MBWADUKE: TOBAAH! BALEKE YANGA? REKODI ZAKE LIGI KUU ZINATISHA/ KI, PACOME, MAXI, CHAMA...

  Рет қаралды 18,662

Mbwaduke Stats

Mbwaduke Stats

6 күн бұрын

Usisahau ku-subscribe, ku-copmment na ku-like...

Пікірлер: 28
@stanleymfikwa9350
@stanleymfikwa9350 5 күн бұрын
Baleke ni mzuri tatizo alikua tim mbovu. Akienda Yanga atakua hatari sana
@ShafiiHungo
@ShafiiHungo 5 күн бұрын
Karibu yanga baleke
@vaxminja9053
@vaxminja9053 4 күн бұрын
Baleke is a really striker
@JanuarySinkamba
@JanuarySinkamba 4 күн бұрын
Atafanya vzr yanga karibu yanga bareke
@kassimchuo5290
@kassimchuo5290 2 күн бұрын
Baleke is the best hata Bora tumemuacha huyo makirikiriiiii (SOWA)Hamnaaa kituu kabisaa all the way from QATAR 🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦
@aziziabeid6052
@aziziabeid6052 4 күн бұрын
Kumbe miaka 23
@MozesKalikumbi
@MozesKalikumbi 5 күн бұрын
i think Baleke ni mchezaji mzuri tatizo i don't think kama ataweza kuendana na falsafa ya Yanga
@BenjaminiPastiani
@BenjaminiPastiani 5 күн бұрын
Kaka issue dube ime kamilika na pia tugusie kuhusu boka na wengine wapya
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw 4 күн бұрын
samahan Mbwaduke hivi mbali ya data hiz za mpira wa miguu una taaluma gani wew maana naona wafaa sana kuwa mwalimu wa hesabu
@elinisafiminja3049
@elinisafiminja3049 4 күн бұрын
Mwl wa hesabu wa uhakika
@AndrewFilemon
@AndrewFilemon 4 күн бұрын
Baleke hamn mchezaji hapo, pia kwanini tujaze wachezaj kutoka cmba? Afrik wachezaj wengi san
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw 4 күн бұрын
baleke ni mzuri na aje tu takwimu zake zinaruhusu
@stevenmwambus
@stevenmwambus 3 күн бұрын
Baleke kalibu jangwan tunakupenda xan
@ChefasNganda-pl5yj
@ChefasNganda-pl5yj 4 күн бұрын
Gu chuma ngaa
@chambalafrankdaniel397
@chambalafrankdaniel397 4 күн бұрын
Msimu uliofata bocco alimloga mno ngoja aje yanga uone atakavofunga mpaka mtamshangaa
@frankmakyao7657
@frankmakyao7657 4 күн бұрын
Kiwango hakionekani hatabiriki, ana maamuzi binafsi.
@malietamalieta9658
@malietamalieta9658 5 күн бұрын
duuh ni mzuri ila bora guede angebaki kuliko uyu baleke viongozi watani wataendelea kutuita dampo kweli mm huu usajil sijaupenda kiukweli
@FrankKwanama-lo6fj
@FrankKwanama-lo6fj 5 күн бұрын
Huyo gwede anakaba timu ikizidiwa? lete Baleke!
@maryammussa2835
@maryammussa2835 5 күн бұрын
Jao dampo lkn litawaliza
@malietamalieta9658
@malietamalieta9658 5 күн бұрын
najua ila bhs wangemuleta sowah na prince dube bhs mm simzarau kua ajui ila mmh 🥱
@aziziabeid6052
@aziziabeid6052 4 күн бұрын
Unaogopa kuitwa dampo wakati inawauma? Chama ni bora Baleke ni bora utaitwaje dampo ukaumia?,,, kikubwa ubora kama upo safi
@mwanangusana
@mwanangusana 4 күн бұрын
​@@malietamalieta9658utampendaa Baleke kuliko Guede Wala usiwe na wc wc
@HamadAmour-f3o
@HamadAmour-f3o 4 күн бұрын
Baleke yanga wamepigwa hapo
@mwanangusana
@mwanangusana 4 күн бұрын
😂😂😂 hat wakat tunamchukua amis tabwe mlibwabwaja kama hivi .... Kiherehere punguza
@user-ol3lu4zw5k
@user-ol3lu4zw5k 4 күн бұрын
Uyu mpuhuzi pumbavu babisa
@user-ol3lu4zw5k
@user-ol3lu4zw5k 4 күн бұрын
Hamad pumbafu
@mwanangusana
@mwanangusana 4 күн бұрын
@@HamadAmour-f3o kama mmeleta wachezaji wa maonyesho ya sherehe za wakulima ya nane nane au mmeleta watalii wa kutembelea vivutio vya wataliii ....
@HamadAmour-f3o
@HamadAmour-f3o 4 күн бұрын
Kusema kweli ni upumbavu ila wako ww ni ujinga kila mtu mawazo yake yathaminiwe
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 31 МЛН
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 33 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 30 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 54 МЛН
SIMBA WAFUFUA MIZUKA MISRI/ WALAANI PROPAGANDA ZA AZIZ KUBAKI YANGA
18:05
Maximum Tv Online
Рет қаралды 18 М.
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 31 МЛН