MELI za URUSI zawasili CUBA! Ipo Manowari ya Nyuklia, Marekani yatuma Meli na Ndege kufanya Doria

  Рет қаралды 52,071

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 165
@swedywamba5535
@swedywamba5535 Ай бұрын
Sns nakukubali sana bonge la voice bro habari zako unatangaza na nazielewa moja kwa moja
@CastoryKapinga-nb7ht
@CastoryKapinga-nb7ht Ай бұрын
Unyamaaa sana hongerewni sanaa wababe wa vita dunian RUSSIAN CUBA AMBAO WANAKEMEA USHOGAA KUWA NI HARAMU SAFII
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 Ай бұрын
Putin bwana: Action speak than words( Real gentle)❤❤❤
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky Ай бұрын
Marekani imeshindwa kumuheshimu mkubwa mwenzake ... Hilo ndoo kosa walilolifanya tutaona mengi sana....
@user-md9iy9qn1k
@user-md9iy9qn1k Ай бұрын
Hana ukubwa mbele y USA 🇺🇸 uyo ni mavi tu
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky Ай бұрын
@@user-md9iy9qn1k marekani ni mkubwa kwenye mataifa madogo madogo hila sio mkubwa kwa Rusia
@nizarrama225
@nizarrama225 Ай бұрын
​@@user-md9iy9qn1k😂😂😂 unaishi zama za kale 😂😂😂 hujui nyakati zimebadilika, USA ameshindwa kivita Ukraine pamoja na washirika wake NATO, ameshindwa kuvuruga uchaguzi wa urais urusi! Ameondolewa ukanda wa Saheel, au mwenzetu huna macho na masikio 😂
@ASALABOY
@ASALABOY Ай бұрын
SnS inaunguruma ukweli n UWAKIKA 🇲🇿🇹🇿
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 Ай бұрын
Hapo kamuweza marekani huwa anajiona yupo mbali sana
@alextanzania
@alextanzania Ай бұрын
Sio mara ya kwanza Urusi kufanya hivyo
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 Ай бұрын
N zaid ya miaka 30 russia anampleka mbio us 😂😂😂
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
​@@msafirisaimoni9561Russia masikini hana ubavu wa kumpeleka mbio America
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Ай бұрын
Hongera sana urus mtu na rafikiake Cuba ❤ hapo USA ni jilani2
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 Ай бұрын
Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Free Palestinian ❤❤🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇰🇪
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 Ай бұрын
Ashinde basi hiyo vita coz alisema ataipiga Kwa week lakini nimiaka 3 sasa imeenda wakati Ukraine Haina hata Wanajeshi milioni Moja 😂😂😂
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 Ай бұрын
​@@georgekimasaofficial1629we unaona mtu yupo matakoni mwa marekani wewe unaleta habari za Ukraine 😢😢😢
@martinisadru9899
@martinisadru9899 Ай бұрын
Unaota!, kua Russia atamsaidia parestina, au umedanganywa. Mrusi hawezi kuisaidia parestina kamwe. We nenda kamwamshe allah, aamke kuwasaidia parestina,, maana, allah wako amelala usingizi.
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ Ай бұрын
Urusi kajiongeza 😂😂😂
@SalumJuma-iz2gj
@SalumJuma-iz2gj Ай бұрын
Apo marekani kwisha chini ya kizingiti jamaa kamkalia
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 Ай бұрын
kasogelewa yaani marekani akifungua dirisha tu anaona vyuma vileeeee
@zaitunibakari6632
@zaitunibakari6632 Ай бұрын
😂😂😂
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 Ай бұрын
😂😂😂
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Ай бұрын
Marekani anahaha sna
@kingpunzy194
@kingpunzy194 Ай бұрын
Russia alikuwa kimya baada ya USSR kuvunjiaka, alikuwa anajitafuta. Now Russia kajipata kamsogelea US mlangoni.
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche Ай бұрын
Urusi yupo juu.
@MilicentKabui
@MilicentKabui Ай бұрын
Vita ni Vita Mura
@yayananajota5838
@yayananajota5838 Ай бұрын
The boss has alived 💪
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l Ай бұрын
Urusi. Putin❤❤❤captain ibrahim ❤❤❤
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche Ай бұрын
Tarafa nzuri na sahihi manual ya nyuklia,meli za urusi.dolia ya marekani kujidanganya ili atanjwe.
@JosephKapanga
@JosephKapanga Ай бұрын
Hii nimeipenda hapomashoga yatapigwa vizuri sana,walijidai kwakuwa wako mbali,Sasa wamefwata kwao.
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy Ай бұрын
Habar njema hii👏👏👏 Acha wajambe jambe sasa nawao
@MasomeAbell-cr1um
@MasomeAbell-cr1um Ай бұрын
mmarekani ana hahaa
@swedywamba5535
@swedywamba5535 Ай бұрын
Team Putin from Tanzania tujuane kwanza kwa like
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 Ай бұрын
Serious time, serious measures. Mazoea sasa basi putin.
@cidewashington670
@cidewashington670 Ай бұрын
🇨🇺🤝🇷🇺 Uraaaaaaaa 💪
@festohaule9716
@festohaule9716 Ай бұрын
Adui kaja mlangoni Sasa!!! Karne hii hatuna Nchi iliyopooza kabisa...
@alextanzania
@alextanzania Ай бұрын
Sio Mara ya kwanza
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Ай бұрын
Timing ndo shida mzee ​@@alextanzania
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Ай бұрын
Tanzania imepooza Karne hiii😅😅😅
@ManyaSumaili
@ManyaSumaili Ай бұрын
Nyinyi amuijuwe marekani kbs
@festohaule9716
@festohaule9716 Ай бұрын
@@ManyaSumaili Unasema Nini!!! Korea aliigawa yeye Marekani mbona hakuimeza yote______?? Aliunda NATO Kwa lengo kumsadia mishe zake Ulimwenguni.. Amerika alipingwa na Osama hapohapo kwake na kuuwa watu 3600 Kwa masaa tu...
@farajiissa560
@farajiissa560 Ай бұрын
Wameisha 😂😂😂😂😂😂 marekan
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Ай бұрын
No masihara
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 Ай бұрын
😂😂 viva urusi 😂 Marekani wameufyataa ,, watamiminiwa Risasi shimoni 😂
@mohdhilaly7900
@mohdhilaly7900 Ай бұрын
Maamaeeeee Mashoga lazima watie akili mara hii walifikiria waarabu hao
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Ай бұрын
Maisha lazima tuheshimiane sio kila siku vitisho vya marekani na Western countries...Canada nao ni wanafiki wakubwa hao..mkubwa mungu
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 Ай бұрын
Yaani kutoka Havanna Cuba mpaka Florida U.S.A pana umbali wa 90 miles sawa na kilomia 145 ni karibu sana
@Africaamkenitznawenuso
@Africaamkenitznawenuso Ай бұрын
Marekani kazi unayo
@jonathanmaengo4281
@jonathanmaengo4281 Ай бұрын
Team V putin code 18 🇷🇺🇹🇿
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Ай бұрын
Kudadadeki sasa hivi mmarekani umepata wa size yako anakufuata hadi mlangoni sasa fyoooooo uone. Hii sio Libya ao Irak
@user-md9iy9qn1k
@user-md9iy9qn1k Ай бұрын
Hana uwezo waku pigana na USA 🇺🇸 ao hujasikia Russia 🇷🇺 ikisema haiwez pambana na usa 🇺🇸 labda hizo inch za Europe sio USA 🇺🇸
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Ай бұрын
@@user-md9iy9qn1k Sasa ndio kakufata mlangoni kwako we ulifikiri hizo meli ni zakuja kufanya maonyesho Ya 7/7?
@mfaumemfaume3813
@mfaumemfaume3813 Ай бұрын
Skai work HP swal kwamatangazo ya staily Iko pou
@abdulmasoko7241
@abdulmasoko7241 Ай бұрын
Mi naona Raha..😂😂😂 Urusi 🤝👊
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 Ай бұрын
Mi nirifikili katuma ndegu ili azipige izo meli kumbe doria2 😂😂😂
@suratibrahim6417
@suratibrahim6417 Ай бұрын
😊😊Dunia iko mahala Salama mikononi mwa Urusi✍️✨🏹🏹💌💯 Putin 🔥 Russian military special forces 🔥🔥🪖🎖️🔥 Nakubali... nakubali.. nakubali ❤️✨✍️
@cdeegwau551
@cdeegwau551 Ай бұрын
😅😅 i ndo maana halisi ya vita ni vita muraa..
@bogoheidaso2628
@bogoheidaso2628 Ай бұрын
Putin ameamua kumfata adui yake karibu sana
@mwenebatuetabo5515
@mwenebatuetabo5515 Ай бұрын
Nihatari kumekuchaaa
@abdallahngoe
@abdallahngoe Ай бұрын
Tunahitaji GPS ya hii issue tupeni mapema tafadhari
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Ай бұрын
Labda next week coz ni once a week
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 Ай бұрын
Jamaa kamfuata huko huko 😅
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g Ай бұрын
Hahahaha ye si anajidai mjanja wa kupigaga kwa wenzake na kuharibu kisha kusepa. Sasa ni zamu yake
@Africaamkenitznawenuso
@Africaamkenitznawenuso Ай бұрын
Yah good
@user-md9iy9qn1k
@user-md9iy9qn1k Ай бұрын
Hana uyo uwez Cuba 🇨🇺 itageuzwa majivu isubutu ione janga usa 🇺🇸 haitaniwi kijan hawa ni vichwa vibovu sio Mara ya kwanza Russia 🇷🇺 kuongia 🇨🇺
@giloline1308
@giloline1308 Ай бұрын
​@@user-md9iy9qn1k😂😂😂
@nizarrama225
@nizarrama225 Ай бұрын
😂😂 unaumia ukiwa wapi ​@@user-md9iy9qn1k
@lucasbatano333
@lucasbatano333 Ай бұрын
Marekani akikohoa tu amekwisha😊
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 Ай бұрын
Axa akoowe vipi zaidi ya masiraha kibao anayowapa wa Ukraine au Urusi anapenda Marekani kuisaidia Ukraine 😂😂😂😂
@Saidkhel
@Saidkhel Ай бұрын
​@@georgekimasaofficial1629sasa huyo Ukrein kapewa siraha kafanya nini cha ziada nyie ndiyo mashoga wa marekan
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 Ай бұрын
Uraaaaaaaaaaa
@SelemaniMeena-oo3os
@SelemaniMeena-oo3os Ай бұрын
Marekani anasema hazina nyuklia amezikagua? Mavi yamegonga chupi, hajasema na bado atasema
@vladimirputn1809
@vladimirputn1809 Ай бұрын
😂
@Puppet666Master
@Puppet666Master Ай бұрын
CUBA CABANA🇨🇺
@user-qh9gw2vr6k
@user-qh9gw2vr6k Ай бұрын
Mimi nipo hapa nimekaa Wacha nione
@Samwelianaseti
@Samwelianaseti Ай бұрын
hakuna Taif lolote kwa sasa ambalo linaweza kuiangusha Marekani bado wanajitekeenya labda kwa siku za mbeleni sis
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 Ай бұрын
Na hakuna taifa lolote linaloweza kuiangusha Russia & China
@fakijecha
@fakijecha Ай бұрын
Unasema hakuna sie tunangalia vitendo na sio mipasho yako
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 Ай бұрын
@@fakijecha vitendo vya ushoga vya marekani na Israel ndio unaangalia
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 Ай бұрын
God bless russia 🇷🇺
@espoiraklonda8664
@espoiraklonda8664 Ай бұрын
Utaaaaaaaaaaaaaaaaa🥊🤝💪💪
@Badvoice707
@Badvoice707 Ай бұрын
Akisubutu mmarekani anamuangamiza kabisa oohh ajaribu aone moto 😂😂😂😂😂
@simontamba1285
@simontamba1285 Ай бұрын
Viva
@msukumamnywamaziwa2785
@msukumamnywamaziwa2785 Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@josephelias7364
@josephelias7364 Ай бұрын
Huyu Urusi haijui marekani vizuri
@user-yb9cl6fr6l
@user-yb9cl6fr6l Ай бұрын
Hanalolo nishoga tu ndicho ndicho ambacho mrusi anamjua mmrekani niokwachengine Sasa usiempenda kaja Sasa kama yeye nikidume siange mdifensi kama kweli yeye nimume? mrusi kajipanga Wala hakuna anaemuhofia hata mmoja kwataarifayako marekani naulaya nzima hawapati usingizi kwaputin huo nikhabari nyengine nandio mtetezi wadunia nasio hao mashoga
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 Ай бұрын
Sasa hasimjue wakati wote wanakaa kwenye vikao vya maamuzi!! Hao wote wanakura za turufu au mwenzetu haujui ilo😢😢😢
@peterilimwa5754
@peterilimwa5754 Ай бұрын
bundala I sallute u
@hunstonjuliusmkonyionlinetv
@hunstonjuliusmkonyionlinetv Ай бұрын
meli za kichovu
@longinoludovick7909
@longinoludovick7909 Ай бұрын
Tusishabikie kitu tusichokifahamu tuombe amani iwepo mungu atatuhukumu kwa maovu hapa Duniani😊😮
@ProsperMwakasungura
@ProsperMwakasungura Ай бұрын
Wewe kama hufamu naomba tulia tu.
@daviddeus6437
@daviddeus6437 Ай бұрын
Ngoja wajichanganye cuba litakuja kuwa jimbo la marekani kwa lazma
@elinathanbanka5485
@elinathanbanka5485 Ай бұрын
Marekan ni mchokozi Sasa anafuatilia ziara za wengine kwamisingi ipi?? Mbona ziara zake hazifuatiliwi????
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Vita iendeleee
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk Ай бұрын
🇹🇿❣️🇷🇺👏
@mutambukamubaraka
@mutambukamubaraka Ай бұрын
🙏👍👍👍🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺♥️♥️✊
@JeanPierreBashagaluke
@JeanPierreBashagaluke Ай бұрын
Wakongomani wana salimu hayo mazowezi hiyo
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 Ай бұрын
Hodiiiiiii!
@Africaamkenitznawenuso
@Africaamkenitznawenuso Ай бұрын
Jamani karibuu tumekoma!!!😂😂😂😂
@petermugurubi7837
@petermugurubi7837 Ай бұрын
Free afrika huko wapi
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 Ай бұрын
Ndio maana mama anakopa sana anajuwa baada vita ya 3 ya Dunia kumalizika tutasamehewa madeni
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q Ай бұрын
USA waoga wanajipa moyo kuwa ziara ya meli Cuba ni ya kawaida huku rohoni wakijua hawako salama, urusi yuko serious kaenda Cuba kuwakumbusha USA kuwa wamemruhusu zelensky ashambulie ndani ya urusi wajue urusi sheria yao ya nyuklia ikivunjwa vya kutosha urusi analiamsha sasa yuko jirani tu hapo Cuba
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 Ай бұрын
Viva Russia viva Putin
@user-jh9yv1zp1l
@user-jh9yv1zp1l Ай бұрын
Marekani viva❤❤
@willibroadwilliam6798
@willibroadwilliam6798 Ай бұрын
Nchi ya kwanza dunia kiuchumi uliza. Nchi ya kwanza yenye Bajeti kubwa yaulinzi uliza. Nchi yenye 4:09 idadi ya watu wasomi uliza. Ukerain tu tangu 24/02/2024 mpaka sasa mkono unapingwa.Jibu sahihi ukiulizwa Urusi hinapigana na nchi gani kwasasa utajibuje?
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Urusi zaifu
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv Ай бұрын
American kapata saizi yake
@user-wt9nd8bh2h
@user-wt9nd8bh2h Ай бұрын
Uuraaaaaaa 😂😂
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Ай бұрын
😂😂😂😂 huyu PUTINE ataniuwa kwa maraha
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j Ай бұрын
Putin hataki utani
@jotafungo4622
@jotafungo4622 Ай бұрын
Nyie njooni huku ngoma inogile
@chachajulius4481
@chachajulius4481 Ай бұрын
Tutaishumbulia Guantanamo kijeshi kama marekani wataendelea kufatilia meli za Kremlin 🇷🇺 🇷🇺🇷🇺
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 Ай бұрын
Putin awapige tu Marekani Ushoga uishe rasmi Duniani
@user-md9iy9qn1k
@user-md9iy9qn1k Ай бұрын
Hapo cuba 🇨🇺 watapigwa na usa 🇺🇸 kwa 100% wasipime maana wataumia maana usa 🇺🇸 haipendagi ujinga hapo Cuba 🇨🇺
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 Ай бұрын
Marekani anashindwa na wayemeni houth ataiweza urusi ? 😂😂
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
Ukiona hivyo ujue Cuba kapokea pesa nyingi sana na mkataba wao ni kuijenga CUBA subilini maendeleo yake yatakavyo piga hatua
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 Ай бұрын
Kwani urus walipenda matani Ukraine usipende upende wanaume wanakuletea vyuma hapohapo mrangani!!😂😂😂
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 Ай бұрын
KING putin🎉🎉🎉
@RamadhanpMwakilasa-di5hc
@RamadhanpMwakilasa-di5hc Ай бұрын
Putin kama putin 🔥🔥🔥🔥
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Ukraine njooni uk mlipue meli
@ibrahimabdallah7639
@ibrahimabdallah7639 Ай бұрын
Wapigane tu mbabe apatikane
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Mabovu ameyakimbiza ku kwepa kulipuliwa na ukrane
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Ай бұрын
PUTIN kamuwa kam bwai na iwe bwai
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 Ай бұрын
Nasubir nione ww3
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Putin afe
@kisoso890
@kisoso890 Ай бұрын
Bwana eeeh hakuna vita hapo wanatangaza biashara zao msituone wajinga kama kweli mnataka kukinukisha msitangaze silaha hadharani mwagianeni muuwane kweli tutaamini ni vita ila siku hizi vita imehamia mitandaoni mnaonyeshana silaha ili nchi zinunue mamaee nendeni congo ndio mtajua kuna vita sio wafanya biashara
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw Ай бұрын
Mm binafs naikubal sana urus ila nawashangaa watu wanavyoshabikia meli za kivita kufika cuba badala ya kuionea huruma cuba
@godfrey3926
@godfrey3926 Ай бұрын
Sasa huu ujinga ni wa nini, wanapigwa Ukraine na huyu Jasusi Putin anafikiri anaweza kumtisha yeyote. Ni kama mtoto aliyenyimwa pipi, anarukaruka tu. Wanajeshi wa Urusi walio Ukraine wamerekodiwa walisema hawana hata risasi za bunduki, alafu huyu jasusi anato show lama hizi, hajali watu wake wanayouliwa, hawapi equipment za vita. The guy is simply dumb.
@laodapigfarmmrduroc8327
@laodapigfarmmrduroc8327 Ай бұрын
😂😂😂😂 hata hujuu unaobngea nn
@jolitabukabengwe3070
@jolitabukabengwe3070 Ай бұрын
Mpaka Sasa MAREKANI keshaufyata... Anakiherehere sana MAREKANI. Safari hii Kaingia Cha kike
@pixeldrop5874
@pixeldrop5874 Ай бұрын
Wew ni mjinga kweli Unafkiri urusi n Tanzania Eti.unasema.hana.hata risasi Mtu Ana viwanda vya kuengeneza Silaa Alaf unaongea bla bla haPa Acha kuwa brain wash wew
@kamtandeabdala3271
@kamtandeabdala3271 Ай бұрын
Jidanganye urusi hajawahi kuwa dhaifu alafu kumbuka ni mataifa mangapi yanapigani usijizime data kaka
@Jureyji
@Jureyji Ай бұрын
Hujui kitu ww endeshwa na ushabiki
@officiallugano8991
@officiallugano8991 Ай бұрын
Uchumi wa New York City pekee ni mkbwa kuliko Nchi ya Urusi. Kwahiyo America 🇺🇸 inatazama jinsi Urusi inavyo jitekenya
@allyslim7774
@allyslim7774 Ай бұрын
wewe! Kweli?
@dicsonbiko-wz7ym
@dicsonbiko-wz7ym Ай бұрын
unaota ndoto ya mchana wewe😂😂😂😂
@graysonpastory1918
@graysonpastory1918 Ай бұрын
Kweli mashoga msio na akili mpo wengi sn sn,
@abdallahngoe
@abdallahngoe Ай бұрын
Usemacho ni kweli kabisa hata jiji la califonia lina uchumi sawa na ufaransa na hata katika nchi 5 zenye uchumi mkubwa urusi haipo. Lakin lakin lakin anaeongoza kwa nyuklia duniani ni urusi 5900+ na kisha USA5400+ na asilimia 90 mpaka 95 ya silaha duniani wanasupply wao. Hivo hata wakisema wapigane na USA akashinda bado lazima na yeye ataumizwa vibaya mno na hatakuwa tena no1 duniani kama ambavyo akipigana vita nyngne ushinda na anabaki no1
@abdallahngoe
@abdallahngoe Ай бұрын
Utajiri sio kigezo cha ushindi ndugu yangu unaweza ukashinda ila husiwe tena no 1 tena kabla ya kuwa no1 marekani kuna dola nyingi zimewai tawala dunia mfano ottoman empire, roma hata england miaka ya 1800 baada ya mapinduzi ya viwanda yeye ndo alikuwa tajiri wa dunia lakini alipoingia kwenye vita na hzo dola nyingine mpaka leo kama ottoman ya waturuki ni dola za kawaida tu si no1... hata england na washirika wake walishinda vita ila mpaka si no1 tena
ISRAEL yamchimba mkwara Erdogan ‘Utaishia kama Saddam Hussein’
2:51
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 10 М.
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 62 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 4,7 МЛН
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 4,2 МЛН
PUTIN na KIM JONG UN wakubaliana kuungana kupambana na UBABE wa MAREKANI
3:38
Это самая гигантская машина!
0:26
Nico Clips
Рет қаралды 1,5 МЛН
Не хватило бензина встал на трассе
1:01
чоооооооооооооо
Рет қаралды 2,6 МЛН