MBUNGE CONDESTER AINGIA NA POMBE BUNGENI, AMFOKEA MBUNGE MWENZAKE, SPIKA AINGILIA KATI

  Рет қаралды 52,629

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 130
@kadokemarco9966
@kadokemarco9966 Жыл бұрын
Nimekupenda bure mdogo wangu!!. Condester, Hapo kwenye kutetea ubunifu. Itoshe tu kusema katika hili watanzania umetutendea haki mdogo wangu.
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 Жыл бұрын
Waliyo muona mzee mpumbavu ngonga like hapa tuzuiye upumbavu bungeni.
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 Жыл бұрын
Huyu mzee huwa anam-MIND sana Condester Sichwale. Alishamzingua kuhusu mavazi na Spika Ndugai akamtoa
@saiclement9761
@saiclement9761 Жыл бұрын
Nimefrah sana coz umenikumbusha mbal sana hata mm pia gongo ndio imenilea nakunisomesha nakunifiksha hapa nilpo familia yetu imelelewa namama muuza gongo asante sana 👉 MAMA angu mzazi👈 kipenz mungu akuzidishie maisha malefu🙏🙏🙏 chanzo chote chapato lako ulilotulelea ilikuwa. Nikuuza GONGO 🤣🤣🤣
@amenyemwansile6919
@amenyemwansile6919 Жыл бұрын
Mama samia hii wizara mbunge huyu anaisemea vizuri tunaomba huyu dada mpe wizara hiyo ana vision kubwa na nchi hii
@justinemaganga4139
@justinemaganga4139 Жыл бұрын
Hiii safi sana tena sana
@EddoMhombo-qt9rx
@EddoMhombo-qt9rx Жыл бұрын
We safi
@engzuberir.akilenza1764
@engzuberir.akilenza1764 Жыл бұрын
Pombe za kienyeji zinamwagwa sababu ya mawazo ya kikoloni na ndiyo maana watu wanaona hata ushoga na ulawiti ni mambo mema kwakuwa wameshawishiwa
@mathewmshiu1424
@mathewmshiu1424 Жыл бұрын
Sahihi kabisa mwana dada
@LazarusWatson
@LazarusWatson Жыл бұрын
Good aide
@JemsiKabelege-qc7fy
@JemsiKabelege-qc7fy Жыл бұрын
Kuhakiki leseni
@manifestationmastermindset6518
@manifestationmastermindset6518 Жыл бұрын
Taarifa Hata hiyo Methanol ni Ant-dote ya Ethanol hakuna baya
@noelmichael9425
@noelmichael9425 Жыл бұрын
👍👍👍👍
@juliusdonard933
@juliusdonard933 Жыл бұрын
Wanywaj mteteee hoja hii
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 Жыл бұрын
Sjaelewa kabisa labda nrudie tena..
@oscanyakunga
@oscanyakunga Жыл бұрын
Penda vyakwenu usipende vya wengne
@aishajuma7402
@aishajuma7402 Жыл бұрын
Haya majina ya Emmanuel ni vivuruge ameelewa sema tu tumuache hivyo hivyo 😂😂
@oscanyakunga
@oscanyakunga Жыл бұрын
Haya @ karibu
@emmanicko1535
@emmanicko1535 Жыл бұрын
Fulsa inakuja kwa sisi wanywa gongo kwa kufichama
@endamarariektoursandsafari9717
@endamarariektoursandsafari9717 Жыл бұрын
Ana kitu huyu asikilizwe
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Жыл бұрын
Mwingine atakujaingia na mabomu humo.
@allenkatunzi9075
@allenkatunzi9075 Жыл бұрын
Stupid kabisa, ndo uwakilishi huu !
