MCH HANANJA AWASHA MOTO KWA NABII ALIYE VAA KIPENSI, HUU NI UJINGA KABISA

  Рет қаралды 200,786

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 670
@maufijose2294
@maufijose2294 10 ай бұрын
Huyu Mchungaji Ana Kitu Kikubwa Kichwani Km Utamzingatia. Barikiwa Sana Mtumishi Wa MUNGU 🙏
@JeremiahYohana-br2bd
@JeremiahYohana-br2bd 10 ай бұрын
Huyu mchungaji namkubali sana, Mungu akutunze mzee wetu.
@SaidiKidika
@SaidiKidika 10 ай бұрын
Anaelimisha watu wa imani zote kwa ujumbe wake,Mwenyezi Mungu am bariki.
@shabbymakapane
@shabbymakapane 10 ай бұрын
Opo Sahihi 100%
@msafirisalum6245
@msafirisalum6245 10 ай бұрын
Mimi ni muislam, ila nimemuelewa sana huyu kiongozi. Nitakutafuta nipate hata picha ya pamoja. Asante kwa maneno ya busara
@shabbymakapane
@shabbymakapane 10 ай бұрын
Kabisa Mchungaji Anaejielewa , Yuko Vizuri Anafindisha Vizuri
@IbrahimuSpriano
@IbrahimuSpriano 9 ай бұрын
Muisilam gan anae luhusu picha huo Ni ukafir tafta maana ya vitu vilivyo wekwa kwenye bidaa uone
@husseinchivinja5844
@husseinchivinja5844 9 ай бұрын
Kweli huyu mchungaji anaongea maneno sahihi nampenda sana abarikiwe
@Dianamwansasudddw
@Dianamwansasudddw 9 ай бұрын
​@@IbrahimuSprianowewe unakuwaga na kiherehere sijui Kwanin has?umekazana makafiri tu.nenda kaswali huko
@mayangeramadhani8497
@mayangeramadhani8497 9 ай бұрын
​@@IbrahimuSprianohawatakuwa radhi mayahudi na manaswara mpaka mfuate mila zao
@newgreeneaglestudio3089
@newgreeneaglestudio3089 10 ай бұрын
Mimi mwislamu ila hanaja ni mmoja katika wachungaji nawafuatilia sana ni mtuu mwenye kafuata matendo ya yesu Always Anasema ukweli ❤❤
@Sheba4651
@Sheba4651 9 ай бұрын
Mtu akimfuata Yesu lazima awe Muislamu tu, ukiona anamfuata Yesu kisha hajawa Muislamu, huyo mungu wake anakuwa Yesu.
@saimonijonas1471
@saimonijonas1471 9 ай бұрын
​Naomba nikuulize. Nini maana ya Islam na Uislam.?
@taturamadhan5940
@taturamadhan5940 9 ай бұрын
Ni kukiri kwa moyo na kwa ulimi hapana mola anastahiki kuabudiwa ila Allah na kukubali kuwa Muhhamad s.a.w ni mtume wa Allah
@suleimansalym7537
@suleimansalym7537 9 ай бұрын
​@@taturamadhan5940Hii sio maana ya uislamu hiyo ni maana ya shahada ulitakiwa kutoa maana ya uislamu halaf uje na maelezo kma hayo lkn sio mbaya anaetaka maana ya uislamu na akasome uislamu lkn sisi waislamu tunasema ISLAM IS THE RIGHT PATH & FINAL DESTINATION na ndio dini pekee ya Mwenyezi Muungu hapa duniani
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 9 ай бұрын
Muislam na yesu tena alisikika chizi mmoja KZbin
@ahmedhamis
@ahmedhamis 9 ай бұрын
Barikiwa sana mchungaji , maneno Yako yananifanya kuendelea kusoma vitabu vya m/mungu kujua amri zake 👏👏
@YusuphMkumbo
@YusuphMkumbo 10 ай бұрын
Kila siku unanyoshaa Sana Mzee wangu mungu akuwekee miaka 1000
@samsonnzisabira768
@samsonnzisabira768 9 ай бұрын
Duuh,hekima na busara ya mzee vimezidi.Mungu akubariki mzee!!!
@theophilwhiteheart1997
@theophilwhiteheart1997 9 ай бұрын
Aisee Mwenyezi Mungu akujaalie maisha marefu sana mchungaji hananja🙌🏽
@mozeslyricstz720
@mozeslyricstz720 9 ай бұрын
Aimen
@adelineswai2365
@adelineswai2365 9 ай бұрын
I just love this man of God
@godlistendiah3563
@godlistendiah3563 9 ай бұрын
WOW... this is awesome. Hayo ndio maneno ya mtu wa Mungu. keep it up brother.
@mapachawayesu
@mapachawayesu 9 ай бұрын
Barikiwa sana Pastor, Mungu azidi kukutunza kwaajili ya kukiokoa hiki kizazi tulichonacho
@charlesmbena9121
@charlesmbena9121 9 ай бұрын
Hananja is one of the best uishi Sana mzee wetu.
@EricaBizuru-jp9by
@EricaBizuru-jp9by 10 ай бұрын
Umeongea ukweli mtupu na haki mungu atazidi kukulinda Ameen
@avitusmichael5
@avitusmichael5 10 ай бұрын
Mchungaji bora kuwahi kutokea ndani ya nchi hii, waumini wako wanapata uhalisia wa imani ya kweli
@shabbymakapane
@shabbymakapane 10 ай бұрын
100%Upo Sahihi
@emmanuelbonaventura4258
@emmanuelbonaventura4258 9 ай бұрын
Naam
@leahmollel6589
@leahmollel6589 9 ай бұрын
Tuambie tuu kweli ya Mungu! Tukubali tukatae kazi ya Mungu umeshaifanya! Mko wachache sana na sisi ni vigumu kukuelewa! Mungu akubariki sana🙏🙏🙌
@lalesmhina
@lalesmhina 7 ай бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji Hananja
@tmbashujaaosama3810
@tmbashujaaosama3810 10 ай бұрын
Kwa uwezo mchungaji alio nao angekuwa na tamaa angekuwa na bonge la kanisa. Mungu akutumze akuzidishie uwezo wa kusema ukweli tufukuze uchafu ktk dini
@tigejuma9865
@tigejuma9865 10 ай бұрын
Huyu baba ana nyosha maelezo vzur xna ... wachungaji wote wangekua kma huyu basi makanisa yote yangekua na msimamo mzuri...
@margaretseela2344
@margaretseela2344 10 ай бұрын
Spitting wisdom. Volume pastor hananja👏👏👏
@FatmaSaid-j9o
@FatmaSaid-j9o 9 ай бұрын
Am from kenya and I'm Muslim I really love him ❤
@jeremiahmuli1766
@jeremiahmuli1766 9 ай бұрын
AKUNA KAMA UYU CONGRATS
@emmanuelbageni4388
@emmanuelbageni4388 8 ай бұрын
Give Jesus Christ your life he will really save your life.
@DavidKadaba
@DavidKadaba 3 ай бұрын
Mungu akuzidishie mchungaji Ananja na maisha marefu izo tamaduni zao zi poteleye mbali sana nasi❤❤❤❤Mchungaji
@dr.dicksonjohn8196
@dr.dicksonjohn8196 10 ай бұрын
Mwenyezi Mungu Amtunze Sana Pastor Ukweli Siku zote Ni Mchungu kuupokea Lakini Ni Vizuri Sana Kuongea Ukweli. Hongera Sana Pastor Umeongea Ukweli Bila Kuficha na kuogopa Bila unafki.
@shabbymakapane
@shabbymakapane 10 ай бұрын
Umesema Kweli 100%
@godfreyhiza1075
@godfreyhiza1075 9 ай бұрын
Mchungaji umesimama upande wa Mungu Bwana azidi kukutumia!!!
@MichaelMsambwa-q9d
@MichaelMsambwa-q9d 7 ай бұрын
Asante baba kwa mafundisho
@OscarDzombo
@OscarDzombo 8 ай бұрын
Mungu akueke mchungaji
@azizamaulid9257
@azizamaulid9257 9 ай бұрын
Huyu mchungaji namkubali sana masha'allah laiti kama angekua na tamaa angefungua kanisa lake Haki angepiga hela sana Mungu amtunze mtumishi
@stephenmbasha4389
@stephenmbasha4389 9 ай бұрын
Kuwa na kanisa ni kupiga hela??
@azizamaulid9257
@azizamaulid9257 9 ай бұрын
@@stephenmbasha4389 😅😅😅😅😅😅 huyu anaefufua watu yeye anafanyaje
@PatrickMuendo-ur9js
@PatrickMuendo-ur9js 9 ай бұрын
Powerful mchungaji true gospel 🇰🇪🇰🇪
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 9 ай бұрын
Nakukubali sana we Mzee yaani wewe ni Mchungaji wa Kweli soyo wale Mbugilambugila
@reubenmwidima
@reubenmwidima 10 ай бұрын
Very true pastor 🙌
@ObadiaSimkoko
@ObadiaSimkoko 10 ай бұрын
Wasome Yohana 4:24 na Yohana 7:17-18 wanadharilisha ukristo ni uhuni tu mungu Huendana na maadili ya eneo husika tuweni macho Sana watanzania ni nyakati zimefika zilizotabiliwa
@gidionmheni3165
@gidionmheni3165 10 ай бұрын
Be blessed Mtumish wa Mungu , wasemao kweli watan'gaa
@johnmakundi2415
@johnmakundi2415 10 ай бұрын
This"s might be the truly Man of GOD with purely words of wisdom,, apart from comedic tips in his preaching based on reality life he is role of origin Gospel!!!!
@shabbymakapane
@shabbymakapane 10 ай бұрын
100% Umesema Kweli
@chedielimrutu6955
@chedielimrutu6955 10 ай бұрын
😂
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 9 ай бұрын
Upo sawa
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 9 ай бұрын
Mtawajua kwa matunda,fungueni macho!
@osamasuley2296
@osamasuley2296 9 ай бұрын
A​@@stanslausmteme8455
@patrickkatana8823
@patrickkatana8823 9 ай бұрын
AMEN..BARIKIWENI SANA MTUMISHI WA MUNGU
@lucasmwambene8266
@lucasmwambene8266 9 ай бұрын
Jiwe Moja limeua ndege wote Kwa hapa sio Wawili. Ubarikiwee pastor
@PatrickHassain
@PatrickHassain 9 ай бұрын
Mungu atakulinda sana mzee waambie ukweli wanaharibu dini yetu sana hawa usichoke mungu ata kulinda 🎉🎉🎉
@nataliamrosso
@nataliamrosso 9 ай бұрын
Amina
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 10 ай бұрын
Ameeeen ameeen ameeeen Asante sna baba kipenzi unafunza dini zote ubarikiwe Sana
@faithe4063
@faithe4063 9 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ambariki huyu pastor kweli, Mungu akikaa ndani ya mtu atavaa vizuri na kutembea kwa ustarabu
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu 10 ай бұрын
amen hayo ndo mafunzo halisi ya imani much blessing man of God 🇰🇪
@shabbymakapane
@shabbymakapane 10 ай бұрын
Kweli Kabisa
@davidmisiwa4622
@davidmisiwa4622 10 ай бұрын
Huyu mzee Huwa anaongea point sn, haongelei kabisa Bali anasimamia ktk uhalisia wa neno na nwenendo wa maisha au mtindo wa maisha uliopo, mwenyezi MUNGU amtunze
@AkwiliniQawoga
@AkwiliniQawoga 10 ай бұрын
Maajabu mchungaji kuvaa ngup za kahaba.labda shoga.,Mungu atusamehe
@frankjohn8706
@frankjohn8706 9 ай бұрын
Muonekano wa mavazi kimwili lkn pia Kuna ubatizo wa vitoto na kipaimara kama ni roho MTAKATIFU hawa wote wameliacha Neno watu kupenda pesa kuliko kumpenda Mungu..hongera pastor
@adamsengo1869
@adamsengo1869 9 ай бұрын
Ni kweli kabisa 100%. Jina la Yesu libarikiwe
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 9 ай бұрын
Amen
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 9 ай бұрын
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu. Ndiyo maana nakufatilia sana
@NeliaMwenisongole
@NeliaMwenisongole 9 ай бұрын
Kabisa Baba umezungumza Mungu ni zaidi ya Rais
@suratibrahim6417
@suratibrahim6417 10 ай бұрын
Mch... Hananja ni lol model wangu.... mtumishi wa Mungu wa kweli❤❤❤ Sijawahi kuwa na mashaka nae 🙏🙏🙏💯 Mteule wa Mungu 🙏🏹🏹🏹
@linluxe101
@linluxe101 8 ай бұрын
😂😂😂lol????
@michaelkimweri1074
@michaelkimweri1074 10 ай бұрын
Mungu akuweke mchungaji, unanifunza sana
@shilindebusolwa8887
@shilindebusolwa8887 10 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mchgj,,kwakusimama na misingi ya kibiblia,,hakika wewe ni mtumishi wa Mungu wa kweli,,,
@KassimMbwana-m6i
@KassimMbwana-m6i 9 ай бұрын
😂😂😂Eti mwalimu lakn sijui wa vyuoni wakina nan ,Ila umenyooka sana mchungaji Mungu akutunze na akupe maisha marefu uzidi kutupa elimu ktk ubora huo huo🙏🙏
@ntibashimadicksonmathiasna2915
@ntibashimadicksonmathiasna2915 10 ай бұрын
Barikiwe baba Mungu akutunze ni kweli shonga papai hilo linaliwa hilo
@limymasele21
@limymasele21 10 ай бұрын
Mungu tulindie huyu Mchungaji.
@VicentKayagula
@VicentKayagula 9 ай бұрын
Hapa mchungaj HANANJA umenikosha. Big up father good 👍
@joycehefsiba2750
@joycehefsiba2750 8 ай бұрын
Asante sana mchungaji Hananja. Mungu akubariki sana.Tunakuombea Mungu akulinde uishi myaka mingi sana. Nb: wale waganga wa kyenyeji waliamua kuingia kanisani sababu sahii watu hawaendi kwa waganga sana Kama mwanzo, kwa ukweli hiyo si monekano wa mtu abebaye ujumbe wa Mungu kwa watu WALAWI19:28 uyo ni mchawi kapewa masharti aje aandalie wenzio njiya ndo pakitokea mtu mwingine Kama yeye akubalike. Kwa jina la Yesu christo alie hai tuna wapinga na kazi zao zi shindwe.
@MaryMakala-o5i
@MaryMakala-o5i 8 ай бұрын
Pastor endelea kutuweka sawa watu wasome biblia vzr, pesa Ina mwisho, safi sana mtumishi wa mungu, paza sauti usiogipe yupo yesu nyuma yako Amen
@buikilapo-wm7zb
@buikilapo-wm7zb 9 ай бұрын
Mungu hakubariki,hakupe mwisho mwema!❤
@marystephen1994
@marystephen1994 9 ай бұрын
Nabarikiwa sana na wisdom na ukweli wa mpakwa mafuta huyu, Mungu ampe uzee mwema. Be blessed man of God❤
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 9 ай бұрын
Haya ni majanga na tatizo. Lakini tumwachie Mungu mkuu mtoa ukumu mwenyewe. Amen.
@vizinhomarioafonso9535
@vizinhomarioafonso9535 10 ай бұрын
Mze anailimu sana, tunfaidi, mungu akupe maisha malefo, amém, from Moçambique
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 9 ай бұрын
Pastor MUNGU akubariki kwa kusema ukweli juu ya hawa manabii wa uongo.
@MeryblessMshana
@MeryblessMshana 9 ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu,utamtambuaje kuwa ni Mwanafunzi wa Yesu,kutembea kwake na kuongea kwake utajua kuwa huyu ni Mwanafunzi wa Yesu,Matendo yako tu
@georgemboneko9163
@georgemboneko9163 9 ай бұрын
Amina mch.mungu akubariki sana.
@AnordKawageme
@AnordKawageme 8 ай бұрын
Barikiwa sana mchungaji MUNGU akujalie afya na nguvu utubadilishe
@joelyngomuo7441
@joelyngomuo7441 9 ай бұрын
Mungu akujalie miaka mingi mchungaji hananja umesema ukweli mchungu
@SumunPolisi
@SumunPolisi 9 ай бұрын
Mpo wachache sana mungu akulinde
@ChristinaCharles-py1ct
@ChristinaCharles-py1ct 9 ай бұрын
Mungu akulinde na mabaya muchungaji amen🎉
@elishaelishaedward9454
@elishaelishaedward9454 10 ай бұрын
Tunasahau vya kwetu tunapenda vya wazungu Haya mafuliko yanayo kuja ni Adhabu ambazo tunapewa ndogo ndogo ili kukumbushwa tunayoyafanya cio sahihi ila bdo sahivi wanaume wanageuka Wanawake kilakukicha EEH MWENYEZI MUNGU TUEPUSHE katika haya maovu yote yanayo tukumba vizazi vya sasa
@denismasao520
@denismasao520 10 ай бұрын
Hapana mungu ana upendo hawezi adhibu watu hivyo yako bo 1:13 inasema "mtu akiwa chini ya jaribu asiseme mungu ananijaribu Kwa maana mungu. Hawezi kuwajaribu watu Kwa mambo maovu Wala yeye mwenyewe hajaribiwi Kwa mambo maovu
@johnbidya119
@johnbidya119 9 ай бұрын
Nakukubali sana mzee wangu unaakili sanaa nakufananisha na kijana mmoja anaitwa chidbenz mzee kwann usimtafute huyu kijana chidbenz ukaenae umjenge zaidi siku moja awe msaada kwa vijana wengine kama ulivyokua ww mimi naamini chidi benz anaweza sana ila kuna vitu vidogovidogo vina myumbisha msaidie mzee wang.
@gastonfelician873
@gastonfelician873 9 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@nganamaula8064
@nganamaula8064 10 ай бұрын
Ubarikiwe mzee wangu
@ndiiyolazaro1125
@ndiiyolazaro1125 10 ай бұрын
Ubarikiwe mchungaji hananja, huo ni ukweli mtupu
@anithasemwano8276
@anithasemwano8276 9 ай бұрын
Hananja yupo vizuri
@johnjohn2080
@johnjohn2080 9 ай бұрын
Ubarikiwe sanaa sana na BWANA wetu YESU KRISTO mchungaji
@JULIUSNYAMARUNGU
@JULIUSNYAMARUNGU 9 ай бұрын
Mungu hakubariki uendelee kutusaidia katika Neno 12:44 ."we ❤ you"
@zabrongermanus-co1jj
@zabrongermanus-co1jj 9 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@josephmwangalika2673
@josephmwangalika2673 7 ай бұрын
Mungu Akubaliki. Mtumishi
@LucasGabriel-o3p7v
@LucasGabriel-o3p7v 6 ай бұрын
Safi sana mchungaji mzuri,,,upo vizuri
@janengowi-lt9gu
@janengowi-lt9gu 9 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mchungaji
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 9 ай бұрын
Ubarikiwe Sana, Pastor!
@epmzmusifiwar6694
@epmzmusifiwar6694 10 ай бұрын
Amen Mtumishi Ubarikiwe
@mbomapadon
@mbomapadon 10 ай бұрын
Be blessed my Mchungaji umeongea points
@mohamedkondo-tq2bm
@mohamedkondo-tq2bm 10 ай бұрын
Mzee hananja upo vizuri sana upepesi maneno
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 10 ай бұрын
Daaaa very true pastor
@RahiimTraveller-xb3pt
@RahiimTraveller-xb3pt 5 ай бұрын
God bless you Pastor Hananja
@nemitv7850
@nemitv7850 10 ай бұрын
Amen pastor huu ndo ukweli watu wamekuwa vipofu.
@obedysabukunze
@obedysabukunze 8 ай бұрын
Asante sana baba kwa maneno ya hekima!😊
@pariskatene
@pariskatene 10 ай бұрын
La illa illaallah Muhammad rasullullah
@salomeshongola1697
@salomeshongola1697 8 ай бұрын
Mimi ni katoliki,na katika wachungaji ninayemkubali Huyu ni namba mmoja.barikiwa sana.❤❤🎉🎉
@AsteriaBoay
@AsteriaBoay 9 ай бұрын
Asante baba nabarikiwa na maneno Yako🙏🙏🙏
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 9 ай бұрын
Mchungaj We'll said Jah May bless you 🤝
@MrMachume
@MrMachume 9 ай бұрын
Upo sahihi 100% mtumishi Hananja. Tatizo la watumishi wengi wa leo wanafuata katiba (biblia) nusu nusu, roborobo, na wanajihesabia haki na kujiona wapo sawa wakati wapo kinyume na neno la MUNGU. Kila kukicha ni kutumbua kila kitu, hawataki Rehema, Turudi kwenye Rehema ili MUNGU awe na ushirika na sisi na kutuma hekima ya namna ya kuenenda.
@naomichristopher3941
@naomichristopher3941 9 ай бұрын
Mch , umenibariki sana kwa haya maneno mazuli kwa hawa watumishi wetu wa sasa .
@PatrickRichardlimo
@PatrickRichardlimo 10 ай бұрын
Emwenyez mungu mlinde baba yetu hananja
@prosperkimaro4660
@prosperkimaro4660 9 ай бұрын
Mungu akulinde uishi Mika mingi uendelee kutusaidia kuwapinga wale wanaoaribu maandiko matakatifu
@MwanaidMagasa
@MwanaidMagasa 9 ай бұрын
Sana nakupenda sana mzee una akili kweli kweli mungu akulinde na moto
@ShemdoeabediHashimu
@ShemdoeabediHashimu 9 ай бұрын
Asante mchungaji Hananja Huna mamba wewe nimsema kweli
@EricaBizuru-jp9by
@EricaBizuru-jp9by 10 ай бұрын
Mungu nakuomba uzidi kumlinda mchngaji wetu hananja
@christermapunda503
@christermapunda503 8 ай бұрын
10 Nao watauchukua uovu wao; uovu wa nabii utakuwa sawasawa na uovu wake yule amwendeaye aulize neno; Ezekieli 14:10 Asante mch Hananja.
@LeahKaboza-vb4ih
@LeahKaboza-vb4ih 10 ай бұрын
Leo mchungaji nimekuelewa asante
@NorbethJosphath-hm1zb
@NorbethJosphath-hm1zb 10 ай бұрын
Wape makavu Asante baba
@ModestussMashallooh-vd7wx
@ModestussMashallooh-vd7wx 10 ай бұрын
Very true pastor
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 9 ай бұрын
Kaka yangu Hananja nakushauri anzisha Ministry, utatupata wengi sana. Tumeshoshwa na hawa so called watumishi wa Mungu "kanjanja" kwenye makanisa haya tuliyomo. Wanatupeleka pabaya.
@naylukumay3393
@naylukumay3393 9 ай бұрын
Kabisa hata mm nitakuja kusali
@nataliamrosso
@nataliamrosso 9 ай бұрын
Kwani yupo wapi kwasasa
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 9 ай бұрын
Mungu akubariki sana
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 27 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 37 МЛН
Hizi hapa dakika 15 tu! za Kufurahi na Mch. Hananja. UDSM CCT.
15:29
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 982 М.