😂😂😂😂😂😂 nomaaa sanaaa mshabikii Wakoo Mejakuntaa tupooh Pamojaa Na ww🎉
@jacobgregory78343 ай бұрын
Meja unajua kinoma ase ilo sauty duh we mwamba
@isayamsisika62553 ай бұрын
Oya weeeeeeeh chid King Kong 🔥🔥🔥🔥
@ngonde2554 ай бұрын
Hatari weweeeeeeeeeeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 gonga like apo tujuane
@SaumumbelwaSaumumbelwe3 ай бұрын
Nyimbo hatary❤❤
@paulmoshi3 ай бұрын
Hii vita ya meja kunta na dulla makabila yetu macho ngoja tuone panapovuja kama hujanielewa kasikilize tuzo ya makabila
@STRIKEKIBUTI3 ай бұрын
Singeli international ndiooo hii sasa 🎉🎉🎉🎉
@BbasuleBasule3 ай бұрын
Tuzo tupo trending no 8 uko hassan
@NasDEE_Media3 ай бұрын
Chid ni Level zingine kabisaaaaa
@deditocastorey69403 ай бұрын
Beats Zina MTIII Balaaa!
@eliaspius49493 ай бұрын
Chidi kamfunika hadi mwenye ngoma yake🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@Lilabdi20033 ай бұрын
Beenz hatari tena hatari farther ilo 😂the best
@HomeBoy-hx7tp4 ай бұрын
KMMMK BONGE MOJA LA VIDEO🔥🔥🔥🔥🔥
@YEGOMedia763 ай бұрын
Hii Ngoma n Moto 🔥🔥
@tanacksheyo73804 ай бұрын
M ndo supporter wao
@Eliud-d3o23 күн бұрын
My brou is back 💪💪💪💪💪binge la bangg
@dasmileofficial97024 ай бұрын
Huyoo Director N noumah
@kidz_africanzone4 ай бұрын
king wa hizi kazi pekeee
@AbuuBayser3 ай бұрын
Oyaa weeeeh😂😂 chid amewakilisha watu umu🤣😂🔥
@justinmbaga27634 ай бұрын
Beat Kali Sanaa🇰🇪🙌
@teddymusic664 ай бұрын
Nani amechafua kidonda❤❤❤
@fundiseif10964 ай бұрын
Hassani remix ni moto kinoma 🔥🔥🔥😂😂😂🙌
@consoponsiano973 ай бұрын
Chidi Beenz anajua saaaana jaman michalazo yake ni 🔥🔥🔥sema ndoivo watu wanamchukulia poa dharau kibao kwasabu ameshuka kiuchumi ila ❤
@dytin_Boy4 ай бұрын
Aweeeeeee Mr Cheed💥💥💥💥💥💥💯💯💯💯💯
@thegoldendeer47363 ай бұрын
Kama umerudia huu wimbo zaidi ya mara 10 sababu ya Chid Benz gonga like
@lenny_DMA4 ай бұрын
Chid Chid Chid nakuita mara tatu😂😭🔥🙌 1:24
@Ijonesmedia4 ай бұрын
Wanawekaje kama ww hvo
@jumadezi8333 ай бұрын
Sawa konde ww mkali sana....ila uyu darassa uyu haimbwi sana midomoni ila jamaa anajua Sana'a
@esoryc_c3 ай бұрын
Oya chidi kaua sema meja umetisha mamae wote meua tu mamae
@adamsaid70374 ай бұрын
Mboneke yumo humuuu😅😅😅 kama umemuona weka 👍
@ObediObedi-do3ef4 ай бұрын
Chid Benz apewe maawa yake namukubali sana 🙌🙌.useme nyaka ndo imeenda tu ila Babu wewe noma
@ChochoteTv4 ай бұрын
Benz nomaaa NANII AMEJAMBAA😂😂😂😂
@estertabu3883 ай бұрын
Nawapenda sana ❤❤❤❤🎉
@gweremuhidini42044 ай бұрын
Wakwanza jaman like kwameja
@YohanaMabula-d4d4 ай бұрын
😂😂we mshizo
@Chocococoliam4 ай бұрын
Nyimbo mbovu mbayaa
@realsaviour134 ай бұрын
oa chid n mtu mbadi sana🎉🔥🔥🔥🔥🔥
@CollyWilly4 ай бұрын
dadeki hili dude😂😂😂🙌🏼chidiiiiii
@Wanaman-Gang4 ай бұрын
Hii Nyimbo Ipewe Tunzo Ni Balaa Kilasehemu🔥🔥
@Sadi_Tv3 ай бұрын
Chid Benz ni Moto🔥🔥🔥🔥🔥kaua sana tulio mkubali Chid Benzi gonga like hapa
@oprahmenash47093 ай бұрын
Mimi sio shabiki wa singeliii lkn hii balaaaa bhn🤣🤣it’s my favorite Chidi kajua kutuvutaaaaa🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@Rammyharuna4 ай бұрын
Ubaya ubwela
@RahmanJuma-v4l4 ай бұрын
Ankoo umeuwa🌪️
@xboxgamer-easleygaming-ke3 ай бұрын
Walioletwa na mabantu hapa weka tik ❤❤
@enolizy433 ай бұрын
Chid bwan kama umependa verse ya chid gonga like hapa tutoke nae tu
@lusekelo974 ай бұрын
Naona trending no 1 kesho
@ThomasDonard4 ай бұрын
Wa kwanza duuuh
@ShugweHusna4 ай бұрын
Wengine tumekuja kutizama kwasababu ya Chid benz ❤❤❤
@damydee96654 ай бұрын
Hitt😅😅 asee Chidi kauaaa🎉🎉🎉
@rajabus0243 ай бұрын
Chid ndo habari ya town🙌🙌
@shwaboyshabani3 ай бұрын
Kakaka meja motooo❤❤❤❤❤is
@godfreysammy17164 ай бұрын
Huyu Kweli Kingkong Noma Sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤔🤔🤔🤔
@minocapture3 ай бұрын
Hahajahaha mwaka mzima tunamtafu hassan kumbe ndo huyo
@MohamedyBori3 ай бұрын
Chidbenz kaua umu ndan nakubal san legend💪
@idrisshassan46453 күн бұрын
Makabila! Makabila! Abdhallah! Nmekuita mara Tatu siku ukijijua ww ni nan kwenye mziki wa singeli utaacha kujifananisha na akina Mejja uanze kujifananisha na akina Chris brown
@SimoniWakuzikosa3 ай бұрын
Piga leleleeeee😮😮😂😂😂😂 kwa chidi benzi wake weweweeeeee😫😫😫😫😫😫😫😫