MCHUNGAJI HANANJA AFUNGUKA HAYA KUHUSU USHOGA "BALEHE SIO MCHEZO"

  Рет қаралды 62,780

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 86
@patrickjustus6930
@patrickjustus6930 Жыл бұрын
Yupo Mentally and Psychologically Fit, Well Spoken Pastor
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Mchungaji umeongea Mambo ya Msingi sana kuhusu tatizo Hilo, na kama viongozi wote wa dini wangepaza sauti zao kuhusu tatizo Hilo na nengineyo Kwa sauti kuu, naamini yangepungua hayo! Bahati mbaya sana watumishi wetu wa Mungu sasa wameingia kwenye siasa na kuacha majukumu Yao ya Msingi huku wakimwacha shetani akiwanyakua kondoo wa bwana akiwaangusha dhambini Kwa matendo maovu!
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Жыл бұрын
Huyu ndio mchungaji pekee nnaemkubali.. hataki pesa.. anasaidia ndugu zetu waliolemewa na kadhia za kidunia.. tubaki na dini zetu.. ila dini zetu zisitufanye tukaacha utu wetu..
@jemusshukuru37
@jemusshukuru37 Жыл бұрын
Mchungaji nakupenda muno unajiamini sana
@jimyjastini9995
@jimyjastini9995 Жыл бұрын
Wapirri nipeni raiki ❤🔥🔥
@samidquiz6316
@samidquiz6316 Жыл бұрын
Anataka ale bata anaenda kubatuliwa😃😃 Inna lilah wainna ilaih rajiun ALLAH atuepushe na hili janga
@cachec7930
@cachec7930 Жыл бұрын
Mzee big up sanah unaongea point✊
@dorothyannan8184
@dorothyannan8184 Жыл бұрын
Mr Bilionea unanibariki sana.
@lazarothomas
@lazarothomas Жыл бұрын
Your the man of century
@cvanoedward3093
@cvanoedward3093 Жыл бұрын
🤣🤣🤣ukitaka kula bata utabatuliwaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mchungaji nimekuelewa sana
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Hananja Ubarikiwe
@doktamathew
@doktamathew Жыл бұрын
وَمَا كَانَ جَوَابَ قَوْمِهِۦٓ إِلَّآ أَن قَالُوٓا۟. وَلُوطًا إِذْ قَالَ لِقَوْمِهِۦٓ أَتَأْتُونَ ٱلْفَـٰحِشَةَ مَا سَبَقَكُم بِهَا مِنْ أَحَدٍۢ مِّنَ ٱلْعَـٰلَمِينَ إِنَّكُمْ لَتَأْتُونَ ٱلرِّجَالَ شَهْوَةًۭ مِّن دُونِ ٱلنِّسَآءِ ۚ بَلْ أَنتُمْ قَوْمٌۭ مُّسْرِفُونَ أَخْرِجُوهُم مِّن قَرْيَتِكُمْ ۖ إِنَّهُمْ أُنَاسٌۭ يَتَطَهَّرُونَ
@ybyb8657
@ybyb8657 Жыл бұрын
Naam akhui صح
@habilmasawika8045
@habilmasawika8045 Жыл бұрын
هذا موامبا ، هانجا بامبا الأبالقس حنانجا ، أحبك كثيرًا
@meshackinocent4053
@meshackinocent4053 Жыл бұрын
Big mchungaji bilioneaaa
@thagondale9041
@thagondale9041 Жыл бұрын
Mungu ana rehema.
@barakamshiu7146
@barakamshiu7146 Жыл бұрын
wa kwanza nipeni laiki zangu...
@BigSnake1965
@BigSnake1965 Жыл бұрын
Sasa like zitakusaidia nini😁😁😁
@davidkamando9630
@davidkamando9630 Жыл бұрын
Ulimpa nani kwani?
@mwecmapesa3623
@mwecmapesa3623 Жыл бұрын
Nyoko
@issambegea5589
@issambegea5589 Жыл бұрын
Inaandikwa hivi like Sawa baraka
@barakamshiu7146
@barakamshiu7146 Жыл бұрын
@@mwecmapesa3623 nyoko ni wewe mbuzi ya msitu
@khudhaifakarama
@khudhaifakarama Жыл бұрын
Huyu mchungajia anaakili sana anasema kweli😂😂😂😂 mashuleni noma hasa bording na baleee za vijana dah noma
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 Жыл бұрын
Mch, futa neno Seya!
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Ila jirani zangu wamezidi huko mitandaoni wadada ndiyo kabisa wameshaharibika hadi kujitangaza kabisa yani ukiingia hapo kichwa kichwa ukiuliza unapigwa mawe hadi ya macho😭😭😪
@rockentermentinc5880
@rockentermentinc5880 Жыл бұрын
Vijana wainataji kupatiwa kipaumbele financially ili waweze kujiajilii na kuzalisha ajira
@azanyboy
@azanyboy Жыл бұрын
Tumekuelewa mtumish😁
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 Жыл бұрын
Huyu Mzee Biblia kaimeza yote dah! Ila yote 9 na 10 sasa napenda maneno yake.
@florachogo243
@florachogo243 Жыл бұрын
Haaaaaaaa,kweli pesa hata ukiwa na sura mbaya mdomo kama umeng'atwa na dondola kama unapesa utapendwa
@saraphillipo9082
@saraphillipo9082 Жыл бұрын
Kwani vp? Mbona wivu, wivu Ni uchawi, wewe Ni mchawi. Half msg mwenyewe hapo ukipo mwenyewe unanunka kichupi mkojo.khaaa
@vicentmlumba591
@vicentmlumba591 Жыл бұрын
Ana ana anzaje kukataaa Sasa Msomi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@meshackmarco152
@meshackmarco152 Жыл бұрын
Mc jifunze kwa wengine wanaofanya vizuri . Hananja ana busara tu kakujibu vizuri . Soma vizuri umri wako una ruhusu na una nia
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Жыл бұрын
Rich bilioneeeeeaaaaaah
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
Dooh
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
Serikali iko wapi mawaiziri wako wapi, raisi yuko wapi, waziri mkuu yuko wapi, wabunge wako wapi? Daaah nahisi Tanzania inatumbukia shimoni
@issamkombo7300
@issamkombo7300 Жыл бұрын
Mbona hutaji kanisa katoliki maana tuliona wakipeperusha bendera ya mashoga kwenye hospitali yao
@jay-nyeye1900
@jay-nyeye1900 Жыл бұрын
Watu wanongelea ushoga tu mbona hawasemi kuhusu Usagaji wanafikiri Usagaji haupo? Usagaji upo tena ni mbaya Sana watu wanapaswa wakipata nafasi ya kuzungumzia mapenzi ya jinsia moja wanatakiwa waongeleee Ushoga na Usagaji sio Ushoga tu Usagaji unaachwa hivi vyote havifai
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Usangaji upo kipenzi ila bora mtt wa kike awe anasagwa kuliko mtt wa kiume kufirwaaa kwa kweli mtihani na inaumiza sana tumbo linaumaaa
@jay-nyeye1900
@jay-nyeye1900 Жыл бұрын
@@rizikiabdalla2501 mtoto wa kike akisagwa hahitaji tena mwanamme
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Boraaaa vooo kuliko kufirwaaaaa mtihani vooo Allah atuhifadhi
@jay-nyeye1900
@jay-nyeye1900 Жыл бұрын
@@rizikiabdalla2501 Hakuna bora hapo yote hayo ni machukizo kwa Mungu ni kuyakemea yote kwa pamoja ise mwanamke akisagwa hatakama alikua na mme hiyo ndoa lazma.ivunjike na vile vile.kwa mwanamme akifirwa au kufira lazma ndoa.iharibike na Kama bado.hawajaowa na kuolewa ujue ni ngumu sana.kuja.kuolewaa na kuoa
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Yote ni machukizo Allah amekatazaa sana ktk vitabu vyake na hata mm sivipendi ila mtt wa kiume ni mtihani zaidi
@yohanatulito1182
@yohanatulito1182 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 🔥🔥. Moto Sana
@Chemba67
@Chemba67 Жыл бұрын
Huyu MWANDISHI HAMJUI VIZURI HANANJA AU ANAJITOA AKILI KTK UULIZAJE WAKE, JITAHIDI KABLA HUJAMUHOJI MTU UPITIE PROFILE YAKE ILI KUEPUKA MASWALI YA KIDWANZI NA KISHAMBA
@choggysly3541
@choggysly3541 Жыл бұрын
Maswali mengine ni faida kwa wasikilizaji si kwa ajili yake mwenye
@tukuyufm
@tukuyufm Жыл бұрын
NAHITAJI INTERVIEW NA HUYU MZEE.
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 Жыл бұрын
Mtafute
@tukuyufm
@tukuyufm Жыл бұрын
@@sheckycobb5240 sawa mkuu
@mkaliman8030
@mkaliman8030 Жыл бұрын
Ziko ndoa za aina tatu hahah
@mbwetetv
@mbwetetv Жыл бұрын
Uyu mzeee bhnaaa😂😂😂😂
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 Жыл бұрын
Ushoga niushetani na hakuna mjadala kwa hilo . Hakuna haki zabinadamu wala nini bali tunatakiwa kuwa na utu .hakizabinadamu ni Mungu pekee ndio anatakiwa kutetea haki za binadamu wake na sio wazungu . Kama afrika tunajengwa na utu (ubuntu) i am because you are) ukiwa na utu hauwezi ukamfanyia mwenzio mabaya. Kwaufupi USHOGA NI USHETWANI
@kachagrill3204
@kachagrill3204 Жыл бұрын
Kwa maandiko yapi? Thibitisha
@benadethafrancis5223
@benadethafrancis5223 Жыл бұрын
@@kachagrill3204 nyie mashoga mtatupomza tuchomwe km Sodoma. Nendeni Ulaya mkafunge ndoa na wazungu. Huku hatuwataki tutawachoma moto kama wezi.
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 Жыл бұрын
@@kachagrill3204 wewe ni mke?
@kachagrill3204
@kachagrill3204 Жыл бұрын
@@zakiamseka9698 jibu swali sio maelezo! Nimekwambia ni maandiko gani?
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 Жыл бұрын
@@kachagrill3204 shoga wee hauna haki yakujibiwa kafie uko mbele
@nemecymsanya4952
@nemecymsanya4952 Жыл бұрын
Ha ha ha
@anoldamkumba3208
@anoldamkumba3208 Жыл бұрын
serikali ni pamoja na wewe,hilo suala ni la kila mtu tushirikiane kuanzia pale tulipo ili kutoa wepesi viongozi.sisi huko chini ndo tunaolea na kuficha uchafu huo.
@jaymandy8136
@jaymandy8136 Жыл бұрын
Nimezaliwa dar mtanzania, kwani waliozaliwa katika mikoa mingine sio watanzania??
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
No. Ila ni utambulisho unaweza zaliwa dar na usiwe mtz
@asternjulius890
@asternjulius890 Жыл бұрын
Tafta hela maswali kama haya hayana mana
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 Жыл бұрын
Alimaamisha kukataa kuongelea kabila
@timothykaiza327
@timothykaiza327 Жыл бұрын
Mnavyoyaongelea haya ipo siku mtayaruhusu na mtaona ni jambo la kawaida, Mungu atusahaulishe juu ya huu ushetani. Tuache kuyapa kipaumbele hayo ya kijinga.
MATATANI KWA MADAI JARIBIO LA KUTEKA MFANYABIASHARA TARIMO
5:09
УДИВИЛ ВСЕХ СВОИМ УХОДОМ!😳 #shorts
00:49
Long Nails 💅🏻 #shorts
00:50
Mr DegrEE
Рет қаралды 20 МЛН
Одну кружечку 😂❤️
00:12
Денис Кукояка
Рет қаралды 2,9 МЛН
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 10 МЛН
Hizi hapa dakika 15 tu! za Kufurahi na Mch. Hananja. UDSM CCT.
15:29
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 1 МЛН
Кто есть кто в новой сирийской войне?
27:32
BBC News - Русская служба
Рет қаралды 10 М.
УДИВИЛ ВСЕХ СВОИМ УХОДОМ!😳 #shorts
00:49