SIRI YA MAKONDA NA UONGOZI WAKE ARUSHA, SABABU YA WATU KUMTAKA

  Рет қаралды 91,512

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 179
@awadhonlinetv9827
@awadhonlinetv9827 2 ай бұрын
Mungu akulinde Mh.Makonda popote ulipo, tunakuomba urudi kazini tunakupenda na Arusha inakutegemea. Mungu akulinde nyakati zote🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@ramahawai3430
@ramahawai3430 2 ай бұрын
Ninaogopa sana kuhusu kutokuonekana kwake. Namkubali sana Makonda. Asante Mama samia kwa kumteua Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha. Mungu amlinde mteuzi wake na mteuliwa.
@UmuHaitham-v3b
@UmuHaitham-v3b 2 ай бұрын
Allah atamrudisha kwa salama. Atamkinga na kila shari na maadui wote duniani.
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 2 ай бұрын
dah huzuni nchi nzima mungu akusadie makonda
@AishaHussein-en3wf
@AishaHussein-en3wf 2 ай бұрын
Mungu akulinde uko ulipo,nyota ya uraisi ipo mbele,nakupenda sana makonda,dah mungu akuinde ukirurudi,urudi daa kwetu kama zamani,tunakupenda sana
@TumainMlyuka
@TumainMlyuka 2 ай бұрын
Mungu alisema wadamu wanaangamia Kwa kukosa maarifa angalia makonda afanya Kaz nzur sana lakn kunawatu hawapend na kumtakia mabaya jaman makonda Mungu apiganie maisha yako watu wanao Jua thaman ya makonda maombi yao yatainuka kwajili ya makonda
@lucykristensen7145
@lucykristensen7145 2 ай бұрын
Mimi ninaamini Makonda wetu yuko salama. Nataka kuamini hivyo si vinginevyo. Mwenyezi Mungu atamlinda na kumtunza mahali popote pale alipo. Tuendelee kumuombea afya njema, ulinzi wa Bwana pamoja na Malaika Watakatifu.
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 2 ай бұрын
Makonda Nakuombea Salama huko uliko, Tunakuhitaji, Mungu akulinde🙏
@UpendoFoya-po4me
@UpendoFoya-po4me 2 ай бұрын
Jmn eee mungu akusaidie jmn mungu tusaidie makonda wetu allah awe salama jmn jmn tunampenda sana makonda jmn mungu akuinue upya kiongozi wetu
@nicodemashaggite8429
@nicodemashaggite8429 2 ай бұрын
Bring back our lovely Makonda!!!
@ZipporahNyanchama-n4v
@ZipporahNyanchama-n4v 2 ай бұрын
Makonda is a good guy..like him very much GOD protect him
@ChachaNyabare
@ChachaNyabare 2 ай бұрын
Watuachiye makonda wetu jamani wanafiki wote wakaye pembeni
@LungelePatrick-ko3cp
@LungelePatrick-ko3cp 2 ай бұрын
thgtgvttgtthytyhyygyyyghyhg
@tielyelibariki8958
@tielyelibariki8958 2 ай бұрын
Mungu amlinde Makonda kipenzi Cha wengi awe salama.
@jacobnghwani1891
@jacobnghwani1891 2 ай бұрын
May God bless this guy wherever he'll be!
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 2 ай бұрын
Mungu tulindie makonda tumuone amerudia kazi kwa salama mungu awashinde wabaya wake wote wasiotaka mazur na maendeleo mumgu atawalaani mara elf sabiini
@johansenf.mrengimrengi7050
@johansenf.mrengimrengi7050 2 ай бұрын
Safi sana! Unahekima Mtu wa Mungu!
@SafinaKephasi
@SafinaKephasi 2 ай бұрын
Mungu akulinde siku zote za maisha yako makonda
@edithafrancis847
@edithafrancis847 2 ай бұрын
Mungu simama na Makonda wetu,
@EliethaKisetu
@EliethaKisetu 2 ай бұрын
Mungu amponye kiongozi wetu makonda na amsamehe kwa yote,waliowaza kumpa sum Mungu atahusika nao.
@ShamilaAbdul-n8b
@ShamilaAbdul-n8b 2 ай бұрын
Jamani😢 Makonda Allah akulinde na Shari hapo ulipo
@zianasalimuhivikunamchunga5224
@zianasalimuhivikunamchunga5224 2 ай бұрын
Eee Mwenye enzi Mungu mwingi wa rehema yarabil nakuomba mm mja wako umlinde huko alinde mola wangu wa haki mlinde mja wako mpe afya Mungu
@JosephSappe
@JosephSappe 2 ай бұрын
Gonga like kama unamkubali makonda
@Ahmedikiringamoyo
@Ahmedikiringamoyo 2 ай бұрын
Daaaa jamani
@vladimirputn1809
@vladimirputn1809 2 ай бұрын
Nmpendasana
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 2 ай бұрын
mama samia mwanao makonda yupo wapi wananchi wa Arusha tumechanganyikuwa
@FghgRyy
@FghgRyy 2 ай бұрын
Allah akufanyie wepesi huko ulipo makonda wetu tunakupenda
@jairosgreyson3268
@jairosgreyson3268 2 ай бұрын
Mungu akuepushe ,
@RachelElias-j3g
@RachelElias-j3g 2 ай бұрын
Mungu amlinde popote halipo.. Arusha tunakuitaji sana ..
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 2 ай бұрын
Mungu wa mbinguni, naomba popote alipo mh makonda umpe afya na ulinzi juu yake, nimekosa usingizi namuwaza makonda tu
@dorothyannan8184
@dorothyannan8184 2 ай бұрын
Makonda huko uliko mazuri uliofanya yakufwate.
@ayshaaysha2165
@ayshaaysha2165 2 ай бұрын
Kweli kabisa
@juliusntandu4302
@juliusntandu4302 2 ай бұрын
IPM Good talking God bless you
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 2 ай бұрын
Mungu ni mwema atamponya na homa kama anaumwa
@nackylindo
@nackylindo 2 ай бұрын
Aaameni
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 2 ай бұрын
MAMA SAMIA ALIFANYA JAMBOLA MAANA KUMCHAGUA MAKONDA. SASA YUPO WAPI? JAMANI MUNGU AMNUSURU NA MABAYA YOTE. KM KUNA WATU WANAMTAKIA MABAYA MUNGU AWALAANI WAO NA WATOTO WAO NA VIZAZI VYAO. AMINA
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 2 ай бұрын
Alf amiyn yaarab l'alamiyn 🤲
@jacklinejohn5727
@jacklinejohn5727 2 ай бұрын
Yeye aliona kuwa 2025makonda atachukua uraisi akaamua kumpotezaaaa
@HappyMwakasege-k7o
@HappyMwakasege-k7o 2 ай бұрын
Mungu wewe ni mwenye rehema, mwingi wa fadhila, mkumbuke makonda huko uliko, uturudishe akiwa salama🙏🙏
@joycealex8652
@joycealex8652 2 ай бұрын
Kweri mji ulikuwa giza tangu niingie mji wa ars nilikuwa sijawahi kuona kiongozi akifanya kazi matokeo walikuwepo kama hawapo Mungu mlinde makonda adui zake wawe adui zako na kila ulimi utakao inuka juu yake utauhesabu kuwa mkosa Bwana Yesu mlinde na umfunike kwa Damu yako iliyomwagika msalabani kwaajili yake🙏
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 ай бұрын
Huyu mjanjatu ilaiimani yake yakiislam abafanya vitu vyazambihuku abajua rohoyake inajisuta ni basitu pesa zinamdanganya anajipa moyo ila naamini kabra ajafa huyu atabadilialudi kwa molawake wakweli. Siamini kama ataxikwa kwenye.ukilisto labda aumwe ashindwe kuongea au afe ghafla. Mtualosomadini nitofauti na asiyesoma. Ataruditu lnshaallah❤❤
@OsOs-l7c
@OsOs-l7c 2 ай бұрын
Kweli kaka nakukubali
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 2 ай бұрын
Makonda alishasema hakuna wa kuweza kumdhuru, Ni pale tu Mungu atakapokubali na sasa hajakubali adhuriwe ❤❤
@RebbeccaJohn-it3by
@RebbeccaJohn-it3by 2 ай бұрын
Mungu akulinde popote ulipo
@MariamWiliam-z8k
@MariamWiliam-z8k 2 ай бұрын
Hongera kaka wewe unaongea ukweli mpenz wa mungu hao wanaokubeze achana nao wanajibeza wenyewe hawana lolote
@StellaShirima-t4x
@StellaShirima-t4x 2 ай бұрын
Imani, matumaini ata ekima kk wangu imepotea kabisa siku ya Leo nimejitia mb zangu
@elinurukitomali6008
@elinurukitomali6008 2 ай бұрын
Anae mchukia Mr .Makonda hata akiletewa yesu mbele yake hatampenda . Wapgaji ndo hawampendi tu hii nisadaka ya mkoa wetu
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 2 ай бұрын
acha kumchanganya yesu na vitu ovyo
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 2 ай бұрын
Ahsante Mtumishi kwa kuchangamua kiufasaha🙏
@rachelnabarikiwasanananyim784
@rachelnabarikiwasanananyim784 2 ай бұрын
Sielewi jaman mtetezi wetu tunaumia onekana baba tunakutegemea
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 2 ай бұрын
makonda ni habari nyingine katka nchi hii mama tuambie mwanao yupo wapi?
@AbelaPius
@AbelaPius 2 ай бұрын
Mh.Makonda Mungu akukinge na hila zote za maadui.
@faridimbaraksaid7703
@faridimbaraksaid7703 2 ай бұрын
Kama ni kweli naomba mungu ampe shifaa inshallah
@CikeTanzania
@CikeTanzania 2 ай бұрын
Tumekuwa na waswas wanatufichaga hivi hivi mwisho wa cku tunakuja kuckia tuu mtu kaaga dunia sio poa,Allah akulinde makonda popote ulipo tunakupenda sana.
@josephineokama2200
@josephineokama2200 2 ай бұрын
tena wanatangaza usiku wa manane
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 ай бұрын
​@@josephineokama2200hiyo usiku wa manane kama wachawi hata teuzi ni usiku 😂😂😂
@bobelichi7721
@bobelichi7721 2 ай бұрын
Kaaaga Dunia tena!😂😂😂😂😂
@CikeTanzania
@CikeTanzania 2 ай бұрын
Sasa kumbe 😄 🤣 😂
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 ай бұрын
@@CikeTanzania yaani hadi myoto wanawasha usiku kuunguza vibanda vya wafanya biashara na usiku you huo wanachoma masoko na kubeba mali za watu yaani uongozi wa huyu mama wakichawi kweli ametia mkosi wanawake wote tanzania hawatokuja pewa urais
@shersaid7988
@shersaid7988 2 ай бұрын
Mchungaji anajielewa 🎉
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 ай бұрын
kweli kabisa, hata mie nimeliona hilo kwa huyu mtu
@ShangeMbogo
@ShangeMbogo 2 ай бұрын
Kwahyo Yuko wapi sasa
@KafumuBoniphace
@KafumuBoniphace 2 ай бұрын
Makonda ni kiongozi
@christophermwalugaja9296
@christophermwalugaja9296 2 ай бұрын
Huyu ni traole wa tanzania.
