Meja Kunta - Hassani

  Рет қаралды 340,873

Meja Kunta

Meja Kunta

Күн бұрын

Meja Kunta, known for his awesome Singeli music, is dropping a new tune called HASSANI.' It's not just a song; it's like a cool story set to the beat of the streets. In HASSANI,' Meja Kunta tells a story about a guy who makes some not-so-great choices, leading him into a tricky situation. It's not your regular song; it's more like a fun puzzle for you to figure out. Meja Kunta's words paint a clear picture of this guy's journey, and HASSANI' isn't just about music - it's about choices and surprises. So get ready for a catchy tune, clever lyrics, and a story that'll keep you hooked. 'HASSANI' by Meja Kunta is more than just a song; it's a simple yet gripping story that you won't want to miss.

Пікірлер: 268
@CharlesKalembo
@CharlesKalembo 9 ай бұрын
Msanii wangu bora wa singeli wa muda wote🙌🙌🙌
@OFFICIALSEMAH
@OFFICIALSEMAH Жыл бұрын
From Kenya 🇰🇪🇰🇪 Tanzania 🇹🇿 wapi like za meja kunta #hassan weka like zake hapa zote 🎉🎉🎉🎉🎉 meja umepigaje hapooooooo ❤❤❤❤
@Bunalasports
@Bunalasports 9 ай бұрын
Nakubari asan umepigaje apo🎉🎉❤❤❤❤
@fadhilisimwinga8114
@fadhilisimwinga8114 Жыл бұрын
Hii ni fireeee singeli ya mwakaaaa hii
@mohdloushmoney9994
@mohdloushmoney9994 Жыл бұрын
Bongo imechafuka kila gang kila kona new flavour ❤
@superhemed7590
@superhemed7590 9 ай бұрын
Hassan ilikuwa bonge la jimbo meja umezingua umeivuruga fanya remix Verse ziwe za Hassan na iwe ndefu lazma ipate hit beat ilo ilo pitch iyo iyo
@MuniraYussuph
@MuniraYussuph Жыл бұрын
Iyoooooooohhhhhhh song co poah ongera kunta umepigaje hpooooooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@siyeyetv
@siyeyetv 9 ай бұрын
mwanang ww ni fund hii nimeiskia kwenye dala dala ❤
@hassansaidjuma24
@hassansaidjuma24 Жыл бұрын
Meja huu mwaka utaumaliza vibaya 😂 maana hapo umewaongopea hata sisi wa kina hassan hatuna mambo hayo naomba BASATA muifungie hii nyimbo ya meja maana anatuletea utoto 😅🔥🔥
@catherineemanuel8727
@catherineemanuel8727 9 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ummimyelle6561
@ummimyelle6561 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂assan ulibakwa😂😂😂 hii ngoma ni💥💥💥
@damianvevotz9044
@damianvevotz9044 Жыл бұрын
Mbona haidi hazienda ungeanza mwanzo mwisho Hasani #Fit_music
@kamy72
@kamy72 Жыл бұрын
Ni kweli ila muziki sio rahisi kama munavo dhani
@josephatmagenda
@josephatmagenda Жыл бұрын
Meja kunta umeshindkana😂😂🙌🏼🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@hassanabdul7141
@hassanabdul7141 Жыл бұрын
Mnatuharibia cv zamajina yetu mtahani aisee jrb kuwa mnachagua majina yanyimbo zenu sio majina yawatu
@MariamMaganga-pf7ge
@MariamMaganga-pf7ge 8 ай бұрын
Hahahahaha Hassan umefanywa nn
@faldinngakola3694
@faldinngakola3694 4 ай бұрын
Kweli kabisa ndugu
@khloevibe7569
@khloevibe7569 11 күн бұрын
nauliza hassan amefanywa nn?
@hassanmohammad2504
@hassanmohammad2504 Жыл бұрын
Matumizi mabaya ya jina langu haya meje kunta sio poa mazeee😅😅😅😅😅
@MariamMaganga-pf7ge
@MariamMaganga-pf7ge 8 ай бұрын
Hahahahaha Hassan umefanywa nn
@chiconinde8135
@chiconinde8135 Жыл бұрын
Sema Meja sauti sijui umepeleka wapi daah....haya bana kazi nzuri.
@shackshd1512
@shackshd1512 Жыл бұрын
Ndio saut yake iyo sawa hhhh zile nyengine hua anaigiza
@Goldenprince-uk6mq
@Goldenprince-uk6mq 8 ай бұрын
Nazani vaibu ya nyimbo
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs Жыл бұрын
Fungeni mwakaaaaaaaaaa wanaumeeeeeeee
@AdmiringFruitBowl-ld6uh
@AdmiringFruitBowl-ld6uh Жыл бұрын
Duuuuuuuu 😢 maskn Hassan limemkuta jambooo sema meja unajua kuimba broo
@GeofreyKubebeka-hg6mu
@GeofreyKubebeka-hg6mu 10 ай бұрын
❤🎉 nimfanye nini
@HassanMohamed-tm6nc
@HassanMohamed-tm6nc Жыл бұрын
Akina hassani tumepatikana...tumekosea wapi sisi..
@hassansukari5211
@hassansukari5211 Жыл бұрын
😂😂😂😂 umepigaje apoo Hassan sukari💪💪💪 ow kama ni hassn umekubal gong like
@macsam
@macsam Жыл бұрын
HASSANI ndo wewe nini 😂😂😂😂😂kudadadadeki
@hassansukari5211
@hassansukari5211 Жыл бұрын
@@macsam 😁😁🙌🙌🙌 mmh wahuni wanafanyaga vbya hamn itakuwa wa jiran
@calebmartinz166
@calebmartinz166 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@hassansudi2401
@hassansudi2401 Жыл бұрын
Som som tumefikiwa😂
@hassansukari5211
@hassansukari5211 Жыл бұрын
@@hassansudi2401 😁😁😁🙌🙌 hataree
@HassanZuberi-w2z
@HassanZuberi-w2z 9 күн бұрын
Meja kunta ni msanii namkubali kinoma❤❤
@Abraham_official-3
@Abraham_official-3 Жыл бұрын
Wakwanza leooo mujaaa kunta noma sanaaaa
@LeodigaryPatrick-zo5kl
@LeodigaryPatrick-zo5kl Жыл бұрын
Meja kama meja #HASSANI 🔥
@IdrisBigDrix255
@IdrisBigDrix255 Ай бұрын
Oya wee, one love all the way from sweden 🇸🇪
@jillydezanzibar4435
@jillydezanzibar4435 Жыл бұрын
Naona kabsa kupotea kunazidi, kilichoimbwa sjakielewa kabsa halafu saut kavu sana kma umelazmishwa
@macsam
@macsam Жыл бұрын
Hyooooo weeee weeee nikajua we misomisondoo kumbe we mshizo utawaua
@MustaqimMuhsin
@MustaqimMuhsin 11 ай бұрын
Umekaza sauti sio pw 🎉🎉🎉🎉
@rutudaniel8314
@rutudaniel8314 10 ай бұрын
Kwaiyo hassan saiv mafuta mafuta, yan 🌈
@irankundafalidajolie5499
@irankundafalidajolie5499 7 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila Meja utatuuwa tuna enjoy na singeli yako kinooooomaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏👏
@Saadan_Tv
@Saadan_Tv Жыл бұрын
mkubwa mkubwa2 mwanagu unajua mpka unakera💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@EstherMartin-u8b
@EstherMartin-u8b 4 ай бұрын
Namkubali kinoma meja kunta i wish one day nimuone❤
@veronicasolange930
@veronicasolange930 Жыл бұрын
Utawauwaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@safisp
@safisp Жыл бұрын
Kabakwaaaaaaaaaa😂😂😂😂
@SelemanKijangwa-c6h
@SelemanKijangwa-c6h 4 ай бұрын
Halidy ni nimoja2 ngoma kali sana
@gweremuhidini4204
@gweremuhidini4204 Жыл бұрын
Wakwanza kuona kaz nzr meja
@mwamposaa65
@mwamposaa65 11 ай бұрын
Ni😂metafta ii ngoma zaidi ya wiki sijajua ya nan nikadhani mkojanii 😢kumbe n M2 mbili like kwao adi mwaka 2025
@kingfisher101
@kingfisher101 11 ай бұрын
Mzigo nimeucheck naona niwenyewe kabisa
@Boysukke
@Boysukke Жыл бұрын
Oyaaaa kunta atengwee🙌🙌😂🤣
@mussamuya1333
@mussamuya1333 Жыл бұрын
Mbunif sana we jamaa😮😮
@jebemo7
@jebemo7 6 ай бұрын
this the best‼ love from Berlin !!!!!!!!!!!🇩🇪
@mg_panther
@mg_panther 8 ай бұрын
Aaah mi nakubali jamani
@PhilipoNichoraus-nr7qt
@PhilipoNichoraus-nr7qt Жыл бұрын
Hasssani...........hasaaniii hasani mtoto wa jirani😅
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq Жыл бұрын
Huu moto D Voice hauwezi❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥.
@khajisokoni3790
@khajisokoni3790 Жыл бұрын
asa ata uwezea wapi mtoto mdogo uyoo
@moseswellington2023
@moseswellington2023 Жыл бұрын
hawa ni washkaji na d voice anaeshim uwezo wa meja kaka acha makasriko
@jaffaryhamiddy8939
@jaffaryhamiddy8939 Жыл бұрын
qmmk hii sio poa,hassan kazingua😅😅
@JacqlineSenegal-p6m
@JacqlineSenegal-p6m 11 ай бұрын
Kula chuma hicho 🎉🎉
@SALHACHINA
@SALHACHINA Ай бұрын
Apa umetisha keep yan😅😅😅😅❤❤❤
@FatmaNur-y1y
@FatmaNur-y1y 10 ай бұрын
Umepigaje hasani😂😂😂🤩🤩🤩🤩
@alhajbendahamisi1002
@alhajbendahamisi1002 Жыл бұрын
Mwanangu Meja HASSAN'
@FlowbangEkeykambæ
@FlowbangEkeykambæ Жыл бұрын
Eeeeh nimekubar sana😂😂🙌🙌🙌
@mkadinali_ent.
@mkadinali_ent. 11 ай бұрын
Yaaani nmejikuta nacheka kishenz saaaana ,
@GoodluckGoima
@GoodluckGoima 4 ай бұрын
Et e
@kubwalaodancers
@kubwalaodancers Жыл бұрын
waoo hii imeendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@AsajileMichael
@AsajileMichael 4 ай бұрын
Bonge la wimbo Kenya mpo wapi❤❤❤😂😂😂
@EssahPointEntertainment
@EssahPointEntertainment 9 ай бұрын
Ila Hasanii😆😆😆😆😆
@JumaMuhammad-m7d
@JumaMuhammad-m7d 8 ай бұрын
Oya kama in unamkubali mwamba kama Mimi na Unaikubali Ngoma Tia like apo
@SarahElisha-gi7dg
@SarahElisha-gi7dg 9 ай бұрын
Wwweee hasani😂😂😂😂😂😂😂
@jacsonemanuel1236
@jacsonemanuel1236 8 ай бұрын
Umetishaa broo🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯
@FaidhaNgonyani
@FaidhaNgonyani 7 ай бұрын
Asaniii ajafanywa kitu
@omokierda9030
@omokierda9030 Жыл бұрын
Mwamba kabsa meja kunta
@issahamissiissahamissi7775
@issahamissiissahamissi7775 Жыл бұрын
Umepigaje hapo ww Hasan 😂😂😂mbona kama sere2😂😂😂😊
@blackpanther4825
@blackpanther4825 6 ай бұрын
Hahaha nikisikiliza nacheka sana
@hassanjecha5069
@hassanjecha5069 Жыл бұрын
yaan ss kina hassan tunashida kweli kama hii
@martinmendrad3531
@martinmendrad3531 Жыл бұрын
Sasa Huyu ndio bingwa wa Singeli , anajua kuchagua mdundo .
@bonawalewale9921
@bonawalewale9921 9 ай бұрын
Balaa kubwa singeli inaladha
@CalmAlien-do5ol
@CalmAlien-do5ol 6 ай бұрын
Hassan.. ipo supper san hii🇹🇿🇺🇬
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 7 ай бұрын
Mjomba hasani kabakwa 😂😂😂😂😂ila meja unaujua huu mziki wasingel kuliko hua unanikosha mimi hua siupendi ila ww umefanya niupende
@hassanSeleman-ru2tp
@hassanSeleman-ru2tp Жыл бұрын
Meja sio mwana
@snakemelody
@snakemelody 4 ай бұрын
Asani jamani
@patrickakitanda7709
@patrickakitanda7709 10 ай бұрын
Hassan wamemsamehe😂😂😂
@SalmaFateh
@SalmaFateh 7 ай бұрын
oya wahuni niwape story ya hassani😁😁
@brightonngola8142
@brightonngola8142 Жыл бұрын
Naomba remix ifanyike na Baddest
@braybah_oley
@braybah_oley Жыл бұрын
Hassani ni zaidi ya Sele yule wa mshededee 😂😂
@HasaniJuma-ew2kw
@HasaniJuma-ew2kw Жыл бұрын
Mwanangu hujaona majina mengne au
@youngsoldier8775
@youngsoldier8775 Жыл бұрын
Mkwaju 🔥🔥🔥🙌🙌🙌
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 Жыл бұрын
Manyimbo ya wavuta bangi haya 😂😂😂sikilizen wenyewe
@fundiseif1096
@fundiseif1096 Жыл бұрын
Hassani 🔥🔥🔥💯💯💯💪
@sullehtz9327
@sullehtz9327 Жыл бұрын
Mejaaa🙌
@AndreaMlungula
@AndreaMlungula Жыл бұрын
Amebakwa😂😂😂
@veronicasolange930
@veronicasolange930 Жыл бұрын
Hassani kayatimba😂😂😂😂😂
@sanchostylist...9719
@sanchostylist...9719 7 ай бұрын
Mchumbako Hassani😂😂😂
@stephenotieno2345
@stephenotieno2345 Жыл бұрын
oyaah weeh!!!!🔊🔊🔊🔊🤣🤣🤣🤣
@WilliamNesty-eg6is
@WilliamNesty-eg6is 4 ай бұрын
Nakubal sana
@AnnoyedArcticWolf-gq9oy
@AnnoyedArcticWolf-gq9oy 11 ай бұрын
Nilikuwa. Ñàisubilia. Mdamlefu❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅😅😅😅
@BuzaTV-sn2ft
@BuzaTV-sn2ft Жыл бұрын
Mijakuta mwamba
@Drilly_adam
@Drilly_adam Жыл бұрын
Hassani mtu wa matukio😂
@hassanhatib
@hassanhatib Жыл бұрын
oyaaa meja usitutukane tafuta nyimbo zakuimba we ulimuona nan hassan dizain hiyo oya wee
@SualeheDali
@SualeheDali Жыл бұрын
We we we meja umepigaje hapoooo😅
@salumuseif3324
@salumuseif3324 Жыл бұрын
jamaa fundi sana unyamaaaaa
@nancymnyau
@nancymnyau 8 ай бұрын
oyaaa umetishaaa
@nassirramadhankara
@nassirramadhankara 10 ай бұрын
Uhkk meja
@ayubusanga4997
@ayubusanga4997 10 ай бұрын
From china like me
@KajuMpemba-s6l
@KajuMpemba-s6l 23 күн бұрын
Hata tz kuna China Man
@Sam-u3z7y
@Sam-u3z7y 9 ай бұрын
😅😅fire
@FotuNgon
@FotuNgon 3 ай бұрын
Oyaa weee uyu jamaa anajua sana
@moodylaus7099
@moodylaus7099 Жыл бұрын
First viewer😤😤😤😤😤😤
@agogodimack8314
@agogodimack8314 Жыл бұрын
Uku kwetu tumjua hassan
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 6 ай бұрын
Kuharibu majina y kina hasani kwann usingetaja jina lako meja😂
@Pipichkhr7Quotes
@Pipichkhr7Quotes Жыл бұрын
AAAA KMMKE BONGE LA NGOMAAAA🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉ILO DUNDO OYA OYA OYA BABA🎉🎉🎉😂😂😂
@FridausAmara
@FridausAmara Жыл бұрын
😂😂😂oya we umepigaje hapo hassan
@Wigasquare
@Wigasquare 11 ай бұрын
Meja ukikaza xauti unatixha kinooma,,
@MikaMwajombe-dg4mj
@MikaMwajombe-dg4mj 6 ай бұрын
Umetisha hp🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂
@kulatendaudi7671
@kulatendaudi7671 Жыл бұрын
kaka mbona kama stor niyameme hii .unazinguwa mkuu atujakuzoea hiv tupe kunta wa mamuu
@mkadinali_ent.
@mkadinali_ent. 11 ай бұрын
Mm sio shida kwan wew unamind nini
@HassanMohamed-vs4re
@HassanMohamed-vs4re Жыл бұрын
Ujui alichofanywa
@hassanabdul7141
@hassanabdul7141 Жыл бұрын
Hassan mm au hassan mwakinyo
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Meja Kunta Feat D Voice - Madanga ya Mke Wangu (Official  Video)
6:04
DAKOTA MTU HATARI = SIO MWANA SHOW LIVE BUNJU A
5:32
Dakota_mtuhatari
Рет қаралды 115 М.
Misso Misondo - Tera Ghata (Official Music Video)
3:52
Misso Misondo
Рет қаралды 2,8 МЛН
Dj Mushizo x Ibraah Ft Jay Combat Ft Baddest 47 - WIVU Remix ( Official Video )
3:49
kontawa: Toilet (official Visualizer)
3:54
kontawa
Рет қаралды 440 М.
Dulla Makabila -Ujaulamba (Official Video)
5:35
Dulla Makabila
Рет қаралды 1,4 МЛН
DJ Mushizo Live Singerii Beats SESSION 1 in Beach
9:20
DJ MUSHIZO UTAWAUWA
Рет қаралды 726 М.
Zuchu - Hujanizidi Feat D Voice (Official Lyric Video)
4:19
Dulla Makabila - TABATA ( Bonus Track )
5:14
Dulla Makabila
Рет қаралды 174 М.