sifa mojawapo ya nabii wa kweli huwa anazaa watoto anaofanana nao hata akiondoka hakuna tabu... kulola Alizaa ...bigup moses kulola
@rachaelmwanakulya17102 жыл бұрын
Ameni
@pendobaharia69225 жыл бұрын
Pastor ubalikiwe nakukumbuk ulpokuj dodom kwetu
@hellenndekeja547 жыл бұрын
Aminaa mtumishi nakataa magonjwa kwa jina laYesu
@maitretv76037 жыл бұрын
Hellen Ndekeja Mungu yupo kazini kwani tunaishi wakati wa udanganyifu kuu; kama vile ulimwenguni kila mtu anataka awe rais wa Jamhuri, kanisani pia kila mtu ana huduma. Unabii, ndoto, na maono zatokea huko na kule kwa kugawa huduma. Wanaongeza kazi ya wanawake hadi mimbarini. Jina la Bwana Yesu Kristo linafanywa kuwa biashara, makesha za maombi zimepangwa mwisho wa kila mwezi. Watu waliyo anguka kutoka neema, wanao ngojea jehanamu wao ni watumishi wa Mungu. Wana wa mapepo! Kuna mambo mawili ya kufanya: Ao muonyeshe wazi wazi kwamba mimi ni katika kosa na ninajiunga nanyi wala basi muyatambue makosa yenu mbele ya watu wote na nifute masinagogi zenu. Kila mara ninaona mambo namna hii. #ProphetKacouPhilippe www.philippekacou.org goo.gl/s1X3WY
@omaryissagumbi5242 Жыл бұрын
Hellow wellcom islam ☪️ ❤ ♥ & JESUS is islam you wellcom islam may frend
@alixbadiel80097 жыл бұрын
21. Mimi Kacou Philippe, mtumwa wa Yesu-Kristo, Nafikiri nimewapa ninyi shauri yote ya Mungu, katika kizazi hiki, kuhusu haya mapepo za udanganyifu ambazo watu wanaita « roho mtakatifu » ndani ya makanisa haya ya kikatoliki, kiprotestanti, kiinjili na kibranhamisti pamoja na makanisa yote yanayoitwa yenye kufunuliwa au kuwekwa upya kama vile wametodisti, wabaptisti, wa furskare, waanglikani, wanazirea, anabaptist, wamormoni, wapentekoste… na makanisa yote yanayo jitokeza popote mbali na kile Mungu iko anafanya kupitia nabii mjumbe aliye hai wa kizazi kile. Ijapokuwa mafundisho yao ni tofauti, Shetani, ambaye ni mungu wao, iko sasa akiwakusanya katika baraza na shirikisho za makanisa… lakini Fahamu kwamba kuchukuliwa ao paradiso haiwahusu wao. Na kwa hesabu yao inafaa kuongeza sasa wabranhamisti kwa jumla. goo.gl/WvqAz2
@nadiakida58857 жыл бұрын
Haya! Tunajua ya kwamba manabii wajumbe wote walipokea ujumbe yao toka mbinguni na tuone sasa Ujumbe huu wa shairi la 6 na la 7. Ni Ujumbe ya kwanza inao mwambia mwafrika, kwa mfano, amuabudu Mungu wa kweli aliye fanya mbingu: nyota, jua, mwezi, hata pia malaika walioanguka wanao tumia horoskope, orodha za maajabu, dini. Mungu haja wahi kuwa tatika dini. Ukristo halisi siyo dini bali maisha. Malaika huyo anaomba wahaiti na wabenina kuachana na vodoo, uchawi, asili na zingine aina zote za kuabudu na kuita mapepo… Mungu aliumba dunia kwa kuishi kwetu na hatupashwe kuigeuza kuwa msitu takatifu, sanamu na mask kwa kuiabudu… Hii ndiyo ilikuwa Ujumbe ya malaika wa kwanza. Na huyu malaika wa kwanza ni mtume Paulo. Bahari kubwa na chemchem za maji hazikuumbwa kwa kuabudiwa bali ni Mungu ndiye inatupasa kumwabudu; ni Mungu ndiye muumbaji. Mnaona? goo.gl/s1X3WY
@thadeusmathiews25646 жыл бұрын
barikiwa sana
@nichorausntajunja31446 жыл бұрын
Amina nimabarikiwaaaa
@kkjh57217 жыл бұрын
Kc 2:8. Baada ya mageuzi, Martin Lutheri, Ulrich Zwingli, Farel, Yoani Kalvini, John Wesley na wengine walipo fariki, makanisa yakasonga Kanisa la kweli. Mungu akapandisha sasa malaika wa tatu, mjumbe wa tatu pamoja na Ujumbe ya unabii kwa watu wote wa dunia. Mungu hapandishi kamwe kanisa au kundi la watu kwa kuleta au kurudisha Ukweli duniani bali nabii-mjumbe. Kumkataa huyu nabii, ni kumkataa Mungu, kwa kuwa nabii ni kinywa cha Mungu, msemaji wa Mungu, anaye kuja na Ujumbe ya Mungu, anayetumwa na Mungu, siyo mtu anayeleta maneno ya ujuzi au mtu anayeangusha watu katika makutano ya maombi pamoja na maajabu na ufunuo ya udanganyifu, hata kama hizo ufunuo zinakuwa kila mara kweli… [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!]. 9. Neno la kiebrania kuhusu nabii ni nabi na neno hili maana yake:”msemaji” Hapana mwenye-kuja na miujiza au mwenye-kuleta upako lakini “msemaji”. Mnaona? Nabii-mjumbe ni sifa na tukio ya Neno la Mungu kwa kizazi chake. Play store: goo.gl/s1X3WY KZbin: goo.gl/WvqAz2 Site Web: www.philippekacou.org
@pitermdabwa17516 жыл бұрын
Ameeen
@inzadosso50437 жыл бұрын
2. Shetani na watoto wake wafwate shule la uchungaji, chuo cha kibiblia na intaneti, mimi na nyumba yangu tutabaki na ufunuo ya unabii. [Ndr: Kusanyiko linasema, "Amina! "]. Na baada ya shule la uchungaji, semina na diploma za kiteolojia, wakati wanafiki hawa, wana wa shetani wanasimama mimbarini, wanasema : "Ee Mungu ! Fanya nisionekane na useme kupitia mimi". Mnaona ? Ni mchanganyiko ! Kama unajua ya kwamba Mungu anaweza kukuondoa na kuzungumza kupitia wewe basi ulienda kutafuta nini katika shule za uchungaji ? 3. Shule la uchungaji ni mahali tu ambapo watu hujifunza mbinu za kuchezea saikolojia ya watu. Mnaona ? Wanajifunza hali na mwenendo za watu. Hii yote huitwa uchawi. Na hiyo ndiyo wanaficha watu www.philippekacou.org
@elisantennko82226 жыл бұрын
Sure Dan umenena. Wakati naku shoot video semina mnazi ulikuwa unaruka sana!
@maitretv76037 жыл бұрын
Mungu yupo kazini kwani tunaishi wakati wa udanganyifu kuu; kama vile ulimwenguni kila mtu anataka awe rais wa Jamhuri, kanisani pia kila mtu ana huduma. Unabii, ndoto, na maono zatokea huko na kule kwa kugawa huduma. Wanaongeza kazi ya wanawake hadi mimbarini. Jina la Bwana Yesu Kristo linafanywa kuwa biashara, makesha za maombi zimepangwa mwisho wa kila mwezi. Watu waliyo anguka kutoka neema, wanao ngojea jehanamu wao ni watumishi wa Mungu. Wana wa mapepo! Kuna mambo mawili ya kufanya: Ao muonyeshe wazi wazi kwamba mimi ni katika kosa na ninajiunga nanyi wala basi muyatambue makosa yenu mbele ya watu wote na nifute masinagogi zenu. Kila mara ninaona mambo namna hii. #ProphetKacouPhilippe www.philippekacou.org goo.gl/s1X3WY
@koladjulius99456 жыл бұрын
naukataa umaskini kwanina la yesu
@nabihelias8216 жыл бұрын
nikweli,mana bii wa uongo wanaongeza magari sisi tunaongeza kilio.
33. Tangu kizazi hadi kizazi Ukweli hupatikana tu kwa nabii mjumbe aliye hai duniani. Ni yeye anaye funguo za ufalme, yeye ndiye Njia, Kweli na Uzima kwa wakati wake. Na unapofungua Biblia, unaona Isaya, Yeremia, Amosi, Ezekieli, na kadhalika. Haya ni majina ya manabii. Ukweli ni pamoja na nabii mjumbe aliye hai na sio katika kanisa fulani. Basi mnafanya nini na Biblia mikononi mwenu ? Kama sivyo, Je ! Ni kwa wokovu mnaenda kanisani ? Japo kama Mungu anaokoa mbatisti, mpentekoste, wa uamsho au mmoja wa kusanyiko za miungu, atahukumuje wafarisayo, Yuda na Kaini ? goo.gl/s1X3WY
@fabianpius74236 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@adopolilianeedwige76287 жыл бұрын
6. Jua kwamba kama Mungu alikuwa mkuu wa makanisa haya, hawangesali pamoja na Wabuddha, mahikari, Waislamu, wachawi, masks, wakiwa na vinywaji na ngoma za michezo za kiasili... www.philippekacou.org
@bonelyanastase31244 жыл бұрын
Huo mnyoo wa kihuni unaitwa kiduku
@telesiasaga56213 жыл бұрын
Kwakweli
@fastonsambo-du4rd3 ай бұрын
Usiifuatishe Dunia hata kama ni ulaya au Marekani
@kacouhervenguessank.h44067 жыл бұрын
11. Mapepo yaliyo kuwa zamani nyuma ya kanisa katolika ni yale yale yaliyo nyuma ya makanisa haya ya kiprotestanti, ya kiinjili, na ya kibranhamisti mnayo yaona leo. Katika duka la vitabu la kikatolika mtaona rozari, mishumaa, uvumba, misalaba... mapepo yaliyo nyuma ya vitu hivi ni yale yale yanayo patikana nyuma ya maduka za vitabu vya kikristo vya kiinjili. Moja ni picha ya ingine lakini kwa kipimo cha ukweli, Biblia ni nzito kuliko vitabu vyote vya haya maduka za vitabu kwa jumla. Mapepo yaliyo nyuma ya maredio za kikatolika ndizo zipo nyuma ya maredio za kiinjili. Tafsiri za biblia ya kiinjili ni picha ya tafsiri ya biblia ya kikatolika. Www.philippekacou.org
3. Shule la uchungaji ni mahali tu ambapo watu hujifunza mbinu za kuchezea saikolojia ya watu. Mnaona ? Wanajifunza hali na mwenendo za watu. Hii yote huitwa uchawi. Na hiyo ndiyo wanaficha watu www.philipppekacou.org
@bernardjohn87887 жыл бұрын
Comedian or paster?
@christelleetiboi32367 жыл бұрын
7. SASA ! UJUMBE HUU UNASEMA NINI ? Ujumbe huu unasema ya kwamba hatuko tena wakati wa jioni bali usiku wa manane. Hata hivyo, ni wakati moja tu na ile ile Roho ya Eliya, lakini ni Ujumbe « Mpya » ambao ni Ujumbe ya wakati wa jioni kwa kiwango cha juu. Basi Zakaria 14:7 ni tofauti na Matayo 25: 6.www.philippekacou.orggoo.gl/WvqAz2#ProphetKacouPhilippe
@muujizakasiwa45347 жыл бұрын
injili ya kiduku hiyo haifai baba usijitetee
@stewartmillanzi39187 жыл бұрын
Acha wivu wewe...huyo ni mtoto wa Kulola. Injili yake ni ya moto, kama umeumia, utajijua mwenyewe na roho yako. Kulola chapa kazi...usisikilize maneno ya wavivu walioshindwa kazi. Piga kazi kamanda...tunakuamini.
@christelleetiboi32367 жыл бұрын
7. SASA ! UJUMBE HUU UNASEMA NINI ? Ujumbe huu unasema ya kwamba hatuko tena wakati wa jioni bali usiku wa manane. Hata hivyo, ni wakati moja tu na ile ile Roho ya Eliya, lakini ni Ujumbe « Mpya » ambao ni Ujumbe ya wakati wa jioni kwa kiwango cha juu. Basi Zakaria 14:7 ni tofauti na Matayo 25: 6. www.philippekacou.org goo.gl/WvqAz2 #ProphetKacouPhilippe
@kkjh57217 жыл бұрын
Stewart Millanzi Kc 2:8. Baada ya mageuzi, Martin Lutheri, Ulrich Zwingli, Farel, Yoani Kalvini, John Wesley na wengine walipo fariki, makanisa yakasonga Kanisa la kweli. Mungu akapandisha sasa malaika wa tatu, mjumbe wa tatu pamoja na Ujumbe ya unabii kwa watu wote wa dunia. Mungu hapandishi kamwe kanisa au kundi la watu kwa kuleta au kurudisha Ukweli duniani bali nabii-mjumbe. Kumkataa huyu nabii, ni kumkataa Mungu, kwa kuwa nabii ni kinywa cha Mungu, msemaji wa Mungu, anaye kuja na Ujumbe ya Mungu, anayetumwa na Mungu, siyo mtu anayeleta maneno ya ujuzi au mtu anayeangusha watu katika makutano ya maombi pamoja na maajabu na ufunuo ya udanganyifu, hata kama hizo ufunuo zinakuwa kila mara kweli… [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!]. 9. Neno la kiebrania kuhusu nabii ni nabi na neno hili maana yake:”msemaji” Hapana mwenye-kuja na miujiza au mwenye-kuleta upako lakini “msemaji”. Mnaona? Nabii-mjumbe ni sifa na tukio ya Neno la Mungu kwa kizazi chake. Play store: goo.gl/s1X3WY KZbin: goo.gl/WvqAz2 Site Web: www.philippekacou.org
@kouameregina90217 жыл бұрын
Kacou Philippe ndiye nabii pekee wa kweli wa Mungu katika kizazi hiki. Wengine ni watumishi wa shetani. tembelea www. philippekacou.org
@domindominick47376 жыл бұрын
kweli itakuweka huru,acha uongo mungu hakuwa na mtume mmoja tu
@yaobleestelle25137 жыл бұрын
Mbali na nabii Kacou Philippe, ni kifo. goo.gl/s1X3WY
@godfreykashangaki40626 жыл бұрын
phippo!! wewe unamjua aliye kutuma, piga kazi baba, mwadamu ajakutuma ukitaka umfurahishe utashindwa bcoz 1.ukimpa pesa bure ,atasema unamtambia 2.ukimnyima atasema we mchoyo ,3 .ukitoa hutuba ndefu atasema ujajipanga 4 .ukitoa ndefu atasema hutunzi muda.. maoni yangu Mimi kama APOSTLE(mtumwa wa kristo) ni kwamba mtumikie aliye kutuma kwa akili zako zote.
@kkjh57217 жыл бұрын
Kc 2:8. Baada ya mageuzi, Martin Lutheri, Ulrich Zwingli, Farel, Yoani Kalvini, John Wesley na wengine walipo fariki, makanisa yakasonga Kanisa la kweli. Mungu akapandisha sasa malaika wa tatu, mjumbe wa tatu pamoja na Ujumbe ya unabii kwa watu wote wa dunia. Mungu hapandishi kamwe kanisa au kundi la watu kwa kuleta au kurudisha Ukweli duniani bali nabii-mjumbe. Kumkataa huyu nabii, ni kumkataa Mungu, kwa kuwa nabii ni kinywa cha Mungu, msemaji wa Mungu, anaye kuja na Ujumbe ya Mungu, anayetumwa na Mungu, siyo mtu anayeleta maneno ya ujuzi au mtu anayeangusha watu katika makutano ya maombi pamoja na maajabu na ufunuo ya udanganyifu, hata kama hizo ufunuo zinakuwa kila mara kweli… [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!]. 9. Neno la kiebrania kuhusu nabii ni nabi na neno hili maana yake:”msemaji” Hapana mwenye-kuja na miujiza au mwenye-kuleta upako lakini “msemaji”. Mnaona? Nabii-mjumbe ni sifa na tukio ya Neno la Mungu kwa kizazi chake. Play store: goo.gl/s1X3WY KZbin: goo.gl/WvqAz2 Site Web: www.philippekacou.org
@musabalinaki58477 жыл бұрын
Amen
@magnoliakouakou87447 жыл бұрын
3. Shule la uchungaji ni mahali tu ambapo watu hujifunza mbinu za kuchezea saikolojia ya watu. Mnaona ? Wanajifunza hali na mwenendo za watu. Hii yote huitwa uchawi. Na hiyo ndiyo wanaficha watu www.philipppekacou.org