұрын
Inamaana polisi watashindwa kufanya uchunguzi ??? Kuanzia walipotika watoto wawili hadi zakiemu alipo bakia mmoja haku Mjengo wowote wenye cctv camera Kweli 🤔🤔! Mkifanya hivyo atajulikana tuu
@user-xc5tv9dl5k
@user-xc5tv9dl5k 17 күн бұрын
Shida nikwamba nyie mumewakamata madada poa wakati hao ndo walikuwa wanamaliza ugumu.haya sasa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 17 күн бұрын
Acha kutetea ujinga wewe
@naomijoshua6923
@naomijoshua6923 17 күн бұрын
Kwahiyo ugum ndo wachukue viungo vya mwili au
@mtatapharaoh5174
@mtatapharaoh5174 17 күн бұрын
mmbakaji wewe
@zeyadazeyada8050
@zeyadazeyada8050 9 күн бұрын
Kwa kweli ni mitihani mzito yarabi atulindie watoto wetu
@chikujuma18
@chikujuma18 16 күн бұрын
Inalilaahi wainalilah rajighun polen wazazi pamoja na jamaa zenu
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 17 күн бұрын
😢😢
@FatmaLyego
@FatmaLyego 17 күн бұрын
😢😢😢😢
@ZulekhaBaksh-ii4fk
@ZulekhaBaksh-ii4fk 17 күн бұрын
Kuna kipindi difenda zilikuwa zinatembea uhalifu umezidi
@Chakol123-k7s
@Chakol123-k7s 17 күн бұрын
Hili swala samia???
@namelockmaasailady8002
@namelockmaasailady8002 17 күн бұрын
😢😢😢
@ZulekhaBaksh-ii4fk
@ZulekhaBaksh-ii4fk 17 күн бұрын
Huku kwetu yombo machimbo pia kuna balaa la kupigwa mapanga
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 17 күн бұрын
😭😭😭😭😭wauliwe
@epema632
@epema632 17 күн бұрын
So sad😢
@Kabwela776
@Kabwela776 17 күн бұрын
Hii nchi mnaongea sana kwa Nini msiweke camera mitaani ?
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 17 күн бұрын
Nani anajali ? Wakati fedha zote zaenda kwenye matumbo yao
@Kabwela776
@Kabwela776 15 күн бұрын
@@jumakapilima7295 nchi ya laana nchi ya Mavi kunuka!
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 17 күн бұрын
Tatizo nimalezi. Kwa wazazi. Au family. Hayapo sawa matokeo yake uvutaji Bangi na pombe chafu. Umezidi sana. Kisha kuwa na makundi ya vijana wasema hovyo nawenye tatizo la Afya ya Akiri kipo. Kitu chakufanya endapo tutasimamia wajbu. wetu viongozi sasa
@user-vq6dc4nr5p
@user-vq6dc4nr5p 9 күн бұрын
Hivi mbona uchaguzi ukianza haya matukio yanazidi?
@tedyalifons924
@tedyalifons924 17 күн бұрын
Acheni maneno
@DanieliMzirai
@DanieliMzirai 17 күн бұрын
Sixtus mapunda ulikuw mbunge wa kwetu mbinga mjini 2015
@mwanakhamisimwinyimatano1185
@mwanakhamisimwinyimatano1185 16 күн бұрын
Inna lilah waina ilah rajiuun
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 17 күн бұрын
Inaumiza zaid ya sana..
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 16 күн бұрын
Alafu nsikie ati tz tuna amani amani ipi hapa nchi hii kila leo mauaji ya kutisha mara albino kutolewa viungo sasa wengine hoo tanzania tuko na amani nchi zote nikuombs mungu tu
@ZulfaJevejeve
@ZulfaJevejeve 5 күн бұрын
😭😭😭😭
@PekeiLeki
@PekeiLeki 16 сағат бұрын
🎉❤😅😮
@jurdanforwardersltd1460
@jurdanforwardersltd1460 17 күн бұрын
hapa atuwasiki hata kidogo wanahojita haki za minadamu,sasa sijui wanatetea mambo gani?maana yangekua matukio mengine tungehona press aharaka sana.
@user-ur8cq1ye3b
@user-ur8cq1ye3b 16 күн бұрын
Nyie wauwaji kwan huko majumban kwenu hakuna watoto adi muue watoto wawenzenu
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 17 күн бұрын
Mauaji yanakithiri SANA...UTEKAJI,UBAKAJI...Kila kukicha akina mama wanalia.
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 17 күн бұрын
Duu tatizo lanchii hii mtuakibaka anyonywe serekali aitaki kufanya hivoo wanyonywee sio kumfunga jela akale ugali waburee watu wamekuwa suguuu watoto wetu wataisha jamani Sheria iwe kali
@user-yv1dw6cu9k
@user-yv1dw6cu9k 16 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢daaa aisee
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 17 күн бұрын
Sasa panaitajika C CT V camera inatisha kabisa hii Hali
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 17 күн бұрын
Kuna shida kwenye malezi ya watoto... wengi wanajilea wenyewe... familia zimesambaratika sana... Mungu tusaidie sana
@ziggertv3185
@ziggertv3185 17 күн бұрын
Kabisa huu usingle mother na usingle father
@user-ur8cq1ye3b
@user-ur8cq1ye3b 16 күн бұрын
Wala sio kulea muombe tuu mungu yasikukute
@hamishassan6784
@hamishassan6784 16 күн бұрын
Mh Serikali haiwezi kushindwa najua hilo na sina shaka na serikali yangu lakini wazazi wazazi wazazi watoto hawa ni wetu sote sio eti kwa kuwa sio wako yaani si vibaya kumhoji mtu anayeongozana na binti ambaye wewe unaona kuna mashaka jamani mabinti zetu ni wadogo hawawezi pembua mambo, lakini pia kwa serikali yetu kwa maaendeleo haya ya sayansi na teknolojia hebu tutumie hizi changamoto kuwa wabunifu wa namna ya kutambua matukio ya kiarifu kama haya tuache kuhisi hisi au kushuku CCTV Canera zinashida gani kuwekwa kwenye maeneo yote hatarishi?
@ramadhanhassan9308
@ramadhanhassan9308 16 күн бұрын
Familia Linda watoto wako hao Ni rasilimali
@temuramadhani5134
@temuramadhani5134 16 күн бұрын
Temeke Kuna Nini?
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 17 күн бұрын
Eti sio mambo ya serikali na mambo yenu nyie wazazi mshirikiane ,,,sijui kama mmesikia hii kauli au
@SalumMsafiri20
@SalumMsafiri20 17 күн бұрын
Wazazi pamoja na walezi tuongeze umakini kwa vijana wetu. Matamanio ya utajiri yanapelekea binadam tunakuwa zaidi ya wanyama.
@timothbenard8213
@timothbenard8213 17 күн бұрын
Bac nchi haina ulinz
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 17 күн бұрын
Ujue kuna ile hali serikali inatakiwa iwe kali mpaka mtu aogope kufanya uhalifu sa Hivi kuna kucheka cheka sana matukio yapo mengi na inakua kama kawaida tu
@Aishaynah_innah
@Aishaynah_innah 17 күн бұрын
😢😢
@hamisamajoka3284
@hamisamajoka3284 9 күн бұрын
😢😢😢😢
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 61 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 34 МЛН
SNAKE BOY | ep 29 | SEASON TWO
31:40
CLAM VEVO
Рет қаралды 230 М.
Mauaji yalivyofanyika Kanisani Njombe | Mtuhumiwa alivyomkatakata marehemu
11:16
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН