MAZITO! NABII ALIETABILI KIFO CHA MAGUFULI ATABILI KUHUSU MAKONDA ADAI AMEOTESHWA MAMBO MAZITO NCHIN

  Рет қаралды 39,679

John Ngollo

John Ngollo

Күн бұрын

Пікірлер: 42
@bahatimtiesa2794
@bahatimtiesa2794 2 ай бұрын
Amen and Amen tutakuunga mkono ni kweli uliyosema sisi wa uk tumeanza maombi Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@fanuelpandisha-by1oo
@fanuelpandisha-by1oo 2 ай бұрын
Mwenyezi mungu azidi kutulinda
@YonerManang-ie2qm
@YonerManang-ie2qm 2 ай бұрын
Tuombe sana kwa ajili Taifa letu maana
@pwaniseries
@pwaniseries 2 ай бұрын
Manabii Mnapenda kiki nyie hatuwawezi
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 2 ай бұрын
Mnaangaika kweli
@NestoriyMwezimpya
@NestoriyMwezimpya Ай бұрын
Wanao tabili vifo vya watu wachuzwe
@asbornkaduga6001
@asbornkaduga6001 2 ай бұрын
Mbona unaongea kama mwana siasa sioni kuwa ni unabii uliopewa zaidi ya kucheza na Akili za Watu kwa yaliyotokea nyuma huko
@adammjomba5814
@adammjomba5814 2 ай бұрын
Mchungaji kwanini wanao oteshwa na roho mtakatifu ni wakristo tu? Mbona hawa viongozi wa kislam wao hawa bashiri au hawapewi maono???? 😂
@AngelJimmySangweni
@AngelJimmySangweni 2 ай бұрын
MUNGU atusimamie sana ,uchaguzi ni mzito bila wewe MUNGU hatutaweza. Tunakuomba ewe MUNGU utulinde na utusimamie,tukafanye uchaguzi salama tukiongozwa na damu ya mwanao Yesu Kristo.Amen
@sylvanjosam3402
@sylvanjosam3402 2 ай бұрын
Acha kutuletea polojo kamulete makonda acha nyenyenye😂
@adammjomba5814
@adammjomba5814 2 ай бұрын
Kwanini hawa wanobashiri ni wa kristo tu mbona ma shekhe hawatabiri? Hii imekuaje?? Kila mtume anasema nimeongea na MUNGU wameongea kivipi?? ( LAKINI ma shekhe hawabashiri kama wameongea na MUNGU inamaana dini ya USILAM hawana MUNGU???.????
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 2 ай бұрын
Kitabu chenu kimasema nini?. Mana chetu kina ongelea manabii wa kweli na WA uongo. Yoel 2:28 anasema nitaimimina roho yangu jui ya wote wenye mwili Waume Kwa wake watatabiri na wazee wataota ndoto. Lakini wapo pia manabii ambao ni WA uongo matayo ,24.10 wakati huo watu wataacha Imani yao watasalitiana nankuchukiana na watatokea manabii wa uongo
@EdwardMwasuza-sj4ij
@EdwardMwasuza-sj4ij 2 ай бұрын
Amen
@rayyahinay-hp7jf
@rayyahinay-hp7jf 2 ай бұрын
Hivi Mungu ni mmoja na dunia ni yake, nchi zote tulizonazo Mungu hajawambia?? Ila Tanzania peke yake ndio wanaoteshwa, na wenine wana ongea nae live kah!! Wacheni uongoooo mbona wa dini zingine hawajasikika kama nyinyi??? Acheni kufru na tamaa za uongozi muwatishe haohao wadanganywa lkn sio waelewa yaani uchaguzi yatokee unamaanisha nn??
@StelaNoah-p9d
@StelaNoah-p9d 2 ай бұрын
Sasa kwa nn usikatae iyo roho ya mauti lkn ww unataka itimie usikubali itimie.
@issamagana9302
@issamagana9302 2 ай бұрын
We soi nabiii tapeli mkubwa we mwanasiasa ww nabii muongo mkubwa
@AllyOmali-rh8pf
@AllyOmali-rh8pf 2 ай бұрын
Kwer mungu anaongea na wanadamu sio miti akaerma anotafutaye kwa bidii ataniona
@AnnoyedBooks-kn5pm
@AnnoyedBooks-kn5pm 2 ай бұрын
Jamani mungu huwa anaangalia tu ananyamaza mara ooooh nilioteshwa, mara ooooh jamani yaliyonenwa yatatimia ndio hayo tunayaona tuombe mungu sana
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 2 ай бұрын
Sio wakristu hapana. Wakristu walokole. Kwa nini ulokole ndiyo inapendwa TU katika ukristu? Jamani Mungu ni mkubwa sana siyo kila mlokole anatimwa na Mungu.
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 2 ай бұрын
MUNGU ni MUNGU wa rehema hizi dini na watumishi wake mmezidi na hamuogopi kujianika mitandaoni fanyen tu maana hii nchu imeruhusu haya yote endeleeni MUNGU anawaona
@DottoKillangi
@DottoKillangi 2 ай бұрын
Sawa umeonyeshwa umechukua hatuna gani Ili mabaya hayo yasitokee, ww unaonyeshwa mabaya tu ,hizi ni siku za m we isho kila mtu amuombe Mungu tu
@jesusfirstchurch4162
@jesusfirstchurch4162 2 ай бұрын
Mbona dawa za miti za kuvuta Sumi kwenye mwili zipo nyingi? Jambo liwekwe wazi apatiwe dawa mara moja..siyo kumtenga na familia..dawa za Mungu ni zaidi
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 ай бұрын
Waeleze Tatizo Tz n shule upige kur ucipige wao ndoo washindi KATIBA haitakiwi Allah atusaidie KWANZA wao wanna vx za million 500 sisi tunadaiwa songesha+nipigetafu,tunahali hali mbaya sukari juu tozo hazishuki matbab juu petroleum juu,Wao, unapigwa mwingi,hawana huruma baba,
@LinaLema-c1m
@LinaLema-c1m 2 ай бұрын
Yaani uogopi kudanganya kabisaaa uoni maendeleo yatakayo tokea 2924 unaona shidaa tuuu jamani
@MamaDieudonne-mq2sq
@MamaDieudonne-mq2sq 2 ай бұрын
Huwezi elewa mambo ya rohoni na wewe si mmja wakiroho.
@rehemamsekeni8972
@rehemamsekeni8972 2 ай бұрын
Liombeeni hilo
@YonerManang-ie2qm
@YonerManang-ie2qm 2 ай бұрын
Hiyo umwagikaji wa damu ni kweli wakati wa uchaguzi, na baada ya hapo chadema itachukuwa madaraka. Hii nimefunuliwa!!
@BagambiMukhtaary
@BagambiMukhtaary 2 ай бұрын
Wewe sio nabii.toa ujinga
@Gamba81
@Gamba81 2 ай бұрын
Hakuna nabi hizi zama zetu toli 2
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 2 ай бұрын
Hao viongozi hawamjui MUNGU MUNGU wao ni ibilisi.
@MnanilaMrsmnanila
@MnanilaMrsmnanila 2 ай бұрын
mungu wao ni ibilisi.helufi kubwa inatumika kwa Mungu aliyeziumba mbingu na nchi.
@julianarichard920
@julianarichard920 2 ай бұрын
Mbona usiseme kabla ya haya kutokea embu acheni kuidhalilisha Dini Hadi tutaonekana tapeli
@yakobomkristo872
@yakobomkristo872 2 ай бұрын
Hakuna Mwanadamu Mwenye Uwezo Wa Kuudhalilisha Ukristo Zaidi Ya Kujidhalilisha Yeye Mwenyewe.
@tinershayo6191
@tinershayo6191 2 ай бұрын
Wewe unatabiri tu nenda kamuokoe makonda wetu
@TinaZimba
@TinaZimba 2 ай бұрын
Hata sasa damu inamwagika tatizo wewe hujui
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 2 ай бұрын
Ningetamani kama kuna hukumu ianze na hii michungaji ambayo iko inafanya biashara makanisani
@MichaelLambo-oh4bw
@MichaelLambo-oh4bw 2 ай бұрын
Hii Michawi inayodai Kusema na Mungu ni hatari sana.
@menaurukivuyo6796
@menaurukivuyo6796 2 ай бұрын
Tanzania mtupeni makonda wetu
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 ай бұрын
Nabii n Adam, Ibrahim musa yessu na Mohamad,
@barakalawrence742
@barakalawrence742 2 ай бұрын
Hujui ukisemacho bali umekaririshwa mambo ya mapokeo yenu
@feliciarfrancis2388
@feliciarfrancis2388 2 ай бұрын
Acha uongo wako !!! Unayoyaongea yanaonekana kwa macho.(Acha mambo yenu haya yanaoneka kwa macho
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 269 #shorts
00:26
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 24 МЛН
Mbarikiwa ahoji. Je kikwete atakamatwa na simu yake...
20:02
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 447 М.