No video

MAZITO! MCH.GWAMIYE AELEZA SABABU ZA KUBADILI JINA LA EAGT,KUJIMILIKISHA MALI ZA KANISA ,KUCHAFULIWA

  Рет қаралды 14,470

John Ngollo

John Ngollo

6 ай бұрын

#eagt

Пікірлер: 113
@jonathankessy9615
@jonathankessy9615 3 ай бұрын
Mungu akupe hatua zaidi kama hawakuelewi usiwalazimishe brother we msikilize Mungu. Ujue hizi ni zama za wasaka tonge Songa mbele
@ibrahimuimaniofficial
@ibrahimuimaniofficial 2 ай бұрын
Aisee ukimuona mtu kafanikiwa Kuna Mahali amepambana🎉🎉🎉GOD BLESS YOU MY PASTOR
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 5 ай бұрын
Pole na Hongera Mtumishi wa Mungu, Viongozi wa Madhehebu Hawana huruma wala uchungu na kondoo,Mimi nakushauri achana nao Anza upya Mungu atakubariki zaidi ya hapo,
@user-fj4kj8xc5x
@user-fj4kj8xc5x 5 ай бұрын
Mungu akubariki kuitimiza KAZI ya yesu kristo
@DavidMalimbegu-dq8tp
@DavidMalimbegu-dq8tp 5 ай бұрын
Mtumishi usivunjike moyo hizi ninyakati za mwisho sijui kama umewahi kumsikia mchungaji mbarikiwa mwakipesile alisema hao nimanyangao lakini watu wengi hawakumwelewa na ndiyo maana mwenyehaki huwa anazurumiwa pia na mwalimu tengwa sema watu wengi huwa wanawapuuzia na nabii wakweli kumjua si lahisi nabado yajayo nimakubwa sanaaaaa cha msingi Mungu atusaidie,
@manoahmahuna6426
@manoahmahuna6426 5 ай бұрын
SI Bora ukae kmya kuliko kuongea pumba wapo waumin wamewah toa viwanja kwa lengo la kumtolea mungu baadae wakaacha kusali wakawa wapagan Leo hii warudi waombe na pesa kwa vile waliacha kusali mnawajaza watu kuona kanisa n biashara ambayo unaamka asbh kule unakoenda umetengeneza mipango yko mwnyw
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 5 ай бұрын
HAKA KATABIA KA KUSEMA WASHIRIKA WANGU, EBU KAFE KWA JINA LA YESU, WASHIRIKA NI WA YESU, AKIWEMO NA MCHUNGAJI MWENYEWE. AKUNA MTU MWENYE WASHIRIKA, SOMA MATHAYO 28:1-20
@mosesjohnswilla9926
@mosesjohnswilla9926 5 ай бұрын
Tatizo ya makanisa ya kipentekoste ni kwamba, mchungaji anaanzisha kanisa kwanza kabla hajajua atajiunga na dhehebu gani, mtu anahangaika mwenye baada ya muda mrefu wa mateso ndo anatafuta wapi pa kusajiliwa, siku akiharibu hataki kuwajibishwa maana kanisa alianzisha mwenyewe
@ErnestSaimon
@ErnestSaimon 5 ай бұрын
Mungu anapomuita mtu mara ya kwanza hua anatumika Kwa uhalisia rakini anapofanikiwa roho wa mungu wakweli anaondoka hekima ya kimungu inaondoka Mimi niwaombe watumishi wamungu wamludie mungu makundi tunatengeneza wenyewe Kwa kuondoka kwenye utumishi nakujiinua mungu atusaidie
@saratimoth4734
@saratimoth4734 5 ай бұрын
Baba Mungu wambinguni akukumbuke sana utashinda
@iyobozambia2118
@iyobozambia2118 5 ай бұрын
Tatizo alianza huduma kwa mgongo wa EAGT hilo ndio tatizo Angeanza huduma kwa jina lake hii isingetokea
@ErnestSaimon
@ErnestSaimon 5 ай бұрын