@yesuyuhaipectv9176
@yesuyuhaipectv9176 2 ай бұрын
Hongera sana Mtumishi wa Mungu ufafanua vizuri sana
@rukiawagaba2080
@rukiawagaba2080 2 ай бұрын
Mungu simama na mankonda wetu
@MoshiJoseph83
@MoshiJoseph83 2 ай бұрын
Huyu mchungaji namukubali sana
@MaryShayo-tg4vq
@MaryShayo-tg4vq 2 ай бұрын
Mungu mlinde makonda najamuhuri nzima ikitokea kunamsaliti mtumbue hazaran
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 2 ай бұрын
Makonda Tanzania imemkubali
@saada7499
@saada7499 2 ай бұрын
Yuko wapi
@saidikapama4869
@saidikapama4869 2 ай бұрын
Mungu yupo pamoja na makonda atakuwa salama
@deejaytinoflavour4971
@deejaytinoflavour4971 2 ай бұрын
Kunawakati uwa nawaza kusema ila naogopa dar amekaa miaka mitano hajawahi kwenda likizo iwaje leo toka nimeanza kujawa mambo ya siasa sijawahi sikia kiongozi yupo likizo na asiongee kitu chochote hata magufuli mlitwambaia yupo salama lakini aibu ikawakuta mkatangaza kafa sasa ole wenu
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 2 ай бұрын
Bring back Makonda please
@evangelicalmiraclesfellowship
@evangelicalmiraclesfellowship 2 ай бұрын
Tunamtaka makonda wetu CCM mna maneno mengi yuko wapi makonda???
@ShukranMwakyambo
@ShukranMwakyambo 2 ай бұрын
True .
@MariamWiliam-z8k
@MariamWiliam-z8k 2 ай бұрын
Kwanza unajua kuichambu bibilia na qoran vzr
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 2 ай бұрын
Daaah mungu tulindie Makonda wrtu maana hadi tunakosa amani ikizingatia sie wajane, wazee,wanafunzi masikini😮😮
@HamisiMbatyani
@HamisiMbatyani 2 ай бұрын
Nakubali. ❤❤
@elinurukitomali6008
@elinurukitomali6008 2 ай бұрын
Sasa jamani na huyu Mr Makonda jitokeze bac tukuone
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 2 ай бұрын
Kuimiliki au kuongoza?
@marybanyakile434
@marybanyakile434 2 ай бұрын
Umeongea 💯 kabisaaaaaa
@HemedRajab-v3i
@HemedRajab-v3i 2 ай бұрын
Makonda ni chaguo la mungu
@HildaMacharia
@HildaMacharia 2 ай бұрын
That's is true
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 2 ай бұрын
Waziri mkuu tujulisheni Makonda yuko wapi
@bashiruhassani1017
@bashiruhassani1017 2 ай бұрын
Makonda nakubar sana popyr alipo mung ampe uzima ili aweze kurud Tena kazin
@shaibuhassan6925
@shaibuhassan6925 2 ай бұрын
Bro,,makonda ni mtu ambae akiwa na muda wa kutulia out of job ANATUMIA VIZUR MUDA,,,hata kipindi ambacho akuwa serikalin ALIKUWA kimya NOW kama yupo likizo,,,,ni kawaida Sana kwake kuwa kimya TENA LIKIZO,,
@LameckKasomi-v2d
@LameckKasomi-v2d 2 ай бұрын
Boss na ww naomba Samia akuone uweze kumsaidie
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 ай бұрын
Makonda Njoooo
@DinaKyahe
@DinaKyahe 2 ай бұрын
Mtu wa maana kabisa,mtu wa wawatu,mtetezi wa wanyonge, yupo Mungu yu pamoja nae.
