MBUNGE Aliyemwaga MACHOZI Bungeni LEO! "Waziri Usikanyage MTWARA"

  Рет қаралды 238,011

Global TV  Online

Global TV Online

6 жыл бұрын

MBUNGE Aliyemwaga MACHOZI Bungeni LEO! "Waziri Usikanyage MTWARA"
Mbunge wa Tandahimba, Katani Hamad Katan, Amewaga Machozi Wakati akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya serikali 2018 / 2019 iliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango
Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Пікірлер: 217
@benardmusa718
@benardmusa718 6 жыл бұрын
wow!!! mimi si mtanzania lakini nmempenda huyu kiongozi, shedding tears bcoz of his people,a true leader.
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 2 жыл бұрын
Pole mbunge wa lindi,mtwara,acheni kuumiza watu,mungu awalaani punda kabisa
@humphreybilly3258
@humphreybilly3258 5 жыл бұрын
Ayo machozi najua Mungu Atakulipa.
@lovemomomicpapamohamed6568
@lovemomomicpapamohamed6568 6 жыл бұрын
Kweli mbunge wetu tulilie kabsa 😭😭😭
@kacheali4777
@kacheali4777 6 жыл бұрын
MM mkenya ila bwana ameliza kweli kama anavyoumia yy n watu wake..Mungu yuko mtetez wawanyonge ipo siku mambo yatabadilika
@johnsonmoding2458
@johnsonmoding2458 6 жыл бұрын
OMG its so painful kuckia kiongoz anamuonea mtu anae 2mia jembe la mkono bei anapangiwa leo hiii mpuuuz anachukua acyekua na huruma na taifa lake anawahujumu wananchi wake
@debayserlaly5063
@debayserlaly5063 6 жыл бұрын
Daaaah mungu akupe nguvu zaid ya kuzungumz meng zaid na zaid
@deojohn1413
@deojohn1413 6 жыл бұрын
Bb Mpango noma,hadi MTU mzima analia kuna jambo!!!
@yuzotv458
@yuzotv458 6 жыл бұрын
Duh,hatari sana.hongera kiongozi pambana kiongozi👏👏👏👏👏👏👏👊kuna baadhi ya wanasiasa wanazani wataishi milele kwenye uongozi.
@husseinshengwamkai70
@husseinshengwamkai70 6 жыл бұрын
Dr Mpango laanatulllah
@wakwetukabisa3150
@wakwetukabisa3150 6 жыл бұрын
Hongera mh katani kweli wewe ni mtetezi wa wanyonge. Nakupongeza kwa misimamo ya kweli wanafiki tunawajua
@williamsonbais9131
@williamsonbais9131 6 жыл бұрын
Jamani,, mpango ni chambo tu. wahusika wapo!!!
@sammabula7359
@sammabula7359 6 жыл бұрын
dope speech, I love it, mpango, kazi kwako
@roseedwin6522
@roseedwin6522 5 жыл бұрын
God bless us
@carolinamushi5555
@carolinamushi5555 6 жыл бұрын
Nimelia sanaaa😢😢😢😢😔😔ni kweli watu wanalima sana ila wanabaki nyuma tuuu
@kennethmahenge7719
@kennethmahenge7719 4 жыл бұрын
aaf wanajinasibu kuwa et serikali ya wanyonge....cjui wanyonge gan wanaowazungumzia.....ccm mavi kbs
@deus8629
@deus8629 6 жыл бұрын
noted
@shekhekassim6402
@shekhekassim6402 6 жыл бұрын
Mashallahu inatia uchungu kweli kaka Ela ccm wakipanga lao.huwa hawajali hapa kazi tuuu hata ulie
@shijjasunday5398
@shijjasunday5398 6 жыл бұрын
Aiseeeeeeeeee,,,,,,,inauma sana, watakupa
@alphonceurio4029
@alphonceurio4029 6 жыл бұрын
Noma
MBUNGE BWEGE: "Mnaua, Mnateka tu, Mlitaka Kuninunua nikakataa"
11:46
Global TV Online
Рет қаралды 750 М.
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 23 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 171 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 13 МЛН
“Waziri Mpango analigawa taifa” -Mbunge Katani
9:08
Millard Ayo
Рет қаралды 18 М.
Mbunge wa Mbogwe  amwaga  machozi bungeni
11:31
Mwananchi Digital
Рет қаралды 132 М.
HECHE BUNGENI: "Mtaua Sana, Waambieni Watanzania Ukweli"
10:40
Global TV Online
Рет қаралды 464 М.
Vituko vingine vya Mbunge BWEGE bungeni leo, “tutaandamana”
13:54
Sikia Mapovu ya Mbunge Ally Kessy kwa Wazanzibari!
5:13
Global TV Online
Рет қаралды 79 М.
"Maprofesa Wengi Wemefeli, Hii Ndio Changamoto" - SILINDE
12:10
Global TV Online
Рет қаралды 94 М.
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН