MBUNGE TARIMO AWAKA, "KUNA UDANGANYIFU MKUBWA, SUKARI/ KWANINI IENDE KWENYE MFUKO WA DHARULA?"

  Рет қаралды 10,668

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 20
@InnocentJohn-l5y
@InnocentJohn-l5y 3 ай бұрын
Bunge halina mvuto malizieni muhula wenu
@JacksonFrances
@JacksonFrances 3 ай бұрын
Yaani CCM Kila Sekta imegubikwa na Uwongo na Ufisadi na Rushwa Yaani.
@simongwandu7392
@simongwandu7392 3 ай бұрын
Good Tarimo
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 3 ай бұрын
Wabunge kuweni objective kwenye haya mambo
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 3 ай бұрын
Diwaelewi hawa waishimiwa hivi muwe mnaweka wataalamu tena wapinzani watawekaambo sawa
@temekepamoja2757
@temekepamoja2757 3 ай бұрын
Wez ao
@briankatani6770
@briankatani6770 3 ай бұрын
Hivi nyinyi mnaojiita waheshimiwa, kweli mbuge hujui usimamie upande upi !!!!.Wewe ulipelekwa na nani huko!?.kwanini usipinge uwe upande wa wanainchi!?
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 3 ай бұрын
INASIKITISHA Tena yahuzunisha kubwa na bunge hewaaa
@artsonkimath2917
@artsonkimath2917 3 ай бұрын
Huyu Tarimo ni lile zawo la wabunge waliopelekwa na mafuriko ya mwenda zake..........maana Hana uwezo wa kuwa hata Diwani
@dicksonjulius3677
@dicksonjulius3677 3 ай бұрын
Nyie si ndo mnapitisha hizo tozo kwa mbwembwe alaf tena
@JamesMisalabaPalu
@JamesMisalabaPalu 3 ай бұрын
Hata hayo faini milioni nne ni kubwa mno. Wekeni laki moja tu faini ni faini. Kuondoa rushwa, kuleta ulipaji kodi kwa hiali. Bila kusukumana. Faini za kikodi ziingizwe kwenye mfumo. Mtu ukipatikana na kosa liingie kwenye record ya tra ili akifanya makosa zaidi ya matatu kwa mwaka wa kikodi faini inapanda kutoka laki moja hadi milioni tatu. Tra wawalee walipa kodi wawe walezi wa biashara. Mfanya biashara akionekana kushuka kibiashara pia wapende kujua sababu za kufirisika kwake ni sababu gani, ikiwezekana waweke usaidizi wao ili wasimpoteze mlipa kodi
@Nedjadist
@Nedjadist 3 ай бұрын
Ni dharura, si dharula. Ikiwa mwandishi hajui hilo, hafai kuwa mwandishi.
@Nedjadist
@Nedjadist 3 ай бұрын
The sooner CCM goes away, the better. It has been a nightmare in the lives of the Tanzanians.
@LucianSanga-q8j
@LucianSanga-q8j 3 ай бұрын
Huyu sio Mchaga Mbona hana Uelewa hajui pakusimamia Ali ingiaje? Humu jamani Hajui Uzalishaji wa Bidha kwa wenzetu ni Raisi kuliko kwetu?
@devangandhl2255
@devangandhl2255 3 ай бұрын
Bei ya mafuta ikipungua si watumiaji wanapunguziwa bei.serikali ina tozo zake kwa kila lita kwa ulelewa nilionao.kama ni vingine basi iwe sijaelewa
@geraldgogadi7054
@geraldgogadi7054 3 ай бұрын
There is a day inshallah tutaingua tukae kwa bunge
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 3 ай бұрын
Kwa akili zenu za kulipua,ninyi mtamweza huyo msomali ?
@Nedjadist
@Nedjadist 3 ай бұрын
Huyu Mwigulu useless kabisa. Yeye uchumi wooote anaosema amesomea, ni kuongeza makodi na matozo tu. Hata halifikirii effects. Has no clue. Pambaf
@ezekielmatinya8314
@ezekielmatinya8314 3 ай бұрын
Taka taka kabisa hajui la kusimamia? Faken kabisa
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 3 ай бұрын
Pigq hao poyoyo ,pesa peleka somalia. Wajinga ndiyo waliwao.
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 32 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
ALIYEMPIGA RISASI TUNDU LISSU ABAINIKA
37:08
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 12 М.
Africa Won’t Rise By Prayer And Fasting - Prof Lumumba
2:52
Channels Television
Рет қаралды 203 М.
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 32 МЛН