POLISI WAMEFIKA NYUMBANI KWA MBARIKIWA WAMETAKA KUCHUKUA VYOMBO VYA KANISA MBARIKIWA AMEWAKATALIA

  Рет қаралды 71,824

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 340
@JamesDSikazwe
@JamesDSikazwe Жыл бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu, haya yote yatapita hata hii serikali itapita tuu, MUNGU ni MUNGU tuu .
@sayunimkongwa9830
@sayunimkongwa9830 Жыл бұрын
Kamanda Sifa mtumishi Hezekia na wengine watakao kamatwa kwa ajili ya jina la Bwana Wana heri Sana mbele za Mungu.mwenyezi Mungu bado tunakuamini.
@epafraditopajenga4650
@epafraditopajenga4650 Жыл бұрын
Nyimbo Za Uchi Za Uhuni Ni Halali Ila Za Dini Ni Kosa, Mungu Natamka Neno Kwa Uwezo Wako Angamiza Kila Aliye Husika Na Ujangili Usiku Wa Leo Kwanguvu Yako.
@BaselineOnlineTv
@BaselineOnlineTv Жыл бұрын
AISEEE... INAUMA SANAAAAAAA😭WAKIKUCHUKUA WENGINE TUTAONGEA TUMECHOKA KUKAA KIMYAA WAKATI NI SASA 💪 💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@sadallahbataza1906
@sadallahbataza1906 Жыл бұрын
Pole sana mwalimu wangu Mungu akutangulie ktk mapito haya uyapitiayo
@ludigomhagama4023
@ludigomhagama4023 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi. Husiongee. Ogopa Mungu baba tu
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
Pole sana mchungaji mwakipesile, ngoja tuwaambie mawakili wa mbeya wasaidie
@frenkfarm1139
@frenkfarm1139 Жыл бұрын
Imani isio yumba hakika mungu yuko nyuma yako 💪
@Mr.Ndelwa
@Mr.Ndelwa Жыл бұрын
Ktk watu ambao watakuja kusimulia mateso ni pamoja na Mbarikiwa😭😭😢tupo pamoja kukuombea kikombe hiki kikuepuke, lkn najua unachokifanya kina baraka mbele ya safari! Damu ya mwanao itanena mbele za Mungu🙏🙏🙏Yesu alijua kuwa anaenda kuteswa na kuuawa lkn alisimamia msimamo wake hadi kifo kilipomkuta, Mungu awe nawe Mbarikiwa wa Mungu!
@ananiakyando3904
@ananiakyando3904 Жыл бұрын
Nimejionea mwenyewe Elia wa sasa kwamacho yangu jamani tuamini mungu yupo maana Kila nikimuona huyu mtumishi mm imana inaongezeka sana
@madafajulius3257
@madafajulius3257 Жыл бұрын
Poleni MUNGU yupo pamoja nanyi
@jacksoncharles5411
@jacksoncharles5411 Жыл бұрын
E'Mwenyezi Mungu,ingilia kati jambo hili, maana kimwili inauma sana,mtumishi wako ameumia na kuteseka kwa muda mrefu,sasa ifike mahali ujidhihirishe kuwa wewe ni Mungu uliye juu ya vyote,piga kila mtu anayehusika ktk kuwatesa na kuwaumiza watumishi wako kwa namna utakavyo kufaa,naomba haya ktk jina kuu,jina la Yesu kristo,Amen.
@amkenikumekucha
@amkenikumekucha Жыл бұрын
​@@cleophacephelician6739Mungu akuone.
@sadallahbataza1906
@sadallahbataza1906 Жыл бұрын
Ameeen
@PeterOlemiseyeki
@PeterOlemiseyeki Жыл бұрын
Pole saana Mtumishi wa Mungu,Mungu yuu pamoja nawe ,maandiko yanasema kuna wakati wa kulia na pia kuna wakati wa kufurahi ,Mungu atakufuta machozi ,na wotee wanao husika na hayo Mungu atawapiga kipigo kali
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub Жыл бұрын
Mungu atawalipia tena kwa ukubwa muno, wanalingia vyeo tutaona Mungu na mamlaka nani zaidi
@anafikamugisha8834
@anafikamugisha8834 Жыл бұрын
Jamani poleni Sana watumishi wa Mungu
@ServantofGodNehemiahPDA
@ServantofGodNehemiahPDA Жыл бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu.
@LameckLameckmjwanga
@LameckLameckmjwanga Жыл бұрын
hatasasa naamini Ile saa imefika kwajili ya mapambano hapa hakuna jinsi kepteni uzurimandiko yalituwekawazi kabisa hapa haijalishi tutamwagadamu kama maji Mimi hapa sasa nikotayali kufia vitani nasematena saaimefika sasa duniani watuwahaki loho zetu mikononi mwa MUNGU mkuu amina
@juliusgitonga363
@juliusgitonga363 Жыл бұрын
Pole sana Mtumishi wa Mungu kwa haya yote yanayokupata wakati huu
@TitoFute
@TitoFute 3 ай бұрын
Mungu atarejesha kila chako mtumishi wangu kaza msimamo wala usijalibu kuacha msimamo wako
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 Жыл бұрын
Eeh Mungu tunakuomba angamiza wote wanaoshiriki uonevu huu inauma sana 😢😢
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
SijasikiliA data zangu chache kwann wamemkamata?
@MteuleMwangasa
@MteuleMwangasa Жыл бұрын
Mungu wangu jidhihireshe juu ya mtumishi wako maana wewe ni Hakimu wa haki. Sina shaka nawe maana unaweza na hakuna gumu kwako mkono wako si mfupi usiweze kuokoa au kutetea zaidi ya yote mapenz yako yatimie na utabaki kuwa Mungu Amen.
@BotulphusAugustine
@BotulphusAugustine Жыл бұрын
Mungu anakusudi na wewe mchungaji uwa na moyo mkuu hao ipo siku watakuwa chini yako
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu huwainua watumishi wake kwa namna ya ajabu, mtumishi wa Mungu anapitia kipindi cha majaribu namwombea kwa Mwenyezi Mungu amtie nguvu na uvumilivu!
@ChristerShao
@ChristerShao Жыл бұрын
Ngoja inyeshe yuone panapo vuja.Mungu mungu wangu unasikia.
@LucasNtalima-wq6ok
@LucasNtalima-wq6ok Жыл бұрын
Ni kweli auaye kwa upanga atakufa kwa upanga.
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
Inasikitisha sana
@davidikakombole8833
@davidikakombole8833 Жыл бұрын
Mungu, Mungu tukumbuke tu wakati huuu Yesuuuuuuuu
@ShabaniHusseni-m8l
@ShabaniHusseni-m8l Жыл бұрын
Mungu awe nawe mbarikiwa mateso anayompitisha mungu ndie atakae mponya lakini mungu Yu mwema
@FaithHozza
@FaithHozza 7 ай бұрын
Ni kweli kabisa mambo ya Mungu yanapingwa alafu yakidunia hawayapingi hakika Mungu atatoa hukumu kwa wote watakaofanya hivo kwa kanisa la kristo yesu
@eliudnguge9013
@eliudnguge9013 Жыл бұрын
mbarikiwa upewe heshima yako 🙌🙌🙌🙌🙌
@Magufuli.
@Magufuli. Жыл бұрын
Msiogope ndugu zangu, hao ni nzi tu hawana lolote. Mi nawapa hongera siwezi kuwapa pole, kwasababu, hamjarudi nyuma.
@titonsimbazi3309
@titonsimbazi3309 Жыл бұрын
Kanisa limesha ingia kwe ziki kuu. Wakristo tuchangamke.
@AlumanaPilla
@AlumanaPilla Жыл бұрын
Mungu yupokazini hajawahi kushindwa
@YonaCharles-or6px
@YonaCharles-or6px Жыл бұрын
Pole sana
@FurahaEdward-xj3kh
@FurahaEdward-xj3kh Жыл бұрын
Polen kwa changamoto hii mungu yu upande wenu twaendelea kuwaombea
@hoseakamchapekaponya3502
@hoseakamchapekaponya3502 Жыл бұрын
Pole sanaal mbarikiwa, umelia lia sana kwa mungu wako bila mafanikio, bac labda umwombe shetani pia.
@kolisonkolison3681
@kolisonkolison3681 Жыл бұрын
MUDA SI MREFU UTAINGIA KWENYE LAANA NA FIMBO YA MUNGU WA HAKI NA KWELI.... Jitafakari maneno yako!
@petulomwaitulo5826
@petulomwaitulo5826 Жыл бұрын
Pole San mtumish munq yupo pamoj nawe
@eliapeter2950
@eliapeter2950 Жыл бұрын
Ila hakuna Jambo lisilo kuwa na mwisho haya yatapita Tu Mungu yupo pamoja na wewe mbarikiwa
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn Жыл бұрын
Daaah kumbe ni kwasababu ya ule wimbo iseeeh inaumiza sanaa
@JosephSibonike
@JosephSibonike Жыл бұрын
Mungu akulinde amina
@KessaBlessing
@KessaBlessing Жыл бұрын
Pole sana mtumishi mungu atakutetea tuu
@MichaelMichaelsingasinga
@MichaelMichaelsingasinga Жыл бұрын
Mungu aingilie kati hli jambo
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 Жыл бұрын
Hapa hata rudi nyuma mtu, msalaba mbele dunia nyuma. Andrew kantimbo na kundi lake mikono yao inawasha kumwaga damu za watu wa Mungu. Tunajua hivi vipindi vilitabiliwa Danieli 11:21-38
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 Жыл бұрын
HAKIKA HIKI NDIO KIKOSI KAZI CHA INJILI ...
@matesosamwel6685
@matesosamwel6685 Жыл бұрын
Mtashinda tu bila shaka,!! Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 Жыл бұрын
IMARA IMARA...MUNGU AZIDI KUWATIA NGUVU...HII NDIO TANZANIA 🇹🇿.
@mrdeniskomba6199
@mrdeniskomba6199 Жыл бұрын
No comment Mungu akutetee
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 Жыл бұрын
KAMA MLIUWA ILI MTAWALE basi sisi Raiya woote wa Tz ni Malehemu watalajiwa ni swala la Muda tu. MTAENDELEA KUUWA ILI KULINDA VYEO NA NAFASI ZENU-acha inyeshe tuone panapo vuja
@rambostalon2888
@rambostalon2888 Жыл бұрын
Pole sana
@misheckmrk8848
@misheckmrk8848 Жыл бұрын
Mtumishi Mungu akulinde Sana we pamoja na familia yako nawaliyoko Kalib nawe eee mungu Baba uko wapi angalia watu wako wakiteseka kwani ulimchukua magufuli ili iwe hiivi Baba
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 Жыл бұрын
Mungu baba mfalme wa Falme ingilia hili Mtumishi wako Mwakipesile anateswa mwanae aliuwawa na watoto wa kiroho wanakamatwa mlinde pamoja na family yake hadi kuvamia kwenye nyumba ya sala inasikitisha sana pole sana
@josephmkumbwa9836
@josephmkumbwa9836 Жыл бұрын
Duu!! Hii nchi hatari sana
@magrethlubimbi4055
@magrethlubimbi4055 Жыл бұрын
Yatapita tuu mtumishi wa Mungu Bwana atakutendea muujiza
@AnordErio
@AnordErio Жыл бұрын
Amina mnooo 🎉🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 Жыл бұрын
Serikali Haina dini ila Ina Mungu wa mbinguni ,Ipo siku watatoa hesabu siku Zina hesabika Mungu ingilia Kati kwa hili
@ChristerShao
@ChristerShao Жыл бұрын
Ni gunia amevaa,amefika mbali sana.Asikilizwe Huyu baba,hata viongozi wa dini,viongozi mbalimbali.
@DAMIANANDREW-q7n
@DAMIANANDREW-q7n Жыл бұрын
Pole Sana mchungaji
@valeriokiputa3745
@valeriokiputa3745 Жыл бұрын
Mungu ni Mwema
@veronicanzingula5426
@veronicanzingula5426 Жыл бұрын
Yan Mungu anajizihilisha kwako baba usjal Mungu Yuko na ww
@HadijaJoseph-d1g
@HadijaJoseph-d1g Ай бұрын
Sijawahi kuona toka nimezaliwa hizi ni zama za mwisho au nini binadamu tumegeika wanyama wakali Samia mungu anakuona
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 Жыл бұрын
Mungu ni wa Vita... Cha msingi tudumu katika Sala
@EsterBernardoVumo
@EsterBernardoVumo Жыл бұрын
Mchungaji Mungu Yupo Atakusaidia Kwa Mapito Inayopitia Mungu Atakuenzi NaWasubiri Wataisoma NoHao Wanafiki.
@SameheRobert64-zf4ir
@SameheRobert64-zf4ir Жыл бұрын
Kweli
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 Жыл бұрын
kunakoelekea tanzania sijui tu. watawala wachukue hatua. watende haki watu wanahasira sana na maisha ni magumu.
@NellyMadeni-yv6fd
@NellyMadeni-yv6fd Жыл бұрын
Mbona mambo yanazidi hivi? Lakini Daudi kasema alikua kijana sasa ni mzee hajawai ona mwwnye haki ameachwa. Imeniuma sana
@WilliamTete-kj5nx
@WilliamTete-kj5nx Жыл бұрын
Daaaa pole sana watumishi Mungu awasaidie wamwachie tu sifa
@MichaelMichaelsingasinga
@MichaelMichaelsingasinga Жыл бұрын
Haya yote mungu anaingilia kati muda so mwingi maana imeandika bwana hatomwacha alie wake kamwe.
@alphoncekagezi4950
@alphoncekagezi4950 Жыл бұрын
Kumbe tatizo ni wimbo! Hivi kila neno litokalo kinywani mwa mtu yeyote likipimwa ktk mizani ! Ni mangapi yatafaa? Mungu yupo mamlaka zote ziko mkononi mwake aweza kunyamaza ama kuamua kufanya atakavyo. jipe moyo Haki imstahiliyo MTU hucheleweshwa lakini haiwezi kupotezwa kabisa.
@titonsimbazi3309
@titonsimbazi3309 Жыл бұрын
Chawa wa mama.
@sikalumea9028
@sikalumea9028 Жыл бұрын
Mungu you pamoja nawe mtumishi
@HawaJulius-k4r
@HawaJulius-k4r Жыл бұрын
Mungu atakupigania
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 Жыл бұрын
Pole sana mchungaji kwa yote yaliyo kukuta, huwa nikikusikiliza naumia sana maana mimi huwa cpendi mtu yeyote kuonewa ila naomba nikushauli tu kitu hivo unavo umia ndio alivo umizwa Mdude, Tundu Lisu, wazazi wa Azor Gwanda, Alphonce Mawazo na wengine wengi kipindi cha Makufuli, sasa ukiona walio teswa kipindi kilicho pita wanamuongea Makufuli usiwachukie na kuwakasilikia hao ni wahanga kama wewe. Pole sana.
@stevenvictor437
@stevenvictor437 Жыл бұрын
Songa mbele mtu wa mungu, na pole sana kwa matatizo, ila Mungu hatakuacha.
@nigaone3904
@nigaone3904 Жыл бұрын
Yaani hata roho usipokuwa makini watachukua kaka
@mazikulusakwe9380
@mazikulusakwe9380 Жыл бұрын
mungu yu pamoja nawe
@KibonaKibona-gf7bq
@KibonaKibona-gf7bq Жыл бұрын
Unajitesa mwenyewe.Acha kushindana na serikali.
@Neemakilimba
@Neemakilimba Жыл бұрын
Msiogope wapendwa ,YESU karibu , sijui hao serikali mtasema nini mbele za Mungu
@amospaul6528
@amospaul6528 Жыл бұрын
We mweyez mungu ikomboe Tanzania Kuna watu hawana hofu na ww wanaona kwmba wao walijiumba
@edwincbwenge567
@edwincbwenge567 Жыл бұрын
Huzuni sana 😭😭
@davidmwaipopo5171
@davidmwaipopo5171 Жыл бұрын
Kwani huyu mtu wa mungu jamani kakosa Nini si mumwache amwabudu mungu wetu
@veronicanabina3380
@veronicanabina3380 Жыл бұрын
Pole baba unapitia kipindi kigumu, ila mungu yu upande wako
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 Жыл бұрын
Amen Amen Amen
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Жыл бұрын
Hakika ya Mwenyezi Mungu huwa... Haijawahi kuwa uongo. Piga kelele usiache....
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Жыл бұрын
Yani hii Tanzania yamaonezi sana
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior Жыл бұрын
MMMHHHHH KAZI IPO
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Жыл бұрын
Yeyote anayepambana na Mungu hatoishi
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 Жыл бұрын
Hii Nchi Ifungue wodi nyingi za magonjwa ya akili aise,,,,tunapoelekea heshima hakuna kabisa
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
Mungu awape hekima namna ya kudeal na haya mambo
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw Жыл бұрын
Mungu tusaidie katika hili
@OltrutiNduleenyi-fi5hi
@OltrutiNduleenyi-fi5hi Жыл бұрын
Haya jamani haki itendeki roho za watu zinaumia sana kwa mamb haya ya hvyo
@alphoncekagezi4950
@alphoncekagezi4950 Жыл бұрын
Pole tatizo nini?
@hiyanimsangi73
@hiyanimsangi73 Жыл бұрын
Wamefanya vizuri..saana..sababu yupo nawalinzi wa amani
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 Жыл бұрын
Wanatesa wenzao utadhan wao wataishi milele aise 😢😢
@gustavrwekaza802
@gustavrwekaza802 Жыл бұрын
Hukumu hii imekuja kwa agizo la walinzi, na amri hii kwa neno la watakatifu; kusudi walio hai wapate kujua ya kuwa Aliye juu anatawala katika ufalme wa wanadamu, naye humpa amtakaye, tena humtawaza juu yake aliye mnyonge. Dan 4:17 simameni hukumu ya Bwana itapita
@suleimanabdillah7490
@suleimanabdillah7490 Жыл бұрын
Mna bahati sana mngekuwa wabarikiwa wa upande wa pil angekuwa segelea!tangaza mambo ya Yesu kama unayo mchungaji biblia na Koran hazina Chadema wala CCM.unapambana na dude kichwa na mkia havionekani,acha mapambano eneza neno,huyo anayesikika kukufunza useme nn,kaulizako zinaonyesha nmna mbarikiwa ulivyonausongo na Mhe Rais. Polesana
@salomemakene9241
@salomemakene9241 Жыл бұрын
Ni lini hiyo??
@luganomunuwavanu9369
@luganomunuwavanu9369 Жыл бұрын
Hapo kwenye vyombo nao wanafeli. Vyombo ndiyo vimefanya nini sasa
@josephmagori4612
@josephmagori4612 Жыл бұрын
Kilio chako iko siku mungu atakipatia majibu tu ingawaji wanakulinganisha Kama kichaa
@malingazeboss9351
@malingazeboss9351 Жыл бұрын
Ifike Mahali watz tuamke,,, huu ujinga unaofanywa na watawala ni wakijinga sana Tena mavi kabisa
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 Жыл бұрын
Bongo akili ndogo inaongoza akili kubwa ali imba ney wa mitego
@ellyndossy3266
@ellyndossy3266 Жыл бұрын
Big UUUUPPPP!!
@malingazeboss9351
@malingazeboss9351 Жыл бұрын
@@mestonisimzosha203 kabisa mkuu
@malingazeboss9351
@malingazeboss9351 Жыл бұрын
@@ellyndossy3266 ahsante mkuu
@leyasekilekoyo
@leyasekilekoyo Жыл бұрын
Utashida Kwa neema ya mwenyezi mung
Mke wa Mbarikiwa aongea baada ya mumewake KUHUKUMIWA MIAKA3 JELA
11:15
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 75 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
#live : [25.01.2025 ] OPERATION KOMBOA FAMILIA (MAOMBI 12)
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 1 М.
MKUU WA MKOA FEKI AKAMATWA MBEYA, ANASIKILIZA KERO ZA WANANCHI!
4:37
Awamu hii CCM mtaondoka bila hata ya vyama vya upinzani. machief vs Mungu!
28:41
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 169 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН