Dakika 10 za Kishimba mbele ya MAPROFESA wa Tanzania kwenye kongamano la mitaala na sera ya elimu

  Рет қаралды 55,166

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

10:05
Mbunge wa Kahama Mjini (CCM) Jumanne Kishimba akitoa maoni yake kwenye kongamano la sera na mitaala ya elmu Tanzania leo Jumapili Mei 14, 2023 jijini Dodoma.

Пікірлер: 104
@user-io5vs3hs8w
@user-io5vs3hs8w 3 ай бұрын
Asante profesa Kishimba unazungumzia uhalisia kabisa
@saviomlelwa
@saviomlelwa Жыл бұрын
Dah! Umezingumzia uhalisia wa maisha yetu na elimu tuliyonayo. You are the real professor.
@tanzaniafxlab
@tanzaniafxlab Жыл бұрын
Hii ni point kubwa sana, kuwafundisha watu waweze kuishi, sio kusoma bila uwezo wa kujitegemea
@leonardchoma3765
@leonardchoma3765 Жыл бұрын
Mzee Kishimb ni Mtanzania wa pekee sana.Akili yake ni ya kimapinduzi Sana.
@mrsmile5425
@mrsmile5425 Жыл бұрын
Hata kama hawajampa udaktari wa heshima sisi wananchi tumeshampa uproffesor
@EzzyK438
@EzzyK438 Жыл бұрын
Huyu ndo awe M/Kiti wa maprofesa Tz 👏 👏
@juliusbutindi6222
@juliusbutindi6222 Жыл бұрын
Proud of you Mh. Mbunge wangu
@emmanuelkabote7246
@emmanuelkabote7246 Жыл бұрын
Akili kubwa sana
@josiacharles2778
@josiacharles2778 10 ай бұрын
Mzee Mungu akupe maisha, Kwakweli watoto wachuo sasaivi akirudi nyumbani uwezi kumuacha dukani vocha huzikuti.
@blassabdon8241
@blassabdon8241 Жыл бұрын
Master Kishimba, mzee ana maono chanya sana. Ana akilo nyingi mnoo.
@meshackwilfred5380
@meshackwilfred5380 Жыл бұрын
Real contents of life Much kudos this wise man with golden mindset
@masellemaziku1096
@masellemaziku1096 Жыл бұрын
Constructive thinking. You are a blessed fellow. Unatufikirisha nje ya box. Aksante sana Mhe. Kishimba
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Afu mnawapa udokta wakina tale
@chiefchacha2992
@chiefchacha2992 Жыл бұрын
@@fahadfaraj6474 Tale..!!?? Tale gani mwanangu?
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
@@chiefchacha2992 babu tale si alipewa udaktari wa heshma
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 Жыл бұрын
Nashangaa ubongo wa huyu mzee wangu unajaaje katika fuvu lake. Ana ubongo MKUBWA sana. Anazungumza mambo ya "mtaani" kabisa.
@ROBERT75376
@ROBERT75376 Жыл бұрын
Siku moja niliota huyu mheshimiwa amekua kiongozi mkubwa sana! Natamani hiyo ndoto ije iwe kweli.
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 Жыл бұрын
Ni ngumu kumpatia uongozi mkubwa maana anaga uongozi wakisiasa kanyooka na siasa zetu za Tanzania zinataka kugeuza geuza mambo.
@azizirubelwa2992
@azizirubelwa2992 Жыл бұрын
@@philemonmagesa5548 Umesema kweli Ili watu wale lazima kijiko ukiite chepe hapo itaonekana uko sawa na umekuwa
@magorimagori9264
@magorimagori9264 Жыл бұрын
Hii akili ni Kubwa sanaa kuliko mawazo yetu
@frankndendu2570
@frankndendu2570 Жыл бұрын
The real professor 👏
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 Жыл бұрын
Hakika Kishimba ni Profesa
@princes6045
@princes6045 Жыл бұрын
Wise man
@norascomulenzi222
@norascomulenzi222 Жыл бұрын
Big brain
@ramadhanibahati2829
@ramadhanibahati2829 Жыл бұрын
Safi kabisa kishimba
@josephrobert7725
@josephrobert7725 Жыл бұрын
Huyu Mzee ukipata muda wa kumsikiliza ni wa tofauti sana na ni asset kubwa sana kwa Taifa letu
@kangaelias7782
@kangaelias7782 Жыл бұрын
Asilimia 100, Nakukubali sana profesa kishimba
@user-pp7ug2bc1y
@user-pp7ug2bc1y Жыл бұрын
Anzia hapa 1.Idealism 2.Realism 3.Pragmatism 3. Reconstructionism 4 . Progressivism Sasa aina ya elimu, wanafunzi, waalimu,, shule na mtaala na mbinu za kufundisha zinategemea falsafa tunayoichukua.
@SuleimanMohamed-Alkhusaib
@SuleimanMohamed-Alkhusaib Жыл бұрын
Mzee Huyu Ana Akili sana.. Tatizo mawazo yake hayafanyiwi kazi tuu kwakweli
@nelsonchristian1555
@nelsonchristian1555 Жыл бұрын
Proud of kahama
@SinguMahona-hy7ud
@SinguMahona-hy7ud Жыл бұрын
Mimi singu mahona nakupongeza Sana kishimba mungu akubariki
@athmanimkangara9290
@athmanimkangara9290 Жыл бұрын
Daaah!!
@VenerandaKundi-ph4hg
@VenerandaKundi-ph4hg 10 ай бұрын
Ni kweli kabisa mtoto ambaye anaejua kufanya KAZI huwa hapendi rushwa
@josephg.mwangamila4865
@josephg.mwangamila4865 Жыл бұрын
Mtazamo wa Mzee Kishimba ni kwamba hilo andiko halijaingiza mabadiliko ya msingi kwa elimu yetu. Inabidi lifanyiwe kazi kubwa zaidi. Ni kweli kabisa. Kazi bado ni kubwa liboreshwe. Aina ya wajumbe pia inaweza kusababisha tusipate kitu bora. Hiyo kazi inataka watu wenye upeo na mawazo mapana na siyo kiwango kikubwa cha elimu tu . Ningetamani Mzee Kishimba awe kati ya wenyeviti wakuu wa kamati hiyo !
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 Жыл бұрын
Elimu inafundisha watafuta fedha sio wenye maarifa ya kujua mifumo ya uchumi' na ya uzalishaji mali na namna ya kuibadili na kuendesha wakati fedha sio msingi WA maendeleo ni matokeo TU. imf kwa sababu ya misaada Yao wamesema serikali ijitoe kwenye uzalishajiyaani mifumo ya uchumi ikadanganyika mifumo ya uchumi inatawaliwa na watu wao ndo maana imeweka mitaala ya kufundisha wajiriwa na WA kujiajiri hao ni money hunter( mafisadi ) na watumwa wasio na mbinu ya kuishi kwa kutumia mazingira yao
@SakaMaduhu-uf5dt
@SakaMaduhu-uf5dt Жыл бұрын
Very nice speech
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 Жыл бұрын
Kishimba ni moto
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 Жыл бұрын
Hajawahi kuongea Pumba huyu mzee.. Japo wapo wasioweza kumuelewa
@peacechodile8578
@peacechodile8578 Жыл бұрын
Tanzania tumpe nchi huyu jamaaa
@frenkfarm
@frenkfarm Жыл бұрын
safi sana sana sanaaa 💪
@RamondLema-po6py
@RamondLema-po6py Жыл бұрын
KWELI VITENDO HUZIDI MANENO - ASANTE
@constantinochalle856
@constantinochalle856 Жыл бұрын
Yes boss,,, kahama one"""""
@josephmalila4793
@josephmalila4793 Жыл бұрын
Salute
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 Жыл бұрын
Daa, huyu mzee huyu...., always anafikiria visivyo fikirika na wengine yaani. Kwamba Ulaya wanafunga shule wakati wa baridi, why na sisi tusifunge wakati wa mvua? We mzee ni profesa kabisa
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 Жыл бұрын
Ni kweli, elimu ya ujasliamali hiyo, ifundishwe kwenye mitaala yetu. Mfano kuna kitabu kimoja cha Mchungaji wa Kisabato anaitwa Kenani Mwasomola, kinaelezea kujitoa kwenye umasikini, kinaeleza kabisa ukilima mti wa parachichi mmoja kwa gharama fulani baada ya muda fulani utavuna maparachichi Kadhaa na utaingiza pesa kiasi kadhaa, n.k.