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 ай бұрын
Huyu kaka nikama muislam hile kwenye pajilahuso. Kwajuu nakama sijida. Allaalhakuongoze kwarehmayake umludie Mungu. Inshaallah
@ericlowasa3097
@ericlowasa3097 2 ай бұрын
Alikuwa muislam huyo
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 ай бұрын
@@ericlowasa3097 Basi atarudi tenatu uislam lnshaallah
@isacksimonmahungilo
@isacksimonmahungilo 2 ай бұрын
Magu ilianza HIV sum zimezidi
@Maulid-p5y
@Maulid-p5y 2 ай бұрын
Makonda kipenzi chetu arusha
@michaelmaterego2489
@michaelmaterego2489 2 ай бұрын
Ukiona kinajana hawapo Kuna jambo kubwa lipo na mayo analia kufiwa Mume bado ana majonzi mtoto naye anawindwa mpaka haonekani jiongeze
@danfordkessy515
@danfordkessy515 2 ай бұрын
Kwanini Kuna baadhi ya maswali ukimuuliza anacheka kama kunakitu anakijua kuhusu makonda? Hembu tujiulize zaidi
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 2 ай бұрын
Nakufatilia sana nikiwa dubai
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 2 ай бұрын
Natamani iwe ndoto
@JolotaErastoJuma
@JolotaErastoJuma 2 ай бұрын
Mchungaji 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@RaheliEmmanuel-k1t
@RaheliEmmanuel-k1t 2 ай бұрын
Kwa kweli alikuwa mtu wa watu na ndio maana watu wa Arusha wanamuulizia kiongozi wao
@4revertv523
@4revertv523 2 ай бұрын
daaah, makonda
@PilliMlulu
@PilliMlulu 2 ай бұрын
Huyu inaonyesha anasujudu sana🎉
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 2 ай бұрын
Huu jama sio mwislam sasa mbona sijdah haipotei!?😊
@matalo0551
@matalo0551 2 ай бұрын
NAMTABIRIA MZEE WA SPANA MHESHIMIWA MAKONDA, NDIO MRITHI WA KINANA UMAKAMU MWENYEKITI WA CCM, yupo short course, akigraduate uteuzi wake unatangazwa very soon....
@MageSamwel-bp6od
@MageSamwel-bp6od 2 ай бұрын
Umeongea maneno ya busara sana
@clevermgedzi4708
@clevermgedzi4708 2 ай бұрын
Nyie viongozi kweli huyu makonda yupo likizo? Kwa nini mnatudanganya?
@DicksonAlone
@DicksonAlone 2 ай бұрын
Siwatuweke wazi alipo jamani
@annanasoro3007
@annanasoro3007 2 ай бұрын
Piga bas simu tukusikie makonda tunakufa kihoro huku
@alexmatt9504
@alexmatt9504 2 ай бұрын
Huyu jamaa ana wisdom ukimsikiliza anavyojibu maswali,mimi binafsi namkubali
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 2 ай бұрын
MUNGU AKULINDE MAKONDA HUKU ULIKO
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 2 ай бұрын
Akuna kunakitu Tuna wasiwasi
@sayimayenga3656
@sayimayenga3656 2 ай бұрын
Jamani Makonda kaka yetu tunahitaji kukuona kwenye vyombo vya matangazo,
@raymondnlelwa427
@raymondnlelwa427 2 ай бұрын
Kusifia sifia tu ndo nini?
@AmenMushi-j2j
@AmenMushi-j2j 2 ай бұрын
Utakula kitu kufisha hakitakudhuru ww mbona Mang'ula yupo
@annakenjewala7345
@annakenjewala7345 2 ай бұрын
Waseme ukweli kiongoz wetu yupo wp
@johnsebastian-bx6qn
@johnsebastian-bx6qn 2 ай бұрын
Mh rais samia wtz tunataka viongozi aina ya makonda ili wakusaidie vizuri kazi ya kulijenga taifa lakini pia tunataka kusikia makonda yuko wapi ili kuondoa maswari mengi kwenye vichwa vya wtz
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 2 ай бұрын
Uyo Bado anaswali sionaona anasigda
@zainabzain3434
@zainabzain3434 2 ай бұрын
Subhannallah
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56
#EXCLUSIVE: KWA MARA YA KWANZA ROMA AFUNGUKA YOTE KUHUSU RC MAKONDA
53:33
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН