Awamu hii CCM mtaondoka bila hata ya vyama vya upinzani. machief vs Mungu!

  Рет қаралды 167,066

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Edited by VideoGuru:videoguru.page...

Пікірлер: 1 000
@AyoubMatabala-zf6oi
@AyoubMatabala-zf6oi Жыл бұрын
Amen mtumishi
@bisamwansakanile7219
@bisamwansakanile7219 Жыл бұрын
Asante mtumishi barikiwa sana Mungu wa mbinguni akutunze
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 Жыл бұрын
Mungu Mkuu, hata lini unakwenda kusikiliza sauti ya kilio cha Watanzania? Wewe Mungu ni mwenye haki. Saa ya ukombozi ikifika tu, ukombozi wa kweli unakwenda kutokea katika Nchi hii. Amina.
@amadeusmedia5560
@amadeusmedia5560 Жыл бұрын
Heli ndugai mungu akulinde popote ulipo ndugai
@EzbonJacob-q1u
@EzbonJacob-q1u Жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu Tulia Kumbe ni muumini wa machifu wala sio MUNGU!!!!
@simonibonifasi3131
@simonibonifasi3131 Жыл бұрын
Safi sana mbalikiwa ukovizuri sana natukopamoja
@sadanishabani3321
@sadanishabani3321 Жыл бұрын
Ameen mchungaji watanzania tuko nyuma yako ,asante sana ,...ee Mungu tusaidie sana
@YohanaRobert-cz3zx
@YohanaRobert-cz3zx Жыл бұрын
Amina ukuu wa mungu haufikiwi na ukuu wowote wa duniani maumivu haya ..........
@mrimimarwa6485
@mrimimarwa6485 Жыл бұрын
amina mungu akulinde utokapo na uwingiapo pomoja na watanzania
@yerikokyando9018
@yerikokyando9018 Жыл бұрын
Amina mtumishi acha waaibishwe wanaomtegemea machifu
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 Жыл бұрын
Amen Eee Mungu simama na taifa letu nyosha mkono wako lipiganie taifa letu na udharimu wa watawala na dhuruma juu ya rasilimali za nchi yetu wasimamie watanzania katika kipindi hiki kigumu wanachopitia ukawe sauti ya kutusemea watanzania wanyonge juu ya watawala wanaokandamiza haki uhuru wa maisha yao kainue watumishi watu wako wa kututetea kasimame juu ya watawala ili wakujue kuwa wewe ni Mungu
@christophermalango1433
@christophermalango1433 Жыл бұрын
Asante sana Mungu mwema
@PeterNkilijiwa-ij3rw
@PeterNkilijiwa-ij3rw Жыл бұрын
Mungu akubariki Mtu wa Mungu ,haki kwanza bandari ibaki kwa wananchi,viongozi wetu wawaelewe wenye nchi,Mungu akulinde na akuhifadhi vyema ndani ya taifa lako.
@davidIgiha
@davidIgiha Жыл бұрын
Amina maombi yako ni maombi ya wengi tukitamani haki hivyo tuko pamoja mkuu
@emmanueltamnaay5781
@emmanueltamnaay5781 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏 mtu wa mungu,, waambie ukweli labda watakuelewa,kabla hawaja chelewa.
@festomakoye4444
@festomakoye4444 Жыл бұрын
Ameni mbarikiwa wa Mungu
@lilykarim8968
@lilykarim8968 Жыл бұрын
Amina mungu atafanya njia pasipo njia
@dicksonlwambo4306
@dicksonlwambo4306 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@GiftBatista-p2e
@GiftBatista-p2e Ай бұрын
Be blessed!
@BarakaSimkoko-q4e
@BarakaSimkoko-q4e Жыл бұрын
Mungu akulinde akupenguvu zidi ya wakuwaziyao mabaya
@shedrackmeli5045
@shedrackmeli5045 Жыл бұрын
Mungu akulinde
@pastorjimsonchengula844
@pastorjimsonchengula844 Жыл бұрын
Niko pamoja na wewe Baba, wapigweeeeeee machifu na viongozi wa hivyo kwa jina la Yesu.Amen.
@GeraldMyuku
@GeraldMyuku Ай бұрын
Ndio
@lilianvitus2488
@lilianvitus2488 Жыл бұрын
Mungu baba wa mbinguni ukiwavusha wana waisrael katika bahari ya sham na ukawaangamiza maadui zao nasadiki hutaiacha Tanzania iangamie utavusha salama. Amina
@fabianenock1276
@fabianenock1276 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Kwa maombi kwa ajili ya nchi yetu, ulindwe kwa damu ya Yesu
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 Жыл бұрын
Amiin inshallah mungu yupo pamoja na cc 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@majutobakari3447
@majutobakari3447 Жыл бұрын
AMEN,ninaamini sana ktk uweza wa Mungu mtakatifu hakuna mamlaka yoyote ya mapepo inayoweza kuishinda mamlaka ya Mungu kwa maombi hayo ya mtumishi wa Mungu aliyehai kitaeleweka
@GeraldMyuku
@GeraldMyuku Ай бұрын
I believe too
@gervassikapundwa9632
@gervassikapundwa9632 Жыл бұрын
Asante mchungaji
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 Жыл бұрын
Big Amen mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏
@Bikhafija
@Bikhafija Жыл бұрын
Mungu adhalilishe wote wnyonyaji
@anithajustus50
@anithajustus50 Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi nakuombea uishi miaka mingi
@DinondisMsoma
@DinondisMsoma Жыл бұрын
Amen.mwenyezi mungu atalipa kwa mabaya wayafanyao waovu hao
@DavidChristopher-k5q
@DavidChristopher-k5q Жыл бұрын
God bless you
@emiltonmartin4399
@emiltonmartin4399 Жыл бұрын
Amen Man of God
@BestOne-y5x
@BestOne-y5x Жыл бұрын
Amina
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 Жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu maneno yako Mungu ayakusanye ayakusanye
@titopumzikakwaamannyaluke5484
@titopumzikakwaamannyaluke5484 Жыл бұрын
Hongera mtumishi
@peternyambui7492
@peternyambui7492 Жыл бұрын
Amen baba mchungaji...Mwenyezi Mungu akuzidishie maisha marefu sana..pia pole sana kwa kumpoteza mwanao...
@simonkenne6892
@simonkenne6892 Жыл бұрын
Tunakuombea....kwa kupigania hili...mungu akuifadhi
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
Amen..Wahuni hawa wakapotee wakaanguke mmoja mmoja na wasionekane tena kwenye uso wa dunia.Amen.
@mgorakatembo2642
@mgorakatembo2642 Жыл бұрын
Amen
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Жыл бұрын
Amen
@abdallahshaibu6106
@abdallahshaibu6106 Жыл бұрын
Ewe MWENYEZI MUNGU simama katikati utuhukumu kwa haki yako
@JmotorsAutogarage
@JmotorsAutogarage Ай бұрын
Hao polisi wanalipwa mshahara Kwa Kodi zawatanzania bandari yetu haiuzwi kama mama amepewa Hela arudishe hata roliondo tukichukua nnchi najua malizetu tunazirudisha
@muhidiniabdallah4211
@muhidiniabdallah4211 Жыл бұрын
Safi sana Kwa harakati hizo hawa hawafai kuwepo katika ulimwengu wa wanyonge hatutaki utumwa
@MartineJoseph-u6i
@MartineJoseph-u6i 28 күн бұрын
Amen mtumishi ubarikiwe na itakuwa
@fredrickshantiwa9710
@fredrickshantiwa9710 Жыл бұрын
Haleluya.... Hakika nimefurahi mnoooo
@DivaMsukuma
@DivaMsukuma 15 күн бұрын
Amen kwer wapambane namungu nimekuelewa mtumishi
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 Жыл бұрын
Mungu anasikia maombi ya wenye haki,naamini Mungu yuko kazini kulikomboa Taifa
@ProphetWilliam
@ProphetWilliam 28 күн бұрын
Amina sana Mtumishi wa yesu kristo nakupenda sana Na Mungu akulinde sana wewe mpakwa mafuta wake
@michaelmwambije3603
@michaelmwambije3603 Жыл бұрын
Mungu hawez shindwa kwamachifu na wachawi wote hao nivifinyango vimefinyangwa Kwa mikono yake mungu atatenda vita vyetu si vya dam na nyama mungu awashughulikie
@henrymfumya1316
@henrymfumya1316 Жыл бұрын
AMINAAAA!!!!!
@daudcharles264
@daudcharles264 Жыл бұрын
Kaz nzuri mtumishi wa mungu
@mellandc3995
@mellandc3995 Жыл бұрын
Amina ❤
@newtonmwewa6220
@newtonmwewa6220 Жыл бұрын
This is the real man of God...God bless you man of God.
@thobiasmasabile-cw9xo
@thobiasmasabile-cw9xo Жыл бұрын
Sawa kabisa mchungaji tuko pamoja sana hapa hakuna mungano, lamusingi tu wamchukue wakwao wamlete wakwetu kama hataki mungu atatenda jambo mad sio mlefu
@jacksonchaula6010
@jacksonchaula6010 Жыл бұрын
Mungu sikia maombi ya mtumishi wako huyu Amen
@hanscmakerdm9943
@hanscmakerdm9943 Жыл бұрын
Ubarikiwe
@christophermatupila7165
@christophermatupila7165 Жыл бұрын
Mungu tutetee ktk hili janga la ccm
@tatoorashedi1787
@tatoorashedi1787 Жыл бұрын
Amina mtumishi wa mungu mungu asimame mbele yetu
@leonardramiye8207
@leonardramiye8207 Жыл бұрын
Ngoja tuwakabidhi kwa mungu tu, mungu shugulika nao amen🙏🏽🙏🏽
@farouqjaku951
@farouqjaku951 Жыл бұрын
Allah huwahkubari
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Жыл бұрын
Mungu afundisha watu katika njia zake. Hakika kazi yake itakamilika kwa wakati wake
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 Жыл бұрын
Asante sn Mtumishi wa Mungu , kwa Maombi mazuri❤
@HamzaFamily-sw4td
@HamzaFamily-sw4td Жыл бұрын
Machozi ya watanzania yata futwa na mungu wa mbinu na ardhi na vilivyo ndani yake. Tanzania ni ya watanzania wenyewe na siyo muwekezaji. Rest in power magufuli , Julius nyerere true son of Afrika ❤
@bnmwasuku3210
@bnmwasuku3210 Жыл бұрын
BARIKIWA SANA NA MUNGU WAMBINGUN
@HelenaDaniel-xw9yo
@HelenaDaniel-xw9yo Жыл бұрын
Mungu ziangushe falme za giza katika jina la YESU
@GeraldMyuku
@GeraldMyuku Ай бұрын
Ameni ameni pastor mbarikiwa nilikuwa sijakufahamu sasa nimekuelewa kweli wewe ni mtumishi Wa Mungu alie hai
@princenelsonsinko5237
@princenelsonsinko5237 Жыл бұрын
Roho ya Eliya ijuu ya mbarikiwa, kunatukio lajaa kutoka kwa Mungu
@roseaidan-yo3rr
@roseaidan-yo3rr Жыл бұрын
Amen amen àmen amen. Good bless you my father
@LemaRapoi-np2gs
@LemaRapoi-np2gs Жыл бұрын
Emungu wangu uisikie kilio hichi jionyeshe mungu
@Jal210
@Jal210 Жыл бұрын
Wewe mnafiki
@joelmaroa4.
@joelmaroa4. Жыл бұрын
Roho wa Mungu yu juu yako mch Mbarikiwa.
@NgajaNgaja-s4v
@NgajaNgaja-s4v 29 күн бұрын
Mungu tuonee huruma tunateswa na ccm tuondolee hili li ccm amen
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni tusaidie simama kwa miguu yako Bwana
@yusuphkichawele1009
@yusuphkichawele1009 Жыл бұрын
😊
@yusuphkichawele1009
@yusuphkichawele1009 Жыл бұрын
Mambo mengine yooote sawa ila CHADEMA hapo umeikwaa mchungaji. Waqpinzani wakwel ni Chdema na 2025 tunachukua nchi.Peopleeeeeeessssss✌✌✌
@danielmrashani8710
@danielmrashani8710 Жыл бұрын
Very good keep it up
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 Жыл бұрын
Kiongozi,mch mwakipesile,jambo la Kwanza, MUNGU wa mbinguni, akubariki Sana na kukuinua. Pili;Taifa letu,tupate wapi tena,mtu kama wewe?umemlingana MUNGU,na biblia pia.Sema mtu wa MUNGU,na BWANA you Pamoja nawe.ninakushukuru sana.songa mbele, BWANA wa majeshi anakutangulia.asante Sana.
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 28 күн бұрын
❤❤🎉🎉🎉🎉
@jolemerci2155
@jolemerci2155 Жыл бұрын
MUNGU akulinde milele kwa kujitowa ku tetea wa Tanzania hili sio jambo jepesi MUNGU n'a azidi kwako milele amina
@josephndugai3598
@josephndugai3598 Жыл бұрын
Mungu inusuru nchi yetu
@mamasmartcollection7063
@mamasmartcollection7063 Жыл бұрын
Wao wamekuja kwa miungu mimi nakuja kwa jina la Bwana wa majeshi Mungu wa Majeshi ya Israeli leo ninyi viongozi mnao fanya hovyo kwenye nchi hi ambayo ni agano la Mungu leo Bwana atawatia mkononi mwangu na kuwateka nyara miungu yote y kichifu kwa jina la YESU n ijulikane leo kwamba yeye ni Mungu wa miungu Bwana wama BWANA mtakatifu wa watakatifu,muumba mbingu na nchi,naikabidhi nchi y Tanzania mikononi mwako we Bwana Mungu ulie hai milele n milele 🙏🙏
@GeraldMyuku
@GeraldMyuku Ай бұрын
Yaaaa
@DONALDMTOWE-u9g
@DONALDMTOWE-u9g Жыл бұрын
Amen mtumishi.
@luciamaganga210
@luciamaganga210 Жыл бұрын
Mungu okoa taifa letu nzuri ambalo umetupa. Usiwaache hawa wafilisiti wasio tahiriwa wadhihaki ukuu wako.
@ImmaJames-i4d
@ImmaJames-i4d Жыл бұрын
Mungu akubalik kwahayo maombi hayo mungu hashindwi
@LusajoMwajeka-tf1nj
@LusajoMwajeka-tf1nj Жыл бұрын
Asant mutumishi mungu akulinde hawa viongoz tunamajonzi
@danielchacha1305
@danielchacha1305 Жыл бұрын
Pole mtumishi! Aliyeko upande wetu ni mkuu kuliko walioko upande wao!! Sisi tuna Mungu ambaye ni Bwana wa majeshi asiyeshindwa. Wao wana wanadamu ambao watakufa tu. Hatutaweza kuwaogopa hata kidogo.
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 Жыл бұрын
Ukimtaja Magufuli mwili mzima huwa unasisimka. Nilimpenda sana tena. Alikuwa Mzalendo wa kweli na mwanamapinduzi wa kweli. Alikuwa Mwamba wa Afrika. RIP, JPM Baba yetu mpendwa.
@dorismzumbwe8921
@dorismzumbwe8921 Жыл бұрын
Yupo Mungu kwakweli.....ataonekana tuu.
@puregospelmusic9746
@puregospelmusic9746 Жыл бұрын
Msalaba ndio asili ya ushindi wetu.. Tunashinda na zaidi ya kushinda
@ayoubmwaka2374
@ayoubmwaka2374 Жыл бұрын
Mungu akubariki
@laiserkuyan6075
@laiserkuyan6075 Жыл бұрын
Amaina mtumishi wa mungu Mungu Akuogoze uendelee kuipapania Taifa letu linauuswua na uyu mama mzanzibari pamoja na waziri mkuu majaliwa
@KenedyMboma-zb4cq
@KenedyMboma-zb4cq Жыл бұрын
Balikiwa mtumishi kwadamu ya YESU ameen
@mathiaspmashibe5696
@mathiaspmashibe5696 Жыл бұрын
Yaani sisi utupambanishe na machief what a shame 😄😄😄😄😄😄😄😄 hebu chief mmoja asimame tumkaushe kwa Damu ya Yesu
@mgorakatembo2642
@mgorakatembo2642 Жыл бұрын
Ewe mungu wetu baliki mtumishi wakohuyu ibaliki Tanganyika tupushie viongozi wasio nahuluma nasisi mungu 😭😭😭😭😭amen😔 ,?
@tumaini_nkinda
@tumaini_nkinda Жыл бұрын
Mungu mtetee nakumlinda huyu mtumishi wako ktk Jina la Yesukristo Amen.
@tumaini_nkinda
@tumaini_nkinda Жыл бұрын
Kukoka 3:7-10 Mungu amesikia kilio cha watanzania Mwanzo 9:6.
@tumaini_nkinda
@tumaini_nkinda Жыл бұрын
Kutoka 3:7-10 Mwanzo 9:6. Mungu Ahsante kwakusikia kilio cha watanzania.
@salumjuma9072
@salumjuma9072 Жыл бұрын
USIWE NA WASI WASI KARIBU HUYO MUNGU ATAMLINDA TULIA TUU MUNGU AMLINDE KWA KUWA TUKANA VIONGOZI WETU KWANINI KAMA WEWE UMEOKOKA USIMKATAZE KUTUKANA VIONGOZI WETU ETI MLINDE UMTETE ATALINDWA USIWE NA WASI WASI
@tumaini_nkinda
@tumaini_nkinda Жыл бұрын
Zaburi 34:7. Zaburi 91:2-16. Mungu na akulinde kwa Jina la Yesukristo! Amen.
@woah.africa99
@woah.africa99 Жыл бұрын
​@@2002-h6ctena wazungu wanaleta ushoga wamekaa kimya watoto wako bora au bandari ikiwa africa watoto watakua mashoga bandari si ndio itapote rais mna chuki nae tu hajauza bandari sema mkataba uwe sawa na warabu ni matajiri sio mwizi ww
@shanisaid6744
@shanisaid6744 Жыл бұрын
Amini amini amini inshaAllaha
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 Жыл бұрын
THIS IS TRUE MAN OF GOD...MSIMAMO THABITI.
@BaltazaryPhinyasiMbise
@BaltazaryPhinyasiMbise Жыл бұрын
Amen
@titonsimbazi5532
@titonsimbazi5532 Жыл бұрын
MUNGU sikia maombi ya mtumishi wako alie jitoa kwa ajili ya haki, MUNGU sikia maombi ya watanzania tunalia tunaugua.
@nabii-zc1hm
@nabii-zc1hm Жыл бұрын
Amina
@ibrahimngitu6072
@ibrahimngitu6072 Жыл бұрын
Amina
@DrakeAdrian-is8qo
@DrakeAdrian-is8qo Жыл бұрын
Mungu yupo atakupigania mtumishi mungu
@cessyliamkenda
@cessyliamkenda Жыл бұрын
Tunakuelewa mtu wa Mungu
@josephmbilinyi6064
@josephmbilinyi6064 Жыл бұрын
Asante baba
@josephmbilinyi6064
@josephmbilinyi6064 Жыл бұрын
Baba tuko pamoja
@EdwardMarera-le5qt
@EdwardMarera-le5qt Жыл бұрын
Tupo pamoja kutetea Taifa letu kwa namna yoyote ambayo Mungu atatuonyesha
@danielmwamlima6325
@danielmwamlima6325 25 күн бұрын
Saaaafi saaana,,HAIJAWI KUTOKEA MACHIEF WAKASHINDA MBELE YA MUNGU,,
@ombendaud5938
@ombendaud5938 Жыл бұрын
Maombi yangu usiku wa leo Samia, Tulie,Majarie alaanie.Aliyaona haya Ndugai kuwa nchi inauzwa
@loinamsungu7459
@loinamsungu7459 Жыл бұрын
Wee mungu uliechifuu mkuu tunakukabizi waovoo wote wanao hatalisha maishan ya watanzania wanyonge inuka wewe mungu ulie hai ameni
@francisseleman7840
@francisseleman7840 Жыл бұрын
Maana ya Mwanaume ni uwezo wa kusimama peke yako katika kile unachokiamini bila kujali ni wangapi wanakupinga na wana uwezo mkubwa kiasi gani. Tofauti na kwamba wewe ni mtumishi wa Mungu hakika Mbarikiwa ni Mwanaume, nilichojifunza kwako ni Msimamo thabiti umebarikiwa Sana
@GiftBatista-p2e
@GiftBatista-p2e Ай бұрын
Hallelujah!
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 1,1 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 79 МЛН
JOSEPH MBILINYI USO KWA USO NA TULIA WAPEANA MAKAVU LIVE MBEYA PACHIMBIKA
19:56
Mbarikiwa apinga uwepo wa uchaguzi. Asema hautabadili chochote
30:02
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 2 М.
RASMI, TANZANIA IMEREJEA GIZANI KITAIFA NA KIMATAIFA
27:22
SK Media Online TV
Рет қаралды 64 М.
Mbarikiwa ahoji. Je kikwete atakamatwa na simu yake...
20:02
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 443 М.
Mbarikiwa amlipukia vikali makonda kwa kauli yake ya kubeza mapadri na wachungaji.
25:51