Tazama jinsi Rais Magufuli 'alivyowabana' TANESCO Ikulu

  Рет қаралды 3,456

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Awahoji ni namna gani wanawasaidiaje wabunifu wadogo wa kufua nishati ya umeme nchini. Wenyewe wakiri kutotoa msaada na kukiri uwezo wa kufanya hivyo wanao.!
Rais Magufuli amewahoji watumishi hao wa TANESCO kufuatia mkutano wake na wabunifu wa mitambo midogo ya kufua umeme kwa kutumia maji ya mito mkoani Njombe uliofanyika Ikulu, jijini Dar es Salaam.
#JPMIkulu #Wabunifuwanishati #AzamTvUpdates #AzamTVApp #UTVHabari #UFMRadio #AzamTWO

Пікірлер: 5
@geofreysenka7091
@geofreysenka7091 2 жыл бұрын
Saizi nchi haina rais ipo mikononi mwa wenye mizaha mingi na uwizi mtupu
@chipegwakuselya1742
@chipegwakuselya1742 2 жыл бұрын
Hii nchi sasa hivi haina rais jamani, rais hana muda na watu wake hana uchungu na wananchi kabisa
@yohanasaimoni6067
@yohanasaimoni6067 5 жыл бұрын
Ubalikiwe raisiwetu
@williamkavuta8066
@williamkavuta8066 2 жыл бұрын
Huyu alikua rais bora nakuambia
@geofreysenka7091
@geofreysenka7091 2 жыл бұрын
Haji kutokea rais kama Magufuri
Yanga SC 6-0 CBE SA | Highlights | CAF CL 21/09/2024
12:21
Azam TV
Рет қаралды 90 М.
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 8 МЛН
Girl, dig gently, or it will leak out soon.#funny #cute #comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 53 МЛН
Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA
27:07
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
Rais MAGUFULI Alivyowabana TANESCO, Nusura AWATUMBUE!
27:53
Global TV Online
Рет қаралды 303 М.
HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013
13:38
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 288 М.
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 1,9 МЛН
Rais Magufuli: Tanesco punguzeni bei ya umeme
5:40
Azam TV
Рет қаралды 2,4 М.
RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DODOMA
25:00
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 1 МЛН
Rais Magufuli ametaja mshahara wake leo
12:08
Millard Ayo
Рет қаралды 442 М.