Humble, knowledgeable, thinker and confident. May God keep you safe bro.
@christiankambuga93382 ай бұрын
Safi kaka
@benpa22302 жыл бұрын
Mungu akulinde Mr thabiti
@producerema2912 жыл бұрын
Mchambuzi Thabiti amesoma akaelewa.
@ameirfaki92772 жыл бұрын
Dah...nmekufaham Sana kaka... ahsante sana Tena Sana...mungu akulinde na akuongezee maarifa Zaid... Pia tuendelee kukupta ili tu tunufaike na materials yko..
@ameirfaki92772 жыл бұрын
Tumemmic Sana kaka etu... mwalim wetu...big up brother from another mother
@uzimameditv81486 ай бұрын
hope kwenye viwanda ndoo umepoteza ulichokuwa unaelewa
@MackneriaDaudiАй бұрын
Kaka ujue unaeleza vitu vikubwa sana !❤!😮!! Ivi wanakuelewa kwel?
@magufulitv8 ай бұрын
Kaka unanifundisha sana
@madpeoplezzzz51216 ай бұрын
Kweli kwenye Elimu hapo
@qrankmw. Жыл бұрын
ehh...nilidhani nimebaki hoi magufuli alipo ondoka....lakini...sina shaka hata kidogo kuwa mambo yako sawa na thabiti....... ...kwa miaka na mikaka ...haya mazungumzo yatatufunua sisi weusi... ............hongera Gangana............. .............hongera Thabiti................
@michaelnsangano9987 Жыл бұрын
Very much intellectual@thabit mlangi
@hazygardmericho95715 ай бұрын
Thabit anajua
@MrJediahmed Жыл бұрын
unamsikia Thabit anavo zungumza kiswahili, ni fasaha hata kuliko mwandishi mwenyewe, thabit anazungumza English , French, Kilatino, Kiyahudi, Kiarabu, acha Kilangi na kiswahili.huyu Kaka Yetu tumjengee Memmorial Tanzania akiwa Hai,hii ni tunu yetu Tanzania
@GeorgeUsele-kr6qk9 ай бұрын
Wew jamaa ni hatar sana
@MrJediahmed Жыл бұрын
Mwandishi umechemsha kuleta hii mada ya kiswahili,.. Thabit is Think Tank.leta programs fanikishi kwa Taifa letu,unamsumbua Thabit kuleta Madda haina faida,china ,, Iran hata Israel wanafanikisha mambo yao pamoja na South and North Korea
@KhalidAli-nk5qh5 ай бұрын
niaka mingi iliyopita kwa kukisia inafika 30 alikuja na wazo hili hili
@shijamohamed3694 ай бұрын
Nkisikia unachukua form ya uraisi KURA YANGU INAUSIKA
@ThomasChacha-qn9eu8 ай бұрын
Tanzania tuna watu makin saan,naomba serikali iwatumie ili kugawa madini kwa wengine. Huyu jamaa namuelewa saan
@edsonmgendi7393 Жыл бұрын
una stahili uwe raisi wa jmt
@tumainisaibulu9 ай бұрын
mtaalam una madini mazuri sana
@rojasshemweta19818 ай бұрын
Katika siku ambayo nimefaidi nileo,
@shabantelack57162 жыл бұрын
7 times nmeisikiliza ila sijachoka , mafumbo ya hii clip n mazito sana
@GeorgeUsele-kr6qk9 ай бұрын
Nimezikiliza clip zako kwa siku nzima nimekosa muda wa kufanya kazi hii channel nimeiona jana tu na baada ya kusikiliza clip moja ikabid nianze kutafuta clip zote ! Wew ni hazina kubwa ndg thabit mlangi
@MrJediahmed Жыл бұрын
kutumia lugha zao
@husseinyusuph52632 жыл бұрын
Ningependa Khalid unionganishie niwe moja ya mwanafunzi wake. Unaweza nipa namba ya simu niwasiliane nae.?
@ganganainfochannel2 жыл бұрын
Karibu sana, mpigie Thabit 0652079640
@suleimanhamadi50992 жыл бұрын
Hachoshi jamaa
@MrJediahmed Жыл бұрын
Thabit Wewe ni Tunu Kwetu, Naomba usitumike, Taifa letu kukusikiliza linatosha kufahamu tunae mwana wetu wa kutegemea Sahihi pasipo kutuelekeza katika mapendekezo yako bali mapendekezo yetu wana ndugu zako,tunakutegemea usitupoteze