MCHUNGAJI AMCHEKESHA GEORDAVIE, MKEWE na MKALI WENU MBELE YA JENEZA LA DIRECTOR NISHER...

  Рет қаралды 18,316

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 56
@Maryc2G
@Maryc2G Жыл бұрын
Lazima kuacha legacy ktk dunia hii, Apostle Maboya umesema ukweli kabisa. Chukua maya yako 💐💐💐🌹🌹🌹🪻🪻🪻🔥🔥🔥🔥🥀🥀🥀🎄🎄💕💕👍🏽👍🏽👍🏽🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@olarivolariv1313
@olarivolariv1313 Жыл бұрын
Unahubiri au unasema watu, kama umefanikiwa wewe, sawa., acha kukashifu watu.
@FrolenceRogath-fv6ku
@FrolenceRogath-fv6ku Жыл бұрын
Tatizo Tz hamtak kwambiwa ukweli
@patrickKitambo
@patrickKitambo Жыл бұрын
Ukwel unauma
@tumainielmaruwa3148
@tumainielmaruwa3148 Жыл бұрын
💐💐💐💐True say watu wana mawazo yakimasikini sana. Hongera Mtumishi
@mbonijabut1405
@mbonijabut1405 Жыл бұрын
Mchungaji umeongea sahihi kabisa nakupendaga sana
@RwachiryoraWema
@RwachiryoraWema Жыл бұрын
Wewe hunywi soda ka maskini wengine
@mbonijabut1405
@mbonijabut1405 Жыл бұрын
@@RwachiryoraWema sijaona kosa lolote hapo kila mtu na mtazamo wake siku zote siwez kumbishia. Mtu anaefundisha neno la Mungu ndugu kila mtu na imani yake imani yangu imenifanya nimsifie
@halimaoman8726
@halimaoman8726 Жыл бұрын
Waalh ukisemacho kwa wakati huu unijui lkni ukumbuke kunakupanda na kushuka na akuna mtu anapenda kuwa mastikini kumpush mwana sote twapenda maisha ya raha ww kma unamaisha ya juu kumshukulu mungu
@Maryc2G
@Maryc2G Жыл бұрын
Dada yangu mchungaji alikuwa anatussidia kimawazo, Ili tukazane.
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony Жыл бұрын
sema tuu uyu mchungaji anamajigambo sana et soda ni za maskin aache mambo yake anaushamba tuu
@hizamawa6046
@hizamawa6046 Жыл бұрын
Poleni sana watoa sadaka
@patrickKitambo
@patrickKitambo Жыл бұрын
Ukwel unauma
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq Жыл бұрын
Pole unayemwamini Mtume Muhammad mbakaji. Jitu zima lina wake kibao lakini bado likaenda kutembea na binti wa miaka 9 (Bi. Aisha) na bado mnaamini ni mtume wa Mungu😂😂😂.. poleni sana waja wa allah
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 Жыл бұрын
Yuko vizuri sana
@98Maktaba
@98Maktaba Жыл бұрын
Pr Bishop maboya mzee wa kuwapa makavu ya ukwel hapo wengine mtamaind ila ukwel ndo ivo 😅
@Maryc2G
@Maryc2G Жыл бұрын
Umesema ukweli mchungaji.
@NyumbaniHabariMedia
@NyumbaniHabariMedia Жыл бұрын
Wachungaji wetu dah!!😭😭
@wilsonsikahanga1761
@wilsonsikahanga1761 Жыл бұрын
jamani maandiko muwe mnayasoma vizuri... mzee unasema razaro alifanyaje et 😝
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 Жыл бұрын
Umaskini unakuja kirahisi mno ktk maisha yetu,, mtu anafanyakazi anapata kipato chajabu akipata pesa anatumia yote kwenye anasa awazi kusu kufanikiwa anacheza kamali wengine awafanyikazi niwavivu
@olarivolariv1313
@olarivolariv1313 Жыл бұрын
Uwababe wapi hao wazungu? Eti fungua kampuni, ni rahisi kutamka ila bila kupata wageni haiwezi ikawa kampuni,, unajua unachozungumza kweli, ?
@jacksonmichael799
@jacksonmichael799 Жыл бұрын
Kwa mtazamo wangu kuna mambo kazungumza ni ukweli kabisaa!! wako wazazi hawawekezi kwa watoto yaan mpka now elimu n bure lkn mwanae aendi shule ukimuuliza uniform that's very nonsense tusitetee ujinga ,lkn pia poit aliyosemq ya kupambana ni muhimu haiwezekani ww fursa zinajitokeza umekaa tu unavuta sigara bwege hauandai future ya wanao vzr afu usemwe ukasirike BADILIKAA!!
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Huyo yesu kaburi lake liko wapi? Acheni kudanganya watu, nanyie mnaodanganywa amkeni kumekucha, mpakalini mtawapelekea? alafu mnapewa kashifa na wao wanatamba, hakuna maneno ya kweli, ni sadaka tu.