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 Жыл бұрын
Kweli
@kiatu
@kiatu Жыл бұрын
Genius
@johnluis35
@johnluis35 Жыл бұрын
Elimu ya tanzania ni historia ya matukio ya wazungu na uvumbuzi wao
@mcwaya
@mcwaya Жыл бұрын
Ukweli mtupu
@petermwijage9882
@petermwijage9882 Жыл бұрын
daa mr.kishimba unakalisha hadi ma profesa .???????👊👊👊👊👊👊🙏
@diltondilunga9915
@diltondilunga9915 Жыл бұрын
Nakukubali kwa hoja na mawazo yako
@eliasgulinja442
@eliasgulinja442 6 ай бұрын
Jishimba ni moto wa kuotea mbali
@innocentlongino5664
@innocentlongino5664 Жыл бұрын
Good speach
@stephanosimkoko630
@stephanosimkoko630 Жыл бұрын
Huyu mzee namkubali sana
@RamadhanHaji-jw6dl
@RamadhanHaji-jw6dl Жыл бұрын
HALLOW TANZANIA HUYU MZEE INGALIFAA AWE MUHADHIR ANAYOUAZUNGUMZA NO MASOMO KAMILI YA KUWA NA SILABI YA MAZINGATIO NAMNA YA KUQAPATA VIJANA HARAKA WENYE KUJITEGEMEA
@leganmichael6148
@leganmichael6148 Жыл бұрын
Kila siku umekuwa ni mtu bora sana, mchango wako juu ya mabadiliko ya Elimu ni mkubwa sana.
@bakarisamaki5711
@bakarisamaki5711 Жыл бұрын
Naweza kupata mawasiliano na huyu mzee Naweza kua na suluhu kamili kwenye swala hili
@fadhilisecha4268
@fadhilisecha4268 Жыл бұрын
Huyu mzee ni akili kubwa.
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 Жыл бұрын
Genius Kishimba. Wadau Wa mazoezi mpo? Piteni hapa Kuna video za mazoezi ya kujenga mwili kupunguza uzito pia
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 Жыл бұрын
Huyu ndio Profesa wetu
@_CyprianBC
@_CyprianBC Жыл бұрын
Achilla mbali hao wanaopewa Udaktari, Mhe. Kishimba apewe Uprofesa kabisa maana kila nikimsikiliza absolutely ni highly thinker anaemfuata Kasheku Musukuma
@catherinepenbin6780
@catherinepenbin6780 10 ай бұрын
Sasa naomba kuuliza physics ina application gani kwenye nursing?Current electricity,etc vinahusika gani humu.Hebu tubadilike.
@rwakyenderajulius3861
@rwakyenderajulius3861 Жыл бұрын
Mwanafalsafa mkuu wasomi hoi.
@salimmwakumi3852
@salimmwakumi3852 10 ай бұрын
Master Kishimba, akili kubwa..
@deusmgema8612
@deusmgema8612 Жыл бұрын
Jimbo la kahama endeleeni kutuletea huyu mbunge tunajifufunza mengi kupitia yeye hata kama serikali haipokei mawazo yake, ahsante kahama kwa mbunge huyu
@luganosimon4111
@luganosimon4111 Жыл бұрын
Mie huyu mzee ndio najaribu kufuata nyendo zake ili angalau kuondokana na ufukara.Kaongea kitu hapo kwamba chanzo cha rushwa ni kwa walioshindwa kupanga maisha hivyo wanaaamua njia nyepesi ya kuendesha maisha ambayo ni rushwa
@prosperidinya5864
@prosperidinya5864 3 ай бұрын
Akili kubwa, madarasa machache.
@wemapaschal2325
@wemapaschal2325 Жыл бұрын
Hv kwanini munaogopa kumpa uwaziri wa elimu
@VedastoKeya-vt8pf
@VedastoKeya-vt8pf 5 ай бұрын
Hili jamaa lipo kihalisia sana ndiomaana ni tajiri sana
@agusmileofficial2845
@agusmileofficial2845 Жыл бұрын
Uyu akipewa urais nchi itakuwa nzur san
@seifomar8297
@seifomar8297 Жыл бұрын
We produce that we can't consume
@patrickKitambo
@patrickKitambo Жыл бұрын
This is a simple explanation of our education system.. infact we don't even know why we have education system
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Жыл бұрын
Huyu Profesa Kishimba ameutangulia sana ufahamu wa baadhi Viongozi wetu katika Nchi hii. " Mh Kishimba ameuliza swali ,"Kwa nini wasomi ndio wanakuwa tatizo kwa wazazi na kwa nchi,badala ya kuwa ufumbuzi wa tatizo"?
@komborashid5891
@komborashid5891 Жыл бұрын
Ni kweli ila mafundi wana zaraulika sana
@alexbushishi8342
@alexbushishi8342 Жыл бұрын
Prof. Mh. Dr. Kishimba PhD in action.
@BITUROKAZERI
@BITUROKAZERI Жыл бұрын
Mda mwafrika anaokaa shuleni ndio wakati mfumo wake wa elimu unavurugwa na kuvuruga maisha yake yote
@mekumeku2484
@mekumeku2484 Жыл бұрын
Hawa prof wetu wanamuelewa au wanaangalia mawazo kwa kupitia vyeti?
@joviignus1674
@joviignus1674 Жыл бұрын
Maana yake ni tunacho fundishana sio sahihi
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
Tunafundishana tusichokihitaji Kwa kweli
@iviejustified8109
@iviejustified8109 Жыл бұрын
Haha Huyu mzee master saana
@mekumeku2484
@mekumeku2484 Жыл бұрын
Ni vyema aeleweke anachosema
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын
Cha msingi serikali ni lazima iwe na sera ya kuwa na viwanda vingi kama mali zipo kilimo na kuzichakata itakuwa lahisi kwa wananchi itatoa ulahisi .
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 Жыл бұрын
tatizo serikali ni vichwa vigumu wakishaamua yao wameamua ndio shida na ndio shida
@jastinmkandala5620
@jastinmkandala5620 Жыл бұрын
Huyu ndo profesa,achana na hao maprofesa wa vitabu
@Users2523
@Users2523 Жыл бұрын
Huyu anafaa kuwa Rais wa nchi. Namuona marehemu magufuli ndani yake. Tunahitaji kiongozi kama huyu.
@mekumeku2484
@mekumeku2484 Жыл бұрын
Ukimsikiliza kishimba usipokuwa tajiri basi tena maana ana mawazo mbadala ya kutosha
@WilsonKimori-qt1vj
@WilsonKimori-qt1vj 10 ай бұрын
.
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 Жыл бұрын
Sawa mkuu ila hawawezi kukuelewa
@mekumeku2484
@mekumeku2484 Жыл бұрын
Huyu jamaa akili kubwa sana
@ommyregga5829
@ommyregga5829 Жыл бұрын
Una akiri ya kuzaliwa
@fadhilisecha4268
@fadhilisecha4268 Жыл бұрын
IQ yake ni kubwa sana
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 Жыл бұрын
Badilisheni mitaala hapo imeeleweka
@simonhaule8976
@simonhaule8976 Жыл бұрын
Akili yenye matamauluku
@noelngowitechnicalsolution
@noelngowitechnicalsolution Жыл бұрын
Kishimba ana akili sana
@leonardjackson269
@leonardjackson269 Жыл бұрын
Hki ni kichwa haswa
@davidkiswaga4453
@davidkiswaga4453 Жыл бұрын
Hapo vyuoni watuwekee mashamba ya kila vilimo ndio dawa muda wa kwenda kuruka viwanja wawe shambani.
@andrewmsunga9425
@andrewmsunga9425 Жыл бұрын
Huyu Mzee Apewe Maua yake
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 Жыл бұрын
Kwahiyo tufunge shule miezi mitatu? Tukalime au vipi, ama msimu wa kilimo kanda ya kusini na mashariki, kaskazini ni tofauti! Arusha wafunge mwezi wa 12 mpaka wa 3, .
@jamesmasanja1963
@jamesmasanja1963 Жыл бұрын
Wewe hujaelewa ludia kusikiliza
@amonbwanakunu910
@amonbwanakunu910 Жыл бұрын
🚮🚮🚮
@johanes9630
@johanes9630 Жыл бұрын
Mzee kishimba nakkbali,nadhani ww una elim kubwa ya ujasiliamali.
@innocentlongino5664
@innocentlongino5664 Жыл бұрын
Good speach
@wemapaschal2325
@wemapaschal2325 Жыл бұрын
Hv kwanini munaogopa kumpa uwaziri wa elimu
Mbunge aishauri serikali kuanzisha chuo cha wizi
5:41
Azam TV
Рет қаралды 154 М.
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 25 МЛН
What does Satoru Gojo have? #cosplay#joker#Harley Quinn
00:10
佐助与鸣人
Рет қаралды 7 МЛН
LIVE: HARMONY FOR HAITI CONCERT, UHURU GARDENS NAIROBI
11:54
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 4,5 М.
MWANAMAPINDUZI: "TUTAWAPOTEZA, POLISI MSIWATAFUTE..." amtaja spika tulia
13:56
NO JOKES! LISTEN TO WHAT DP GACHAGUA SAID IN CHURCH TODAY!
16:36
Kenya News Alerts TV
Рет қаралды 483
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 25 МЛН