MBUNGE KISHIMBA APINGANA NA WATAALAMU "SIKATAI UWEKEZAJI, UJENZI WA SHULE TANGU UHURU?" AWAACHA HOI

  Рет қаралды 23,386

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 59
@johnsonsabanya5860
@johnsonsabanya5860 7 ай бұрын
Wenye hekima viongozi waaminifu wapo Kanda ya ziwa tu nimemaliza.
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 7 ай бұрын
Mjitenge muwe na nchi yenu
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 7 ай бұрын
Watafika mbali sana hao jamaa ikitokea tu wakajitenga jamaa wana uthubutu mkubwa sana na ni wazalendob​@@eidallyeidally5093
@philemonmlowe7418
@philemonmlowe7418 7 ай бұрын
Kwa hiyo
@victaboy7273
@victaboy7273 7 ай бұрын
Ndio hivyo. Mwenye wivu ajinyonge
@victaboy7273
@victaboy7273 7 ай бұрын
​@@eidallyeidally5093mikoa ya KAGERA, MWANZA, SHINYANGA, MARA, GEITA, TABORA. tunauwezo wa kujitegemea kwa kila kitu. Huku kuna ziwa kubwa, kuna migodi ya kutosha, kuna mbuga za wanyama, ardhi ni nzuri, mifugo asilimia 80 ya nchi hii , ipo kanda ya ziwa. Tupo vizuri
@liannsambu7264
@liannsambu7264 7 ай бұрын
Shule zenyewe sehemu kubwa ni MAJENGO ila content ni Zerooo
@PastorJulianus-Supery
@PastorJulianus-Supery 7 ай бұрын
Daaah, kuna watu ukiwasikiliza ni kana kwamba unasikiliza akili. Huyu mwamba hasife kuna mahala anaweza kusaidia siku nchi hii ikipata mapinduzi ya akili
@kondoatown8765
@kondoatown8765 7 ай бұрын
Hivi viongozi wanasomaga hizi comment kweli Hawa wachina aisee !! Wanaharibu mifumo kbsaa ya biashara sijui kma kweli ndo sahihi kufanya hivi wanajiita wawekezaji wanauza rejareja kma dukani kwa Mangi hembu serikali tazameni hili kabla halijafikia pabaya
@siraaronmallya425
@siraaronmallya425 7 ай бұрын
Hoja nzuri sana,wanafunzi wasome kwa shift wengine asubuhi wengine mchana kama chuoni au kama shaban robert...
@adaNahimana-y7b
@adaNahimana-y7b 3 ай бұрын
Hawezi Kubadilika Kwasababu Hawajuwi
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 7 ай бұрын
HUYU ANA KARAMA YA AKILI NA KUONA MBALI, MAGUFULI TYPE
@omarkapula588
@omarkapula588 7 ай бұрын
Hawa watoa taarifa inabidi bunge lifikirie kwa makini wengine hawaeleweki haya mambo ya taarifa yaangaliwe upya yanampotezea muda mtoa mada na pia kumtoa nje ya mwelekeo wake
@kelvinwilsonsimyemba
@kelvinwilsonsimyemba 7 ай бұрын
Kishimbi yuko vizuri sana
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 7 ай бұрын
Mzee ana akili mingi sana
@masoudymichael
@masoudymichael 7 ай бұрын
Huyu jamaa anawazidi maprofesa 😂
@majidukalokola7253
@majidukalokola7253 7 ай бұрын
Mawazo ya kishimba yatafanikiwa siku mfumo wa uongozi utabadilika tofauti na CCM.
@mosesmlowe7006
@mosesmlowe7006 7 ай бұрын
Mzee umeongea point Hata mimi nimesoma kleruu iringa ilikuwa tunasoma General certificate & education Tukitoka wanaingia wanachuo wa ualimu 2000
@RashidiKuji
@RashidiKuji Ай бұрын
Yes vp hapo ❤❤😅
@alexdukes5547
@alexdukes5547 7 ай бұрын
shida ipo nchi hii ,tatizo Ni mifumo mbaya usio fikiri kuenenda na mabadiriko ya Dunia,hongera sana mzee kishamba,maana yake usipojisimamia utasimamiwa...
@SayimcheleSayimche-mq5wv
@SayimcheleSayimche-mq5wv 7 ай бұрын
Hapo mweshimiwa umeogea point kubwa sana
@emmanuelmeshack9890
@emmanuelmeshack9890 7 ай бұрын
Rais mpya ajae
@frankmfuse6990
@frankmfuse6990 7 ай бұрын
Bungeni mazuzu wanazungumza Watu wanaongezeka kwa Kasi sana hizo shifti zitabana pi Alafu kwa hoja hiyo kumbe, tunatumia miaka mingi kusoma hamnakitu
@deusntobi6682
@deusntobi6682 7 ай бұрын
Swala la wachina ni tatzo kubwa sana hapa nchini na wazawa tunateseka
@donaldbenedict5761
@donaldbenedict5761 7 ай бұрын
Ndipo uwezo wa viongozi wetu ulipofikia hawawazi hicho unachowaza wewe mzee Kishimba wao kazi yao ni kupongena utasikia ooh mikataba ya mama hakuna mtu wa kuipinga bila kujali hiyo mikataba ina maslahi mapana kwa taifa letu au hapana wakati Magufuli aliposema tumepigwa sana na hii mikataba mibovu mlishangilia sana leo manasema mikataba ya mama hakuna wa kuipinga Mungu ibariki Tanzania
@liannsambu7264
@liannsambu7264 7 ай бұрын
Wachina wafukuzwe , saivi kariakoo ndo wenyewe ,kila kwenye kila nyenzo wachina tupu na sidhan ata kama wanalipa Kodi sahihi mie mtu anayetoka ASIA SIjawahi kumwamini sehemu kubwa ni selfishi ,na WEZI na wanyanyasaji
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 7 ай бұрын
Hapo dodoma wabunge hwafiki hata watatu.Hao wengine ni mwendo kudanga tu (posho).
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 7 ай бұрын
Kishimba ni thinker wa Karne ana mawazo chanya, wazo lake ni langu, miradi mingi ya ujenzi wa shule ni mazingira tu ya kujitengenezea upigaji w fedha na siyo tu ujenzi hata ununuzi wa vitabu holela na mabadiliko ya mitaala ya mara kwa mara, mabilioni ya fedha hutumika kununua vitabu kila mara na vile vilivyonunuliwa mwaka uliopita hubaki vinaliwa na mchwa huko kwenye mastoo ya shule.
@obedidamasi3537
@obedidamasi3537 7 ай бұрын
Kingine cha kuongezea. Nyerere alianzisha opresheni ya vijiji ili watu wakae sehemu moja ili iwe rahisi kupeleka huduma za jamii. Siku hizi kila sehemu watu wanaanzisha makazi na kuhitaji huduma za kijamii hivyo kuibebesha serikali mzigo wa kupeleka miundombinu
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 7 ай бұрын
Ili taifa hili liendelee ni lazima ccm iondoke madarakani kwani uongozi umeoza ni wapigaji tuu hawajali wanyonge japo wanajidai ni watetezi wa wanyonge Hovyooo
@ABM1963
@ABM1963 7 ай бұрын
Huyu Muheshimiwa Ana HOJA ya kweli na ifanyiwe kazi. Ni sisi tu tunajenga madarasa mapya KILA siku, tatizo ni nini? Uwezo mdogo wa kufikiri!
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 7 ай бұрын
Baba watoto umechangamsha bunge ila shule zijengwe kwaenda juu vipindi ni vingi wasome kutwa
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 7 ай бұрын
Professor kishimba 💪💪👍
@ABM1963
@ABM1963 7 ай бұрын
UDSM mpeni huyu Think Tank PhD ya Heshima!