Hatakama aanze Kwa jina lake kilicho tokea kitatokea mali ikikutawala hutakubali kushauliwa, mambo haya yanatokea kwasababu ya tamaa hatahuko alikoegamia kawahiwa tu Ila pengine wazo ni ministry.na watumishi wengi mungu anapo waitakwa utumishi Kwa nembo ya nini yoyote wanatumia like mungu alicho wabaliki Kwa hiari yake Bira kushurutishwa anatumika akijua anamtumikia mungu Kwa moyo wakupenda lakini kama inatumika kwajili ya manufaa yako nashauli tumia jinalako hakuna kiongoz atakae kubuguz wala kuja kwako.wewe utakua asikofu mkuu mchungaji kiongoz bado lililo tokea kwako kitatokea Kwa wachungaji wako twende Kwa roho tu
@mkdg.4skolo891
@mkdg.4skolo891 5 ай бұрын
Ee Mungu wa Mbinguni tuangalie wanadam wa kizazi hiki maana kama imefika hatua hadi kanisa au makanisa kama tunapelekana mahakamani kweli jamni hta kama umewekeza nguvu kiasi gani kwanini usiitamani tu dhawabu ya kuupata Uzima wa Milele. Achana nao hao waachie kanisa lao waache na uangalie mbele kwamba wanaoiamini huduma yako watakufuata na utapata uamsho mkubwa saana yaani utaiona Mbingu inafunguka kuliko unavyoona giza Mbele yako. Waachie kanisa Baki na Mungu wako Moyoni tambua kwmba Hekalu La kweli ni Roho yako na Roho zao wanaoamini Mtauona Utukufu wa Mungu
@henelckneatunga2720
@henelckneatunga2720 5 ай бұрын
Baba ni kweli mungu akutete TU wewe ni baba yangu wa kiroho eagt Kwa Sasa hawaangali migogoro kwenye makanisa yasiyonakitu wanashida sana eagt mungu awaponye TU baba vumilia yatapita tu hatakama yanauma
@lebaijeremiah4540
@lebaijeremiah4540 5 ай бұрын
Mimi ningeomba selikali,ifunguwe hilo kanisa,ili has watoto Mia wanaosaidiwa na kanisa waendelee kupata msaada wa elimu,nahuyo mchungaji alindwe kwakuwa ni mtu wa msaada kwa Jamii
@manoahmahuna6426
@manoahmahuna6426 5 ай бұрын
Hakuna kitu n kiburi Cha uzima na kukosa utii hivyo kitamramba naishauri selikali iweke Shelia kwa uhun wa baadhi ya wachungaji wanaoufanya biashara ya Makanisa et mtu kusimamia kanisa anafanya kanisa kuwa ni mali yake mbona hata kkkt wananajenga majengo waumin kwa kusimamiwa na mchungaji husika lkn hamna ujinga kama huu
@MaryhannahMembe-ok4gu
@MaryhannahMembe-ok4gu 5 ай бұрын
Mungu amteteee mtumish wake.
@thomasmallya2972
@thomasmallya2972 5 ай бұрын
Apa ni shetani anajiinua kat yenu msipo kua makin msipotenganisha pumba na mchele mwisho wa cku woooote mtakua pumba omben sana na acheni tamaa za mali acheni kujikweza mtakwezwa
@ayubusadiki9902
@ayubusadiki9902 5 ай бұрын
Pole sana.
@hamismabula9934
@hamismabula9934 5 ай бұрын
Tatizo mnataka mtukuzwe badala ya kumtukuza MUNGU.
@salomenchimbi6851
@salomenchimbi6851 5 ай бұрын
Tatizo EAGT hawajapata kiongozi sahihi, hebu wakae chini waangalie wanafanya nini, kwanini wamekuwa watu wa vurugu sana...? Mch Gwamie simama Imara katika Mungu, Mungu akutetee...!!
@prophetamanimloy405
@prophetamanimloy405 5 ай бұрын
Iweni wanyenyekevu tu; shida ni Moja tu kukosa unyenyekevu tu, kwani ungebaki EAGT, ungekuwaje? Sasa viburi vya uzima ndio vinasumbua wachungaji wengi. Ona sasa eti serikali ndio inawashauri watumishi wa Mungu badala ya kanisa kuwa mshauri wa serikali. What a shame
@filimonmpinge6039
@filimonmpinge6039 5 ай бұрын
Shida hapo ni kuna roho ya uhasi na siyo kingine
@francofrederick972
@francofrederick972 5 ай бұрын
Unaweza fafanua kidogo iyo roho inatndaje kazi?
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs 5 ай бұрын
Kwa makanisa ya kipentekost ni klpt. Tu kanisa la klpt hata ukiondoka hawana mpango wa kufuatilia jengo
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 5 ай бұрын
🎉 ukowapi mtumishi wa MUNGU umesema kweli kabisa nimetumika na kanisa Hilo hawana ujinga huo
@manoahmahuna6426
@manoahmahuna6426 5 ай бұрын
Sasa hiyo n minstry unafurahia kujiamlia Kila kitu huo nikutotaka kua chin ya maongozo inamana ukiharib unabadili ubao tuu nyinyi acheni kufanya kaz ya mungu biashara
@ashangonyani7989
@ashangonyani7989 5 ай бұрын
Mbarikiwa mwakipesile alisema. EAGT. Ni chama na sio kanisa.Maslahi binafsi yametawala. Mungu tusaidie.
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 5 ай бұрын
Achana na muhuni huyo mbarikiwa mtu yoyote anayeleta vurugu kanisa lake mama na kuanzisha lake ni tamaa ya mali tu. Fungu la kumi lisingekuwepo na sadaka wangejitolea kweli kama wachungaji wa zamani hawana mali na hawafanyi biashara yoyote.
@petermulugu8234
@petermulugu8234 5 ай бұрын
Ndugu yangu kumwita mtumishi wa Mungu hivyo si vizuri kama hukubaliani nae ni busala kutunza maneno yako usije kupata laana isiyo na sababu.( Ni ushauli tu)
@stephanoedward5763
@stephanoedward5763 5 ай бұрын
Hivi kanisa la EAGT linafanyaje? Ikiwa ni kweli mnaandaa watu wa kufanya vurugu kanisani hamwoni mnaharibu sifa njema ya Mungu wenu
@stephenkikoti9223
@stephenkikoti9223 5 ай бұрын
Shida Sio kanisa ,shida ni mtu.kama ukimskiliza vinzuri utaelewa Zaid. Yaani amehamaia kanisa jingine bila kuaga.kanisa halina utaratibu namna ya kuhamia.2.pili anaeleza aliyoyafanya kanisan,hiyo ni sadaka.
@lebaijeremiah4540
@lebaijeremiah4540 5 ай бұрын
Mutumishi wa mungu yatapita,mungu atakutetea hawezi kunyamanza kamwe,
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 5 ай бұрын
Usiongee kirahisi hivyo! Ni mwanadamu ana moyo anahitaji maneno yenye kumpa nguvu na sio kumwambia vitu virahisirah8si hivyo
@fratelltutiilaudatosi4153
@fratelltutiilaudatosi4153 5 ай бұрын
Dhambi ya uasi haiwezi kuwaacha salama mtatengana mpaka yesu atarudi
@user-oq7jw6kp6w
@user-oq7jw6kp6w 5 ай бұрын
Amen 🙏🏻🙏🏻
@yohanampangule8817
@yohanampangule8817 5 ай бұрын
Hakuna Mungu Hapo ,Tena.Mkiwa mbasukuhishwa na Watu wasio na Roho wa Mungu,Mataifa.! Basi Hakuna Mungu Kati YENU ,Be careful Kulinda Thawabu zenu
@user-dw5hs9if6n
@user-dw5hs9if6n Ай бұрын
Hivi sakata limeishaje hii?
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 5 ай бұрын
Pia mtumish wa Mungu nakupa pole sana ila nakushauri kuwa nao makini hata wakikuita kwenye maridhiano wakakununilia soda au chakula kanao mbali.
@manoahmahuna6426
@manoahmahuna6426 5 ай бұрын
Nan aamua ww nawe umekosa kaz waache kuwaua kina katunzi wamuue huyu yy asepe aache kns hakuna ataemfuatilia na hajajenga yy n waumin hapo hata mm nimewah kusali uhun huu n wakupingwa na Kila Mmoja kwa afya ya kanisa coz kanisa c miliki ya mtu
@user-kg2rv7mc2h
@user-kg2rv7mc2h 5 ай бұрын
Nyakati za mwisho watu wametanguliza masilai hawaogopi chochote juu ya mungu
@fratelltutiilaudatosi4153
@fratelltutiilaudatosi4153 5 ай бұрын
Yaani mtu wa mshahara utamuelewa tu kwa hiyo kanisa ni la kwako au la mungu ?
@Mrauto12679
@Mrauto12679 5 ай бұрын
😅
@IsraelUrasa
@IsraelUrasa 5 ай бұрын
Kwani wakati anajenga walimchangia ninikanisalikishakuwa ndolinakuwa la kwao?
@user-kg2rv7mc2h
@user-kg2rv7mc2h 5 ай бұрын
Wachugaji mmeshakuwa na roho za ushetani mnahitaji mungu awasaidie,na serikali yachunguzeni haya makanisa na matawi yake
@manoahmahuna6426
@manoahmahuna6426 5 ай бұрын
Nakuunga mkono na miguu haya k Makanisa yamekua na wahuni wengi ambao wako kmasirahi unakuta mtu kaona ninakoenda huko nitapata manufaa Fulani anatengeneza zengwe sasa makanisa haya yawekew sharia Kali ili kuepusha migogoro hii mana wahuni na wafanya biashara kwa mgongo wa dheheb wamekua wengi
@rahellubandila1928
@rahellubandila1928 5 ай бұрын
Ukumbukwe na Bwana mch Gwamie mzee Kulola ndo alikuwa na Mungu ila hao ni wafanyabiashara ukiwa huna kitu hutembelewa ila ukipata utawaona eagt hawajajenga kanisa kajenga mch na washirika wake jipe moyo baba
@furahabukuku2108
@furahabukuku2108 5 ай бұрын
Mmeacha kumsema Yesu watu wapone mmekazana kupambania matumbo........upumbavu mtupu....jueni Yesu anarudi
@user-fj4kj8xc5x
@user-fj4kj8xc5x 5 ай бұрын
Bora kujitenga na watu wamwabuduo mungu kwa mizaha.
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 5 ай бұрын
Mimi ndo nalisikia leo, siku zote najua muasisi ni Bishop moses kulola,nikweli umesaidia lakin ww sio muasis wa EAGT HApo tusidanganye, usifarakanishe kanisa,
@elidecute3198
@elidecute3198 3 күн бұрын
Omba sana yasikukute, Mungu amtie nguvu huyu baba
@elidecute3198
@elidecute3198 3 күн бұрын
Omba sana yasikukute, Mungu amtie nguvu huyu baba
@user-ui4xt2vp5t
@user-ui4xt2vp5t 5 ай бұрын
Kwan ulikuwa unamjengea nani?je unadai nn fedha mch siyo zako ni Bwana anakupa
@marthacharles3872
@marthacharles3872 5 ай бұрын
Rudi kwa mungu ndugu yangu si ni ww tu urudi na uendelee na kanisa kanisa la eagt ndo taratibu zake jitahid urud huo mgawanyiko umeua watumishi wengi jaman shituken ,mm mchungaji wangu alijigawa tumeshamzika jaman alikuwa shetan rud okoka tu ndugu yangu urud eagt shida zmeisha mungu ametawala
@IsraelUrasa
@IsraelUrasa 5 ай бұрын
Jipe moyo mchungaji
@gilibethkapelembe2108
@gilibethkapelembe2108 5 ай бұрын
Kama hawakumuchangia nijeli wamwache awndelee na upande anao taka yeye sasa wana taka jengo lanini .
@johnalphonce8600
@johnalphonce8600 4 ай бұрын
MUNGU akusamehe. yaani unasema umejenga mwwnyewe? mhhh hivi unawakumbuka wale wa mama 2 akiwemo mama madundo walivuta maji hapo kanisani kwa jina gani? vibanda hivo watu wamechanga pesa za kutosha Leo unasema ni nguvu zako mwwnyewe. kwwli okoka na MUNGU atakusamehe
@christinamayila3588
@christinamayila3588 4 ай бұрын
Acha upambavu hao wamama ndio walikudanganya kuwa walivuta maji. mbona nawaona hata historia ya kanisa hamuijui.
@user-zs3mi7xp9p
@user-zs3mi7xp9p 5 ай бұрын
Wakati kanisa linaanzishwa Lili sajiliwa kwa jina gan!??
@healingclinic698
@healingclinic698 5 ай бұрын
Huyo Brown mwakipasile anatakiwa aonje Jera kwanza ndio akili itakija
@user-ui4xt2vp5t
@user-ui4xt2vp5t 5 ай бұрын
Binafsi sioni pointi hapo ni kiburi Cha uzima ,pili kuhama na kuhama na dhehebu
@manoahmahuna6426
@manoahmahuna6426 5 ай бұрын
Uko sawa hakuna anachozungumza zaidi ya kburi Cha kudharau wengine na kutotaka kutii mwaka juz mm nilikua nilienda hapo kahama majengo kwa shughuli zangu binafsi na nilikua ninasali hapo kanisani kwake akiwa anajipambanua kama e a.g.t Leo hii anazungumza uongo et yy alikua upande wa pili jaman Yan sa hv watu hata hawaogop kusema uongo na wanajiita watumishi wa mungu
@frankmfuse6990
@frankmfuse6990 5 ай бұрын
Kuhama dhehebu sioshida maana dhehebu ni lwanadamu Imani na kusudi ni la mungu
@manoahmahuna6426
@manoahmahuna6426 5 ай бұрын
Kuhama cyo shida umehamaje n kwa taharuki sasa huyu amehama kwa kuleta taharuki lkn pia Sheria Iko waz n makosa kubadili ubao au Jina paspo idhini ya msajili
@NATACIARAPHAEL-iz8kr
@NATACIARAPHAEL-iz8kr 5 ай бұрын
Wafuata masilahi tu nyie mnataka mtua mtuambie washirika hawakujenga ulijenga mwenyewe
@fratelltutiilaudatosi4153
@fratelltutiilaudatosi4153 5 ай бұрын
Atalipwa na mungu Sasa wewe unajitangaza kwamba unasaidia anayejua ni mungu tu
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 5 ай бұрын
Kanisa nila Mungu ila Jengo nila kwake. Pia tambuwa kanisa niwatu siyo jengo.
@user-is9up1qg4i
@user-is9up1qg4i 5 ай бұрын
Ndugu ukitoa sadaka umemtolea mungu kanisa ni Mali ya mungu
@agustinosamwely4366
@agustinosamwely4366 5 ай бұрын
kwanza ninyi niwaasi koo zambi inawatafuna hayo makanisa yalikua ya TAG koo mtumbu tu hiyo ni zambi inawatafuna
@manoahmahuna6426
@manoahmahuna6426 5 ай бұрын
Ww unaongea pumba mbona kwa hiyo unataka kuaminisha uma at t.a.g nisalama kwamba hamna wanaoupinga uongoz wa t.a.g wkt juz juz tuu hapo Kuna kanisa la t.a.g dar es salaam tegete walikua wanapinga kutomsimamisha mchungaji wao had wanakataa kuingia kanisani
@fratelltutiilaudatosi4153
@fratelltutiilaudatosi4153 5 ай бұрын
Mbona huzungumzii mapato ya sadaka na mapato mengine unazungumuzia matumizi tu kwani sadaka Huwa huchukui ndo shida ya haya makanisa ya watu binafisi migogolo Huwa ni mingi sana
@user-kc6zb9ch2p
@user-kc6zb9ch2p 5 ай бұрын
Huu ni uasi tu, hata kama ulijenga Kanisa. Kanisa siyo mali ya Mtu ni nyumba ya Ibada kwa Mungu, hivyo ulifanya kazi hiyo kwa ajili ya Mungu.
