Mbarikiwa amlipukia vikali makonda kwa kauli yake ya kubeza mapadri na wachungaji.

  Рет қаралды 46,159

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 437
@lindajohansen9220
@lindajohansen9220 Ай бұрын
Hajielewi huyo bashite mchungaji, usimuelimishe zaidi. Acha akinywee kikombe kwa wakati wake. Hajakutwa na kitu ni muda umefika sasa wa Mungu kuwaanika wazi tabia na uovu wao! Asante Yesu!
@geofreyanganile6111
@geofreyanganile6111 Ай бұрын
Nimeanza kuku elewa Mbarikiwa. U r a true man of God. You stand for justice. Ubarikiwe sana
@LillianMunyaka
@LillianMunyaka Ай бұрын
Nakupendasana BABA my God bless your life
@davidngai9113
@davidngai9113 Ай бұрын
Jamani Watanzania tuombeane katika kila anguko inayotokea Mungu angemkataa Sauli leo tusingeweza kumpata Paulo, Yesu hayupo ktk mfumo tunavyomfikisha leo kwa watu wake , ni Neema tu Kristo alituachia ebu tuitafute Neema aliyotuachia , hakuja kwa ajili ya waliyosalama bali alikuja kwa waliyochafuka wakombolewe, ebu tuitafute Neema sasa wakati umefika Amin
@nurutakatifu
@nurutakatifu Ай бұрын
Unasema kweli mtumishi na Mungu azidi kukutia hekima, busara, nguvu, uvumilivu na ujasiri kwa sema kweli isiyoweza pingika daima
@EliakimuKyamagugu
@EliakimuKyamagugu Ай бұрын
Ya kaisali mpen kaisali na ya Mungu mpeni Mungu.Mwamposa kila mkoa akienda lazma mkuu wa mkoa aende na kwa heshima humsimamisha aongee sababu wat ni wa Mungu na ni watu wa serikal ila lengo lake si kuwakandamiza watumish wengine acheni wivu.😢
@GabrielMwampulo-ys4nl
@GabrielMwampulo-ys4nl Ай бұрын
Makonda ni mjinga uelewa wake ni mdogo sana. Yeye yuko kinyeme na demokrasia ni katili.Asipo tubu hatafika mbali.
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha Ай бұрын
Makonda angekuwa mjinga ingeingia akilini. Yeye, licha ya kuwa chawa ni jinga, zuzu na zezeta kiakili. Ushamba na kujikomba vinamsumbua huyu dogo ambaye. mwisho wake unakaribia kama wa muungu wake Jiwe aliyemfinyanga na akamtupa na Samia akamuokota.
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Ай бұрын
Ukatili umejidhihirisha kabisa
@fr.edgarngowiosa6599
@fr.edgarngowiosa6599 Ай бұрын
You have said it all. Be blessed. Amén
@MICHAELTARMO
@MICHAELTARMO Ай бұрын
Thanks a lot pastor Kwa kimuelewa faster
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 Ай бұрын
Asante. Maana hata waganga wa kienyeji watajiingiza wakitumia Jina la Yesu na kuwapotosha watu wa Mungu.
@ReginaMachibia
@ReginaMachibia Ай бұрын
Unabii wa yule mama wa Arusha umetimia aliosema mungu amemkataa makonda,na hussen bashe,na January makamba unabii ule unaanza kutimia kwa sababu mtu asiyependa haki huyo siyo wa mungu
@rizmarkabraham3921
@rizmarkabraham3921 Ай бұрын
Mungu akubariki sana sana mtumishi wa Mungu. Mtaijua kweli nayo kweli utawaweka huru kweli kweli
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu kukuonyesha ukweli wa moyo wa Makonda.
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Ай бұрын
Ameen mtumishi, umenena sawa, kwamba kweli wengi walimuombea Mh Makonda asipatwe na mabaya wakati ule hakuonekana watu walilia walifedheheka, amerudi kazini kwake salama ni likizo yake alikuwa!!! Tumshukuru mungu kwa yote. MCHJ MBARIKIWA NIMEKUSOMA!!😊😊😢😢
@lindajohansen9220
@lindajohansen9220 Ай бұрын
Nani alilia? Watekaji au
@onlyyoujesus8232
@onlyyoujesus8232 Ай бұрын
Mi mwenyewe Makonda nimemjua uhalisia wake. Kumbe tuliyowahi kuyasikia juu yake yalikuwa sahihi. Mungu amrehemu.
@samsonwilson3762
@samsonwilson3762 Ай бұрын
Asante mbarikiwa nilikua namwamini makonda kumbe nae ni muuwaji goliati alivyowadharau wana wa na kuwaua wana wa MUNGU DAUDI HAKUPIGA MAGOTI alisimama kisasi na MUNGU alilshindia akamshinda samson hivyo hivyo alitoa kisasi cha MUNGU MUNGU amesema ni MUNGU wa visasi kwa wadharimu
@ulimbagakipole3971
@ulimbagakipole3971 Ай бұрын
Mlimwamini kupitiliza, Mungu ameamua kumfunua. Mange Kimangi amemaliza gemu.
@ndavadumayai4250
@ndavadumayai4250 Ай бұрын
Hata mimi kweli nashindwa kujua makonda ni yupi,ametuvunja moyo kwa kweli
@JustiniDavidi
@JustiniDavidi Ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi mwakipesile kwaukwel wako
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso Ай бұрын
Kosa kubwa lilifanyika ni kumruhusu Makonda apande madhabahuni na kuanza kuwaponda watumishi wa Mungu Mtume Mwamposa Mungu akutumie vizuri asiruhusu tena ghiriba za wanasiasa kwenye huduma yake watamuaribia huduna yake Makonda siyo mtakatifu ni miongoni mwa watekaji hana sifa ya kuwakosoa watumishi wa Mungu ni mchafu
@SakinaHassan-xc2in
@SakinaHassan-xc2in Ай бұрын
Huwezi kumuomba tu mungu bila juhudi zako kwanza kama ni hivyo Basi tungekuwa hatufanyi kazi tunamuomba tu mungu stuletee chakula acheni dhuluma tendeni haki Kwa wananchi madaraka yasiwatie kiburi Iko siku utalala kama hao wanaouliwa na kuzikwa tumuogopeani mungu tusifanye kazi ya mungu tukaiingilia SISI
@siamuchunguzi
@siamuchunguzi Ай бұрын
Ahsante sana mbarikiwa umenifungua macho
@emanuelkatambi6902
@emanuelkatambi6902 Ай бұрын
Niliposikia kiongozi wangu niliyempenda Makonda kaongea maneno kama hayo nilihudhunika sana nilibaki kusubiri Mbalikiwa anasemaje ulivyosema Mbalikiwa ndivo nilivyotegemea.sasa siamini tena Mwanasiasa.
@patrickmathiasnsalanga3401
@patrickmathiasnsalanga3401 Ай бұрын
Kweli wanasiasa wanaweza kubadilika saa yoyote hawaaminiki kabisa. He haya maajabu.
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn Ай бұрын
Hata sakata la NGORONGORO NA LOLIONDO, Makonda ana kigugumizi juu ya hapo, anyoshi maelezo vizuri.
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc Ай бұрын
Makonda hayupo sawa
@Ostkans
@Ostkans Ай бұрын
Nami naomba MUNGU amjalie kuelewa na atubu bila albu.
@Ostkans
@Ostkans Ай бұрын
Nabii wa Mungu Yohana Mbatizaji alimkemea mfalme herode kwa ajili ya herodia hakuishia kuomba bali alitangaza kosa kwa ajili ya kuonya,niombe kwa upendo kiongozi wetu mpendwa asahihishe kauri yake kwa viongozi wa kiroho.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Mimi siyo nabii mimi ninakupenda sana Yesu. Nabii wetu Mwambosa kalianoint Dhahabu la Mungu baada ya unajisi uliofanywa na Makonda uliye mkaribisha Madhabauni hapo.
@wemamwaikambo2848
@wemamwaikambo2848 Ай бұрын
Hapa kuna kitu Mungu anataka kufanya au kufunua kitu furani ambacho kilikuwa sirini, kwa nini iwe muda mmoja, wakati watu wakishangaa hotuba ya rais na makonda naye anakuja. Hebu tusubiri tuone Makusudi ya Mungu.
@thadeomihayo3795
@thadeomihayo3795 Ай бұрын
Mbarikiwa leo umeongea na nimekuelewa sana na nimekuwa upande wako 100
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 Ай бұрын
Nimeshangaaa na kujiuliza sanaaaa juu ya Tanzania nchi yetu, kweli hapa tulipo tuungoje ukombozi mkuu kutoka kwa Mungu mwenyewe!!!!
@charlesnyanhanga4382
@charlesnyanhanga4382 Ай бұрын
Raha sana kujua mandiko ahsante kwa ujumbe wenye hekima
@lucianakweyunga8187
@lucianakweyunga8187 Ай бұрын
Kuna mtu amenicheka sana leo , kwamna msikie uliyemwamini mtetezi was wanyonge, imenibidi nikae kimya
@respiceandasoni6992
@respiceandasoni6992 Ай бұрын
mungu anaendelea kuwaweka wazi watu hawa jamani na bado watatangatanga wakidhani wanajiosha, mwisho mungu ataamua kuchukua hatua baada ya kutuonyesha
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa Ай бұрын
Wote nyinyi ni wanadamu ropokeni tu ndiyo maana Mawazo ya Mungu siyo ya mwanadamu Mungu angekuwa kila alifanyalo mwanadamu anashuka anahukumu hapa duniani kusingekuwepo Binadamu yoyote Tunaishi kwa Neema tu
@AishaTarimo-hj2nj
@AishaTarimo-hj2nj Ай бұрын
Aise nilikuwaga sikuelewi mtumishi sasa Kwa hili nimekuelewa sana na ubarikiwe
@paritsaruni5019
@paritsaruni5019 Ай бұрын
Ardhi ya Mungu ina nena. Damu ya waja wa Mwenyezi iliomwagika inazungumza inaendelea kuzungumza na hukumu yake itakuwa juu ya wale walio mwaga damu hiyo. Amen!
@benedictomabula7577
@benedictomabula7577 Ай бұрын
Huyu jamaa Makonda sijui huwa anawaza nini? Dr.Askofu Gwajima, alimaliza kazi
@johnkaliwanje434
@johnkaliwanje434 Ай бұрын
MAKONDA ANGEANZA KUMWAMBIA UKWELI MWAMPOSA AMBAYE WAHUBIRI KAMA MCH. MAGEMBE, MCH. MBARIKIWA WAMEKUWA WAKIMKOSOA SANA KWA MAFUNDISHO YAKE POTOFU. KUMMWACHA MWAMPOSA TAFSIR WW MAKONDA NI MNAFIKI, UKO KWA AJIL YA WATU FULANI SIO MUNGU WA HAKI.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Bashete ni Bashete tu huwa habsdiriki. Alifanya mengi mpaka Magufuli aliyekuwa analalamikiwa akamuacha kando. Makonda ni mchumia tumbo na unafiki ili aweze kukubalika tu. Akisha kubalika ananza kazi yake kama kawaida. Anawangia na manabii ili wasione mauwaji ya watanganyika kuwa ni mbaya siku Mungu atamfanya kipofu ndiyo atajifahamu.
@Peterchipemba
@Peterchipemba Ай бұрын
Asante mtumishi mbarikiwa kwa kuchanganua haya tusiyo yafaham
@petrothegreat2919
@petrothegreat2919 Ай бұрын
Kweli abarikiwe sana
@davidmalisa8043
@davidmalisa8043 Ай бұрын
Kwan wewe ni nani mshamba tu acha usenge
@AshaJuma-s7l
@AshaJuma-s7l Ай бұрын
Gwajima alishamfuta na wewe unataka kumfuta? 😅😂
@OmbeniShoo-kg8dr
@OmbeniShoo-kg8dr Ай бұрын
Mungu hana watu wengi wa Mungu ni wa chache siku zote, ndio wenye kweli yake
@BatazalNdifwa-nk2hl
@BatazalNdifwa-nk2hl Ай бұрын
Makonda ndg yangu! Hah hah hah hah! Mungu sio binamu Yetu. @ Sikieni vilio vya wengine. Ok
@sylivesterm.mazigo2440
@sylivesterm.mazigo2440 Ай бұрын
Makonda nilikuwa namwamini kumbe ni mpumbavu kiasi hiki...
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter Ай бұрын
Fala awezi hata kwenda marekani
@shikombetvshikombe897
@shikombetvshikombe897 Ай бұрын
Gwajima alimfuta na kumpa maonyo na maelekezo Leo makonda unafutwa tena Wew makonda ni nani ww una kinchwa kigumu sana aisee
@DanielKoipapei
@DanielKoipapei Ай бұрын
Safi kabisa baba yetu ubarikiwe sana amen
@AnthonyPiusi
@AnthonyPiusi Ай бұрын
Kuna watu tunalitaja jina la Mungu barazani pa wenye mzaha huku maagizo yake tukiyapuuza ole wetu haki huinua taifa kama haki hakuna ni dhuluma uchu wa madaraka uchoyo ubinafsi uuaji kutafuta heshima ya dunia hii kwa waliowateua kubeza wanaolia kisa mna mamlaka soma zab1:1--------- utapata ujumbe mnapomtaja Mungu tendeni haki msitafute sifa kwa kujipendekeza
@VcentPaul
@VcentPaul Ай бұрын
Kumbuka alipotoweka miezi miwili iliyo pita ,Kaja Makonda alifundwa , Katoka kwa kanumba yaani kungwi kwa kiswahili
@barakalameck7342
@barakalameck7342 Ай бұрын
Wakati wa mungo ni wakati sahihi maana watu wengi walitaka kumwamini lkn kupitia hayo maneno nadhani watu wamejionea wenyewe na mungu kaamua kujidhihirisha nakumweka waz kua sio mtu mkweli
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 Ай бұрын
Amebalika huyu kama kweli anamsifu Mwaposa ambaye afadhali ukutane mchawi kuliko kauli ya Makonda
@gabrielmchau8764
@gabrielmchau8764 Ай бұрын
Bashite mchumia tumbo tu, kashamalizana na wanadamu ila sasa anamjaribu Mungu, Mungu amrehemu sana huyu
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 Ай бұрын
Kitendo cha yeye kupotea mwezi mzima wananchi wakasumbuka kumuulizia alipo baadaye akaibuka na hakusema chochote kinacholingana na namna watu walimwonesha upendo na kumtafuta, mie niliandika kwenye utu ni 0% bali maigizo ni 100%
@FrankIrais-l2q
@FrankIrais-l2q Ай бұрын
Kwangu pia nilifuta asilimia nyingi sana za kumuamini
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo Ай бұрын
​@@FrankIrais-l2qBaada ya kutoka mafichoni unaona kinachoendelea nchini? Shida hatujipi nafasi ya kutafakari matukio kwa kuunganisha nukta.
@allykimbulaga8885
@allykimbulaga8885 Ай бұрын
​@@SylvesterKameo😂
@fraternuscyirilo3002
@fraternuscyirilo3002 Ай бұрын
@@allykimbulaga8885 Rais mstaafu na hayati B,Mkapa alisema watanzania tuache uvivu wa KUFIKIRI
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Ай бұрын
Hata mimi
@AllyMasterKitali
@AllyMasterKitali Ай бұрын
Mweshimiwa mkuuu wa mkowa tunakupenda sana natunakutegemea sana bali hili litaperi likubwa mwamposa wanaofanya utaperi mbele ya umati wa watu wakijipatia pesa wakijidanganya wanawapa utajiri mara wanawausia udongo mala chumvi sabuni navitu vingine kibau wananch wako wanataperiwa aya mataperi mngeyafungia makanisa yao hao ndio wanaharibu inchi yetu nakupotesa watu nakuchafuwa wakrisu waonekane mataperi kumbe watu wachache wanachafua ukrstu na masikofu mnaka kimia badala muwakeme haya mataperi
@FestoMassani
@FestoMassani Ай бұрын
Najua mpaka tufike uchaguzi mkuu 2025 CCM wamejivua nguo zao mwenyewe mtawajua tu soon
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru Ай бұрын
Amen Mbarikiwa kwa kutumia Biblia kusimamia majibu hata Waisrael waliomba baada ya Farao kukataa kusikia mateso yao hata ikamlazimu Musa kumuua mnyapara wa Farao na kuikimbia nchi ndiyo Mungu akasikia kilio chao baada ya kukosa mbadala wa dhiki zao
@MwanaAmiri
@MwanaAmiri Ай бұрын
Ubarikiwe sana mbarikiwa
@sharonetsisiche5184
@sharonetsisiche5184 Ай бұрын
Makonda muda alipotea watu wakapaza sauti kwamba yuko wapi,,,?kwa mtazamo wangu naona huyu alikuwa ameenda kujichanganya na kundi la freemason ,,ILA YESU KRISTO MUNGU WA KWELI ajichanganyi wanavyo fikiri,ndio maana wanajianika hadharani
@samoskiyalo6095
@samoskiyalo6095 Ай бұрын
Makonda ni mchanga usijiingize kukosoa wakati yujuiBiblia mtazamo wako ni kutetea siasa umepotea 😢
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Ай бұрын
Mungu kaanika yote wazi kuhusu huyu mnyama makonda. Yeye na mama yake muda huu wameonyesha wazi ni akina nani. Kwa vile Mungu ni mkuu, atatenda haki muda si mrefu yatatimia. Mwache Mungu aitwe Mungu. Ingawa katupa kila uhuru, bado tunamdhihaki na kumkejeli. Makonda ni kitone cha maji kidogo sana kwenye bahari ya Hindi. Mungu ni mwenye haki, atatenda haki.
@ScolaMgaya-z9r
@ScolaMgaya-z9r Ай бұрын
Mbona mnapenda kukosoa kwa maneno, baada ya kumtafuta Mungu!!
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile Ай бұрын
Wewe hapa kwa comment hii umemtafuta Mungu?
@YustoNgede
@YustoNgede Ай бұрын
Kwa kweli amegeuka kwa haraka sana. Cjui kapewa nini
@manfordmkinga4080
@manfordmkinga4080 Ай бұрын
Mbarikiwa hujawajui wanasiasa wa kiafrica humtaja Mungu ila hawana Mungu wanaweka kama kivuli (mwanasiasa sio wakuaminika)
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Ай бұрын
❤❤❤❤ Mtumishi Mingu akubariki
@AhmedyyMicharazo-wi4mx
@AhmedyyMicharazo-wi4mx Ай бұрын
Mm mawazo yangu yalio finyu hao washaaza kutumana katumwa uyoo, washaaza kuchanganya dini na siasa, pale wamefata wingi wa watu hawakufata nabii wa kweli wala upako😂😂😂😂
@BilihaniAdriano
@BilihaniAdriano Ай бұрын
ndio ukweli Kaka
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Ай бұрын
Ktk viongozi ninaowapenda nchi hii na makonda yupo ila kwa mahubiri yake ya leo hayajanibariki hata kdg
@godfreypeter6466
@godfreypeter6466 Ай бұрын
Africa tuna utumwa wa ukoloni,kiroho,kifikra,kiafya na kimaamizi.
@HawaOman
@HawaOman Ай бұрын
Ahsante mtumishe wetu mungu akulidi sana
@Zaburi-
@Zaburi- Ай бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@emmaboka959
@emmaboka959 Ай бұрын
Makonda baada ya kupotea, kabadlika kama hamjajuwa, nadhan cyo makonda , ila kuna k2
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Yes kabla hajapotea hakuna hivi,sijui nn kumetokea
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md Ай бұрын
Wanaojalibu kumtumia mungu ni wengi hawataki kutumiwa na mungu wanatumiwa na wakuu na hao huangusha mataifa kwa hila
@AlphaBarageti-ru5xj
@AlphaBarageti-ru5xj Ай бұрын
Apingaye nyaraka za watumishi wa Mungu, haamini katika nyaraka za Mtume Paulo. Makonda Asifikiri kujua kisa au mstari mmoja wa biblia kunaondoa thamani ya watumishi wa Mungu.
@EzekiaKabuje
@EzekiaKabuje Ай бұрын
Tue macho sana watu wanacheza nasakorojia zawatu mbalikiwa tazidi kukuelewa sasa
@davidikakombole8833
@davidikakombole8833 Ай бұрын
Makonda weweeeeeee unasoma maandiko Gani jamani Mimi nimeumia Sana sikukutarajia kwa kweliiiiii
@JUSTINPiniel
@JUSTINPiniel Ай бұрын
Ukimuona mtoto wako ananyongwa ingia omba usipige kelele Mungu tusaidie
@christopherkanyalakc8941
@christopherkanyalakc8941 Ай бұрын
Pole tanzania 🇹🇿
@nafutarymajogoro30
@nafutarymajogoro30 Ай бұрын
Nimeona vichaa wamejaa ndani ya madhehebu, ni kweli ni siku za mwisho nimeamini,huyo anatumia kivuli cha dini kutetea uovu ni hatari
@ElizaAxson
@ElizaAxson Ай бұрын
Makonda alicho kiongea nikweli kabisa saivi wachungaji na hasa wewe apo bada yakuomba mnaanzakufanya mambo yasiyo wahusu mnakera kwakweli mnamwaibisha yesu jamani
@onespour7189
@onespour7189 Ай бұрын
Amewavaa waliotoa waraka, naona amechokomoa mambo, ukiingiza siasa ktk neno la MUNGU.... umekwama
@IsufuRajabu-v9c
@IsufuRajabu-v9c Ай бұрын
Mimi nimejaribu kusikiliza hutuba ya Paul Makonda sijaona kosa sasa nyinyi watu wamungu si mungeambiwa nani kafanya utekaji ila nanyinyi mpo mnatafuta kujuwa ukweli kwa mualifu zipo wapi nguvu zenu sasa nyinyi wachungaji kama hamuelwezi kuonyesha waharifu ???
@rastheunique
@rastheunique Ай бұрын
Mtumishi, Huyu makonda hajakutwa na chochote Bali ndie makonda halisi katika umbo lake halisi la EVILNESS 👹👹
@EdwardMwasyamula
@EdwardMwasyamula Ай бұрын
Tulio kuwa tunawatazamia kuwa wapi kwa AKILI ya watu na UTU Leo wanatetea vyeo na kiti njota zao vyeo vyao kweli tunaelekea wapi
@SimonPaschalMathias
@SimonPaschalMathias Ай бұрын
😢😢😢😢 nimepungza Imani yangu kwa makonda pia
@wilibertwilibrod8289
@wilibertwilibrod8289 Ай бұрын
Makonda anawatisha mapadri / maasikofu / watumishi wa mungu
@benjaminmartine-io6ry
@benjaminmartine-io6ry Ай бұрын
Na ameshindwa kuwatetea watu wanaotozwa pesa nyingi na kuuziwa vitu vingi ili kulata maombezi anahangaika na watu wanaoisaidua serikali kuwa bora ,
@rastheunique
@rastheunique Ай бұрын
Mimi sasa ni Muumini wa Mungu unaemtumikia Mbarikiwa 🙏🙏
@feliciarfrancis2388
@feliciarfrancis2388 Ай бұрын
DK ,Bishop Josephat Gwajima inawezekana alimfuta Paul Christian Makonda,Pia Joseph walioba alimlaani kwa kitendo alichomfanyia pale University of Dar kwenye mjadala wa katiba mpya
@victorishengoma5724
@victorishengoma5724 Ай бұрын
Sikumwelewa hata mimi....MAKONDA AMEKUWEJE??
@sophiemsuya6507
@sophiemsuya6507 Ай бұрын
Naungana na Mapadri na Maaskofu kuwa wanasiasa watambulishe tu wasipewe nafasi wataelezea chuki zao. Da! Kumbe kweli. Mungu tusaidie
@JohnKaliadi
@JohnKaliadi Ай бұрын
Unajitengenezea pesa ,kwa mtandao,maombi ni option ya kwanza muongo wewe muongo wewe.muongo wewe muongo wewe .makristo wa uongo wewe
@AlphonceGridius-v2b
@AlphonceGridius-v2b Ай бұрын
Makonda hajawahi kuwa mtu mzuli vipofu naviziwi ndoo wanaweza kumsifia ss tunaeona mbali huyo siyo wakuombea bali niwakulani tu
@kilianjulius9882
@kilianjulius9882 Ай бұрын
Konda ndio sura yake halisi,,, nyingine ilikuwa feki nikashetani kalikojivika suti la utakatifu
@ChristopherManase-y4e
@ChristopherManase-y4e Ай бұрын
Hamjamuelewa makonda jamani msikilize kwa kutulia na pia hilo neno kuomba j kwenye bblia halipo wewe yakikutata ukipga kelele sawa mwingine akiomba sawa yote ni bblia wala sio kuanza malumbano yasiokua na msingi mashambuliano yasio na maana mungu hapendi
@AlphonceGridius-v2b
@AlphonceGridius-v2b Ай бұрын
Kwani alishawahi kuwa mwema mlikua mnamusifia huyo ninyoka anaye mujua niasikofu gwajima tusubilie inyeshe ndoo tutajua panapo vuja
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
Hajawahi kuwa mwema
@Uhuru-s8c
@Uhuru-s8c Ай бұрын
Nadhani kitendo Cha makonda kupotea kwa muda matokeo yake ndiyo haya
@mwanagwakyala3213
@mwanagwakyala3213 Ай бұрын
ni hatari sana kama hvyo ndivyo
@MedsonUlendo
@MedsonUlendo Ай бұрын
Kabisa Makonda anasimamia haki kimemkuta nn
@jizzomonster
@jizzomonster Ай бұрын
Anaongea kwa hasira kapanic 😂😂😂 asicheze na viongoz wa dini
@boniphasmapesa8384
@boniphasmapesa8384 Ай бұрын
Amaanisha maasikofu wanaokemea yanaendelea inchini siyo watumishi,dah 😢🤭🤭
@GeraldMyuku
@GeraldMyuku Ай бұрын
Hajui haelewi anataka kusaidiwa unajua maneno hufunua kwamba mtu ana ufahamu gani
@robertigohe7477
@robertigohe7477 Ай бұрын
Makonda jamani,huoni kinachoendelea ktk taifa letu?
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Ай бұрын
Yaani makonda mpaka tuna mshangaa .hatuna hamu
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk Ай бұрын
Ameshajichanganya huyo Mwenyewe anajifaidia pipi za shetani halafu anasema nini Kama kweli anapenda haki aanzie kwenye kupigania katiba m katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ili haki itendeke Vinginevyo aache kujidanganya
@clauschaula2050
@clauschaula2050 Ай бұрын
Wanasiasa wanapenda sana nafsi zao kuliko wanawaongoza.
@evodiajohn7991
@evodiajohn7991 Ай бұрын
Tunafahamu kwa sehemu , neema ya Msalaba inatubeba kikozi kazi ungekosoa kwa HEKIMA kwa wewe uko perfect
@petrothegreat2919
@petrothegreat2919 Ай бұрын
Hekima ipi unataka atumie? Wewe uliye na Iyo hekima umefanya nini?
@muhasatv9245
@muhasatv9245 Ай бұрын
ASA MWAMPOSA NA BARAKA NAE WALISHINDWA KUMKOSOA MAKONDA
@issabilali3539
@issabilali3539 Ай бұрын
Mwacheni Mungu aitwe Mungu, serikali inayumba sasa watumishi wafanyaje kama sio kukemea.
@piusmaduka
@piusmaduka Ай бұрын
why this makonda? tulitarajia makubwa kutoka kwako na ulituaminisha hutaungana na wadhalimu, leo vp. tumwamini nani nchi hii
SIRI YA FICHULIWA UONGO WA MIUJIZA WANAYO IFANYA EV PASCHAL CASSIAN
17:24
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 186 М.
小路飞还不知道他把路飞给擦没有了 #路飞#海贼王
00:32
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 76 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 3 МЛН
Car Bubble vs Lamborghini
00:33
Stokes Twins
Рет қаралды 38 МЛН
Random Emoji Beatbox Challenge #beatbox #tiktok
00:47
BeatboxJCOP
Рет қаралды 60 МЛН
Mbarikiwa amwangukia Mwabukusi na TLS kwa ujumla. Anzeni na haki ya watu kuishi
30:49
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 1,6 М.
OG video. Mbarikiwa aangukia pua hukumu ya rufaa kwa Jamhuri. Aingia katika giza totoro
28:38
Mbarikiwa ahoji CCM kusema watajilinda kwa damu zao. Mna maana gani?
19:24
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 26 М.
Abiudi Misholi asema AMANI YA TANZANIA INAENDA KUTOWEKA. Lissu atangaza maamuzi magumu
14:21
小路飞还不知道他把路飞给擦没有了 #路飞#海贼王
00:32
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 76 МЛН