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 7 ай бұрын
Akili kubwa sana imetumika hapo aisee wasomi wengi ndiyo wanaotufelisha
@liannsambu7264
@liannsambu7264 7 ай бұрын
Hii nchi jamani ukisikiliza unalia ,wachina tunapaswa kuwa nao makini ni wanyonyaji hawana TIJA Kwa taifaa wanaochukua ajira mpaka za wazawa ,wachina hatuwataki Tz warudi kwao
@jacksonmwakasege6210
@jacksonmwakasege6210 7 ай бұрын
Wagumu wa kufikiri maana yake WAPUMBAVU/WAJINGA?
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 7 ай бұрын
Nchi yetu maprof,Dr ,Degree zimeongezeka lakini tija yao kwenye uongozi katika kujitegemea taifa ni ndogo,mkazo wao nikodi ndio maana kila kitu wanauza kwa wawekezaji,vitu vinavyoingiza pesa serikali haitaki kuwekeza wanawapa wawekezaji visivyoingiza pesa ndo wanapeleka pesa huko. Wanatupelekashimoni, kuleta au kuvutia wawekezaji ni kukaribisha nchini wanyonyaji wanaotumia mitaji
@katambimfalimbega3808
@katambimfalimbega3808 7 ай бұрын
Inawezekana ila Muajiri walim wenyeviwango na wale wanaoipenda hiyo kazi si wale wapo tu kwajili ya ajila
@ValerianFiita
@ValerianFiita 7 ай бұрын
Wazo mzuri wahusika hawatapokea kwa sababu haina maulaji
@eliasanga-cx2pr
@eliasanga-cx2pr 7 ай бұрын
Pole mzee kishimba wenzio wanawaza uchaguzi kila siku
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani 7 ай бұрын
Kishimba kama Kishimba!kwenye ubora wake😂
@MasaluMartine-xe1kb
@MasaluMartine-xe1kb 7 ай бұрын
Viongozi wenye akili nchi hiiii wengi ni kanda ya ziwa
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 7 ай бұрын
SHIDA YAKE NI WALIMU HAPO...
@MeliMeli-h9q
@MeliMeli-h9q 7 ай бұрын
Kishimba wamwelewe ushauli wa akili ya juu sana
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 7 ай бұрын
Fact
@charlesmakelele4268
@charlesmakelele4268 7 ай бұрын
Jamaa anaakil kubwa sn huyu.
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 7 ай бұрын
Kishimba hanaga kusifia tu.
@justinelazaro8147
@justinelazaro8147 7 ай бұрын
Huyu jamaa ana pointi sana
@daressalaampost5785
@daressalaampost5785 7 ай бұрын
Uko sahihi Prof
@NixonGerson
@NixonGerson 7 ай бұрын
Shule hizi kiukweli duuuh
@HarunJonass
@HarunJonass 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@PastorJulianus-Supery
@PastorJulianus-Supery 7 ай бұрын
🧠
@DoctorRengeda
@DoctorRengeda 7 ай бұрын
👏👏👏
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 7 ай бұрын
@African511
@African511 7 ай бұрын
Siku zote sipendi kumwamini sana msomi,maana wasomi wengi niwaongo sana,pia wapiga dili kweli,lakini siyo wote,hiki kichwa kishimba kina akili sana.
@khalidjmaftah9449
@khalidjmaftah9449 7 ай бұрын
Genius 😊
@marthaswai1185
@marthaswai1185 7 ай бұрын
Kishimba,kuhusu shule ,suluhu ni kujenga maghorofa.Ghorofa mpaka nane.Weka lifti,kazi iendelee
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 58 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,6 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
MBUNGE KISHIMBA ALIAMSHA BUNGENI LEO SAKATA LA MFUMO WA ELIMU
10:38
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 58 МЛН