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq Жыл бұрын
Bora hata kumwamini huyu anayehubiri hapa kuliko kumwamini Mtume Muhammad aliyemlawiti binti wa miaka 9 (Bi. Aisha). We mtume gani wa Mungu aliyekuwa akiwabaka mateka wake kama sio pepo la ngono ni nini?😂
@moseskulola6913
@moseskulola6913 Жыл бұрын
Agaliha agalia kauli yake uyu jama ..
@ayubuzayumba
@ayubuzayumba Жыл бұрын
Good 👍
@FrolenceRogath-fv6ku
@FrolenceRogath-fv6ku Жыл бұрын
Mtume Maboya nakukubali sana kwakusema ukweli Tz wengi hawapendi kwambiwa ukweli
@akidajulius1581
@akidajulius1581 Жыл бұрын
Nilichokiona mm hapo kwa mtazamo wangu,amejipendekezatu,sijaona mahubili yoyote ya maana naona mahubili yake ni ya kupongeza utajili wa joved, njaa tu
@mrfantastic8364
@mrfantastic8364 Жыл бұрын
Lengo la askofu hapa ni kumsifia marehemu Nisher, kikubwa tujue hakuna binadamu bora kuliko mwingine uwe maskini au tajiri wote ni sawa tu
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony Жыл бұрын
binadamu wote syo sawa ndo Mana kna maskn na tajiri hata mwenyenz mungu ndyo alivyo tuumba ivyo tofaut tofaut
@successmusicafrica8936
@successmusicafrica8936 Жыл бұрын
ATUKO SAWA
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Ikiwa vidole havilingani ni cc wanaadamu tutakuwa levo moja? Mungu anaweza kukushusha dakika 00000, na mungu keshaa waahidi hapa duniani tu, kwaiyo jitanueni kwa raha zenu, mbeleni kwenu ni giza zito na gumu lisilo elezeka.
@patrickKitambo
@patrickKitambo Жыл бұрын
Mungu hashushi mtu ni kuvunja kanuni ndo kunashusha mtu
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc Жыл бұрын
Huyu jamaa Alisha laaniwa toka kwa mzee kulola Alimpiga saana Moses kulola wakati Akionywa kwa Mwenendo mbaya Waupotoshaji Iliapate pesa😢
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed Жыл бұрын
Dunia ngumu hiiiiiii😂😂
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq Жыл бұрын
Sana😂... wengine wanamwamini Mtume aliyemlawiti binti wa miaka 9 (Bi. Aisha) na wakisadiki kabisa kuwa alikuwa mtume wa Mungu dahhh nomaaa
@mariasixmund7964
@mariasixmund7964 Жыл бұрын
🙄🙄🙄
@EzekielMetian
@EzekielMetian Жыл бұрын
Vina muda basi😂😂?
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Жыл бұрын
Unajidai na sadaka na fungu la kumi unamea kiburi unaita watu masikini wana laana
@Harrison-zh9sb
@Harrison-zh9sb Жыл бұрын
Umaskini ni laana we hujui Hilo ? Ukiwa maskini ujue umelaaniwa
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc Жыл бұрын
​@@Harrison-zh9sbwe mwenyewe masikini kwa hiyo kwanzia leo Kiongozi wawa lio laaniwa😡
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 Жыл бұрын
Acheni ujinga kama huelewi tulia sio mnabishana
@janethmwambona4386
@janethmwambona4386 Жыл бұрын
Ni maandiko yanasema umasikini ni laana
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony Жыл бұрын
umaskin Ni dhambi syo uwongo tnatakiwa kpambana unaambiwa hekima ya maskni aiskilizwi nkpambana
@cmfacademy
@cmfacademy Жыл бұрын
Good
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Жыл бұрын
We sio mtumishi wewe ni tapeli kwa kivuli cha mahubiri. Tapeli usiye na huruma.
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 Жыл бұрын
Kwa kweli
@aminaaminamayalla3308
@aminaaminamayalla3308 Жыл бұрын
Kwa huyo mwenye nyumba hana dhambi, na maandiko yale ya tajir kuuona ufalme wa mbingu , bora ngamia kuingia kwa tundu la sindano,
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq Жыл бұрын
Kumbe unaijua Biblia vzuri. Safi sana🥳👏🏿.
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Wewe mwenyewe ndiyo wale wale hata wee ulitoka huko huko usitufanye wajinga😂😂
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 Жыл бұрын
Mh!
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
UJUMBE WA MONICA DAVIE KWA MARA YA KWANZA 2023 - GeorDavie TV
32:44
GeorDavie TV
Рет қаралды 175 М.
"SITAKI KUPELEKWA KWA WAGANGA", NISAIDIENI KUOKOA MAISHA YANGU
12:03
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН