MCHUNGAJI HANANJA BILA WOGA AWALIPUA WAKRISTO FANYENI TOBA ASHUSHA NONDO 3 KIPINDI CHA KWARESMA LAZ

  Рет қаралды 22,121

Maks Media

Maks Media

Күн бұрын

Пікірлер: 41
@DomitinaPetro
@DomitinaPetro 3 ай бұрын
Huko vizuri mchungaji, Mungu akubariki kwa mafundisho.
@user-nz6xy1vs5i
@user-nz6xy1vs5i 5 ай бұрын
Saaafi sana Mungu akupe maisha marefu
@vickylupemba6055
@vickylupemba6055 6 ай бұрын
Mchungaji Hananja nakuelewa na kila unapoongea ni hekima tupu. Barikiwa sana maelezo yako nitayafuata 💯🙏🏾
@user-rk8em3me9p
@user-rk8em3me9p 5 ай бұрын
Hongera ww ni PRO.wa zuoni ( PRo.BIBBLE)
@renatusmtakyawa594
@renatusmtakyawa594 6 ай бұрын
Barikiwa sana upo sahii kabisa tuna utapiamlo wa Neno la Mungu
@user-jw8pw2pd9l
@user-jw8pw2pd9l 6 ай бұрын
Kipimo cha kutuonesha kama tuko sawa mbele za mungu peke yake tu ndio naona kama umepungukiwa jitahidi kutambua kazi ya sheria katika maisha yetu sheria ni tabia ya mungu halisi
@asiajoseph314
@asiajoseph314 2 ай бұрын
DAMU ya YESU nitakase😭😭😭
@wigeasanyerere6451
@wigeasanyerere6451 6 ай бұрын
Kweli binafsi natamani hata nikuone,maana unapigana vita ya kweli na haki.asiye kuelewa kweli ana mauza uza kichwani,unataka watu washike neno la Mungu na sio mathehebu na mifumo yao
@michaelseka6890
@michaelseka6890 6 ай бұрын
Nakuelewa sana mzee wangu Kwa maana unatufungua akili zaidi
@user-uu8bd4vi9s
@user-uu8bd4vi9s 6 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@gabrielpott3325
@gabrielpott3325 6 ай бұрын
Mzee uko saawa saana mw MUNGU azidi kukupa neema zake yani we people kwako iko wazi saana
@aminamacha5594
@aminamacha5594 6 ай бұрын
Na ss tuouthuria ibada zote ijumaa na jumapili mapadri wanahuburi kuhusu toba kuacha dhambi uzinifu kuiba kuuwa usengenyaji kusaidia asiye kuwa nacho mapadri wanahuburi ila niakili zetu waumini tunahangaika na dunia😅😅😅😅 Amina 🙏
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 6 ай бұрын
Nakuelewa sana mtumishi wa mungu unatufundisha vema
@jorgitolucasbaluth8903
@jorgitolucasbaluth8903 6 ай бұрын
UTAONDOKA MWENEWE KWENHE UKRISTO SISI ATUMWACHI YESU
@adkajisi4536
@adkajisi4536 5 ай бұрын
Umeelewa?
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 6 ай бұрын
💯
@wanguwangu34
@wanguwangu34 6 ай бұрын
Story hizi hazibariki watu wa Mungu, Naomba tumhubili Cristo tu tuachane na mambo ya Imani za wasiotuhusu.
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 6 ай бұрын
Jifunze kujua ukweli sio unaendaenda kama umejiumba
@sultantz7635
@sultantz7635 6 ай бұрын
Unamuhubiri vipi kwa uongo???
@libetztanzania-kiswahilina2845
@libetztanzania-kiswahilina2845 6 ай бұрын
Media na sio mendia wakenyaaa
@thomasmallya2972
@thomasmallya2972 6 ай бұрын
Nnachoona apa uyu HANANJA LUSEKELO MGOGO ni mnatafta kiki kwa kuchafuana tuu akuna kionhoz makini anakua msengenyaaji fundisha neno achana na ya watu nanyi waandishi acheni kuwachafua watumishi na maswali yenu ya mitego
@sultantz7635
@sultantz7635 6 ай бұрын
Kamsengenya nani?
@deathrow8004
@deathrow8004 6 ай бұрын
MNAFANYA TOBA GANI WAKATI YESU KAMA KWA DHAMBI ZENU???
@amirymdee4259
@amirymdee4259 6 ай бұрын
***Max mindia ni kitu gani?***
@MaksMedia1
@MaksMedia1 6 ай бұрын
Maks Media
@kennedyngusulu9411
@kennedyngusulu9411 6 ай бұрын
​@@MaksMedia1hiyo kengele mnaweka kwenye videos zinaudhi sana kelel ni kubwa mnapoteza audience sana taften namna nyingine
@mndambimrinji
@mndambimrinji 6 ай бұрын
KWELI KENGELE INAHARIBU USIKIVU​@@kennedyngusulu9411
@khamismgunya4519
@khamismgunya4519 6 ай бұрын
Mkristo haukatazwi kujuwa nn uislam wala mwislam hukatazwi kujuwa nn ukristo so ukisoma kwa umakini utajuwa wapi njia sahihi kazi kwako
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 6 ай бұрын
Uislam wao kufunga/toba ni kuonyesha watu na kujidai na kuona ufahari kula futari ,kula usiku mchana unaacha/kubadilisha muda wa kula, hananja umeongea vema
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 6 ай бұрын
Ukristo wetu unatutosha. Hatuhitaji kujua chochote kuhusu Uislamu
@titokwareh1852
@titokwareh1852 6 ай бұрын
Huyu mzee always Yuko negative, we hubiri neno la Mungu Kama wenzako why kuponda matendo ya wakristo kila siku.? Jikite kwenye Bible acha comedy
@wigeasanyerere6451
@wigeasanyerere6451 6 ай бұрын
Ndg samahan binafsi me naelewa anacho maanisha n tushike neno la biblia
@titokwareh1852
@titokwareh1852 6 ай бұрын
​@@wigeasanyerere6451hakuna siku anaongea bila kuponda wachungaji wenzake mara sijui wezi, waongo. Nani asiyejua hapa duniani kuna waongo na wezi? But yy kila akiongea anaponda ukristo kwann asijikite kuhubiri Bible. Ukishasema majivu ni ishara ya toba hyo inatosha why ulete tena comedy mara wengine wanajipaka sijui kama nn. Ttzo anajifanyaga kuongea sana comedy mpaka ana bore. Afundishe neno la Mungu inatosha comedy za nn
@johnmwanja4476
@johnmwanja4476 6 ай бұрын
Namuelewa ssna mchungaji juu ya ukweli ktk Injili....Tuache kuburuzwa na sheria za dini/ dhehebu bali tujifunze nini neno la Mungu( Injili) linasema. Barikiwa saana mchungaji.
@EuphrasiaNtawatawa
@EuphrasiaNtawatawa 6 ай бұрын
Amesema tusome neno,tujifunze neno,tulijue neno tuliishi neno,bila neno la Mungu turaburuzwa tu
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 6 ай бұрын
Kama anakukera basi ujumbe umekuingia vilivyo😂.. safi sana
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 8 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 93 МЛН
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 41 МЛН
PASTER HANANJA AONGEA MAZITO KUHUSU MACKENZIE KENYA
16:57
Mbengo Tv
Рет қаралды 52 М.