@Mrauto12679
@Mrauto12679 5 ай бұрын
Kanisa linajengwa na washirika wa Kanisa kaka asikudanganye mtu yeyote
@healingclinic698
@healingclinic698 5 ай бұрын
Wewe rudi kwenye Maandiko vizuri uelewe maana ya neno uasi ? Uasi ni kwende kinyume na maagizo ya Mungu au kuvunja sheria za Mungu sasa EAGT ni sheria ya Mungu ! Kwamba mtu akihama amevunja ? Wewe huyo huyo unaweza kuona mtu kuhama EAGT ni dhambi ila mtu kumkana mama ake au kaka ake usione kama dhambi tuache kukalilishwa na kudanganywa na viongozi wa EAGT maana ni waongo hata kuliko yakobo mtoto wa isaka
@healingclinic698
@healingclinic698 5 ай бұрын
Muwe mnafatilia ukweli wa mambo msiangalia upande mmoja viongozi wa EAGT ndio waasi ila najua hujui tu yaliyojificha kihistoria wewe si unaangalia matokeo
@salomenchimbi6851
@salomenchimbi6851 5 ай бұрын
Hujui historia ya hilo kanisa la EAGT nyamaza kimya, huyu Mch mpambanaji ametoka mbali tunamjua, we unae mkejeli Mchungaji acha kabisa usije ukapigwa na Mungu
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 5 ай бұрын
​Hawa hawawajui vzuri hao viongozi EAGT Sasa hivi niwapigaji tu​@@healingclinic698
@josephatbusungu-on4jc
@josephatbusungu-on4jc 5 ай бұрын
Pastor Unacho kisema niikweli kabisa pale palikuwa hapatamaniki Bishop haki Yako haitapotea Walijaribu kumsumbua pastor katunzi hivo hivo Hawakuweza kwasababu haki ya mtu haipotei Mi Niko upande wako
@sefaniaslyvestertv1498
@sefaniaslyvestertv1498 5 ай бұрын
Hakika hakuna watumishi sikuizi kwa alichosema gwamiye ni uongo mtupu na kutaka huruma tu na wewe Busungu unaunga mkono ulaghai pole sana Uongo wa gwamiye 01kuwa ndiye mwanzilishi wa hilo kanisa si kweli 02 mgogoro ulio sababisha kanisa kupasuka kuwa ulianza tu baada ya kifo cha korola 03ibada ya nyumbani kuwa walishiriki zaidi ya waumini mia tano 04kuwa aliacha kazi pindi tu alipo anza huduma halafu ameacha kazi mwaka juzi Sikiliza kwa makini maneno ya gwamiye utagundua uongo na kejeli na kutaka huruma za watu tu 12:03
@sefaniaslyvestertv1498
@sefaniaslyvestertv1498 5 ай бұрын
Hakika hakuna watumishi sikuizi kwa alichosema gwamiye ni uongo mtupu na kutaka huruma tu na wewe Busungu unaunga mkono ulaghai pole sana Uongo wa gwamiye 01kuwa ndiye mwanzilishi wa hilo kanisa si kweli 02 mgogoro ulio sababisha kanisa kupasuka kuwa ulianza tu baada ya kifo cha korola 03ibada ya nyumbani kuwa walishiriki zaidi ya waumini mia tano 04kuwa aliacha kazi pindi tu alipo anza huduma halafu ameacha kazi mwaka juzi Sikiliza kwa makini maneno ya gwamiye utagundua uongo na kejeli na kutaka huruma za watu tu
@Mrauto12679
@Mrauto12679 5 ай бұрын
Mungu awasaidie ila huu mwili ni dhaifu sana kweli chumvi ikiharibika ni hatari
@rewardyesse7314
@rewardyesse7314 5 ай бұрын
Dhambi mliyoifanya mkajitenga na TAG ndo inawatafuna sasa
@Mrauto12679
@Mrauto12679 5 ай бұрын
Hapana kujitenga na dheebu sio dhambi, dhambi ni Nia yako inayokufanya uame dheebu kaka
@user-qv2jl6vd2c
@user-qv2jl6vd2c 5 ай бұрын
Huyu nae ni waajabu kwani TAG nini mmelishwa mapokeo ya hovyo.
@samwelombeni6850
@samwelombeni6850 5 ай бұрын
​@@user-qv2jl6vd2cKWAHIYO TAG ndio Safi Sana!?
@festoluhwago9389
@festoluhwago9389 5 ай бұрын
Labda uanzishe kanisa lako vinginevyo lazima ufuate utaratibu wa dhehebu lako hata ukienda dhehebu gani.Mbona unatafuta huruma za serkali?
@norbetnchunga3885
@norbetnchunga3885 5 ай бұрын
UONGO NI DHAMBI MBAYA SANA.
@user-qh9hv9it3d
@user-qh9hv9it3d 5 ай бұрын
Nimejifunza kitu
@adkajisi4536
@adkajisi4536 5 ай бұрын
Nini hicho
@Mrauto12679
@Mrauto12679 5 ай бұрын
Kaka moyoni kwa mtu ni mbali mdomoni ni karibu ndio maana panaonekana
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 5 ай бұрын
Tatizo watumishi wengi na waumini wengi awamtafuti Mungu mkuu na kweli yake. Bali wamekalia majungu, chuki, kufuatilia maisha ya wengine. Mungu mkuu atusaidie Watumishi wake. Sadaka ni sehemu ya Ibada.Amen.
@judithgodfrey6503
@judithgodfrey6503 5 ай бұрын
Kumekucha
@fidonifidel
@fidonifidel 5 ай бұрын
Hakuna haja yakufunga kanisa wewe endelea ku
@user-jf6uk2bx3i
@user-jf6uk2bx3i 5 ай бұрын
gwamiye anahaki
@norbetnchunga3885
@norbetnchunga3885 5 ай бұрын
HUJATAKA KUJUA UKWELI
@AyubuKhan46
@AyubuKhan46 2 күн бұрын
​@@norbetnchunga3885hatuitaji kujuwa ukweli
@norbetnchunga3885
@norbetnchunga3885 5 ай бұрын
MZEE AACHE UONGO
@AyubuKhan46
@AyubuKhan46 2 күн бұрын
Kijana acha comment za kichawi
@ashangonyani7989
@ashangonyani7989 5 ай бұрын
Baba alianza kujitenga kwa Razaro😂 . Dhambi ya mafarakano itawatesa sana wana EAGT. Kinatakiwa kiini kishughulikiwe kwa toba. Bila hivyo mtaona.
@jackswat
@jackswat 5 ай бұрын
Kujitenga kwa lazaro!!?😮 unamaanisha kujitenga na Kristo ama mtu?
@norbetnchunga3885
@norbetnchunga3885 5 ай бұрын
UONGO NI DHAMBI.!
@JeremiaDeus
@JeremiaDeus 5 ай бұрын
Moses kulola akuasi bali moses ndiye aliye mtangaza kristo ktk roho na kweli
@VeronicaMacha-pl3xt
@VeronicaMacha-pl3xt 5 ай бұрын
Amen
Mch Moses Magembe - ROHO MTAKATIFU WAKATI WA MATESO YA KANISA
1:46:00
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 4,5 М.
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 2,9 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 4,4 МЛН
Askofu Asumwisye Mwaisabila Amvaa Askofu Mwaipesile Wa EAGT
14:30
ASKOFU MKUU AKIZUNGUMZA BAADA YA KUPOKEA USAJILI WA DHEHEBU LA AGGCI
4:14
AGGCI Penueli Gospel Centre Tv
Рет қаралды 6 М.
CASSIAN AFUNUA UKWELI JUU YA KANISA LA EAGT ASIKOFU MKUU MWAKIPESILE
28:34
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 10 М.
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 2,9 МЛН