Mbunge Kiswaga amuacha Spika HOI, bila mbavu ''huwezi kulinda viwanda, umeua vingi''

  Рет қаралды 4,600

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 4
@alexmatt9504
@alexmatt9504 Жыл бұрын
Big up Kiswaga,hebu waeleze kuhusu viwanda ili waelewe labda waziri muhusika atajaribu kufuatilia
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 Жыл бұрын
Tukitaka twende mbele serikali iwekeze kwenye kujenga viwanda kama inavyowekeza kwenye miundo mbinu mingine tumiliki tukitegemea vya wawekezajihatutafika kwani wao wanamalengo Yao na hawatajenga vya kushindana na kwao hongereni kwa mwalekeo huo
@nkondokubini7618
@nkondokubini7618 Жыл бұрын
Unapodhibiti kuingiza bidhaa nchini wakati uzalishaji wako ndani uko chini unasababisha bidhaa kupanda kwa bei.Fanya hivyo kama uzalishaji wako unajitosheleza.
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 Жыл бұрын
Kuendelea kuingiza bidhaa Toka nje una dumaza taifa kufikiri umewahifikiri kwanini tunashindwa kuzalisha kujitosheleza na suluhisho lake liweje?Ili serikali iwekeze huko?lakini kukimbilia kuingiza kuingiza bidhaa za nje ni majibu mapesi kwa kitu kigumu unajenga taifa tegemezi
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 117 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 8 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 29 МЛН
Anayedaiwa kuchukuliwa na Polisi kwa mahojiano akutwa ameuawa Zanzibar
6:55
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН