Najivunia kua musilim yaa Allah nijalie nife nikiwa muisilam na shahada iwe neno langu la mwisho yaa Allah tujalie mwisho mwema 🤲🤲🙏
@HabeebiHabeebi-rr6rk27 күн бұрын
Dr.sule Allah akuzidishie subra,hekima,elimu na umri uzidi kuwapa elimi walio gizani.
@HabeebiHabeebi-rr6rk27 күн бұрын
Yesu mwenyewe amefundisha tuvae kanzu,suruale na kofia... shukran Allah kutujaalia cc waislamu kuvaa km nabii wako issa bn mariam na mtume wetu Muhammad rehema na amani zimshukie
@PendoKalama-rn8pf6 күн бұрын
Katika mafundisho yote aliyotoa yesu unakumbuka hilo too....sasa unayaqminije maneno yake na kuyafatq wakati imani yako inakataa kwamba yesu ndo njia
@peacemwesiga19 күн бұрын
Kumbe sule alikuwa anapata elimu kwa Ndacha leo hiii anakemea majini anakanisa ukristo ❤❤❤❤moto
@WilsonSaleh22 күн бұрын
Mwalim ndacha Mungu aendelee kukupa ujuzi zaidi.amen
@MaggySimon-nr5if9 ай бұрын
Allahumma inny mzidishie Dr.sule iman elmu na umri wenye faida kw waja wako wote dunian mpaka mbinguni na Aamiiiiin
@IddiKipingu-l6sАй бұрын
Wee chizi acha fikra za paka nyie ni makafir 2
@MesaidiBambauloАй бұрын
Amiin
@HabeebiHabeebi-rr6rk27 күн бұрын
Aamiin 🤲🤲
@jumamitamba6029Ай бұрын
Dkt sulee mwenyezii munguu akuzidshiee maishaa malefuu unaelim sanaa
@HabeebiHabeebi-rr6rk27 күн бұрын
Aamiin 🤲🤲 greetings from kenya 🇰🇪🇰🇪
@HabeebiHabeebi-rr6rk27 күн бұрын
Leo nime furahi kujuwa maana ya bibilia.kamwe siu achi Uislam❤❤kila niendapo Tz,Uganda,Asia,Arabia Quran ni ile ile.sala ni ile ile asante Allah islam is Uniform ❤❤❤
@charlesmakuri79215 күн бұрын
Sule ,mazinge na wengine zaidi ya majivuno hakuna neno,Ndacha uwezo wake nimkubwa IQ 100,sule nenda shule
@PendoKalama-rn8pf6 күн бұрын
Baki kwenye imani yako maana sio kila neno lilikuajalia...kuna mda mtu anaezaona mwengine anazama lkn kwakua shimoni ndo sehemu yake mtu huyo huachwa akatumbukia maana amependa na kuridhia
@jumamitamba6029Ай бұрын
Dkt sulee ww kichwa allah akupeee maishaa maishaa malefuu
@noahwamalwa438529 күн бұрын
ala ni jiwe jeusi
@rashidali300519 күн бұрын
Asalam alaikum.Huu umekuwa mjadala mkubwa mno wa mwaka, elimu na ufasaha wa lugha.Nawaomba waislamu na wakristo muwafikishie wengine huu mjadala wasikie haya mambo nao pia wailimike.mungu awajaze wasomi wetu busara zaidi. Rashid frm mombasa Kenya
@kitumainikubatu318211 ай бұрын
Ndugu mchungaji ndacha wewe kweli ni Mwalimu wakuwanyoosha waislamu ; ili wamwamini yesu kristo. asante sana kwa huduma hiyo.
@chriscao9828Ай бұрын
Waislamu ni waabudu wa shetani..sababu quran inasema mtume alimsilimisha shetani akawa muislamu
@barackamosi41169 ай бұрын
Mmmmmmh ili jamaaa ndacha AAAA sarut baba ndacha huna mfano Mimi Nina wasiwasi na wewe itakuwa YESU yupo ndani yako siyo bule duuuu baba baba wewe kiboko❤❤❤❤❤❤❤❤
@RehemaRehemaJosephbaraka26 күн бұрын
Kabisa yaani yuko smart sana 🎉🎉
@mwinyiswaleh838819 күн бұрын
Ndacha hanalolote.Mungu hajaandika Bibilia wala musa hajaandika bibilia.Qur'uan iko original kwa lugha ya mtume na tafsiri.nyinyi hamna injili original mkonatafsiri.ya kiswahili na kizungu.Yesu hakua mswahili wala mzungu.
@simonkinyua-m1k19 күн бұрын
@@mwinyiswaleh8388 tafuta ukweli usiamini maneno y watu.
@jumabuckary76989 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Ndacha kachanganyikiwa 😢😢😢😢😢
@chriscao9828Ай бұрын
Huyo muislamu wenu Hana ajualo..ni mwehu tu
@HalidiNkundwanabake-i7r3 ай бұрын
Docter seule mungu akupe kila la kheli.tena zidi kumufundisha Ndacha.Halidi kutoka burundi
@HajraMohammed-vs9fn9 ай бұрын
Allahu akbar☝️
@kennedyeboso6820 Жыл бұрын
Hekima ya Ndacha iko juu sana ,
@abediabdallah1547 Жыл бұрын
Kampe mjomba akupelekee
@OtundoJeremiah9 ай бұрын
This is the only man of God we have from Kenya
@husseinismail597211 ай бұрын
Asante Sana Doctor mungu akulipe
@BahoAsuman8 ай бұрын
Wewe ndacha ubarikiwe mungu ariku jariya gipaji❤
@Malo-o3p4 ай бұрын
ww pia wazimu kama ndacha hujui hata kuandika
@DancanOsongo7 ай бұрын
Aya iko ❤🎉🎉wacha kuteta kwamana mano yari😢omo kwamane yamungu yariomo bibilia
Wewe unamjua mungu? Au nabii Issa ndo mwamuita mungu??? Nyinyi wakiristo mlipotea san unamuitaje mungu binadamu mwenzako aliekaa miez 9 tumboni kam wewe n kuzaliwa kam wewe??? Amkeni nyinyi acheni upinzani kila siku mungu ni mmoja ALLAH JALAL
@mwinyiswaleh838819 күн бұрын
Mungu wenu alizaliwa nawanamke nakuekwa msalabani na kufa.
@jacksonpatrick981418 күн бұрын
@@sashaamoha Sikiza nyie ndo hamujui Mungu,Mungu haonekani Wala Hana baba Wala mama,kwa hivo ilimbidi ajidhihirishe ndani ya mwili wa Yesu kristo,Yesu alimtukuza Mungu ilihali ndani yake mlikuwa Mungu,ndipo maanake alisema,Mimi na baba yangu ni kitu kimoja,roho zliyekuwako ndani ya Yesu alikuwa roho wa Mungu,akasema Tena hakuna Mtu aendaye kwa baba pasipo kupitia kwangu,sababu Mimi ndiye njia ,ukweli na uhai,,hii ni kudhihirisha kazi alizozifanya mumu ULIMWENGUNI sio yeye ila Mungu akiwa ndani ya Mwili wa binadamu (Yesu) Ikiwa Yesu sio Mungu ndani yake basi wapi Tena kapata nguvu ya kupaa MBINGUNI,,,Mohamed hakwenda MBINGUNI sababu alikuwa binadamu tu,Yesu tangu siku hizo angali MBINGUNI,,,kiumbe mgani ako na nguvu za kupaa MBINGUNI ??? Yesu ni binadamu yeah ila Mungu ndani yake.
@jacksonpatrick981418 күн бұрын
@@sashaamoha Yesu ni Mungu yaani roho wa Mungu ndani ya binadamu,,,ndipo maana aliwaambia wayaudi kabla ya baba yenu Abraham kuweko ,nilikuwa,,,wayaudi wakashangaa na kumtupia mawe,Yesu akapotea katikati Yao,Yesu alikuweko kabla ya misingi ya ulimwengu kuwekwa ni vile hakuwa amechipuka katika hali ya umwili wa binadamu,,,Yesu ni sura ya Mungu asiyeonekana,Mungu alijidhihirisha kwa umbo LA binadamu kupitia Yesu.
@alvinsafi27339 ай бұрын
Wote wapo vizuri safi sana kwa elimu wanayotupa
@DavidIssa-l9w Жыл бұрын
Ndacha Mungu akubariki,kumbe vitabu ivyo vinaijuwa Biblia Na wakristo 😮 Asante ndacha Mungu akubariki
@abediabdallah1547 Жыл бұрын
Kampe tako mjomba
@jonathangithinji2652 Жыл бұрын
@@abediabdallah1547kweli uisilamu dini ya amani bila matusi
@jumabuckary76989 ай бұрын
Mungu ndiyo alijua kwamba kuna binadam watakuja kujiita wao ni mungu pia Kuna wengine watajifanya mitume na manabii na dini zao za uwongo ndo maana Quran ya mungu aijaacha kitu katika maisha ya baadae
@DavidIssa-l9w8 ай бұрын
@@jumabuckary7698Mungu gani😅allah
@noahwamalwa438529 күн бұрын
@@jumabuckary7698 nabii mbakaji wa watoto
@mirengekahamwiti1260 Жыл бұрын
Ndasha una upako wa Mungu nu unyenyekufu ulio nao, Mungu akubariki zaidi na akupe maisha marefu
@JamesDonat9 ай бұрын
Msomaji wa upande wa waislam anambwembwe mbaka anaboa baada asome anajilimbwasa tu!! Umetisha sana mch. Ndacha mungu akubariki amina
@AhmedSleman-fj9ry10 ай бұрын
Nakukubali mwalim dk sule
@jonathanharabandi2707 Жыл бұрын
Ndacha ubalikiwe sana
@jamesswai6583 Жыл бұрын
Mbona Sule abazunguka😂😂😂
@maicoandrelilepe3728 Жыл бұрын
Ndacha Mungu akulinde
@AmosNicas Жыл бұрын
Bwana yesu Apewe sifa waislamu wote waseme amina
@IssayaNanga9 ай бұрын
Ndacha mungu akuongeze umri uzidi kuwaelimisha jamii ❤❤
@ZeroBlen Жыл бұрын
For those who watching this in 2044 plz make duwaa for Dr Sule bcz he was doing amazing work Masha Allah
@andikadirali9738 Жыл бұрын
MashaAllah
@jumarobertonyancha8605 Жыл бұрын
Which work,for deceiving peoples to Islam
@jeanvillardkwibuka450227 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@akilyemily5788 Жыл бұрын
amina ndacha kwa elimu kubwa MUNGU akubaliki nauendelee ivo kufundisha ukweliii na ukweli uko wazi
@LevinoLalika9 ай бұрын
Ndacha dar we noma umemdhalilisha doctor sule vibaya safi sana
@WatukalusuOmbeni29 күн бұрын
Mungu akubariki Pastor
@fredrickmicheni39034 ай бұрын
Ndacha yani umenionyesha Mungu ninani
@IsmailJuma-ke2wd7 ай бұрын
Aslm alykm ww sheikh sule ,waelimishe inshallah
@kriswanyanya25611 ай бұрын
The wisdom in Ndacha✌🏻 🔥 kiboko ya waislahamu
@MarcellinMitamo-jx6qu10 ай бұрын
Ndacha akuwezeshe mwenyezi mungu
@DanielBusolo-l5u9 ай бұрын
Masha ALLAH
@ImanuelMgaya23 күн бұрын
Mwalimu ndacha MUNGU akutumie katika njia zote ili kuwaelewesha wana wa ulimwengu, hata BWANA WETU YESU KRISTO alikubali kuaibika lakini alisimama katika kusudi la kuja kwake.
@Makevo08 Жыл бұрын
Mbona sure ajatwambia waandishi wa quran
@danielkasau87472 күн бұрын
Dkt Ndacha Mungu akuogeze kabisa
@IpyanaPaul Жыл бұрын
Safi kabisa pastor ndacha ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU Alie hai. Asie kuelewa hilo ni sikio la kufa tu. Ndacha unaeleweka sana
@HabeebiHabeebi-rr6rk27 күн бұрын
Muslims believes in ONE God!hata yesu tuna mkubali bila shaka km nabii wa Allah subhana.
@juliusmsangi684910 ай бұрын
Aliyeabishwa ni Sule kwa asilimia 1000!Acha kupotosha ukweli!
@HabeebiHabeebi-rr6rk27 күн бұрын
Allah ndiye Mola wa viumbe vyooote hata Yesu na mamake waliumbwa na Allah
@BashiruMussa-p2l12 күн бұрын
Ndacha kiukweli leo umekwama doo!!!!😂😂😂😂😂😂🎉
@blessingmuyambo908 Жыл бұрын
Ndacha you’re the best
@temesjames8867 Жыл бұрын
Nimesikiriza kwa makini kiukweli biblia iko wazi sana walioiandika lakini korani haiko wazi walioiandika hii yote tumshukuru mungu kwa kumleta NDACHA duniani hongera mtumishi mwema wa mungu.
@JustinKitsao Жыл бұрын
Pole Sana Kaka c n Paul ndo aliandika ama kuna wengine?
@pharmkiksi746310 ай бұрын
Biblia iko wazi inamtukana Mungu, Inamwita Mungu MPUMBAVU na DHAIFU.... (1:15 wakurinto wa kwanza) Wewe ni kipofu huoni ayo maandishi basi hata husikii? Wewe moyo wako umekufa kabisa, tafuta ukweli usifuate upepo.....
@ManirambonaBonaventure-ub8epАй бұрын
Mimi niko muumini kutoka Burundi nampongeza ndacha kwakuwa anafanyiwa vizuri bibiliya kweli tatizo la waislamu hawa juwi maandiko yaliyo hawana Roho mtakatifu mtumishi Ndacha endelea kufundisha Mungu akubaliki
@HarakiPiogamapinto10 ай бұрын
Kumbe uislam ni dini ya haki kwel,Ndacha unajua ukwl uko wp lkn hautaki kuach sadaka
@LatifaAbbas-f3m11 ай бұрын
Ndacha chiz kabisa
@juliusmsangi684910 ай бұрын
Kumbe mkiambiwa ukweli kwa hoja ni uchizi? Poleni waislamu kwa uelewa mdogo!
@kennethjunior6071 Жыл бұрын
Ndacha ubalikiwe sana kwa kutetea dini ya kweli
@juliusjamanda7313 Жыл бұрын
Waislam taften YESU awaonyeshe njia ya Kweli...
@HirabDigfer-iu3rs Жыл бұрын
Sulle kageuka nyuki 👆
@deogratiusthobias4322 Жыл бұрын
Nashukuru sana mungu kwa kuniumba mm kua mtu wa kristo,Hakika najiona utofaut wang,Maisha yang tupu ni xtor ndef,Ukiona mtu kahasi ukiristo karogwa uyo,Ndacha mmoja walimu wa kiislam 10 lakin umewapelekea moto
@MchungajiSilungwe Жыл бұрын
Asante sana mch ndacha
@HabeebiHabeebi-rr6rk27 күн бұрын
Je,bible aliteremshiwa nani?mbona sielewi?Quran hata km naisikiza na sielewi lkn inanipa imani ssaana kuliko bibilia😢😢 Qur'an ndiyo maneno ya Allah yasiyo shaka!proud to be a Muslim ❤❤❤
@JuliethKileo-y5o27 күн бұрын
Alie shusha si mungu Bali majini
@AlphaBarageti-ru5xj Жыл бұрын
Hivi kusema "Hakika sisi ndio tulioiandika" "tukaishusha"Kama ni Mungu, ni miungu wangapi ?
@AlymisagoSwami4511 ай бұрын
Ndacha maneno mengi tu ajielewiii
@RobertshijaMakumi28 күн бұрын
Anatembea kwenye hoja yuko vizuri
@MoJr-z9c Жыл бұрын
Dr sulle kwakweli imeshindikana🙌🙌 Allah akupe maisha marefu
@temesjames8867 Жыл бұрын
Mbona hajajibu hoja au kasahau
@MussaHamadi-s5c10 ай бұрын
Jamani jamani ejamani wakristo na wasihi ingieni katika uislam uyo yesu ni mtume2 na sio mtoto wala sio mungu jaman mungu hana mwana yesu kaulbwa kwa kupitia miujiza2 jaman ili allah atupe mtihani maana alisha umba pepo na moto sasa asingali muumba kwa njia hiyo jahannam isingali pata watu wa kuingia jaman njon katika uislam ndio dini ya kweli na ya haki hivi hamuoni nyinyi !
@noahwamalwa438529 күн бұрын
Jamani jamani ejamani muslamu mohammed ni mbakaji wa watoto wala sio mtume....alirogwa jamani halafu akambaka aisha....saa hii anachomwa moto
@jumarobertonyancha8605 Жыл бұрын
Kaibisha ndacha wapi hapa😅😅😅😅,ndacha ndiye anayemfunza sulle dini ya haki kwa ulimwengu huu
@Hussayn21 Жыл бұрын
Sikiliza ufahamu sio ushabiki hufahamu?
@pharmkiksi746310 ай бұрын
Kaibishwa kitabu chao cha Biblia kinasema MUNGU ni mpumbavu na Dhaifu(1:15 wakurinto wa kwanza).... Bado tu mumekaa
@Theophile-xk2ym5 ай бұрын
@@pharmkiksi7463 umesikia wapi iyo andiko imetolewa. Wewe ni mshabiki tu
@HabeebiHabeebi-rr6rk27 күн бұрын
Ogopeni Qur'an maneno matukufu hata wanyama wanai heshimu.paka hawezi ikanyaga abadan!but bibilia fanya mwenyewe practical upate jibu
@LwitikoKatule Жыл бұрын
Mko vizuri sana
@jumarobertonyancha8605 Жыл бұрын
Lile jiwe jeuzi la majini ndio mungu wa dr sulle na timu yake
@SumaAbduly Жыл бұрын
Ujui ulisemalo pole
@atwowa6380 Жыл бұрын
Hatuabudu jiwe tunaabudu Allah
@jumarobertonyancha8605 Жыл бұрын
Wapi hapa sulle kamwaibisha ndacha ,bila ushabik sulle bado kabisa😂😂😂😂😢😢😢
@jumarobertonyancha8605 Жыл бұрын
@@atwowa6380 Allah in nani sasa
@jumarobertonyancha860511 ай бұрын
@@atwowa6380Allah ni nani
@BashiruMussa-p2l12 күн бұрын
doctor sule fanyamambo mungu yupo pamoja nawe leo dacha hadi asilimu huyo kakwama kiukweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉
@barakafondo8090 Жыл бұрын
Ndacha may God bless you
@DancanOsongo7 ай бұрын
Amen❤bleess
@DancanOsongo7 ай бұрын
To get it done before the end of next life😅
@DancanOsongo7 ай бұрын
Amen
@marceltshiwiloАй бұрын
Pasteur jambo, kuja Lubumbashi
@SuzaniKendakaАй бұрын
Mazinge
@LukasKastiko9 ай бұрын
Napenda wahadhir wa kiislam Allan awalipe kheri
@mohamedumri4176 Жыл бұрын
DHARNII WALMUKADHDHIBU BIHAADHALHADITH SANASTAJRIBUHUM MIN HAITHU LAA TA LAMUUN.
@YonaMaghanga16 күн бұрын
December 2024 nani yuko hapa,ndacha moto
@filisalkhah5832 Жыл бұрын
Amen
@IddiZuberi-ef6oz10 ай бұрын
Mashalla she
@BeatusOondo11 ай бұрын
Duhhhh Yani ndacha mungu kakupa kibali Yan umewasha moto Kwa wasilamu wapenda sifa badala ya ukwel
@jeanmwamba73805 ай бұрын
Wa adventiste wana mungu
@richardkiarie7445 Жыл бұрын
The book of luke 4;15-16-17-18
@kimelirono5084 Жыл бұрын
Ndacha alisema tu vizuri msikate hii vedio kwa vipande ndo watu waelewe ukweli.kiliwaramba waislamu sindano iliingia vizuri
@callennyabonyi5580 Жыл бұрын
Kawaida ya waislamu ni ushabiki tu,hawana lolote
@ezrommkambati1554 Жыл бұрын
Umenena vema ndugu
@jumarobertonyancha860511 ай бұрын
Hwa waganga wanaelimu ya majini😂😂😂😅
@lacksonmwakanema6799 Жыл бұрын
Wewe mwandishi muongo mno! Unasema Ndacha kaibishwa wakati tunamsikia akiongea Kwa pointi Sana kumshinda Sulle!
@johnnation4000 Жыл бұрын
Hawa waongo tu,ndacha hutowa kweli sio peloronjo
@jumarobertonyancha8605 Жыл бұрын
Kabisa bro,hawa makafiri wa umma wa Mohammad ni watu wa kuchekesha mno,eti malaika wakahandika Qur'an kumbe ni ya muhitaji wa majini aliyopewa kwa pango pale macca
@pharmkiksi746310 ай бұрын
@@jumarobertonyancha8605 nyinyi mioyo imekufa kweli, kwenye biblia Mungu anaambiwa yeye Mpumbavu na Dhaifu bado tu munasema NDACHA Hasemi porojo, Sikiliza Sule Anayasema ayo......
@pharmkiksi746310 ай бұрын
nyinyi mioyo imekufa kweli, kwenye biblia Mungu anaambiwa yeye Mpumbavu na Dhaifu (1:15wakurinto wa Kwanza) bado tu munasema NDACHA Hasemi porojo, Sikiliza Sule Anayasema ayo.....
@samwelmatemu8873 Жыл бұрын
😢Yani waisilamu mnajibu hoja kitoto kabisa utathani hamjawahi kufika chekechea.Ila mtaibika mbele za Mungu.
@richardnganya2311 Жыл бұрын
Sio chekechea tu.. Hata darasa la popo !! Ukisikia ya daktari Sule mmmh... anaaibisha udakitari.
@samwelmatemu8873 Жыл бұрын
@@richardnganya2311 huyu Dr sule ni Dr Wa nini uganga wakienyeji nadhani .
@samwelmatemu8873 Жыл бұрын
@@richardnganya2311 Na hao kina proff asadi Wana Jua kusoma kweli ?Ukisikiliza huo mdahalo unavyo enda na kulingana na hicho kitabu chao hakuna Mungu hapo wala Mbingu hakuna.
@abduljaffer Жыл бұрын
Imewaramba 😂 wakristo
@samwelmatemu8873 Жыл бұрын
@@abduljaffer soma kuruhani yenu hiyo inawahakilishia hamwendi mbinguni halafu dini ya mashetani.washirikina
@MuadhNoor-t4n3 күн бұрын
Mimi ni msabato lakini kwanzia Leo najiunga na waislamu juu ndacha nikama amechanganyikiwa Hana-ukweli kabisa