MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU TUNGUU ZANZIBAR

  Рет қаралды 16,824

Ikulu Tanzania

Ikulu Tanzania

Ай бұрын

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar leo tarehe 05 Julai, 2024.

Пікірлер: 23
@KhamisMsellem-jt4hs
@KhamisMsellem-jt4hs
Mama upo sahihi sana maana cjawahpo kuona raic hta mmoja kabla ww kuitumia hiyo ikulu km hvyo unavyoitumia ww hongera sana Allah SW atakusaidie pia kwa Kila mnafiki kwako
@lingsonKasomwa-ho1tf
@lingsonKasomwa-ho1tf
Chapa kazi mama . Nasi tunasimama pamoja katika kila jema ulifanyalo kwa nchi yetu. Kodi lazima kila mtu alipe
@kuntaalkinte5415
@kuntaalkinte5415
HONGERA MAMA TEUWA UNAOWAONA WANAFAA KUKUSAIDIA KUONGOZA NCHI, TUKO PAMOJA NA WEWE ALLAH AKUPE AFYA NJEMA NA UJASIRI UIONGOZE NCHI KWA AMANI.
@tanzanite9944
@tanzanite9944
Kumbe kulikuwa na wale Ndugu na Marafiki walikuwa wakitaja jina tuu wanapitishiwa mizigo yao bila Kulipa Kodi na Watanzania maskini wanakufa na kulipa Kodi. Hii Ndio Shida ya Serkali Za Africa Usimamizi wa resources hakuna badala yake ni kukopa tuu ndio Serkali za Africa zinajua.
@kambamazig02024
@kambamazig02024
Itabidi kodi ziwe rafiki la sivyo watu wataendelea kutokulipa kodi kwa kutoa hongo kwa hao hao TRA.
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema
Mheshimiwa Rais Dokta Samia ukiwa kama mama na bibi, naomba umsamehe tu yule kijana wa RungwenMbeya aliyechoma picha yako najua ni mihemko tu ya vijana wenzangu ambao wamekosa Imani na wamekata tamaa ya maisha. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendeleee🇹🇿🇹🇿
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema
Mheshimiwa Rais Dokta Samia ukiwa kama mama na bibi wa Taifa, naomba umsamehe tu yule kijana wa Rungwe Mbeya aliyechoma picha yako najua ni mihemko tu ya vijana wenzangu ambao wamekosa imani na wamekata tamaa ya maisha. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendeleee🇹🇿🇹🇿
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241
hiyo ndo Ilicit Financial Flow (IFF) ni mbaya sana ndo inaleta hasara kubwa sana nchini...ni billions of dollars zinapotea kwa njia hii mama
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema
Mheshimiwa Rais Dokta Samia mimi kama Kijana Mjasiriamali tunapata matumaini ya kufikia malengo makubwa ikiwa Serikali yako itaendelea kutuunga mkono ili tujenge Uchumi na kuinua Kundi kubwa la Vijana ambao tumeamua kupambana katika Biashara na kuacha kutegemea Ajira pekee. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendeleee 🇹🇿🇹🇿
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241
Mama Samia tunaomba nasi utupe nafasi kama wananchi wako vijana wako binti zako ili tuweke majadiliano na wewe usikie michango ya mawazo kutoka huku ili ziwekwe ktk budget yetu na ziweze kufanyiwa kazi..ni moja kati ya sifa anayo Rais kii demokrasia
@user-fj5qu1qy4u
@user-fj5qu1qy4u
Mama uko sawasawa japho niwakazi
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema
Mheshimiwa Rais Dokta Samia binafsi nikupongeze kwa kumpa Wizara ya Biashara na Viwanda Mheshimiwa Waziri Jafo, huyu anaweza Wizara ngumu ngumu kama ilivyokuwa TAMISEMI. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendeleee 🇹🇿🇹🇿
@jombadulla
@jombadulla
magufuli alikua anapasisha akiw chato
@MwigaAdam
@MwigaAdam
Tunguu tena?? Ipo mkowa Gani hiyo??
@marychami1700
@marychami1700
Proud of my country, my president
Gov. Tim Walz makes debut as Kamala Harris' running mate [FULL SPEECH]
18:18
FOX 9 Minneapolis-St. Paul
Рет қаралды 336 М.
RAIS DKT. SAMIA KUZINDUA KAMPENI YA TUTUZANE MVOMERO MKOANI MOROGORO
1:22:16
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 38 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 69 МЛН
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 718 М.
Raila’s walkover AUC win.
10:51
JI-TENGE
Рет қаралды 803
RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DODOMA
32:41
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 26 М.
NAPE ATINGA IKULU/AMUOMBA MSAMAHA RAIS MAGUFULI.
2:58
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 75 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 38 МЛН