MBASHA KAFUNGUKA BAADA YA KUPIGWA NA MCHOMVU 'AMENIKOSEA SANA'

  Рет қаралды 158,966

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Пікірлер: 641
@expert5898
@expert5898 3 жыл бұрын
Adamu kazingua sana! Kafanya mambo ya kitoto sana... Bangi sio nzuri.
@frankkataraiha607
@frankkataraiha607 3 жыл бұрын
na huyo aliemuita bangi
@mirynjeri5850
@mirynjeri5850 3 жыл бұрын
Pole sana lakini ajafanya vizuri,amekosa zaidi.
@matildaammo6868
@matildaammo6868 3 жыл бұрын
Pole sanaa
@bakarrashid6474
@bakarrashid6474 3 жыл бұрын
Cyo Siri adamu chovu kazingua snaaa Tena sanaaaa
@hashemsaef1516
@hashemsaef1516 3 жыл бұрын
Ni mbwa sana Adam ccm msirudi kumshirikishaga trna Adam
@lubatikoseme6613
@lubatikoseme6613 3 жыл бұрын
Mkishapigwa mitama, kura zenu kwa Tundu lisu
@josephatjordan5560
@josephatjordan5560 3 жыл бұрын
Wabongo bwana???Bangi hizo sio mzuri!!!mchomvu Hana heshima n nn unafanya mbele za watu!!
@jumabakari813
@jumabakari813 3 жыл бұрын
Bangi yule mchovu si akili zake
@frankmakeula4506
@frankmakeula4506 3 жыл бұрын
Mchomvu bangi sio nzur na hayo mambo ya mlegezeo yamepitwa na wakati badilika
@chenyakwihela1637
@chenyakwihela1637 3 жыл бұрын
Wewe sio mtumishi wa Mungu bhana msitudanganye mnafanya upuuzi mbele ya taifa hamna Mungu juu yako bhana
@immaboytz2128
@immaboytz2128 3 жыл бұрын
Adam umefanya kazi nzuri so poa kuitwa Bangi Adam💪💪
@lauraclara8716
@lauraclara8716 3 жыл бұрын
Kweli nimejisikia vibaya sn poleeeee mbasha broo
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
kweli adamu bangi
@magejose1386
@magejose1386 3 жыл бұрын
DAH MBASHA POLE SANAAA
@abdalahmaganga8183
@abdalahmaganga8183 3 жыл бұрын
Wewe huwezi kumwita mwenzako bangi mbele ya umati kama huo mimi ningempa doz zaidi ya hiyo Awezi kutafuta kiki kupitia mimi kwa neno baya
@yasinkassimu3158
@yasinkassimu3158 3 жыл бұрын
Unamwachia Mungu Kwan Apo ulikuwa unamsifu Mungu Wew sema unamwachia yule mzee wenu mliokuwa mnamsifia
@jimmylema8830
@jimmylema8830 3 жыл бұрын
💯
@ngido255
@ngido255 3 жыл бұрын
Utamwambiaje mwenzako anavuta bangi alafu ukiangalia kweli mchomvu anavuta😂😂😂
@ndegejr4218
@ndegejr4218 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣umenichekesha kweli
@elizabethlizy2731
@elizabethlizy2731 3 жыл бұрын
😁😁😁
@jumaiddy1942
@jumaiddy1942 3 жыл бұрын
ila kweli atasemaje kwa watu ukwelii 😝😝😝
@kingruston2076
@kingruston2076 3 жыл бұрын
Nani anajuwa Kama mbasha alisema anavuta bangi ... Mmesikia wapi labda na mm nisikilize
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 3 жыл бұрын
@@kingruston2076 alisema adam mabangi
@aminakazogolo9914
@aminakazogolo9914 3 жыл бұрын
Hilo liwe fundisho kwako😂😂😂, utani unatakiwa uendane na mazingira. Na yeye kakutania kidogo kwa mtama😂😂😂😂😂🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
@saidjuma9782
@saidjuma9782 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@raphaelbalibusa8528
@raphaelbalibusa8528 3 жыл бұрын
😂😂
@neemamayco3238
@neemamayco3238 3 жыл бұрын
Ndio mbn yy analalamika sasa
@abuumaryam185
@abuumaryam185 3 жыл бұрын
utani malipo yake utani eti jamani halafu wanajuana kumbe walikua wanataniana sisi tukajua wanapigana ila media ndo zinakuza HILI swala
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 3 жыл бұрын
Ebana eenh kumbe na adam alimtania na mtama😂😂😂
@reubenpaulomabula6098
@reubenpaulomabula6098 3 жыл бұрын
Kiburi kabiri humble ur self and God will lift u
@edsonmdegela6067
@edsonmdegela6067 3 жыл бұрын
Opioid
@agnesoqwaa9848
@agnesoqwaa9848 3 жыл бұрын
Pole sana mbasha ni kweli kabisa hakufanya poa kiukweli
@killahboyofficial6189
@killahboyofficial6189 3 жыл бұрын
ww una shobo tatizo we unamuitaje bangi😂😂😂
@jacobmakono389
@jacobmakono389 3 жыл бұрын
Mbasha you're polite,unajichanganyaje na mshenzi kama huyo ,kufikia point..unaona sasa alichokuanyia?Gospel unaimba ni ipi?jithibitshe unamwimbia Mungu kweli?jina lako lipo kitabu cha mbinguni?au kama ni sanaa tu ukifa unaenda motoni hapo nakuelewa zaidi!!
@zuhurambonde6959
@zuhurambonde6959 3 жыл бұрын
Adamu huna adabu muombe radhi mwenzio una masifa mbele za watu na wewe mbasha acha utani mbele za watu ulivomuita bangi kachukia na watu wakaitikia hivohivo pole sana.
@silviapumzikenikwaamanidam8436
@silviapumzikenikwaamanidam8436 3 жыл бұрын
Pole Mbasha
@makongoronyerere2595
@makongoronyerere2595 3 жыл бұрын
Tatizo lako shobo mwapenda kujipendekeza naw2 ili muonekane wema, hyo ndy daw yenu, saf sna adam
@afropatriot7769
@afropatriot7769 3 жыл бұрын
Najua ungeweza nawe kumpiga lakin umeamua kua humble na kumuacha,umedharirika ili kuepusha mengi,that is God in you,safi sana mtumishi Adam ni mjinga ambae uwepo wa kina Ruge ulikua unamtuliza the devil within him sasa ivi amekua kama mtoto asie na mzazi wa kumcontrol yapo mengi tutayashuhudia
@neemaruben5427
@neemaruben5427 2 жыл бұрын
Daa!!!!!!!!inaumaa sanaaaa amekosea adamu....pole mbashaaa
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
Wrong place at the right time 😂😝🤪🤣 sio kwa mtama uleee.
@ramadhankambalame4681
@ramadhankambalame4681 3 жыл бұрын
Huo sio utani kaka, huwez kumuita mwenzio mabangi mbele za watu. Adam hajafurahishwa na hicho kitendo
@solemba595
@solemba595 3 жыл бұрын
Tatizo hamsomi alama za nyakati, yeye sio chizi kukupiga bila sababu, kunasehemu ulizingua. Look your back
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 Жыл бұрын
Na kumuita bangi huku akamkumbatia kiaina ni km kejeli mi Naona kapewa stahiki yake
@kazkaz1943
@kazkaz1943 3 жыл бұрын
Baba levo kasema mmejazana wasanii ccm kama manyumbu😀 ndo haya sasa mnaanza kupigana wenyewe kwa wenyewe! Alaf we mbasha adam hujamtania umemwambia ukwel mana ni kweli anavuta ila mbasha umekosa hekima na akili unaanzaje kumwita mwenzio kwenye kazi yake eti bangi mi ningekupa kipigo mpk uchakae una kiherehere sana
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 3 жыл бұрын
Huyu nae kiherehere angemzaba bonge la bao ndio akome
@teychriss3248
@teychriss3248 3 жыл бұрын
Kwahiyo walivyojazana wewe unauma? Ulitaka wajazane nani sasa?
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 3 жыл бұрын
Unamwambiaje mtu mkweli mbele ya watu wengi kiasi hicho?wewe ukiambiwa mbele za watu kuwa ni malaya je utajisikiaje? Utani mwingine haufai kabisa na hata kama unajua yeye ni mvuta bangi kwa nn umuite mvuta bangi?
@neemamayco3238
@neemamayco3238 3 жыл бұрын
Mbasha umezid kiherehere kumtukana mwenzio hadharan eti mabangi
@hajimtaita3379
@hajimtaita3379 3 жыл бұрын
hatakama unajifanya mtu wamungu mm ningepita naww mpaka uombe poo sokwakumzalilisha mtu eti mabangi unaakili kwel fikiria niwatu wangap wapo hapo au nimaelfu mangap wanaaangalia tamasha hilo afu unamzalilisha kirahis jomba umekutana na mstarabu mshukuru mungu sana ingekuwa nimimi ungejuta hiyo jezi yakijan uliyovaa ungeivua mwenyewe ukiomba maji ya kunywa 😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠
@bakariomary320
@bakariomary320 3 жыл бұрын
Ulistahili kaka,,,umezngua sana
@faridaessa7844
@faridaessa7844 3 жыл бұрын
Daah,pole Kaka mbasha
@vedastusmasinde679
@vedastusmasinde679 3 жыл бұрын
Tukiacha ushabiki jaman mbasha ndo kamkosea Adam mchomvu hata kama ni mzaa uwezi ukamwambia mwenzio mbele ya viongoz wa nchi wako pale na wananchi et ""TATIZO WE ADAM NI BANGI SANA""sio vizuri na mtu kakuambia ushuke vizuri kabsa na kakupa shangwe sio poa kabsa huyu Mbasha kakosea.
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 3 жыл бұрын
Ni lini tutapata waandishi wazuri ambao watakuwa wanawafanyia interview watu ili sisi wananchi tunaosikiliza ile interview tuelewe majibu ya wale wanaohojiwa? Kwa mfano ningekuwa mwandishi wa habari kwa kweli watu wengi wangekuwa wanajuta kufanya interview na mimi maana ningekuwa nawauliza maswali rahisi Lakini yana mitego ya hatari na ukijichanganya kujibu tu unaonekana wewe ndiye mjinga. Mfano ningekuwa mimi ningemuuliza Emmanuel Mbasha ya kuwa najua wewe ni mtumishi wa Mungu na watumishi wengi wa Mungu wamejaliwa hekima nyingi sasa huoni kwamba kitendo cha kupanda stejini na kuanza kumuita mwenzako Adam mabangi huku TV nyingi zikiwa Live na zikifuatiliwa na watu takribani million 40 unaona ulikuwa sahihi? Swali la Pili kama unasema ulikuwa ni utani je ulishawahi kumtania kabla ya hapo kwa kumwambia wewe Bangi tena mbele ya kandamnasi? Kama hujawahi kumtania hivyo je ni nini kilikusukuma kumwambia kuwa yeye ni bangi au kwa sababu ya umati mkubwa kama ule na wewe ulikuwa ukitafuta sifa(kiki) kupitia kwa Adam? Swali la tatu na mwisho ningemuuliza Biblia inasema heri mtu asiyekwenda kwenye shauri la watu wasio haki.Je ukiwa kama mtumishi wa Mungu huoni kuwa ulistahili kupata kile kilichotokea cha kupigwa mtama kwa maana lile shauri lilikuwa sio shauri la watu wenye haki ila wewe ndiye ulikuwa umelivamia na ukakosa ustarabu wa kuonesha utofauti kati ya watu wa dunia na wana wa ufalme wa Mungu.
@francismhilu2936
@francismhilu2936 3 жыл бұрын
hekima inaonekana katika mambo kama haya.umedharirishwa unashukuru na kuongea kwa hekima..adam umwombe radhi huyu maana mtu akiongea hivi ukikaidi ukajiona ni bora kuna matatizo yana jitokeza tu..ubarikiwe sana emmanuel mbasha sikutegemea ungereact namna hiyo
@claudionyenje5864
@claudionyenje5864 3 жыл бұрын
Mbasha mpumbavu sana yaan sawasawa alivyofanyiwa yaani
@yasristeven1135
@yasristeven1135 3 жыл бұрын
Mr.misifa
@mr.sangaellies5110
@mr.sangaellies5110 3 жыл бұрын
Tumewapiga kwenye mitaaaa ccm mbele kwa mbeleeeee,hahahaaa ,na mvimbepasuke mtajijua wenyeweeee
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 3 жыл бұрын
YESU ALISEMA MTAWAJUA KWA MATUNDA YAO. ...
@nassibuduma.1940
@nassibuduma.1940 3 жыл бұрын
Hilo nifundisho kwa wapendwa wanao changanya badala umsifu MUNGU manaenda kusifu watu MUNGU awasaidie mjue mipaka ya huduma zenu.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
😄😄😄😄😄
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
😆😆😆😆 kweli
@queenfizi5654
@queenfizi5654 3 жыл бұрын
🥰🥰🙏
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 3 жыл бұрын
Kabisa,Mbasha ni mshamba mno
@carolyleonidas7388
@carolyleonidas7388 3 жыл бұрын
Pole sana
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 3 жыл бұрын
Mnaleta wavuta Bangi kwenye Tanasha #ABAM MABANGI Sana
@victorwilbard2585
@victorwilbard2585 3 жыл бұрын
Hakuna mwanaume anayetaka utani kwenye halaiki, Umekosea sana kumtania pale jukwaani bora ungesubiri huko chini. .......pole sana kwa mtama
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 3 жыл бұрын
Mbele ya umati woote wa wa Tanzania haiwezekani
@kijijinikwetutv8
@kijijinikwetutv8 3 жыл бұрын
Imeniumaa San kumuona adam kufanya hivo sio vizur kabisa
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
adamu ata simuelewi 😀😀😉😉
@willymgogo6975
@willymgogo6975 3 жыл бұрын
Bang hilo
@leonardsimon2148
@leonardsimon2148 3 жыл бұрын
Mchomvu kakosea sana lakini pia huyu Mbasha mstaarabu sana mimi kusema kweli ningeligeuza jukwaa kuwa uwanja wa mapambano within a minute mchomvu wangempeleka moja kwa moja MOI , Mbasha kweli wewe mtumishi wa Mungu kweli kweli.
@timbukwa9771
@timbukwa9771 3 жыл бұрын
pole sana
@hamadimgaza9351
@hamadimgaza9351 3 жыл бұрын
Safi sana Adam kuishi na vinega kwa style iyo.
@jeremiahmwasapilicharlie2926
@jeremiahmwasapilicharlie2926 3 жыл бұрын
Aibu
@maryfelix4221
@maryfelix4221 3 жыл бұрын
Pole.sana kaka yangu muachie mungu
@rechomwaijande3273
@rechomwaijande3273 3 жыл бұрын
Au ndomana mungu umesema usiketi balazani pawenye mizaha nausichangamane nawamataifa ayo ndo malipo
@dianahussein8934
@dianahussein8934 3 жыл бұрын
Mahali apo akustahili Yeye kuwepo. Mbasha
@OmarAli-wr1ti
@OmarAli-wr1ti 3 жыл бұрын
Ata kama ni mm nakuzibua mbele za watu unaleta stori za kisenge matani gani ayo mbele za watu fala ww unaijua bangi Unataja Mungu wakati unataja mambo ya kumdhalilisha mwenzio mbele ya umma
@felixsilayo1824
@felixsilayo1824 3 жыл бұрын
Mimi hapa namlaaimu mbasha, ulitaka kumdhalilisha adam mbele za watu, kutafta sifa zako, we ni mkristo usitagte kiki kwa kutumia migongo ya mwingine, ukiangalia hiyo clip unaona kabisa adam amekuvumilia sana, kuanzia ulipoanza kuropoka , ropoka jii yake, ukaenda mbali zaidi unamtoa jikwani kwa kumvuta alafu unasingizia ulikua unamkumbatia kwa upendo, acha unafiki , nimekasirishwa sana na kitendo ulicho mfanyia adan, umamwitaje mtu bangi, alaf useme unamtania, acha unafki na mungu atakusaidia
@allanedger6632
@allanedger6632 3 жыл бұрын
Bangi
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 3 жыл бұрын
Pole brother
@saniajuma6123
@saniajuma6123 3 жыл бұрын
Pole ka mbasha nimeumia sana
@brownenas603
@brownenas603 3 жыл бұрын
Daaah!!! Mchomvu bangi anazovuta zinamuharibu sana,hawez mzalilisha mtu mzima mbele ya umati
@gibrilmongi5646
@gibrilmongi5646 3 жыл бұрын
ADAM MCHOMVU OMBA RADHI, umedhalilisha tasnia ya HABARI,
@jennajenna4082
@jennajenna4082 3 жыл бұрын
Pole
@fredyjohnwaifakaratanzania29
@fredyjohnwaifakaratanzania29 3 жыл бұрын
TENA MBONA KAKUKWANGUA TUU IYO ANGEKUPIGA HASWA UNAJICHUBUA..
@highzacknnko4002
@highzacknnko4002 3 жыл бұрын
Zingua tukuzingue
@sweetmama6885
@sweetmama6885 3 жыл бұрын
😂😂😂eti anajichubua. 🙊
@davidkihiga3531
@davidkihiga3531 3 жыл бұрын
katika kumtumikia Mungu , hatuendi hivyo . zaburi 1:1 , heri mtu yule asiyekwenda katika shauri la wasio haki . Mungu aidha ameamua kumfundisha mtu
@hadijahmwajombe9588
@hadijahmwajombe9588 3 жыл бұрын
pole sana mbasha
@jumasosho9963
@jumasosho9963 3 жыл бұрын
Umesema cjui amelewa ngoja ackie tena aje akupe mtama remix
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
😆😆😆
@elvishudson6857
@elvishudson6857 3 жыл бұрын
Hahahaha wasoma comment tupo pia 😸😸😸😸
@domanametta3275
@domanametta3275 3 жыл бұрын
Hahaha
@asteriayohana3746
@asteriayohana3746 3 жыл бұрын
😂
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
Dah
@makokamakoka341
@makokamakoka341 3 жыл бұрын
Broo we ni mtu wa tofauti sana naamini anngekua ni mtu mwingine ingekua shida sana ila ww umetunza heshima yako
@angeltawale3055
@angeltawale3055 3 жыл бұрын
Adam bangi sana, sijapenda.
@deliriousgentleman7369
@deliriousgentleman7369 3 жыл бұрын
Chuga hatunaga mbili, ni moja tu yani ukizingua unaoga vitasa na imeisha iyo. Sororosha like km hupendagi upimbi
@Trevor19804
@Trevor19804 3 жыл бұрын
Usimsifie mtenda ubaya, ili kuonekana ww ni mjanja. Adam mchomvu kakosea kitndo alicho kifa. Tafakar ingekuwa n ww🙋
@janerupia4189
@janerupia4189 3 жыл бұрын
Poleee msamehee
@alfredymalata269
@alfredymalata269 3 жыл бұрын
Bwege tu uyuu Utani gani wa kumwambia mwanzako Bange sana
@rehemahamisi9971
@rehemahamisi9971 3 жыл бұрын
apo sasa jamani unamtania mwenzio bangi kisa yeye mtumishi aogopwi mtu apa anaogopwa mungu tu mtoa roho za watu ukiwa na kauli mzr uwe shehe au mchungaji bc utaeshimiwa lkn uwezi kuvunja heshima kisa mchungaji au shehe kwendraaaaa 👏👏👏💪💪💪
@acruxe5810
@acruxe5810 3 жыл бұрын
Sasa una mu hug aje mwanaume mwenzio ?? Awa wanaume wa kinondoni mnanin et
@mjombamjomba1887
@mjombamjomba1887 3 жыл бұрын
Pole tu sn Mabasha
@natepam4486
@natepam4486 3 жыл бұрын
Pole sana mbasha yani ktk hali ya kawaida hata mi niliona ni utani tu,, adam sio mstaarab ht kidogo
@amosmahona433
@amosmahona433 3 жыл бұрын
Wavuta bhangi Mara nyingi huwa Ni wasenge Sana likiwo hili limchomvu limemikera sana
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
sanaa
@herimallya3385
@herimallya3385 3 жыл бұрын
Hata huyo mbasha mkuda sana...acha achezee vitasa.
@breymbasa3451
@breymbasa3451 3 жыл бұрын
Hahahaaa
@deborahrehema5819
@deborahrehema5819 3 жыл бұрын
Mimi tokea muachane na mmke wako sioni hata kama uko na tembea na Mungu kumbuka usije ukafa ukaenda kwenye golofa moja Mbinguni kule tumikia Mungu , huwezi kuwa ati Mristo bado unachanganya ya mwili na ya Mungu ,Mungu hataki watu ambao wapo lukewarm yaani kivugutu change
@benjaminpatrick6364
@benjaminpatrick6364 3 жыл бұрын
Make up ikooo vizuriiiii hngraaaa
@claudionyenje5864
@claudionyenje5864 3 жыл бұрын
Mbasha mpumbavu sana mie nitaman nikupige mwaka 2008 kwenye tamasha la pasaka la msama nakumbuka mama rwakatre alikua mgeni rasmi na samweli sitta pia aliimba halafu akawa anakataa kushuka ana taka aimbe tuuu nakuimba hajui shida tupu yaan
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 жыл бұрын
Pole Mtumishi,Msamehe tuu,Sasa Ona alivyo Vaa Suruali Chini Ya Makalio,Kama Si Bangi ni Nini.🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️.
@ambaluweabdul1107
@ambaluweabdul1107 2 жыл бұрын
Pole sana kwa hakika hii clip imenisikiyisha ama kwa kwel adam kazingua kinoma
@kevooambakisye7018
@kevooambakisye7018 3 жыл бұрын
Unamuitaje mwenzio mabangi alafu unasema utani...ilitakiwa upigwe ngumi za kutosha sio mtama tu
@drookiemaik8393
@drookiemaik8393 3 жыл бұрын
Yani alitakiwa apigwe vitasa kama vyote. Eti aaombwe msamaha, kuzi kweli uyu chizi
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 3 жыл бұрын
Eti mtumishi wa mungu
@rehemahamisi9971
@rehemahamisi9971 3 жыл бұрын
keny benjiz @ apa ajatumia busara kumwita mwenzie bangi mbele za watu nayy kapewa mtama mbele za watu kizazi sana
@petermpera9244
@petermpera9244 3 жыл бұрын
Daaah pole bhan lile shuti kali mmh
@edithhassan4196
@edithhassan4196 3 жыл бұрын
Kulewaa umaarufu nyote wawili mnamakosa 1. KWakutamka neno bangi 2. Kudharau jukwaa kwa kitendo alichofanya 3. Nyote mmtutake radhii
@jumaipanda1884
@jumaipanda1884 3 жыл бұрын
Pole ndg
@mch.benjaminabraham8669
@mch.benjaminabraham8669 3 жыл бұрын
Mmeshindwa kumuimba Yesu mnamuimba mtu hayo ndo malipo ya dhambi rudi msalabani mbasha
@barakamwakapoma2702
@barakamwakapoma2702 3 жыл бұрын
Mmmh Adam bangi tu
@kelvinmchau8815
@kelvinmchau8815 3 жыл бұрын
MBASHA WW NI JEMBE aise ningekuwa mm HAPO NINGEKINUKISHA WALLAH huyo jamaa ningempa KIPONDO wallah ningelala SERO
@lovvy854
@lovvy854 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣atawew ungekula mawele baadilia mtama🤣🤣🤣
@peterantony3762
@peterantony3762 3 жыл бұрын
Hutamwambiaje mtu bangi mbele za watuwengi bhana
@emmanuelyusuph7752
@emmanuelyusuph7752 3 жыл бұрын
Mchomvu umezingua xana mbele ya president du
@jumabakari813
@jumabakari813 3 жыл бұрын
Adamu alivuta bangi alijiona kama yuko nawauni wenzake ivyo akaona poa tu adamu bangi yule mwamba
@fadhilamtwale8212
@fadhilamtwale8212 3 жыл бұрын
Nimecheka sanaaa! 🤣🤣🤣🤣
@severinpascal6514
@severinpascal6514 3 жыл бұрын
Uache shobo utani wa mitandaoni ubaki hukohuko😂😂
@benardsamwelministry7024
@benardsamwelministry7024 3 жыл бұрын
muambieni adam huo sio utu huyu jamaa ameharibu sana amekosea sana
@slicehamfrey3504
@slicehamfrey3504 3 жыл бұрын
Pole kaka hajielewi msamehe bule
@babadiamondplatnumzdudulay3675
@babadiamondplatnumzdudulay3675 3 жыл бұрын
Daah nimeumia sn😭😭😭😢 watanzania tupendane africa
@jeamwenda7394
@jeamwenda7394 3 жыл бұрын
Angalia brand ya mwenzako wee fala
@shairanadam1443
@shairanadam1443 3 жыл бұрын
Nmechkaaa snaa😁😁😁😂😂
@roberthosea7930
@roberthosea7930 3 жыл бұрын
𝘞𝘌 𝘏𝘜𝘖𝘕𝘐 𝘜𝘓𝘐𝘊𝘏𝘖 𝘍𝘈𝘕𝘠𝘈
@apolotemba6993
@apolotemba6993 3 жыл бұрын
Pole sana kaka
@adammjomba7112
@adammjomba7112 3 жыл бұрын
Mimi binafsi Nina mlaumu sana mtumishi wa Mungu mbasha kwanini awe na matani na watu wadunia? Hukuona kufanya urafiki ( matani na watu wa Mungu mpaka uwe na marafiki na watu wa dunia Hilo umelitaka mwenyewe .iwefundisho kwa watumishi wengine wa Mungu kuwa na matani na watu wa dunia. (Fata Yesu kristo alivyo fundisha. Utafanikiwa .angetoa meno Au kuvunja mguu .hao ni watu hawana hofu ya Ahlla watakuumiza kweli kwao jella ni nyumbani.
@lazarojr8923
@lazarojr8923 3 жыл бұрын
Vibaya Sana,,alishindwa kujicontro
@edwinfernandes8881
@edwinfernandes8881 3 жыл бұрын
Mbasha ...unamkumbatia Adam kwa nguvu vile au hujui jamaaa ana wife ...nimecheka sanaaa
@abdulkareem_njau
@abdulkareem_njau 3 жыл бұрын
utamtaniaje mtu kwenye adhara,unajua wabong wanavotafsiri,angestahili akuvunje mguu
@jacksonmsuya5833
@jacksonmsuya5833 3 жыл бұрын
Bangi chokoo yulee
@mwailimasson1885
@mwailimasson1885 3 жыл бұрын
Adam msenge Sanaa huyoooo
@thomaskivuyo3999
@thomaskivuyo3999 3 жыл бұрын
Kuma ww unasuport usenge kumuita mtu mvuta bangi mbele ya watu wote hao mm yenyew ningekufira
@namsamson3443
@namsamson3443 3 жыл бұрын
Ulitumia busara sana. Msamehe And hopefully atakuja mbele ya watu na kuomba msamaha kama alivyokufanyia mbele za watu
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 28 МЛН
INASIKITISHA! MBASHA ADAI KUKOMBWA KILA KITU NA FLORA
13:09
Global TV Online
Рет қаралды 399 М.
Mbunifu wa trekta inayotumia injini ya pikipiki
4:00
COSTECH Tanzania
Рет қаралды 11 М.
Flora Mbasha kaolewa tena... Tazama ndoa ilivyofungwa
25:17
Millard Ayo
Рет қаралды 814 М.
GEAH HABIBU,NATISHIWA AMANI,AMTAJA ADAM MCHOMVU #NIPE5 TBC
31:35
Gangana Info Channel
Рет қаралды 34 М.
Ruto's Biggest Mistake Firing Attorney General Muturi?
14:27
KimathiTV
Рет қаралды 239 М.
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27