@anordthadeo7616
@anordthadeo7616 Жыл бұрын
ulitaka afanye uwakiliahi gan kama sio kumuwakilisha yule mtanzania anayefanya kaz za chini ....huo ndio uzalendo kafanya kwa vitendo kucompare bidhaa ya nchini na ile inayoingia na inamnufaisha nan ....na kikubwa alilenga kumjengea mtanzania wa hali ya chini hoja ni namna gani anaweza kuchangia uchumi wa viwanda
@mh9251
@mh9251 Жыл бұрын
Dada wangu kusikia hautumii pombe nimefurahi sana. Nakuheshimu sana. Naamini huko mbeleni utapata cheo zaidi ya kua mbunge. Akisema basi marufu pombe zote, mbona wengi kimya na wanaangaliana tu!
@laudencesimkonda9483
@laudencesimkonda9483 Жыл бұрын
Huyu Mbunge ana akili nyingi sana. Vijana kama hawa wanapaswa kuungwa mkono, maana ni hadhina ya Taifa ♥️ 🔥
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 Жыл бұрын
Sikiliza, point yake kubwa ni kukuza ubunifu wetu ba tutumie made in Tanzania.wewe umeona pombe tu,nonsense.
@oscanyakunga
@oscanyakunga Жыл бұрын
Uyu mama ajengewe sanamu
@faidhacute
@faidhacute Жыл бұрын
Condester ana akili sana huyu mama,anaongea madini sana
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 5 ай бұрын
Dada mwenye akili sana ,hongera sana Mungu akubariki 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@EmmanuelSentimea-yu8no
@EmmanuelSentimea-yu8no Жыл бұрын
Mhe. Mtanzania akigundua kitu ukweli hakithaminiki ila akigundua mzungu ndiyo unaonekana ndiyo sahihi!
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 Жыл бұрын
" ... Wala sio dhambi". Allahu Akbar, Allah atuongoze njia sahihi.
@kawawamaige2973
@kawawamaige2973 Жыл бұрын
Ni kweli mama ubunifuj huazia chini kilichopo tunapenda kudharau cha kwetu
@sophiajonas2090
@sophiajonas2090 Жыл бұрын
Kuongea more hukooooo mnaipromote pombe nyieeeeeeeee Mungu anawaona.
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
Pombe kweli ni MBAYAAAA ikizidi kwa kulewa vibaya kupitiliza kuharibu AKILI KUBWA za RIKA zote. Lkn pombe hizi zinatokana na kilimo chetu. KODI inalipwa na fedha hiyo kufanya shughuli zingine za kiserikali. Na pia inajenga misikiti, makanisa na kusaidia wasiojiweza kabisa. Mungu tupe MBADALA wa kadhia hii.
@bakarimtange570
@bakarimtange570 Жыл бұрын
Ccm hamna jipya wananch Hali ngumu nyie wapumbavu mnajadili pombe
@priscamsuya-xd4tu
@priscamsuya-xd4tu Жыл бұрын
Huyu Dada ajengewe sanamu lake miji yote Tanzania ❤❤❤❤
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Kwa sbb katetea pombe!
@priscamsuya-xd4tu
@priscamsuya-xd4tu Жыл бұрын
@@miltonjohn9779 wewe ulivyoona ametetea pombe kwa mawzo yako msikilize MTU anaongea nn ndio ukurupuke
@allymaliwata3583
@allymaliwata3583 Жыл бұрын
Nchi ngumu sana hii, Yani inawezekana kweli jimboni kwako Tatizo kubwa la wananchi wako ni pombe za kienyeji ?? Ebu jadilini vitu vya msingi maana umeme mnapandisha
@sophiajonas2090
@sophiajonas2090 Жыл бұрын
Heeeee kunywa pombe sio dhambi???Musukuma weweeeee
@feisalfarsy6562
@feisalfarsy6562 Жыл бұрын
Umekosa LA kuongea ww
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 Жыл бұрын
Ongea wewe
@komboali8203
@komboali8203 Жыл бұрын
Badala ya kuongelea mambo ya msingi wanakwenda kuongelea maswala ya pombee, ujinga mtupu
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 Жыл бұрын
Unajua zinachangia pato kiasi gani na pesa hizo zinajenga miundo ambayo wewe unatumia miundo mbinu hiyo? Moja barabara na hospital
@nembibenard8440
@nembibenard8440 Жыл бұрын
Kwa wanaopika pombe wala sio ujinga katetea masilahi ya wapika gongo ila ww siku kile kinakuingizia pesa kikiguswa kikaonekana ni haram ndio utajua umhim wa wabunge kama hawa
@fabiansemba-eh2qf
@fabiansemba-eh2qf Жыл бұрын
Wewe ukiongelea ya msingi inatosha
@clintonarnold6291
@clintonarnold6291 Жыл бұрын
Wanaongelea kwasababu inatumika na watanzania shida ni kwamba tumejengea Nidhamu ya kujfchafcha Kwan ww hujui kua pombe inachangia San pato la taifa kaka
@oscanyakunga
@oscanyakunga Жыл бұрын
Mwomba Kabisa huyu mdada 'japo hii nidhambi kabisa a lakin amejaribu kutetea vyakwetu, points kabisaa Samini vyakwenu kongole sinywi pombe but kutetea vyetu nisahihi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Hata kiwanda cha chumvi kigoma kimekufa
@ChristinaTira
@ChristinaTira 9 ай бұрын
Ni keeling Tanzania inazaraulika
@petermboje5839
@petermboje5839 Жыл бұрын
Kweli conde mama umeongea sawa
@VeronicaAdam-lx8yd
@VeronicaAdam-lx8yd 4 ай бұрын
Munip no ya mbung huyu
@amenyemwansile6919
@amenyemwansile6919 Жыл бұрын
Safi sana dada yangu nyie ndiyo mama samia angekuwa anawapa hata uwaziri kwa hoja zenu zenye mashiko
@edwigasamba4953
@edwigasamba4953 Жыл бұрын
Unapatikanaje huo mkopo?
@ChongemarwaChongemarwa-qz4hy
@ChongemarwaChongemarwa-qz4hy Жыл бұрын
Hongera Sana mbunge wa momba
@esterfrenk4198
@esterfrenk4198 Жыл бұрын
Umeupiga mwingi sana nimekupenda sana
@bakarimtange570
@bakarimtange570 Жыл бұрын
Ili ndio tatizo kikao Cha ukoo ikaongee familia Moja ccm ccm ni mafisadi wakubwa
@nikolausmnanka9362
@nikolausmnanka9362 Жыл бұрын
Asili ye2 kwanza wengne bombe za kienyeji zimetusomesha
@manjaruu1575
@manjaruu1575 Жыл бұрын
Muheshimiwa umesema hutumii ukimaliza kuzitolea mfsno naziomba
@zenaycechanzinho6702
@zenaycechanzinho6702 Жыл бұрын
😂
@CanisiusJohnKayombo-ch6fw
@CanisiusJohnKayombo-ch6fw Жыл бұрын
Anaongea hoja nzuri kwa wanywa vilevi. Salama ya watu wa kawaida tokana na vilevi ni kwamba wachache wenye fedha nyingi ndo watanunua. Lakini hizo pombe za bei rahisi zinaharibu sana watoto wetu. Ulitumiaje fedha yako kununua ulevi!!! Kwani ndivyo unavyoamini kwamba wabunge, mawaziri, na matajiri ndo wanaamini Mungu wa kweli!! Gongo zinaharibu watoto wetu wewe. Yaani kimsingi pombe ni tatizo. Imani zenu na nani!! Unavyoamini wewe Hata kama wanaenda ibadani madhabahu zao ni tofauti
@ndewariopeter
@ndewariopeter Жыл бұрын
Mawazo mazuri sana tujivunie vya kwetu,"sio kila ki2 made in china,Japan,Kenya nk
@tinapoul4814
@tinapoul4814 Жыл бұрын
Huyu munge jmn duuu nimempenda bure
@KonchesterDamian-pc7lr
@KonchesterDamian-pc7lr Жыл бұрын
Kweli kabisa dada umenena kweli lifanyiwe kazi
@kelvinedward1405
@kelvinedward1405 Жыл бұрын
Nimekupenda ww
@Tatizofficial
@Tatizofficial Жыл бұрын
Wazee wa kamnyesooo wape kama walivoo
@morganbrighton1552
@morganbrighton1552 Жыл бұрын
I like the way ameweza kujenga hoja
@JumaMsukwa-bu5nt
@JumaMsukwa-bu5nt Жыл бұрын
Jua yako pombo haikuhusu hujui sida alafu huna hella mbonanahusemi masikini wanaishi vip
@ETT3
@ETT3 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/sHjRdGmYg7itqpo Jifunze kupata pesa mtandaoni
@juliusdonard933
@juliusdonard933 Жыл бұрын
Watu kama hawa na msukuma wana akil sanaaa
@PaschalMasinda-gl4hd
@PaschalMasinda-gl4hd Жыл бұрын
Ofcouse my sister
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Konyagi ni namba moja Mimi sijaionja lakini wazungu wanaipenda na kuisifu.Tukazane kama export😊
@aishajuma7402
@aishajuma7402 Жыл бұрын
Konyagi ni tamu sana kwa sababu azina makemikali inatengenezwa na ndizi Kali tu. Hizo bia tayari zina kemikali
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 Жыл бұрын
Wazo zuri sana.Sisi Watanzania tunapuuzana na kujipuuza sana,chanzo kikuu ni viongozi wasiojitambua wanaoendekeza ugeni kuliko asili inayofaa Kuna ubunifu wetu mwingi tumeuzima kabisa kwa vitisho♥️👏
@esterfrenk4198
@esterfrenk4198 Жыл бұрын
Kabisa
@furahakefa4806
@furahakefa4806 Жыл бұрын
Dada wewe kichwa nimekuelewa waambie ukweli
@enockchangwa8534
@enockchangwa8534 Жыл бұрын
tutaingiza mpaka zambi
@edsonpetro3754
@edsonpetro3754 Жыл бұрын
unakili sana
@gsgsgsghshsgsgs6123
@gsgsgsghshsgsgs6123 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@boazpeter6524
@boazpeter6524 Жыл бұрын
Ndio ulichoombea kura hicho nga wachita using nachalwe
@muhsiniamiri9310
@muhsiniamiri9310 Жыл бұрын
Mnajadil pombe kwel dah mnajua nchi bad hain chakul
@amirikiponda3993
@amirikiponda3993 Жыл бұрын
Safi sana mrembo ...umeongea ukweli mtupu.
@ShirimaShirima-wp2ww
@ShirimaShirima-wp2ww Жыл бұрын
Dada fanya mpango ukitoka Moja tu umenena bimdada
@petermubi1048
@petermubi1048 Жыл бұрын
Tumpe maua huyu Mama
@noahmadali7150
@noahmadali7150 Жыл бұрын
Zambi au dhambi
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Katika kiswahili brother tumekwama brother blaza dalali darali daresalm dalesalam
@elifurahamassawe3439
@elifurahamassawe3439 Жыл бұрын
Huyu mbunge ni mkweli
@josephmussa3708
@josephmussa3708 Жыл бұрын
Hilo ndo bunge la tanzania sasa..wasomi hao..tunazungumzia pombe wakati umeme unakatika ovyo..duuuuuuh
@noahmadali7150
@noahmadali7150 Жыл бұрын
Sio samani thamani
@Tatizofficial
@Tatizofficial Жыл бұрын
Huyu mbunge kalewaaa duh bungee la chama kimoja,😁😁😁🥶
@amanimlengwa9202
@amanimlengwa9202 Жыл бұрын
Uwage na akili sometimes uwe unaelewa context. Si unamaliza mbs na huelewi chochote?
@mussayosia7752
@mussayosia7752 Жыл бұрын
Well said
@supusupu8556
@supusupu8556 Жыл бұрын
dadangu mbunge heshima sanaaaaa mteez wetu
@alfreddismasndunguru2505
@alfreddismasndunguru2505 Жыл бұрын
Daa uko vizur madam
@tztanzania2262
@tztanzania2262 Жыл бұрын
Huyu dada ameolewa?chuma kweli kweli af anahela
@zenaycechanzinho6702
@zenaycechanzinho6702 Жыл бұрын
😂
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤swadakta
@hellenahenry8150
@hellenahenry8150 Жыл бұрын
Dada kaongea point huyu
@lameckernest633
@lameckernest633 Жыл бұрын
Uyu mbunge kaongea vizuri
@kingmartinezy13
@kingmartinezy13 Жыл бұрын
Hatariii
@abdulazizsharif2984
@abdulazizsharif2984 Жыл бұрын
Nani ameskia MHE . Kaspika?😅
@AhmedAhmed-bz1re
@AhmedAhmed-bz1re Жыл бұрын
Baadhi ya wabunge ,hakuna kitu kabisa kama huyu hamna kitu kichwani
@oscanyakunga
@oscanyakunga Жыл бұрын
Ujamuelewa msilize point jaman
@AhmedAhmed-bz1re
@AhmedAhmed-bz1re Жыл бұрын
@@oscanyakunga aende hko Pimbi
@stevenmilton2504
@stevenmilton2504 Жыл бұрын
Makof tafadhl
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Жыл бұрын
Walevi tupu
@noahmadali7150
@noahmadali7150 Жыл бұрын
Samani au dhamani
@omariayuba6788
@omariayuba6788 Жыл бұрын
100/100 nakukubali dada
@JumaMsukwa-bu5nt
@JumaMsukwa-bu5nt Жыл бұрын
Hilo kweli ila nyie mnabania
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Walevi mpooo
@rmaryp6269
@rmaryp6269 Жыл бұрын
Upuuzi mnaoonea hap0
@YunusHamis-wk7kj
@YunusHamis-wk7kj Жыл бұрын
Kunavitu vingi vya kujadili ungewatetea wanaotengeneza bunduki za kienyeji ili wakaongezewe ujuzi ww mdada unatetea gongo hovyo kabisa hv unataman nchi hii iwe ya walevi mm nilitamani angeingia na maada ya kupinga pombe yeye ndyo anaipigia promo mungu anakiona ujue.
@larryking623
@larryking623 Жыл бұрын
Mvinyo 🍷
@faidhacute
@faidhacute Жыл бұрын
Mambo ya nyagi sasa
@maalimrajabu8942
@maalimrajabu8942 Жыл бұрын
Bunge la wapi hili
@gaspartheophile4838
@gaspartheophile4838 Жыл бұрын
Hizo sifa sasa, hela zimewazidi eti...kwani usingeweza kuongea tu mpaka uende na pombe bungeni mnakera sana
@avidthespur5120
@avidthespur5120 Жыл бұрын
Duuuh
@Antoniojirani-vb4ut
@Antoniojirani-vb4ut Жыл бұрын
Kweri dada
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Жыл бұрын
UARABUNI POMBE ZIPO ILA NI KWA SIRI KUBWA.
@aishajuma7402
@aishajuma7402 Жыл бұрын
Ww uku Oman siyo Siri labda zaman Sasa hiv wako huru
@C7Simulizi
@C7Simulizi Жыл бұрын
Okay okay
@muddylikwena128
@muddylikwena128 Жыл бұрын
Good point
LIVE: MAKONDA ANAZUNGUMZA MUDA HUU KANISANI
53:23
Millard Ayo
Рет қаралды 23 М.
100 Identical Twins Fight For $250,000
35:40
MrBeast
Рет қаралды 47 МЛН
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 37 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 1 МЛН
SPIKA NDUGAI ALIVYOMTOA NJE MBUNGE CONDESTER - "NENDA KAVAE VIZURI"..
4:50
MAFUTA KUCHIMBWA BAHARINI NA NCHI KAVU ZANZIBAR, WAZIRI ATANGAZA
5:04
MBUNGE BWEGE ALIVYOZUA BALAA BUNGENI LEO
13:38
Millard Ayo
Рет қаралды 739 М.
100 Identical Twins Fight For $250,000
35:40
MrBeast
Рет қаралды 47 МЛН