👏👏👏 HAKIKA BABA, KWA MAMBO YALIVYO MAHALI HAPA NI MUNGU TU.
@barakacharles3466 Жыл бұрын
Ninauona uwepo wa Mungu juu ya huu wimbo hakika ni Mungu tuu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@isayamwashibanda581923 күн бұрын
❤❤❤❤
@devotasanga9239 Жыл бұрын
Niweeeeeeeeeeeee! Niweeeeeeeeeeee! MUNGU WETU BADO TUNAKUNGOJA HATA KWENYE MAUMIVU MAKALI BADO WEWE NI BABA TU.
@florapeudy3963 Жыл бұрын
Hakika ni ebeneza so bure na chozi lako limefika mbinguni bado malaika wa bwana tu kukitibua kikombe Cha maombi yako na hakika atajibu kwa Moto blessed
@jacksonmbena5410 Жыл бұрын
Mapito yako yanatupa nyimbo za uwepo..🙏🙏
@bcozhenry2698 Жыл бұрын
Ukiunganisha mapito ya mtumishi huyu wa Mungu na wimbo wenyewe unatapa maana halisi ya kumwabudu muumba wetu ndiyo hii, kamwe hatustahili kumwabudu mwanadamu!
@faidaelifazi Жыл бұрын
Niwewe tu Jehova
@user-yu3ml1mu2d9 ай бұрын
Mungu akuinue mbarikiwa. Hata gerezani Mungu yupo
@shalomtv1803 Жыл бұрын
Amen 🙌 Amebaki MUNGU pekee pastor, Barikiwa sana pastor 🙏🙏
@jofreymbembela7810 Жыл бұрын
Mwee amebaki Mungu tuu.
@revinaimani6846 Жыл бұрын
Yaan huu wimbo nimeutafuta sana atimeye Leo nimeuona yaan Kuna jumbe nyingi kwenye wimbo huu aleluyaaaaaa
@jofreymbembela7810 Жыл бұрын
Amebaki Mungu tuu 🙏🙏🙏🙏
@EsterSwilah-hv5kb Жыл бұрын
😭😭🙏 mahali apa ni wew tu
@jacobmwandenga336411 ай бұрын
Mungu ana wakati wake atafanya hakika wanadam wamekuwa wabayav😔😌
@user-bc1fr1ie2q Жыл бұрын
Kwa hakika wewe mtumishi mungu akutunze akutoe kwa hayo yote unapitia ni ushuhuda huo baba hutakufa bali utaishi nabalikiwa sana wewe mtumishi
@e-songbeats6453 Жыл бұрын
Yunampa nguvu Mungu akusimamie ubaki hapo kweye kweli yake❤
@hassanrashid8182 Жыл бұрын
Ni wewe tu
@alpq-sx6sr9 ай бұрын
Hallelujah 🙏🙏
@shukranimpomwa7460 Жыл бұрын
Mungu unaujua moyo wa mtumishi wako huyu. Naomba ujidhihirishe kwake na kwetu watoto wake. Usiache waovu wakashinda,hatimaye wakajitapa/kujiona wako sahihi. NAKUOMBA MUNGU AMUA KATI YETU NA WAO.
@jofreymbembela7810 Жыл бұрын
Amebaki Mungu tuu😭😭.
@ernestmayyo5830 Жыл бұрын
Wimbo mtamu sanaa hakika mungu yupo hapa...aleluya
@jofreymbembela7810 Жыл бұрын
HAKIKA AMEBAKI MUNGU TUU. EMEEEEN
@IreneSilayo-hb6sd11 ай бұрын
Greatfull 🙏
@mwananyamalaz4427 Жыл бұрын
Mungu mbere God bless you 🙏
@sarifusteven4634 Жыл бұрын
Songa mbele BABA USIKATE TAMAA SHETANI ANACHUKIA UKWELI MAANA UNAWASAIDIA WATU KUINGIA MBINGUNI MAFREEMASON WAMEJIGEUZA BINADAMU KUKUPUNGUZIA NGUVU
@joshuangonya-jt5dj Жыл бұрын
Hakika ni yeye tu.
@emmanuelmgeni273 Жыл бұрын
Mchungaji mwakipesilee npo zanzbar lakin nataman sikuu mkono wako uniguseeee nipate afyaaaaa ya kirohooo
@sarifusteven4634 Жыл бұрын
Hata wakituuua hawatafanikiwa Tanzania nitaifa la Yesu kristo mwokozi UKWELI usemwe tupone songambele Mtumishi
Atawakikuua Wanajidanganya yesu anawEza kuinua ATA mawe yakatimaza mapenzi yake
@Hapomwanzo Жыл бұрын
Kyala nkota, ulimwene tata.
@zawadimwaibako4065 Жыл бұрын
Ni wewe tuuu BWANA
@Amoasimiyu Жыл бұрын
🙏 Amen
@tumaininzunda7206 Жыл бұрын
Amebaki yy t
@moseskasereka6834 Жыл бұрын
Niupate wapi moyo huu ulionao
@elishakayagwa9371 Жыл бұрын
Wimbo mzuri ila Ebenezer siyo jina la Mungu ila ni jiwe lililotumika kama MADHABAHU.
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
Maana ya sentensi ni; Msaada wetu, Mungu wetu mahali hapa ni wewe tu. Hivyo ndivyo inavyotumika hiyo Ebeneza
@jofreymbembela7810 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@sans-frontiere Жыл бұрын
Niwewe tuu Mungu wangu.Amen
@user-ho9ji8op1b Жыл бұрын
Mbaka sasa hakuna kama yeye atatenda tu usiogope watumishi wenye kumjua mungu kama nyie kwasasa tanzania hata Mia hawafiki mingo akutetee
@stevinedson Жыл бұрын
Nipo nyuma yako nsajigwa
@jacquelinemassengo5466 Жыл бұрын
Jéhova, Ebenezer, Mungu wetu ni wewe tu, apa ni me fika baba ni wewe tu, Mungu amibariki Sana baba Mbarikiwa 🎉🎉🎉
@christinenyagiro66624 ай бұрын
Kwa kweli huyu mama sijui kama amefanya kuomba neno la kwenda kuhubiri bali ni komedi wa kuchekesha hicho kipindi. Watu wanakuja kanisani na matatizo mengi na huwa wanataka faraja. Wakicheka cheka hivyo wanadhani wamebarikiwa kumbe amepokea ya komedi akitoka kanisani anajikuta na moyo wa huzuni kuliko mwanzo. Hata kama unasoma Biblia mwenyewe na ukiwa umeomba Roho wa Mungu utabarikiwa kuliko mafu disho ya ukomedi. Na mafundisho ya namna hiiyako katika makanisani ya waromole jamani tunaenda wapi?
@jofreymbembela7810 Жыл бұрын
Umebaki wewe tuu Mungu kwa hali ilivou.
@festokandagila1096 Жыл бұрын
KWELI MUNGU WETU NIWEWE TO HATA KAMA TUKIPITIA MAUMIVU MAKALI YACHOMAYO KAMA MOTO LAKIN BADO TUTA KUTUKUZA TU MAAANA NIWEWE TU MUNGU AKUBALIKI MTUMISHI WANGU JAPO KUWA UNAPITIA VITA KALI SANA