Nenda timu unayoona inakufaankama ushaona simba kuna maumivu unasubiri nini timu sio mama yako, na huyu jamaa huwa ni utopolo maana hata siku moja hamna zuri lilote ashawahi kuliona simba!
@pstado98167 күн бұрын
Wenye d mbili
@JohnMzia7 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@luwanda037 күн бұрын
Yamine Lamal ana miaka 16.....😛😛😛😛
@amaniomar17557 күн бұрын
Sawa in'shaaAllaah tuombe msimu uanze
@RyanElias17 күн бұрын
Ndo nami 😂😂😂 ni lamine yamal Ach kujiaibisha
@Evance-op4jw7 күн бұрын
mtamkubuka, mta mmiss saidoo ntibazonkiza
@marymoshi5727 күн бұрын
Dah huyu jamaa
@ellyslova37827 күн бұрын
Hakuna Simba sc ila kuna timu ya MO pekee kwa sasa
@amaniomar17557 күн бұрын
Maana ameenda mwenyewe sokoni Swadaqta
@EmmanuelIkenge7 күн бұрын
Project ya wazee wenye vipara😂😂😂😂
@achileusanestus50657 күн бұрын
Unakera fala ww,huna point
@stevensosipita7 күн бұрын
WEWE POINT YAKO IPI?MWENYE AKILI NYINGI
@franccoz947 күн бұрын
HUYU NI CHAWAAA WA YANGAA AMBAYE KAZI YAKE KUBWAA M KUBOMOA SIMBA
@RauwrencMbwana7 күн бұрын
Huyu hawezi kubomoa Simba nishabiki tu wa Simba Wala yeye sio kocha kocha diye anapanga wachezaji uwanjani sio mchome kwahiyo mchome hawezi kubomoa Simba ila sema yeye anasimamia kwenye ukweli
@NyasanaTv-ol4ix7 күн бұрын
Hamia kwa hao villa wenzio unasubili nini sasa
@GladnessMarci7 күн бұрын
Makasiriko ya nn kijana🤣😅😅tuliaaaa🤗
@gracemtonga32637 күн бұрын
Acha hasira 😂😂😂😂😂
@kassidpandu8667 күн бұрын
simba Haisajili ya ajili yako wewe Mpumbavu Mkubwa